Рет қаралды 907
“Nafikiri ndiye mchezaji peke yake ambaye nahisi angeweza kutusaidia” maneno ya Kocha wa Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’ akimtaja golikipa wa Yanga Djigui Diarra, baada ya kuulizwa mchezaji wa kigeni ambaye angekuwa na msaada kwenye kikosi chake kama angekuwa Mtanzania