MOTO KILUPI!SIJAMSAMEHE MANSOUR-AJE AKATAE KAMA MIMI NASEMA UONGO INUKA USEME KILUPI UNASEMA UONGO

  Рет қаралды 6,551

Tifu Tv

Tifu Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 71
@AliMsellem
@AliMsellem 2 ай бұрын
ww fitna tuu ww je huna laana wazanzibar hawataki fitna wala uwongo watu hawataki tena fitna zeni za ccm imeisha munaondoka nyinyi marahihi kwa uwezo wa allah s w
@SuleimanMussa-x5i
@SuleimanMussa-x5i 2 ай бұрын
We mwenyew una lana za wazaz wako na wazanzibar wote
@yasminjuma9146
@yasminjuma9146 2 ай бұрын
ALLAH mpe Afya uzima na barka na umnyooshe mambo yake yote ya kheri. Kaka etu mansour amin yarabi mkamilifu ni ALLAH pekee.
@jombadulla
@jombadulla 2 ай бұрын
huna point
@MohdJumaSuleiman
@MohdJumaSuleiman 2 ай бұрын
Huyu jamaa kaishiwa
@salimsalim-ut4jk
@salimsalim-ut4jk 2 ай бұрын
Tafadhali acheni haya mambo piganieni wananchi wananjaa sana au kwa sababu nyie hamna dhiki
@iddi29
@iddi29 2 ай бұрын
Ah huna maneno abaa
@WakaWaka-eu9ky
@WakaWaka-eu9ky 2 ай бұрын
Ww c mtt wa mjini unaibiwaje sasa llaanatuwwah weee😊😊😊😊😊
@zeharaz4116
@zeharaz4116 2 ай бұрын
Hapo si pahala pakutoleana aibu za mtu ni kungombani Haki za wananchi inaonesha hukusoma ovyoo
@KhamisSeif-t3d
@KhamisSeif-t3d 2 ай бұрын
Wazanzibar wenzangu tujiepushe na mtu kama huyu hafai nawanasihi vijana wenzangu wakati umefika tuchikamane kuikomboa Nchi yetu Zanzibar kwanza
@MkungwaNgwarumbwa
@MkungwaNgwarumbwa 2 ай бұрын
Kumeanza kuchangamka..
@yusuphhamad8494
@yusuphhamad8494 2 ай бұрын
Ww ndio unalaana mzee mzima huna aibu mbizi ww
@sinahajakhamisjuma
@sinahajakhamisjuma 2 ай бұрын
Acheni matus hiosio siasa
@adamstour5736-kb6zq
@adamstour5736-kb6zq 2 ай бұрын
Kuuza kaburi co tatizo eti maana aliyezikwa Tyr ashafika kwa ALLAH na ndio maana panapo makaburi sheria haikatazi kujenga makaazi
@feisalmwinyi2429
@feisalmwinyi2429 2 ай бұрын
Sifikiriii km Mama zng walowepo apo km wanafuraishwaa na uneno unao leta chuki kati ya jamii km mlifanya pmj kumbe mshafanya mingi ok na naona km wakati serekali kuanza kumfuatilia kaka yk kule nugwi 😅
@sinahajakhamisjuma
@sinahajakhamisjuma 2 ай бұрын
Bas naww uza chako Acha choyo hicho
@shariffali-pu4wj
@shariffali-pu4wj 2 ай бұрын
amakweli wwe umeishiwa na lakusem duh bor uende ukafundishwe siasa
@HajiHija-od2db
@HajiHija-od2db 2 ай бұрын
Ccm hizi ndo seraaaa dah, mumeishiwa , hii ni aibu kubwa sana
@Ummuhumeyd
@Ummuhumeyd 2 ай бұрын
Hahahaha kilupi umechoka baba kakojoe ulaleee😂
@AbdulhaamidSoud
@AbdulhaamidSoud 2 ай бұрын
Nyny makaburi mangapi ktk maeneo mangapi ya watu mbali mbali wanaowahuau na wasio wahusu mme yauza kwauwekezeji usii tija.kwa taifa??
