Sisi wanaume Tunaungana na wanawake kusherekea siku juu yao..
@mfinangaexaud3492 Жыл бұрын
Wanawake mmeishika dunia kwa kweli....wanaume tunaparangana huko na huko lakini mama anajua nakula nini na watoto wanakula nini...sauti ya mwanamke isikilizweee