Пікірлер
@Babbnjd-u8k
@Babbnjd-u8k 8 күн бұрын
Hiyo ni shirki MUngU hapendi.
@Mohamedinaveda
@Mohamedinaveda 8 күн бұрын
Waza.mamb.ya.maan.nyie
@geraldlaurent6750
@geraldlaurent6750 8 күн бұрын
Mungu mwema sana tutashinda tuwaombee wachezaji wetu 💛💚💚💛
@lovenesdickson1824
@lovenesdickson1824 8 күн бұрын
Huyu anabahatisha tuu.
@NicodemusMemba
@NicodemusMemba 9 күн бұрын
Simba alichoma moto South Africa
@abdalla8193
@abdalla8193 9 күн бұрын
Mungu awalani nyote
@nyavunitv12
@nyavunitv12 9 күн бұрын
Duuuuuuhhhh
@abdalla8193
@abdalla8193 9 күн бұрын
USHIKINA MTUPU
@nyavunitv12
@nyavunitv12 9 күн бұрын
Mmmmm
@olaliaandrea5198
@olaliaandrea5198 9 күн бұрын
Safi sana kila mmoja anafanya anachoweza. Ili Timu ishinde
@King9King9nashon
@King9King9nashon 9 күн бұрын
mashabiki wa wap? yanga ikifunga sababu zinaibuka kumbe yanga inatakiwa ikasimame uwanjani maana kila inapofunga si halali
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 9 күн бұрын
Mungu wetu tunayemheshimu, tunayemuabudu, tunaye mtukuza hatabiri bali anaamuru na anajua kitakachotokea. Tunamtegemea YEYE na ndiye aliye shikilia furaha yetu na usalama wetu. Tunamkabidhi YEYE aliye mtoa ridhiki na matumaini yetu na atatenda yale tunayomwombaga. Amina.
@nyavunitv12
@nyavunitv12 9 күн бұрын
Nimeipenda sana hii comment
@davidchipongo1376
@davidchipongo1376 9 күн бұрын
Mwandishi yaonekana hajui lolote ni mnazi tu
@hassanmwallimu5767
@hassanmwallimu5767 9 күн бұрын
Hawa ndio waandishi wa ovyo wanaosomea vyuo vya mchongo
@hassanmwallimu5767
@hassanmwallimu5767 9 күн бұрын
Sasa pale walikua wamekaa pembeni na ibenge wewe mwandishi kweli mjinga
@kibiritizuberi9361
@kibiritizuberi9361 9 күн бұрын
Tatizo shule
@nyavunitv12
@nyavunitv12 9 күн бұрын
Duuuuuuhhhh
@khamissehel-jr1cs
@khamissehel-jr1cs 9 күн бұрын
hizo ni ramli na ni haraam kabisa acheni mambo hayo
@nyavunitv12
@nyavunitv12 9 күн бұрын
Duuuuuuhhhh
@naomimassawe4855
@naomimassawe4855 9 күн бұрын
acha kusema kitu ambacho sio kweli mashabiki ucwasingizie wachambuzi mchwala ndio wengi na hizo chuki binafsi
@nyavunitv12
@nyavunitv12 9 күн бұрын
Duuuuuuhhhh
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 9 күн бұрын
😂😂😂 points 👉
@AbillaiShabani
@AbillaiShabani 9 күн бұрын
Sawa kk tunaomba mungu iwe ivyo
@nyavunitv12
@nyavunitv12 9 күн бұрын
Kweli endelea kufautilia Nyavuni tv
@kassidpandu866
@kassidpandu866 9 күн бұрын
Mzee afanye na Mazoezi lakini Tumbo hilo aache tu kushabikia upumbavu
@kassidpandu866
@kassidpandu866 9 күн бұрын
kwani nyinyi hiyo Nusu mlifika lini? kama ni rahisi mbona mnashindwa na nyinyi
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 9 күн бұрын
Tatizo sio wachambuzi bali wamiliki wa hizo media. TP.Mazembe,Simba, Belozidad, nk. wote hao wamenunuliwa na Yanga.? Au Yanga mnaifananisha na nini.?
