naitwa abiud magenda kutoka mara bunda hata mimi naambiwa kuwa najifanya najua kusema ukweli
@loreenpeterАй бұрын
kaka niko nyuma nakuja pia najisikia vibaya kanisa kenda motoni
@HellenaLupumbwe-he2mgАй бұрын
Kwakweli mtumishi kwa sasa tusimame katika maombi tuu maana hizi ninyakati za mwisho Mungu akubaliki sana pia na uzao wako Mungu asiusahau tuzidi tuu kuombeana🙏🙏🙏🔥🙌
@PendopasilikaАй бұрын
Heeee BABA wee tusaidie shetani anatisha
@PendopasilikaАй бұрын
Ameni ameni
@JustinaBoniphaceАй бұрын
Mtumishi Mungu akubariki kwa huduma
@GoodluckAntony-cz9rtАй бұрын
Kaka mbo wimbo huu tiktoku ujawekaaa
@Mwangi-f1zАй бұрын
Paschal Cassian, Mungu Kubaliki sana ,kwa sababu ya kutwambia ukweli
@propheteAlexandre2 ай бұрын
𝗔𝗺𝗲𝗻 𝗺𝘄𝗶𝗻𝗷𝘂𝗹𝗶𝘀𝘁
@CreverSanga2 ай бұрын
Mungu akisaidie sana aixee unajiamin sana nakukubar sana
@user-ms7jw7hu5l2 ай бұрын
Nashukuru sana unasema ukweli songa mbele utabarikiwa .asante
@Pendopasilika2 ай бұрын
Omba rehema tu kwa MUNGU wako MUNGU ni mwema anaweza kumrudisha
@ZablonMwageni-yq7zx2 ай бұрын
🎉
@Ericsson-dm9zi2 ай бұрын
Napenda msimamo wako pascal umepitia changamoto ila mungu yupo nasi tutafaulu may God bless you abundantly 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@AngerusLijuja-bg6sb3 ай бұрын
Da
@jovettedenise25913 ай бұрын
Nifunguwe Mungu❤❤❤
@mbenatz3 ай бұрын
0:54 ahaaad mbaka Leo hujatimiza
@AndreaMsemwa3 ай бұрын
funguka yote yaliyo jificha utazidi kubalikiwa na Mungu🙏🙏
@DominiqueBymungu3 ай бұрын
Mungu Ata kulinda Mpaka pale mwisho atakapo kuwa muwa mungu mwenyewe paschal cassian
@kasongosiron90413 ай бұрын
Mais pourquoi vous avez enlever les images ? svp remetté Les images de cette chanson Car c'est trop édifiant.et que Dieu vous bénisse
@user-tp5dn3jb9g3 ай бұрын
Moto unawafurahia baba na wanajua kama kuna huku
@user-tp5dn3jb9g3 ай бұрын
Paschal natamani kuimba na we niwe mwana kwaya ngj nitoke omani kwanza
@user-tp5dn3jb9g3 ай бұрын
Nafurah sana tnavymsapoti mungu muumbaji wetu
@user-tp5dn3jb9g3 ай бұрын
Amiiiina niko oman apa
@terrywatahi12034 ай бұрын
Happening in our today's life 😢
@Pendopasilika4 ай бұрын
Eee kweli uliokolewa kwa ajili ya kazi ya kupeleka jumbe duniani kwa wana wa MUNGU barikiwa
@Pendopasilika4 ай бұрын
Kweli umebaki unyakuo mengi yaliotabiliwa yametimia barikiwa kwa kutumiwa na MUNGU katika kipaji alichowekeza kwako bila kumwangusha MUNGU akuinue tu kwa maana umekuwa chachu ya wengi kufunguliwa MUNGU na akubariki sana
@derickkahangwa54055 ай бұрын
Mungu akutie nguvu
@user-xd7fv6yl3o5 ай бұрын
Ukweli ukweli🙏🙏🙏🙏
@HeriethLukind5 ай бұрын
Wa2 hawajui unachi maanisha kwasababu mung hayupo ndan yao
@HeriethLukind5 ай бұрын
Pasco hongera sn me nakubali nyimbo zako
@mercyfulesther40045 ай бұрын
I love all your songs,,,they are spiritual,,and full of truth in today's life
@Pendopasilika5 ай бұрын
Kweli imani ni nguzo barikiwa mtumishi MUNGU wa mbinguni atazame huduma yako pia mtumishi wa MUNGU Paschal MUNGU amzidishia mko vizur sana sauti zenu zinaoana vizur MUNGU abariki huduma zenu
@Pendopasilika5 ай бұрын
Kweli kabisa kama ipo nifungue inatakiwa kuomba kujua kosa ili uanze kuombea hilo jambo linalokusumbua aaah wimbo mzur sana huu nimeipenda❤❤❤❤❤❤
@user-pg4mx8vc5w6 ай бұрын
Ucjali baba tunakuombea
@TwitikeMwakyonde5 ай бұрын
Tunafunga kwajili,yako,ubalikiwesana,mtumishi
@daviesoscar16036 ай бұрын
Mungu ni mkuu sana hakika
@Mikeallyradjubu6 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@user-ce6yl9og1z6 ай бұрын
Asante sana Kwa kusema ukwel mungu akubal
@asminmakoha68897 ай бұрын
Waa MUNGU wangu 😭😭
@MariaDimaria-dd7gn7 ай бұрын
Mthandeni
@user-jb7kj9iz2m7 ай бұрын
Mungu ndo sababu ya maisha yako wao watakutafuta hawatakuona hapo uripofikia nikusudi ra mungu utakura nya kufuswa rakini hutazurika amin
@johngatsi53217 ай бұрын
How did he know that the anointing oil is out of burned private parts if he's not among them?
@JoelCharles-mv4zb7 ай бұрын
Video ya nyimbo hii huwa naitafuta ila sijawahi kuipata