June 23, 2023
1:32
Жыл бұрын
Пікірлер
@brownsimchimba7677
@brownsimchimba7677 4 сағат бұрын
Utaheshimje sheria za umoja wa mataifa wakt umoja wenyewe hauna meno?. Umoja wa mataifa ni chombo cha mmarekani tu.kwa dunia ya leo hivi vyombo vyote vinatakiwa kuvunjwa na kuundwa upya. Kwa sasa havina maana yoyote kabisa.
@amosmangura
@amosmangura 6 сағат бұрын
Israel inapigana na msgaidi yanayo mdhamin irani elewa , ok kweni hezibora na hamas wako nchi gani
@youthmechanics6167
@youthmechanics6167 12 күн бұрын
Iran Haina historia ya Vita,na wals Haina Teknolojia kuishinda Israel.wengine wananunua Teknolojia,Israel wanagundua.misaada kwao ni nyingezs tu,Bila missada maadui hawawezi kuishinda Israel yenye uwezo wa kumfika na kumuangamiza adui popote alipo. Jiulize Kwa nini Misri ipo kimyaaa
@SeuriMollel-im5yw
@SeuriMollel-im5yw 13 күн бұрын
Kuna jamaa anasema wajinga ni waislam ndio wabaya napenda kumwambia yaani kumjibu kwamba wapalestina sii wachokozi waisraeli ndio wanawaua kila siku na kuwanyang,anya makazi yote na wanawaua watoto wadogo na ukuta anauwawa mama baba yani wanauwa familia yote na kuchukuwa mali zao pamoja na aridhi yao
@ManzabaySalim
@ManzabaySalim 13 күн бұрын
Brother hayo yalikua zamani israel haina nguvu kwa iran wala america
@ramadhanibahati2829
@ramadhanibahati2829 13 күн бұрын
Mama hujui ulisemalo, wewe ni kibaraka, Nyie ndiyo mizigo mizito ya bara la Africa
@SeuriMollel-im5yw
@SeuriMollel-im5yw 13 күн бұрын
Nikwe kaka anamaanisha kwa sababu wamarekani ndio wapo nyuma ya mmarekani ndio sababu ya yote hawa ni wauwaji wakubwa sana duniani
@herrielpaul8322
@herrielpaul8322 15 күн бұрын
Ni kwa nini huwa hamlaani makundi ya hamas na hezbola yaliyotengenezwa na Iran na kufathiliwa na Iran ambayo mara nyingi yanauwa raiya wa Israel na sijawahi kuwa sikia mkilaani kauli ya kitambo ya Iran ya kuifuta Israel kwenye ramani ya Dunia na mara zote utasikia jeshi la Israel limeuwa wanawake na watoto hivi haliuwagi wanamgambo hata siku moja? Lakini utasikia hamas wauwa wanajeshi kathaa wa Israel hivi huko Israel hakunaga raiya? ni wanajeshi tu kweli binadamu ni wanafki hata kwa tunayo yaona kwa macho na kuyasikia kwa masikio
@johnsindayigaya9485
@johnsindayigaya9485 18 күн бұрын
Poutine nindiye mwanaume naye mwamini,yani Mungu akitoka)kwangu ninaye mwamini ni Vladimir poutine ❤
@ErickMacha-sb2ot
@ErickMacha-sb2ot 23 күн бұрын
Wanamapinduzi wanaweza kufa lakini fikra zawanamapinduzi hazifu
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 25 күн бұрын
Hii mahakama iliundwa kwaajili ya Waafrika na Waarabu tu alafu hivi kwaakili tu yakawaida kunataifa lakumkamata Putin hapa Duniani!!? Hao Nato wenyewe siwananguvu zakutosha tu Wamkate wenyewe tusije kusababishiana Matatizo kilamtu aishi maisha yake sisi Africa hatuna shida na Mzee Putin pamoja na Urusi yake Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Africa
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 27 күн бұрын
Haka kamama hakajitambui msikalete tena hakajafatilia kwann africa inakua hv
@mussakhalidtz