@kassidpandu866
@kassidpandu866 9 күн бұрын
Hujamtaja na Nyuki mbona hamjamnunua na mkanunua ihefu
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 9 күн бұрын
@kassidpandu866 Subirini zamu yenu hamkawii kumweka benchi Manula. Zamu yenu ikifika ndio mtajua tumenunua au tumeuza
@nyavunitv12
@nyavunitv12 9 күн бұрын
Duuuuuuhhhh
@nyavunitv12
@nyavunitv12 9 күн бұрын
Duuuuuuhhhh
@flavianajohn5250
@flavianajohn5250 9 күн бұрын
Huyu naye ni mwandishi wa habari kakaa darasani kasomea na akaomba ajira akapewa bado Kuna safari ndefu
@mariammbwana9018
@mariammbwana9018 9 күн бұрын
Muhandishi kumbe choko
@BarakaNyakuruha
@BarakaNyakuruha 9 күн бұрын
Mi nakuelewa Kaka wengi ni wanafiki timu kubwa huwa inaongelewa vby nasi hatujal ndo maana tunasonga mbele
@tegemeakyangenyenka6111
@tegemeakyangenyenka6111 9 күн бұрын
Mnapenda sana kujitungia,sasa sijui kesho mtasemaje Yanga ikiondoka na point 3,au mtasema ameongea nao, mdomo utawaponza wote waliosema Yanga imeachiwa subiri kesho
@jumaibrahim476
@jumaibrahim476 10 күн бұрын
Wachane baba, hao kina mudi ni mabundi tu, ila tutawanyoosha tu
@olaliaandrea5198
@olaliaandrea5198 10 күн бұрын
Huyu jamaa yuko vizuri sana nampenda sana
@abicotv4897
@abicotv4897 10 күн бұрын
Mzee wa kilinge huwa tunammiss, cjui kwann siku izi hatumuoni
@nyavunitv12
@nyavunitv12 10 күн бұрын
Yupo tukonae endelea kufautilia Nyavuni tv
@GetrudasamsonSengerema-he7ob
@GetrudasamsonSengerema-he7ob 10 күн бұрын
Nyieee Makolooo, tulieni tuwachome sindano nasumuiwaingie, waaambie kaka kwanza kwenyemaludiano sisi atakula tena 5_0 zingine haaaaàa
@Kabelwamalogo-s6c
@Kabelwamalogo-s6c 10 күн бұрын
Yanga chuma
@Kabelwamalogo-s6c
@Kabelwamalogo-s6c 10 күн бұрын
Safii
@ulipotupo247
@ulipotupo247 11 күн бұрын
🔥💚🔥💚
@olaliaandrea5198
@olaliaandrea5198 14 күн бұрын
Huyu jamaa safi sana Mungu ibariki Yangu
@stanlyntenga8701
@stanlyntenga8701 14 күн бұрын
Umetisha mkuu
@fatumahaji-ei5hk
@fatumahaji-ei5hk 15 күн бұрын
Pambania timu yako
@AlfredBowa-b8r
@AlfredBowa-b8r 15 күн бұрын
Nakukubali sana mwamba unaongea ukweli una mbambamba za kindundu
@davisbwatwa115
@davisbwatwa115 15 күн бұрын
mtatufutieni watu wa mpira sasa vyombo vyenu vimekuwa ya veterani
@CHARLESJUMANNE-d3m
@CHARLESJUMANNE-d3m 15 күн бұрын
Ww mwnye tumbo dgo unaakili gan mwambwamwe ww
@MauaGabriel
@MauaGabriel 15 күн бұрын
Wew ndo mgawa utam mech tatu point moja duuh!
@MauaGabriel
@MauaGabriel 15 күн бұрын
Tumbo kubwa akili hauna,yaan unaulizwa swali wew unaleta hadithi,mwenye akili ya jogoo n wew unayeulizwa swali in then unaleta comedy
@AlfredBowa-b8r
@AlfredBowa-b8r 15 күн бұрын
Daa! Mwamba unaongea ukweli sana ndio mana mechi za kimataifa marefa wanaichezesha Yanga kama ipo ugenini,wakati ipo nyumbani tatizo Kalio kumbe undundu tu.
@nyavunitv12
@nyavunitv12 15 күн бұрын
Duuuuuuhhhh
@IzackJackson-p5w
@IzackJackson-p5w 16 күн бұрын
Broo mi nakukubali sana
@nyavunitv12
@nyavunitv12 15 күн бұрын
Ongera sana
@ramadhanichubi9139
@ramadhanichubi9139 16 күн бұрын
Huyo ni bwana nachelea kumuita bwege kwa kuwa namuheshimu.haeleweki anaongelea nini. Blabla tupu.
@ShabaniJuma-u4e
@ShabaniJuma-u4e 16 күн бұрын
Ww ulifutia nn? C ungeacha kumsikiliza
@LilianBitwale
@LilianBitwale 15 күн бұрын
Sasa utamuelewaje wakt we NI koro 😂😂
@JohnMyula-u9j
@JohnMyula-u9j 15 күн бұрын
Acha unafki haongelei kombe la shilikisho anaongelea klabu bingwa subilini wakati wenu wa kuguswa na kuachia zam yenu inakuja usimtusi mtu subili
@JumaMohamed-k8s
@JumaMohamed-k8s 16 күн бұрын
Sawa mzee
@HeryMpinga
@HeryMpinga 16 күн бұрын
Kilinge huna mpinzani
@nyavunitv12
@nyavunitv12 16 күн бұрын
Duuuuuuhhhh
@DieudoneAntony-l4s
@DieudoneAntony-l4s 18 күн бұрын
Nikwr kaka
@mrtezura9753
@mrtezura9753 18 күн бұрын
Waandishi kwakuchokora mhh ila mwamba kajibu swafiiii bila uhasama❤😅😅
@nyavunitv12
@nyavunitv12 18 күн бұрын
Duuuuuuhhhh
@HeryMpinga
@HeryMpinga 19 күн бұрын
Interview ya kikubwa sana
@nyavunitv12
@nyavunitv12 18 күн бұрын
Duuuuuuhhhh
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 19 күн бұрын
Wachomeni sindano dawa imeisha mwilini.
@feruzmbaya36
@feruzmbaya36 19 күн бұрын
Duh usipostaajabu ya mussa utastaajabu ya firauni YANGA AFRICA KUSOMA HATUJUI HATA PICHA HATUIONI ?😊😊 MWAMBA UMESEMA JAMBO