Shedrack weds Neema
3:26
9 жыл бұрын
Sofia Pre Wed
3:01
9 жыл бұрын
Kefrine  Pre wedding
9:52
9 жыл бұрын
SIMAMA IMARA -
6:04
9 жыл бұрын
My Slideshow
0:16
9 жыл бұрын
Alex  weds Noreen
3:27
9 жыл бұрын
Neema Dickson  -  Heri
6:53
9 жыл бұрын
Neema Dickson-Lipo Pumziko
5:49
9 жыл бұрын
Usiku Mtakatifu
5:20
9 жыл бұрын
kimya bara
2:56
9 жыл бұрын
Пікірлер
@libetztanzania-kiswahilina2845
@libetztanzania-kiswahilina2845 22 күн бұрын
JAMANI MSUBSCRIBE. AFIKE MILIONI 5, NI MIMI PAROKO PADRE SIMON LIBERIO, WA PAROKIA YA SUNUKA JIMBO KATOLIKI KIGOMA, NILIYESOMEA NCHINI MISRI
@Dianakalolo-t4w
@Dianakalolo-t4w 25 күн бұрын
Wimbo mzur hongeren Sanaa
@georgeyoram8638
@georgeyoram8638 26 күн бұрын
Amina! kila ulimi utamkiri Yesu K🙏🙏🙏🔥🔥🔥
@chrispinsanane5141
@chrispinsanane5141 2 ай бұрын
Well done!
@antoinenitereka5176
@antoinenitereka5176 8 ай бұрын
Bonjour
@erastoonesmo6109
@erastoonesmo6109 10 ай бұрын
2024
@magdalenamaria9437
@magdalenamaria9437 11 ай бұрын
Hongereni sana parokia yangu pendwa nzasa nawapenda sana
@aishaelias9071
@aishaelias9071 Жыл бұрын
Yesu akazaliwe ndani yetu wakristo ❤❤❤Nawatakia Christmas njema wapendwa Ameen
@FrankBSanare-pi8hr
@FrankBSanare-pi8hr Жыл бұрын
Amen
@eunicethuo3055
@eunicethuo3055 Жыл бұрын
It's wao!
@MaruwaKileo
@MaruwaKileo Жыл бұрын
Da Lodging
@MaruwaKileo
@MaruwaKileo Жыл бұрын
Danlord
@MaruwaKileo
@MaruwaKileo Жыл бұрын
Danlod
@MaruwaKileo
@MaruwaKileo Жыл бұрын
Kileo
@MaruwaKileo
@MaruwaKileo Жыл бұрын
Kasigwa intet
@MaruwaKileo
@MaruwaKileo Жыл бұрын
0:44 MP3
@evamapunda6311
@evamapunda6311 2 жыл бұрын
Asante Baba Gregori Kayetta mtuzi wa wimbo mzuri sana.
@okumumigire834
@okumumigire834 2 жыл бұрын
❤️❤️👏👏
@okumumigire834
@okumumigire834 2 жыл бұрын
🥺👏😢❤️❤️
@jacobociti3110
@jacobociti3110 2 жыл бұрын
Beautiful but please provide wording so we who know little Swahili can learn and understand the meaning fully.
@dainessgaspar6042
@dainessgaspar6042 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana , sioni pa kudow load
@prospamassawe
@prospamassawe 2 жыл бұрын
👏👏🙏🙏
@muharamiesther5908
@muharamiesther5908 2 жыл бұрын
❤❤❤
@lucyamani4323
@lucyamani4323 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana mbarikiwe waimbaji
@devothaanthony8174
@devothaanthony8174 2 жыл бұрын
Anayejua nyimbo zilizotungwa na huyo mtunzi Sing'ombe Anthony naomba anisaidie tafadhali. Naitwa Devotha Anthony Sing'ombe
@rousj565
@rousj565 2 жыл бұрын
Kimya Bara na Bahari kimya mbingu na dunia / Bwana na muumba wetu mtoto Yesu asinzia. 2. Amelazwa manyasini mchanga mkiwa pia mnyonge/ Yosefu na Mariamu wanamtunza mtoto Yesu. 3. Malaika wanashuka kumlinda mfalme wao / wanatunga nyimbo nzuri kumwimbia mtoto Yesu. 4. Wachungaji waja mbio kwa mshangao waingia / waanguka magotini wamwabudu mtoto Yesu.
@innocentinesto2521
@innocentinesto2521 2 жыл бұрын
Naomba mnisaidi niipate notazake
@innocentinesto2521
@innocentinesto2521 2 жыл бұрын
M barikiwesana hongera kwa mpiga kinanda yani umenikosha
@charityhospital8600
@charityhospital8600 3 жыл бұрын
NAOMBA kufahamu aliyepiga Kannada
@theonestkibuga1900
@theonestkibuga1900 4 ай бұрын
Pia napenda kujua nani alipiga kinanda🎉🎉🎉
@deogratiuskahigi4738
@deogratiuskahigi4738 4 ай бұрын
Hillary B.Bwagidi
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 жыл бұрын
Huu wimbo naupenda sana. Mbarikiwe sana
@kitabuchamormoni7935
@kitabuchamormoni7935 3 жыл бұрын
Asante kwa wimbo mzuri. Nafurahi nanyi.