@mussakhalidtz 27 күн бұрын
sio kamama huyo ni mwanaume
@Adonkamotci
@Adonkamotci 27 күн бұрын
Nakubari mna juA kucha mbuA👏👏
@zahorokasentisenti6761
@zahorokasentisenti6761 Ай бұрын
Hujui kuchambua
@mussakhalidtz
@mussakhalidtz Ай бұрын
sawa
@alhajjwaupe4593
@alhajjwaupe4593 Ай бұрын
Kukamtwe kwanza w bush alie uea watu iraq
@danielmwandenga5369
@danielmwandenga5369 Ай бұрын
Mchambuzi , kwanza hii mahakam n ya afrika tu , napia urus sio mwanachama utamshikaje ??? Na pia kuna sheria kuwa ukiwa mwanacham unaweza mshika mtuhumiwa lakini nawew kwa akili yako tu unaweza mshika putin ??? Hata akienda marekan hawawezi kumkamata labda mwafrika hatuna nguvu ya kijeshi wanaenda kumchukua makomandoo wake , achana na mwenye nguvu bhana
@LubamboMrisho
@LubamboMrisho Ай бұрын
Acha uzezeta WEWE unamfananisha Putin na ruto,Putin ana makombora ya Nyuklia Dunia inaweza kufikia mwisho,zezeta wewe
@Hbhoola
@Hbhoola Ай бұрын
Broo idibabaishee huna kigugumiz Sema wazi Hakuna WA Kumkata Raisi WA Urusi Unamjuwa Warusi wanavyo mkubali Raisi wao? Kutana nao uwasikie Wanavyo mpenda Usifananishe na Viuchwars vya kirafika Afrika Kuna vibaraka Si Raisi Kakojowe Ulale usidanganye watu
@kazinaimwishehe-ec3xu
@kazinaimwishehe-ec3xu Ай бұрын
Uyu mchambuzi akuna kitu unasemaje kuwa akuna aliye shindwa kumkamata wakati ajakamata ivyo vyombo nivya kwenu waafrika tu wala sio vyao
@NASSORMUYUGUMBI
@NASSORMUYUGUMBI Ай бұрын
PUTI HAWEZEKANI KWA HAO WAMAGHARIBI, TUSEME HADI SASA HAMJUI KAMA WAMAGHARIBI WAMESHAKAA KWA MBABE PUTIN!!!?? AAAH ACHENI BHANA
@ppemperweringpeople7183
@ppemperweringpeople7183 Ай бұрын
Putin Mwamba Aliye Andikisha Historia Ya Kuhua Watu Wengi Zaidi Duniani Katika Karna Hii
@Thwahasopayiikaji
@Thwahasopayiikaji Ай бұрын
Kigugumizi nikati ya eliminate? Au kudeka?
@Kassim-o6m
@Kassim-o6m Ай бұрын
Hawa hawajui kuchambua
@Kassim-o6m
@Kassim-o6m Ай бұрын
Akamatwe metanyahu kwanza
@ProsperMwakasungura
@ProsperMwakasungura Ай бұрын
Yaani huyu mchambuzi akili hana. Ila elimu anayo tunayofundishwa na wakoloni wetu wa magharibi. Kwa hii elimu ya magharibi inatuathiri SANA. Eti nyooo umoja wa mataifa, kipumbavu sana hiki. Hiyo ICC ndio na umoja wa mataifa ndio ukoloni mambo leo kwa sisi wanyonge. Kila siku watu wanauawa na haohao pumbavu kabisa. PUTIN endelea kupiga hao mashetani. GOD, always bless Putin.
@MusaJastini-po8hm
@MusaJastini-po8hm Ай бұрын
Amjui kuchambua Mambo ebu tulizenu vishundu mbwa nyie
@Chw_Kdmn83
@Chw_Kdmn83 Ай бұрын
"Imeshindikana kumkamata" Kwani wali attemp wakashindwa? Kushindwa ni kuwa n nia ya kufanya jambo halafu ukazidiwa nguvu physically au impliedly. Wao walimualika makusudi aende n hawakua n nia ya kumkamata. Neno kushindwa Halifax kutumika.
@paschalcosmas6093
@paschalcosmas6093 Ай бұрын
Mchambuz upo sahihi, kwa cc tuliosoma international relations kuna kitu kinaitwa" Sovereign immunity".. hii ni kinga inayowalinda viongozi wa nchi wanapokuw nje ya nchi zao. Kuna immunity pia kama 2.Diplomatic immunity, ambayo huwalinda Wanadiplomasia wanapokuw nje ya nchi zao.
