Kimya Bara na Bahari kimya mbingu na dunia / Bwana na muumba wetu mtoto Yesu asinzia. 2. Amelazwa manyasini mchanga mkiwa pia mnyonge/ Yosefu na Mariamu wanamtunza mtoto Yesu. 3. Malaika wanashuka kumlinda mfalme wao / wanatunga nyimbo nzuri kumwimbia mtoto Yesu. 4. Wachungaji waja mbio kwa mshangao waingia / waanguka magotini wamwabudu mtoto Yesu.
@evamapunda6311 Жыл бұрын
Asante Baba Gregori Kayetta mtuzi wa wimbo mzuri sana.
@Dianakalolo-t4w8 күн бұрын
Wimbo mzur hongeren Sanaa
@lucyamani43232 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana mbarikiwe waimbaji
@castorrweikiza87685 жыл бұрын
Kwakweli wimbo mmeutendea haki. Mungu awabariki sana kwaya mmeimba vizuri sana
@robert.maganya10516 жыл бұрын
Amina bwana azaliwe mioyoni mwetu, nice songs
@lualeprimaryschool89856 жыл бұрын
Sichoki kuusikiliza huu wimbo kwakweli Mungu awabariki sana waimbaji mmefanya nipate faraja kubwa sana siku hii ya Krismas
@madlipzkenyamadlipz29518 жыл бұрын
mnastahili kuitwa kwaya kuu ya Tanzania jamannnn nimewapenda sana mpaka siachi kuskiliza nyimbo hii
@temuemanuel46713 жыл бұрын
Huu wimbo naupenda sana. Mbarikiwe sana
@edwardnkuwi19275 жыл бұрын
Nawapongeza sana mmeutendea haki wimbo huu wanakwaya,Mungu awabariki sana
@paulsahan74285 жыл бұрын
Mmeimba kwa hisia nzur sana mmenikuna hongereni.
@kennedypaul32925 жыл бұрын
Kimya Bara Na Bahari Mtunzi: Fr. Gregory F. Kayeta > Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Gregory F. Kayeta Makundi Nyimbo: Noeli Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata Umepakuliwa mara 6,928 | Umetazamwa mara 12,489 Download Nota Download Midi Maneno ya wimbo Kimya Bara na Bahari kimya mbingu na dunia / Bwana na muumba wetu mtoto Yesu asinzia. 2. Amelazwa manyasini mchanga mkiwa pia mnyonge/ Yosefu na Mariamu wanamtunza mtoto Yesu. 3. Malaika wanashuka kumlinda mfalme wao / wanatunga nyimbo nzuri kumwimbia mtoto Yesu. 4. Wachungaji waja mbio kwa mshangao waingia / waanguka magotini wamwabudu mtoto Yesu. 5. Nasi pia twende hima tukamwone Mungu wetu / twende sote kwa juhudi kumwamkia mtoto Yesu.
@muharamiesther59082 жыл бұрын
❤❤❤
@molom50279 жыл бұрын
Mungu awabariki malaika wa Mungu.Mmeimba vizuri sana.Mpiga kinanda amebakiwa kweli.Krismasi ya baraka.Asante
@desderymfoi64226 жыл бұрын
Mungu awabariki sana...Nabarikiwa nikisikiliza wimbo huu.
Utukufu. Kwa mungu juu na Lang amani duniani kwa watu wenye mapenzi mema
@marypeter22184 жыл бұрын
Naupenda sana huu wimbo❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@neemabernard98632 жыл бұрын
Nadhani huwezi kunifikia nakupenda Hadi natamani kulia kweli mungu atukuzwe daima
@hekimamhadisa3848 жыл бұрын
nitapataje DVD yenu,angekuwepo na Msungu ingekuwa balaa zaidi.Nafikiri hii ni kwaya bora kabisa hapa nchi
@masambupius42834 жыл бұрын
Napendezwa na ujumbe lkn pia staili ya uimbaji
@okumumigire8342 жыл бұрын
🥺👏😢❤️❤️
@stivegerad45455 жыл бұрын
Mungu awabariki maana siku ya leo naurudia rudia jamanii kuusikilizaa
@flavianbyabato13618 жыл бұрын
Hongereni sana St. Monica Choir, Sinza
@petercharles18198 жыл бұрын
mbarikiwe mnoo wapendwa
@evaristmwaise14495 жыл бұрын
Mbona haijafika mwisho Kuna mabeti hamjaimba
@gaudenciakassa17119 жыл бұрын
aisee nimewapenda bure mnatanua midomo vizuri utamshi wa maneno uko vizuri tabasamu ndo usiseme hongereni.
@evamapunda63117 жыл бұрын
Asante sana wana kwaya toka St.Monica Parokia ya Zinza kwa kututafakarisha vizuri, endeleeni hivyo.Kutunza melody ya kikatoliki katika uimbaji.Hongereni sana na Mungu Atukuzwe ndani Yenu.
@sebaldchinguile22098 жыл бұрын
Mko vizuri wapendwa
@beatusjohn53955 жыл бұрын
Nakuona master
@exuperiuslyapembile.40897 жыл бұрын
Kimya bara umeimbwa vizuri sana na kwaya ya Mt.Monica.
@evancentanturo4815 жыл бұрын
Asanteni kwa wimbo mzuri sana
@generozphibility47057 жыл бұрын
wimbo mzur sana kwel amezaliwa
@davidmpiluka52244 жыл бұрын
Gloria in excelsis Deo.
@silverykazimoto11267 жыл бұрын
kazi nzuri sana.
@remigiusseverin46577 жыл бұрын
ahsanteni sana palokia ya sinza kwa nyimbo nzuri za sikukuu
@alfredshemweta29185 жыл бұрын
Mmeimba vizuri sana wimbo mzuri sanaaa mnanikumbusha kipindi nlivo kua seminarini jimbo LA mbinga