Yesu akazaliwe ndani yetu wakristo ❤❤❤Nawatakia Christmas njema wapendwa Ameen
@georgeyoram863826 күн бұрын
Amina! kila ulimi utamkiri Yesu K🙏🙏🙏🔥🔥🔥
@mateifrancis8303 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana nimeurudia zaidi ya mara 20 barikiwa sana wanakwaya kwa ujumla ..proud to be Catholic
@josephchuwa35326 жыл бұрын
nimependa sana huo wimbo ucku mtakatifu mnanikumbusha miaka hiyo tukiwa wadogo atubanduki kwenye redio tunasikiliza nyimbo hizi takatifu mbarikiwe sana waimbaji
@henrynyaga19894 жыл бұрын
Zanena, siku kuu, Kengele za juu, Waumini furahini, Mkombozi mkumbusheni Mzawa leo Bethlehemu Mzawa leo Bethlehemu Ni hii leo, siku heri, Siku nzuri nzuri, Ya uasi kuondolewa, Ya mbingu kufunguliwa Yakisha maulaumu, Yakisha malaumu Ni hii leo, siku njema, Siku ya salama, Aliposhuka Mwokozi, Mwanaye Mungu Mwenyezi Kuwa mwanadamu, Kuwa mwanadamu Leo siku, hakika, Wala hamna shaka Kwamba dhambi ya asili, Yaweza kufutwa kweli Ina dawa timamu, Ina dawa timamu Leo siku ya neema, Yameshuka mema Asifiwe Mungu juu, Watu wa imani kuu Waletewa amani, Waletewa amani
@kitabuchamormoni79353 жыл бұрын
Asante kwa wimbo mzuri. Nafurahi nanyi.
@kaitanidaula58367 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana najiona kama nilikuwepo enzi kristu anazaliwa ,hongereni
@jacobociti31102 жыл бұрын
Beautiful but please provide wording so we who know little Swahili can learn and understand the meaning fully.
@catherinebutebwa40097 жыл бұрын
Ongera sana kwa wimbo huu mungu awatangulie .
@dainessgaspar60422 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana , sioni pa kudow load
@jdjjsj59986 жыл бұрын
Yani Saudi Nazo laini nyororo safi mungu awabariki sana
@marsfer99314 жыл бұрын
Saludos desde España bendiciones para TODOS LOS HERMANOS CRISTIANOS🙏🙏🙏 bellísima NOCHE DE PAZ.♥️♥️♥️🇪🇸🌹 Salamu kutoka baraka za Uhispania kwa NDUGU WOTE WA KIKRISTO USIKU mzuri wa AMANI. ♥ ️ ♥ ️ ♥ ️🇪🇸🌹
@bikaekuchi39527 жыл бұрын
Wow mubarikiwe Sana kwa nyimbo
@jacklineclement19024 жыл бұрын
Nice song from Tanzania
@florachogo55375 жыл бұрын
Huu ndio uimbaji kurukaruka kucheza ndombolo
@charlesmbith47086 жыл бұрын
Nice and sweet GOD bless u
@sinzasoundbandtanzania62008 жыл бұрын
Song : Usiku Mtakatifu / Holy Night / Silent Night by St. Monica Choir of Dar-es-Salaam, Tanzania. Kwaya ya Mt. Monica Parokia ya Sinza Dar-es-Salaam, Tanzania.
@innocentshirima90257 жыл бұрын
Mtanzania Junior please allow to download this video
@priscusedimund27807 жыл бұрын
muvi
@kwayayabikiramariaimakulat10423 жыл бұрын
Mtunzi Nani mkuu
@justinejamangwa59797 жыл бұрын
Yaani kwa wimbo huu mmenikuna vyakutosha,hongereni sana naniwatakie utume mwema
@mariethageitan36926 жыл бұрын
Hogereni sana inapendeza sana
@aminaagnita67575 жыл бұрын
Mashalla mashalla nice song
@geofreykulanga12827 жыл бұрын
Huwa nnapendaga sana vinanda vyake!
@MrKulanga6 жыл бұрын
Hahahah Mr Kulanga
@tynaanton82997 жыл бұрын
😊 proudly catholic
@priscusedimund27807 жыл бұрын
m uvi
@nisaelemmanuel67287 жыл бұрын
ahsante ahsante ahsante saaana
@libetztanzania-kiswahilina284522 күн бұрын
JAMANI MSUBSCRIBE. AFIKE MILIONI 5, NI MIMI PAROKO PADRE SIMON LIBERIO, WA PAROKIA YA SUNUKA JIMBO KATOLIKI KIGOMA, NILIYESOMEA NCHINI MISRI
@eunicethuo3055 Жыл бұрын
It's wao!
@sifayvonne1405 жыл бұрын
Asante Sana kwa wimbo mzuri ,naweza pata swahili lyrics?
@neemarumori17335 жыл бұрын
Mungu Wabarikih sana
@devothacredo17967 жыл бұрын
daah yan wimbo mzuri, mmeimba kwa tafakari na utulivu mzuri yan hadi raha hongereni mnooooo
@sirilicheskokusiga61817 жыл бұрын
devotha credo m
@ellyathur58384 жыл бұрын
florida wa kwa mwarabu nimekuona
@valebasilidi94069 жыл бұрын
nimebarikiwa sana na nyimbo hizi kama nipo nyumbani Tanzania wala sijutii kutokwenda chrissmass Moshi
@albertlonjino.hongerenisan76158 жыл бұрын
hongeren kwa kuimba vizuri
@josephinegravasiano88605 жыл бұрын
Congratulations
@onoratinyamwihyula1807 жыл бұрын
kwa ufupi mmetisha
@nancymatesomakali66127 жыл бұрын
wao mnaimba vizuri
@lucemushi2836 жыл бұрын
Kweli mmeimba kistadi sana
@oscarmhagama36886 жыл бұрын
Nmeupenda sana wimbo huu najikuta narudia ata mara 10 kuusikiliza