Nifungue nifungulie milango mungu ,niwapi nakosea nifungue baba mwingi wa rehema asante paschal mungu mwenyezi akulinde
@janetwilson324 жыл бұрын
Ameeni,nimekosea wapi Mungu Kama ipo naomba na mie pia nifunguwe🙏🙏, na me nataka nijuwe wapi nakosea🙏🙏 Barikiwa sana mtumishi wa Mungu,
@user-dx5wo8dy9g5 ай бұрын
Ameen. Ameen
@vivianponsian81884 жыл бұрын
Oooh mungu Wangu nimekosea wapi mimi nitazame mimi nipate Mme nami nifunge ndoa mbona Kama kuomba nimeomba Kama kufunga nimefunga eeh mungu nitazame ubalikiwe sana kaka paschal kassian nakupenda sana kaka angu mungu akuinue Kwa Hali ya juu nataman nikae naskiliza nyimbo zako amina ubalikiwe
@immaculateingaizuondiege23210 ай бұрын
😔😔😔Mungu atufungulie Aky kama tymekosea aturehemu atujzlie wachumba pia sisi
@user-dx5wo8dy9g4 ай бұрын
❤❤❤❤
@nduyehgechanel84765 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu Casian ubarikiwe sana kwa nyimbo zako
@Pendopasilika4 ай бұрын
Kweli kabisa kama ipo nifungue inatakiwa kuomba kujua kosa ili uanze kuombea hilo jambo linalokusumbua aaah wimbo mzur sana huu nimeipenda❤❤❤❤❤❤
@barnabastanford35005 жыл бұрын
Nimekosea wapi mungu wangu kama ipo nifungue mungu wang hakika hujafa hujaumbika mungu nifungue na umponye mtumishi wako cassian
@halimageorgesanga10185 жыл бұрын
Kweli Nifungue Mungu wangu nilipokesea
@joycehaule26535 жыл бұрын
Barikiwa sana pascal ,umenikumbusha mbali sana njia nilizopita mpaka nisema Mungu wapi nimekosea nijue
@sadrinasadrick45405 жыл бұрын
eeeee mungu nifungue nijue ni wapi nimekosea au ni laana za ukoo au walimwengu nifungue mungu ;;;;;;;;;;;;;; barikiwa kaka mungu akutie nguvu kitk kipindi hiki kigumu najua ni mapito tyu
@aganzemukongomani2723 жыл бұрын
Viema Sana! Uyu baba abarikiwe
@johnkichamu92863 жыл бұрын
Ndugu Paskal umenijenga,Mungu akukumbuke
@onesmomustafamushi73925 жыл бұрын
hujafa hujaumbika kila mwenye mwili ni lazima apate maumivu kwa namna yake ndo uhai utoke mana sisi ni mavumbi na humo tutarudi amin
@agapemwamakula23954 жыл бұрын
Amen
@fadhilihaule23179 ай бұрын
Ahsante pascal ubarikiwe Amina
@mawazonendjo97654 жыл бұрын
Nimekosea wapi mungu wangu nifungue yesu wangu ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@alphamsigwa28153 жыл бұрын
Nifungue
@azizchui72325 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana ubarikiwe happy ulipo Allah AKUFANYIE WEPESI ktk maradh yaliyokupata Pascal
@patrickoluoch13206 жыл бұрын
kibao kisafi sana kaka I love your songs brother continue with that spirit and u will be blessed.
@rehemaedward79973 жыл бұрын
Kama IPO nufunguwe Mungu wangu 😭😭😭nimekosea wapi Mungu nifungue
@lilianndibalema970810 ай бұрын
Ubarikiwe sana 🙏🙏 naendelea kufunguka kaka
@ostazclassic33705 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana God bless you kama ipo nifungue
@stevelayda85555 жыл бұрын
Nifungue Bwana Yesu. Barikiwe sana mtumishi. Get well soon brother
@helenamasinjisa84705 жыл бұрын
amina mtumishi, nimekosea wapi mungu wangu nifungue, amina amina
Naomba unifungue MUNGU wangu nimekosea wapi baba 😢😢
@blessedyvonne62174 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi ,nimekosea wapi nami mungu wangu Kama ipo nifungue naomba eeh baba
@pamelaadagala69065 жыл бұрын
Nifungue Mungu. Be blessed bro n Glory to God for restoring your health
@lilianndibalema97082 жыл бұрын
Nifungue mungu watoto wangu wapate riziki ubarikiwe Sana kaka mkubwa nyimbo zako zanitia nguvu
@fatmafa18965 жыл бұрын
Amen nifungue mungu baba nami nikuone kweli maana nime teseka muda mrefu Sana Lakini najua kwako yote Yana wesekana hakuna jambo Lilo ngumu la kukushinda kwa Jina La yesu Kristo aliye bwana na mwokozi wetu amen
@agneskhakali20695 жыл бұрын
Ni laana, mikosi au kunenewa mabaya.? Kama hivo nifungue Mungu nani nijue natamani nikuone Bwana. Amen
@carolineokonya74495 жыл бұрын
Kama iko mungu nifungue mungu niweze kujaliwa na ndoa mungu wangu sikia kilio changu am blessed with your songs continue to uplift you
@user-de9gf2wi9o8 ай бұрын
2023 nipo nabarikiwa na wimbo
@rosemwoleka53254 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wewe ni mwamba wenye madini lazima uchoronge tunakupenda Arusha karibu sana