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 2 ай бұрын
Saaa hii Siasa au sio mwana siasa huyu mbona ha neni siasa Ana nena mambo ya kawaida ya mtu
@MAPETEE
@MAPETEE 2 ай бұрын
Na wew mwenyewo mpuuzi muongoo
@AminiMuhammed-pi6dx
@AminiMuhammed-pi6dx 2 ай бұрын
Hahahahaha ndio sera izo hahahaha
@AkidaSimba
@AkidaSimba 2 ай бұрын
Kilupi kweli jina.limesibu ndio umesema nini hujaeleweka hapana cha maana ata kimoja ,tafuta hoja siasa c yako kauze kabaisa ukooooooooo
@MsarakaNjara
@MsarakaNjara 2 ай бұрын
Wewe mzee Acha kutoa siri za watu hupiri siasa sio kusengenya watu hizo ni zamba kubwa kumsema mtu mwite na umwambie mwenyewe na mfahamishe jinsi dunia inavyokwenda
@fahmysaid-zw4np
@fahmysaid-zw4np 2 ай бұрын
huna jipya
@ashahamad-mq3iz
@ashahamad-mq3iz 2 ай бұрын
Wewe una laana ya baba yako na Mama yako wacha ufisadi sema ya lilokuketa eti Mansour ana laana wewe una nini wewe mwenye ni tapeli mwizi muuaji mkubwa wewe hujui siasa kazi yako matusi
@mohdahmed5389
@mohdahmed5389 2 ай бұрын
Kweli hakuna wanasiasa bali wapuuzi ndio wengi.unapoteza muda wa watu wanyonge wenye njaa kwa maneno ya kipuuzi ?
@jombadulla
@jombadulla 2 ай бұрын
sasa wamefaidik na nin apo,ccm bwana
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 2 ай бұрын
Hskuna teina muda wa fitna ushamaliza tupo kwenye kizazi cha 2024 sio 1995 hatukuwamini teiina
@SULEIMAN-l8v
@SULEIMAN-l8v 2 ай бұрын
KILUPI SIASA ZA KIZAMANI HATUZIWEZI ACHENI HIZO HUKO SIKO TUNAKOTAKA KWENDA LETENI HOJA ZA KIMAENDELEO
@Ummuhumeyd
@Ummuhumeyd 2 ай бұрын
Penye kaburi unajenga na shida hakuna kasome uijue dini yako
@BonifaceBuliba
@BonifaceBuliba 2 ай бұрын
Zero wa CCM jibuni hoja.
@KhamisSeif-t3d
@KhamisSeif-t3d 2 ай бұрын
Wewe pumba zungumza sera wacha unafiki
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr 2 ай бұрын
Wewe mwenyewe hujielewi tumesoma pamoja toka shule hamna kitu sasa ndosiasa gani iyo kwanikuuza haramu
@KhalidAbubakri
@KhalidAbubakri 2 ай бұрын
Sasa Ivi hawa CCM wako Sawa wenzao Wanasema Mungano Huu tulonao Kwa kua na kodi Ya Mapato kua ya Muungano Inaimiza Zanzibar Kuiuchumi. Hawa wanatwambia Khabari za Kaburi la Babake Mansour. Kama lingekua halijauzwa na ile nyumva zanzibar Ingenufaika na nini? Au Mie ndio sielewi?
@sabrinaali9750
@sabrinaali9750 2 ай бұрын
Huyu bwana anavuruga lakini ccm wenyewe hatujui tunashangiria lakini kama una akili zako timamu huyu hafai aekwe kitako afahamishwe siasa
@Ablahisaid
@Ablahisaid 2 ай бұрын
Hyu ana sema nn huyu km fitinishaji sasa wwamekuhusu nn ww ww mwenyewe unayako kibao
@Khaly-v7c
@Khaly-v7c 2 ай бұрын
Rais mwinyi, huyu jamaa anakutia Aibu, mwambie ajifunze kuongea siasa, huu ni upumbavu anaoongea.
@abubakarahyan9515
@abubakarahyan9515 2 ай бұрын
Hhahaa ccm kwli hmna cha kuongea zaid chyo Na fitna kwn ww una mangipi mabaya au unataka yatajwe hadharani,
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 2 ай бұрын
Hiyo ndo siasa mhuu
@shaybali
@shaybali 2 ай бұрын
ww pengne unalana zaid kuliko uyo unae msema
@WakaWaka-eu9ky
@WakaWaka-eu9ky 2 ай бұрын
Huna swaga wewe we mwenyeo unalaana za kutupwa umeona wapi kaburi kuhamishwa ww mnafik t utajibiwa na koment tu
@abdallasheha4173
@abdallasheha4173 2 ай бұрын
We lanana unayoww
@alijumes3580
@alijumes3580 2 ай бұрын
Hayo maneneno ndio yatatuvutia kweye ccm?
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 2 ай бұрын
Ushaupiga baba…kwa hapa tulipofika ngumu kukuelewa!! Sasa kama alifanya hivyo basi alitaka kujirekebisha basi ndio alijua kosa lake! Sio mbaya!! Unaongea utumbo mzee
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 2 ай бұрын
Acheni siasa za chuki jamani tuungane tulete maendeleo ya nchi. Vipo vya msingi vya kuongea sio kutukanana katka viriri
@nassorally-xi6zh
@nassorally-xi6zh 2 ай бұрын
Huna jipya ww laana zikushukie ifitna ww
@Nassor2377
@Nassor2377 2 ай бұрын
Huyu mlevi hafai siasa huyuuuu ccm hamna watu tena ...huyu analaaaana hayajui yake kupiga miziki ramadhani soo laana
@fadyaseif5271
@fadyaseif5271 2 ай бұрын
Uwongo baba ake kafa yeye mdogo na kafa yeye mdogo na limeuzwa yeye mdogo.wewe ndio unadanganya .chuki weka pembeni.