@mateifrancis830
@mateifrancis830 3 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana nimeurudia zaidi ya mara 20 barikiwa sana wanakwaya kwa ujumla ..proud to be Catholic
@adrianhilary1241
@adrianhilary1241 3 жыл бұрын
RIP Bibi...Nakumbuka sana hii nyimbo! Ipo siku nitakuona na kutabasamu tena!
@danielbarickmunishi3785
@danielbarickmunishi3785 3 жыл бұрын
Inanikumbisha mbali sana mwaka 2001 nkiwa msiba wa Babu yangu touch in side
@ProphetM-c9o
@ProphetM-c9o 4 жыл бұрын
Gloria in excelsis Deo.
@marypeter2218
@marypeter2218 4 жыл бұрын
Naupenda sana huu wimbo❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@neemabernard9863
@neemabernard9863 2 жыл бұрын
Nadhani huwezi kunifikia nakupenda Hadi natamani kulia kweli mungu atukuzwe daima
@ellyathur5838
@ellyathur5838 4 жыл бұрын
florida wa kwa mwarabu nimekuona
@andrewluwungo2271
@andrewluwungo2271 4 жыл бұрын
kwaya zilizotukuka
@henrynyaga1989
@henrynyaga1989 4 жыл бұрын
Zanena, siku kuu, Kengele za juu, Waumini furahini, Mkombozi mkumbusheni Mzawa leo Bethlehemu Mzawa leo Bethlehemu Ni hii leo, siku heri, Siku nzuri nzuri, Ya uasi kuondolewa, Ya mbingu kufunguliwa Yakisha maulaumu, Yakisha malaumu Ni hii leo, siku njema, Siku ya salama, Aliposhuka Mwokozi, Mwanaye Mungu Mwenyezi Kuwa mwanadamu, Kuwa mwanadamu Leo siku, hakika, Wala hamna shaka Kwamba dhambi ya asili, Yaweza kufutwa kweli Ina dawa timamu, Ina dawa timamu Leo siku ya neema, Yameshuka mema Asifiwe Mungu juu, Watu wa imani kuu Waletewa amani, Waletewa amani
@jacklineclement1902
@jacklineclement1902 4 жыл бұрын
Nice song from Tanzania
@marsfer9931
@marsfer9931 4 жыл бұрын
Saludos desde España bendiciones para TODOS LOS HERMANOS CRISTIANOS🙏🙏🙏 bellísima NOCHE DE PAZ.♥️♥️♥️🇪🇸🌹 Salamu kutoka baraka za Uhispania kwa NDUGU WOTE WA KIKRISTO USIKU mzuri wa AMANI. ♥ ️ ♥ ️ ♥ ️🇪🇸🌹
@vincentmutuku6029
@vincentmutuku6029 4 жыл бұрын
Very Nice song be blessed
@maryshauri7311
@maryshauri7311 4 жыл бұрын
God bless you all🙏🙏🙏🙏🙏
@Nasubo
@Nasubo 4 жыл бұрын
I need this album, kindly contact me 0733127675
@marcominja8850
@marcominja8850 4 жыл бұрын
Kweli kabisa kulaumiwa au kutupiwa lawama muda wote huwa kunavunja moyo, mara nyingi hakuna jema linaloonekana. Mungu awabariki kwa utume wa uimbaji wa hisia kali mpaka machozi.
@felisterligwa
@felisterligwa 4 жыл бұрын
Amina
@masambupius4283
@masambupius4283 5 жыл бұрын
Napendezwa na ujumbe lkn pia staili ya uimbaji
@masambupius4283
@masambupius4283 5 жыл бұрын
Hakika mmesifu kwa adabu
@edwardnkuwi1927
@edwardnkuwi1927 5 жыл бұрын
Nawapongeza sana mmeutendea haki wimbo huu wanakwaya,Mungu awabariki sana
@florachogo5537
@florachogo5537 5 жыл бұрын
Huu ndio uimbaji kurukaruka kucheza ndombolo
@raphaelchua6478
@raphaelchua6478 5 жыл бұрын
Kwaya mbarikiwe sana Kwa ujumbe mzuri.
@josephinegravasiano8860
@josephinegravasiano8860 5 жыл бұрын
Congratulations
@kennedypaul3292
@kennedypaul3292 5 жыл бұрын
Kimya Bara Na Bahari Mtunzi: Fr. Gregory F. Kayeta > Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Gregory F. Kayeta Makundi Nyimbo: Noeli Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata Umepakuliwa mara 6,928 | Umetazamwa mara 12,489 Download Nota Download Midi Maneno ya wimbo Kimya Bara na Bahari kimya mbingu na dunia / Bwana na muumba wetu mtoto Yesu asinzia. 2. Amelazwa manyasini mchanga mkiwa pia mnyonge/ Yosefu na Mariamu wanamtunza mtoto Yesu. 3. Malaika wanashuka kumlinda mfalme wao / wanatunga nyimbo nzuri kumwimbia mtoto Yesu. 4. Wachungaji waja mbio kwa mshangao waingia / waanguka magotini wamwabudu mtoto Yesu. 5. Nasi pia twende hima tukamwone Mungu wetu / twende sote kwa juhudi kumwamkia mtoto Yesu.
@stivegerad4545
@stivegerad4545 5 жыл бұрын
Mungu awabariki maana siku ya leo naurudia rudia jamanii kuusikilizaa
@paulinaluambano9150
@paulinaluambano9150 5 жыл бұрын
Amina