RAIS MWINYI AHIMIZA AMANI NA UTULIVU VIASHIRIA VYA UVUNJIFU AMANI VINAONEKANA KUELEKEA UCHAGUZI 2025

  Рет қаралды 1,309

Tifu Tv

Tifu Tv

Күн бұрын

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj. Dk. Hussein Ali Mwinyi amehimiza Wananchi na Waumini wa dini ya Kiislamu nchini umuhimu wa kuendelea kuiombea amani Zanzibar na viongozi wake, hususan kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa 2025 ambapo amesema kunaanza kuonekana viashiria vingi vya uvunjifu wa amani.
Amesema ni vema kumrudia Mungu na kuendelea kuiombea nchi yetu ili iendelee kuwa na amani kwani maendeleo hayatakuja bila amani.
Alhaj Dk.Mwinyi ameyaeleza hayo wakati akitoa salamu baada ya Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Rahman, Meli Nne, Taveta, Wilaya ya Magharibi B, Unguja, Alhaj Dk. Mwinyi amesema ili muumini wa dini ya Kiislamu afanikiwe, ni lazima awe na imani na aifuatishe kwa matendo mema; vyote viende sambamba ili kufanikisha kwani kufanya matendo bila imani si sawa na kufanya vyote kwa wakati mmoja ili kupata radhi za Mwenyezi Mungu.
Rais Dk.Mwinyi akiwa na viongozi mbalimbali wa Serikali na dini waliungana na waumini hao wa Melinne Taveta.
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Mwalimu Haroun Ali Suleiman amesema mawazo na mipango aliyokua nayo Rais Dk.Mwinyi wananchi wakiendelea kumuunga mkono nchi itapiga hatua zaidi kwa muda mchache.
Nae Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume amemuelezea Alhaj Dk.Mwinyi kuwa ni kiongozi ambae moyo wake ni mkunjufu hivyo amewataka waumini hao kusimama pamoja na kumuombea dua.
Waumini wa Msikiti huo nao wamempongeza Rais Mwinyi kwa jinsi anavyojitolea kwa kutengeneza yale yote aliyowaahidi wananchi wakati wa alipoomba kura kwa wananchi.
Zanzibar
▪️RAIS MWINYI AHIMIZA AMANI NA UTULIVU
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahimiza waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea kuiombea nchi dua na viongozi wake waendelee kudumisha amani, mshikamano utulivu kuelekea uchaguzi mkuu mwakani.
Dkt.Mwinyi aliyasema hayo alipojumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Sala ya Ijumaa Msikiti wa Rahman Taveta, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 2 Agosti 2024.
Aidha Rais Dkt.Mwinyi amesema hakuna maendeleo pasipokuwepo amani na utulivu.