@HafidhSalum-de5cz
@HafidhSalum-de5cz 2 ай бұрын
Mm nilizani unatoa hoja ya maana kwani kauza kaburi au nyumba ongea mambo ya maana cyo upuzi yeye kauza nyumba hajauza kaburi njaa mbaya
@SaidHamadKhamis
@SaidHamadKhamis 2 ай бұрын
Hizo ndio siasa za kijinga, ongea maendeleo sio maisha ya watu,
@sulemanealisaide217
@sulemanealisaide217 2 ай бұрын
Huna hoja mjomba tunataka hoja unaongea pumba ata mtoto wa darasa la tatu hawezi kuongea pumba kama izi
@Mahirwazanzibar
@Mahirwazanzibar 2 ай бұрын
Acha kudanganya watu akah
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 2 ай бұрын
Huyu jamaa hajui ataa kuongea dah unalinganisha ww na Mansour shenzi sn ww
@SaidaliKhamis-v4p
@SaidaliKhamis-v4p 2 ай бұрын
Ndio kasema nn huyu
@zahormohammed4476
@zahormohammed4476 2 ай бұрын
Watu wa kendwa mliwadanganya wawape eneo mjenge hotel kendwa rock tena mukakubaliana kwamba mutawajengea msikiti vipi mmeshawajengea au mnafululiza kuwafanyia full moon party tu na maasi ya kila aina
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar 2 ай бұрын
Kendwa kwa Ali Kilupi na aliekua Mkewe Mzungu na walinunua Omary hapamuusu pale kwa vile ni Ndugu yake tu
@MUTTRAHCOASTFORREALESTATEBSJ
@MUTTRAHCOASTFORREALESTATEBSJ 2 ай бұрын
Kilupi hahaha kaka yangu wewe wapi na wapi na siasa.. hebu nyamza tukusitiri.. kwanza ungejifunza siasa ..
@alijumes3580
@alijumes3580 2 ай бұрын
Nyinyi munaabud makaburi
@fahmysaid-zw4np
@fahmysaid-zw4np 2 ай бұрын
hhhhh huyu km mjingaa
@Idoman493
@Idoman493 2 ай бұрын
Wewe Cio Kama Ni Mjinga Haswaaaaa😂😂😂😂
@MohammedabdallahHaji-qt7qh
@MohammedabdallahHaji-qt7qh 2 ай бұрын
mansor kidume mfate
@SuhailaMohd-g1s
@SuhailaMohd-g1s 2 ай бұрын
Agh mnataka mlete mamb ya 1995 saiv haiwezekani wazanzibari sio wajinga wajinga ao ccm
@moddy8744
@moddy8744 2 ай бұрын
Upumbavu mtupu fanyie maendeleo mambo ya kijinga kutoleana siri zungumza mambo muhimu
@seifmohd5357
@seifmohd5357 2 ай бұрын
Acha ubaradhuli ww bishana kwa hoja wacha matusi
@nassorally-xi6zh
@nassorally-xi6zh 2 ай бұрын
Toa siasa zako za kijinga ww
@AminiMuhammed-pi6dx
@AminiMuhammed-pi6dx 2 ай бұрын
Hahahahaha ndio sera izo hahahaha
@kadirkhamis7704
@kadirkhamis7704 2 ай бұрын
eti kauza kaburi la baba yke nyie mushatuza zanzibar nzima kwaufupi hamuna hoja za msingi
@AminiMuhammed-pi6dx
@AminiMuhammed-pi6dx 2 ай бұрын
@@kadirkhamis7704 kabisa kiufupi zingejibiwa hoja zinazo ibuliwa na viongozi c kuzalisha mada nyengine tena mpya kabisa
MANSOUR YUSSUF HIMID ATIKISA PEMBA || AMKUMBUKA MAALIM SEIF
14:02
ACT Wazalendo Digital
Рет қаралды 2,1 М.
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 24 МЛН
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 18 МЛН
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,8 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 89 МЛН
DR.MWINYI AING'ARISHA MICHEWENI
8:32
OFISI YA RAIS IKULU PEMBA
Рет қаралды 4 М.
KIJANA WA ZANZIBAR AFICHUA MAZITO FORODHANI/AMEKATWA MASIKIO
11:54
MWIJAKU AMLIPUA HAMISA MOBETTO, KUTEMBEA NA AZIZI K NI UPUUZI
11:42
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
MrishoMpoto
Рет қаралды 200 М.
KADANGANYA
10:21
Joti TV
Рет қаралды 353 М.
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 24 МЛН