@OmariJuma-su6fz
@OmariJuma-su6fz Ай бұрын
Wahende sasa kumkamata kwani walikuwawanangoja atoke inje yahinchi ninyi sisi afrika ndo washenzi magaribi wanadili namanufaha yao sisi tunajitahidi kuwanufaisha wao sisi kuma kabisa tena kuma sana nandomana njaa inatuhuwa kabisa
@mfupakhamis9751
@mfupakhamis9751 Ай бұрын
Sheria unatungia ww pangu pakavu. Haya mambo ya kishetani. Sheria ni zile za mmiliki wa mbingi na ardhi wasomi mnachanganywa. Ufalme wa Mungu usimame. Amin.
@IshipalemyPasko
@IshipalemyPasko Ай бұрын
Mifumo ya kidunia ya kishetani inanufaisha watu fulani fulan hasa ni mmarekani na washirika wake wa magharibi watu wamechoka nayo. Na putin anaandaa dunia mpya. New word order
@IshipalemyPasko
@IshipalemyPasko Ай бұрын
Nani sasa wakumkamata kwa dunia hii. Hawawezi na hawatawezi . Ndugu yenu marekan si mnamuaminia aende sasa akamkamate
@markmushi8940
@markmushi8940 Ай бұрын
Namkumbuka nazipenda sana justine nyimbo zake nasikiliza sana
@mariamsephu-uc1br
@mariamsephu-uc1br 4 ай бұрын
shingap hiyo milango
@jumamganga5136
@jumamganga5136 Жыл бұрын
Ulikuwa wa miaka 1982
@jumamganga5136
@jumamganga5136 Жыл бұрын
Mzigua/mkonongo/mnyamwezi huyu,vipi ule wimbo wa unanikumbusha nassa" akiwa vijana jazz aliutunga ukipigwa mno,siupati youtube
@simontamba1285
@simontamba1285 2 жыл бұрын
Mwanaharakati wa Kwelii
@simontamba1285
@simontamba1285 2 жыл бұрын
Jastine Jastine Jastine Mwanga wa milele Mungu akuangaziee upumzike kwa amani
@salamaseif4183
@salamaseif4183 3 жыл бұрын
RIp kalikawe
@Bennymwangaza
@Bennymwangaza 3 жыл бұрын
Hongera Mussatv
@fazeelshomary2704
@fazeelshomary2704 3 жыл бұрын
Kuna ile usitumie cheo chako kama dhamana na matakwa yako...
@avitusmichael5
@avitusmichael5 3 жыл бұрын
Nilimkubali sana huyu jamaa
@olivanusthomas7329
@olivanusthomas7329 3 жыл бұрын
RIP Kalikawe, Tzee Dube
@felixmagulu6142
@felixmagulu6142 4 жыл бұрын
Hongera sana Mzee Hamza kalala, Safari yako ya Muziki ni ndefu sana, staili ya gita unalopiga ni ya tofauti na wanamuziki wengine.
@Jamalyoya
@Jamalyoya 4 жыл бұрын
Mi nautafuta wimbo wake unao imbwa "usimdharau mwanadam sababu hana unacho kithamini siku atakapo kipata tabia yako itabadilikaje mbele yake"
@barakamotto1454
@barakamotto1454 4 жыл бұрын
Safiii
@maulidsaid3365
@maulidsaid3365 4 жыл бұрын
Jamani mi natafuta wimbo wake uitwao MV bukoba, yani haupatikani kabisa KZbin mwenye nao anitumie kwenye WhatsApp number 0673898512
@avitusmichael5
@avitusmichael5 3 жыл бұрын
Hata mm huwa nautafuta sana, niliwahi kwenda nyumbani kwao na kalikawe lakini sikumkuta mama yake alikuwa safari, nilitaka nimwombe huo wimbo
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 2 жыл бұрын
Huo nishatafuta sana sijaupata
@MichapoyaBongo
@MichapoyaBongo 4 жыл бұрын
safi
@zachariabwire636
@zachariabwire636 5 жыл бұрын
Wimbo wa Ningekuwa na mabawa ningeruka kama ndege HATUUONI (UTUBU)