Пікірлер: 36
@muhamadsalim5295
@muhamadsalim5295 Ай бұрын
Mashekh wengi siku hizi mumekua wanafiki sana kwa sababu ya maslahi yenu binafsi
@AliMsellem
@AliMsellem Ай бұрын
muogopeni allah s w kila tunalolifanya tutaenda kulizwa na allah s w yaumatubla sarailu muogopeni allah s w
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 Ай бұрын
Yaan tupo kwenye zama ambazo Raisi wengi katika hii dunia ya sasa wanaendesha nchi kwa mabavu na sio matakwa ya wananchi
@RashidiAlly-cl7fo
@RashidiAlly-cl7fo Ай бұрын
Umeona wapi binadamu anayetembea bila ya kichwa?,Kichwa cha amani nchini ni haki,bila ya haki hakuna amani tusidanganye watu wazima msikitini,kwa nini neno haki hulizungumzi na wala kutaja angalau kwa sekunde moja tu kwa ulimi wako?,
@shaabanmohammed2611
@shaabanmohammed2611 Ай бұрын
Ofisi ya Mufti haina record nzuri katika kusimamia Utawala bora haki na usawa. Sitegemei wakupe ushauri wa maana. Wanaangalia matumbo yao na kumpamba Mfalme kwa maslahi yao binafsi. Wamesoma Dini lakini hawajahitimu. Hawafati mafunzo ya Dini yao
@AhmedSeif-il1xx
@AhmedSeif-il1xx Ай бұрын
Ww nimwizi tu mnafiki mkubwa ww
@NassorAlmazruy-bz4or
@NassorAlmazruy-bz4or Ай бұрын
Acheni unafki pasipokua na haki hmn amani. Na penye dhulma hmn maendeleo tusidanganyane wazee..
@BachooHassan-n8r
@BachooHassan-n8r Ай бұрын
Kwani hivisasa znz hakuna amani mbona sijamuelewa kwa maana ameahidi bandar hatuiyoni ajira hakuna sasa huko sikuvunja amani maneno yake hayaendani navitendo
@salyali7807
@salyali7807 Ай бұрын
Huyu Mwinyi hicho kibla cha msikitini kitampazisha ... hamuogopi Allah subhanallah anasema unafiq msikitini .. na hawa masheikh pia wanafiq
@shaabanmohammed2611
@shaabanmohammed2611 Ай бұрын
Kampeni ndani ya Msikiti. Mashekhe wakilianzisha mnawazuwia. Mnachanganya Siasa na Dini. Unapata shida kubwa kukwepa neno Haki. Maendeleo yepi unayoyataka? Si unajenga Barabara Skuli Spitali....Hujali Haki za Watu uko tayari kuwanyima ZanID wasiweze kupiga Kura. Hukemei Ufisadi. Matendo yako yatajibiwa Oct 2025
@AbrahmanAbrahman-l7h
@AbrahmanAbrahman-l7h Ай бұрын
MWINYI ACHA USANII HIVI UNATAKA AMANI UNATAYARISHA MAZOMBI NA JANJAWIDI KUJA KU WA ADHURU WATU HAO WALIOSIMAMA KUJIPENDEKEZA NAO NI WANAFIKI NAMBARI MIA.
@ShauriAli-o5y
@ShauriAli-o5y Ай бұрын
Viongizi wanazungumzia amani amani vizuri sana lkn m Ina hawagusii haki?
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd Ай бұрын
Haya machawa bwana
@RashidiAlly-cl7fo
@RashidiAlly-cl7fo Ай бұрын
Wananchi wako hatuna uwezo wa kupata mlo mmoja wa uhakika kwa siku,jee!! hili unalijua bwana Rais?
@salumnassornassor9733
@salumnassornassor9733 Ай бұрын
Mnafiki mkubwa mbona hasemi haki na uadilifu anatangaza amani wananchi hawana haki amani mbona ipo ayo majeshi mapolisi na vikosi vya Zanzibar ndio vinavovunja haki kwanza haki itawale then amani itakuwepo lkn 2025 inshaallah utaondoka Zanzibar yetu hatukutaki mwizi mkubwa shenziiiii time
@RamadhaniMussa-xs5uk
@RamadhaniMussa-xs5uk Ай бұрын
Nyinyi mnouwa watu
@aliharoun8659
@aliharoun8659 Ай бұрын
Haki then ndio amani shekhe
@makamekhalfan5968
@makamekhalfan5968 Ай бұрын
mtihani kweli dah hiv hua anajua kwel anay yasem huyu dah mtihani wt wamekufa walemav wameporwa shamba zao km huku bumbwini hakusemek wt waliv porwa shamb zao na ww sw st wa mung ngj tuf
@alinassor391
@alinassor391 Ай бұрын
Tukishapata haki ndio m.mungu ataturidhia tenda haki wewe
@ISSAJR-fo5nt
@ISSAJR-fo5nt Ай бұрын
Kampeni miskitini subhan allah.
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Ай бұрын
BILA YA MAMLAKA KAMILI YA ZANZIBAR HAKUNA MSHIKAMANO Si kosa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi kufanya Kampeni zao Misikitini.☪️ Mashekhe wa Uwamsho Waendelee na Khutba zao Misikitini Kutaka Mamlaka Kamili ya Zanzibar☪️ Hakuna Mshikamano kwa Wazanzibari bila Mamlaka Kamili ya Zanzibar sio huu Ukoloni wa Tanganyika✝️
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 Ай бұрын
HAHAHAH, DU! YAANI DR MWINYI NI MWEHU! 👁️👁️ ANANUKA DAMU YA WATU 21 SASA ANATAKA AOMBEWE NA DUA🤣🤣🤣🤣
@user-om2ur5by9n
@user-om2ur5by9n Ай бұрын
Quran inaeleza kuwa wafalme wakuu wa Duniani wanapenda Dhulma tuu,kugawa raia na kuwakandamiza wengne bila sababu. Z ID mpk leo vijana hawapewi kisa upinzani na ni haki yake kupewa ndo kutenda haki huku?
@Grataaaaa
@Grataaaaa Ай бұрын
Juzi umegfanya harux miziki kwako ushetani ule nd matendo mazur kweli
@SuhailaMohd-g1s
@SuhailaMohd-g1s Ай бұрын
Umo mskitini mnafanya kampenii
@hafidhhemed1514
@hafidhhemed1514 Ай бұрын
Amani haiweze kuwepo kama hakuna haki.. simamisheni haki amani itakuja automatic... Maendeleo gani, hayo ya kutawaliwa na wageni na maadili ya kizanzibari na ya kiislamu kuporomoka, kisa barabara na majengo? Waislamu tusiwe wanafik
@AhmedSeif-il1xx
@AhmedSeif-il1xx Ай бұрын
Kwani ww niwakundi gani
@AhmedSeif-il1xx
@AhmedSeif-il1xx Ай бұрын
Hatumtaki kamwe
@salyali7807
@salyali7807 Ай бұрын
Sawa sawa hadhi yetu ndio muhimu
@LUBAINAMOHDRAJAB
@LUBAINAMOHDRAJAB Ай бұрын
Haki, uadilifu, ukweli na usawa ndio huleta amani na utulivu.
@SuhailaMohd-g1s
@SuhailaMohd-g1s Ай бұрын
Mnataka mfanye mnavotka muachiwe mkikatazwa bas mtu anavunja amanii...mskitini apo unakua mnafiki
@AbdallahJuma-wb8lq
@AbdallahJuma-wb8lq Ай бұрын
Miskitini,unasema,vyengine,ukitoka,unakua,chui
@salyali7807
@salyali7807 Ай бұрын
Ndio dalili za mnafiq hizo
@abdillahmohd4317
@abdillahmohd4317 Ай бұрын
Allah atuhifadhi
HISTORIA YA WATU WA ZANZIBAR
18:38
Sleyum algheithy
Рет қаралды 2,2 М.
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 94 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,2 МЛН
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН
Now it’s my turn ! 😂🥹 @danilisboom  #tiktok #elsarca
00:20
Elsa Arca
Рет қаралды 12 МЛН
MADEREVA WAKINUKISHA CHAKECHAKE PEMBA HAPAKALIKI
5:31
Tifu Tv
Рет қаралды 1,8 М.
KANGANI WAMUUNGA MKONO DK. MWINYI
6:21
OFISI YA RAIS IKULU PEMBA
Рет қаралды 1 М.
KAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR AWAFUATA WAHALIFU MACHIMBONI MWAO
9:37
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 15 М.
KICHAPO  CHA MZIWANDA KWA MASHIA WAKIWEPO LIVE
15:15
RAMIYA WETU TV
Рет қаралды 7 М.
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 94 МЛН