@user-mx8on4kk3z10 ай бұрын
Makanisa yanangamia ila injili unayo unayoieneza inaokoa ulimwengu na Dunia nzima kwa ujumla Mungu akusaidie ndugu
@grace27572 жыл бұрын
Amen nimekosea wapi Mungu weee kama hipo nifungue 😭😭😭😭😭
@emmanueljackson9334 жыл бұрын
Wapi nakoseya mungu iko poa sana
@millyjohnson76313 жыл бұрын
Nifungue mungu wangu kwa mikono ya wadui
@peternelson8693 жыл бұрын
Nakupenda bro
@peternelson8693 жыл бұрын
I love you so much
@mwanaidmaulid12453 жыл бұрын
Amina barikiwa sana Pascal
@sarahijumba44943 жыл бұрын
Mungu azidi kukutumia mtumishi
@theodorannko9809 Жыл бұрын
Mungu akubarik mtumishi
@michaelmzigili9 ай бұрын
Barkiwa san mtumish wa MUNGU
@maglindaanyango7 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢aki nifunguliwe.amen barikiwa
@lucasmsemwa24945 жыл бұрын
nmekosea wapi mungu wangu nifungue
@omanhamra91534 жыл бұрын
Hakika Mungu atanifungua ila sisubutu kwa mganga wa jadi,,, ubarikiwe kaka kwa utunzi wanymbo zako nafarka sana napatanguvu nisikilizapo Amen
barikiwa sn mtumishi kwa wimbo wenye maana na funzo kwetu wanadamu nifungue mungu
@matikostephano45 жыл бұрын
nifungue nami MUNGU nimekosea waaapi
@gracealexander53095 жыл бұрын
mungu wetu wambingu atatufungua tuni mwaminifu kwakwe mungu wetu hatuna linalo shindikana atajibu kwa wakati wake ukifika hakuna wakuzuia kwa imani naani atafungua tu njia pasipo kuwa nanjia atafanya njia kwa wepesi tu Ameen
@jovettedenise25912 ай бұрын
Nifunguwe Mungu❤❤❤
@user-oi6sv4qq8l Жыл бұрын
bado ni bado si bule mungu atakujalia afungue yote akufikie
@dickmkude31515 жыл бұрын
Mungu akubari sana munjiristi na akuponye kwa uwezo na mamlaka take, nasimamia MATHAYO 10:2-6
@marysamba99824 жыл бұрын
Stay blessed , nyimbo inabariki na kufariji sana
@graceshayo57635 жыл бұрын
Hongera sauti nzuri Mtumishi wa Mungu
@jamesedward23995 жыл бұрын
Amen barikiwa Sana mtumishi kwa ujumbe mzuri
@salvatoryconfidence35435 жыл бұрын
Wimbo ni mzur sana barikiwa sana Mwenyezi Mungu kiukwel akuinue sana,umegusa sana maisha yangu
@rukiazavery43454 жыл бұрын
Salvatory Confidence nifungue mungu wangu
@yasintawilliam94755 жыл бұрын
Nimekosea wap mungu wangu nifungue
@majaliwambeshi31624 жыл бұрын
Nyimbo yenye maneno safi kabisa
@sanifhesro21695 жыл бұрын
Barikiwa saaana Mtumishi wa Mungu
@lydiaaruba66705 жыл бұрын
Nakosea wapi Mungu wangu nifunue Baba😥😥😥😥
@rithakisakeni12515 жыл бұрын
Mungu ulieruhusu magonjwa ya mpate mte mtumishi wako naamini utaruhusu nauponyaji kama ulivyo ingia ugonjwa na uponyaji uruhusu
@jackrinaman75215 жыл бұрын
Mungu wap na kosea nifungue kama kuomba naomba sana mungu nifungue
Where am done wrong my God......😭😭🙏 Get well soon my dear
@hosianyumba25865 жыл бұрын
Barikiwa sana nafarijika na huu wimbo 2019
@nyasahause34595 жыл бұрын
Nimekosea wapi mungu nifunguwe
@elizabethgwitaba33295 жыл бұрын
Amen.......nifungue Mungu wangu
@awezaemialano87715 жыл бұрын
Nice songs ubarikiwe
@mathiaswande29764 жыл бұрын
Nyimbo za Pascal zinanikoshaga roho yangu hatariiiii.......
@tinadavid79535 жыл бұрын
Nifungue mungu wangu
@paulinapaulo75915 жыл бұрын
Nimekosea wapi Mungu wapi? Mungu wangu nifungue.
@mbarikiwalazarowatisa20864 жыл бұрын
Nifungue baba Mungu
@bakarichikeke7765 жыл бұрын
mungu akuponye mwamini mungu utapona nitakuwombe akwamungu mungu akurinde xana ukouriko
@rosemarykenedy40345 жыл бұрын
Huu wimbo umenigusa aki
@samwelmilembe67783 жыл бұрын
Ubarikiwe
@sudiamwisa27135 жыл бұрын
mungu anakutumia kutufungua wengi tulijisahau ubarikiw cn
@emmymgotta88305 жыл бұрын
Nimejifunza kitu sana kupitia wimbo huu salutu kwa cassian
@emmyshapwata5162 Жыл бұрын
Wimbo mzuri
@florayusti38772 жыл бұрын
Mungu yupamoja
@makeloadam80895 жыл бұрын
We ni mkali mungu akutunze
@nosyambembela28665 жыл бұрын
Barikiwa na wimbo mzuri
@asiahjackob59375 жыл бұрын
Mungu akuponye mtumishi
@mariyaal53665 жыл бұрын
Keshapona Mungu ni mwema
@ndayisengajoselyne78465 жыл бұрын
amenasana nimrkoseawapi mungu nifunguwe kamanitananifunguwenikuonenammi
@RomwardWM5 жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi Paschal kila nikikuona natamani walau siku moja anikutanishe na mtumishi kama wewe walau nipate maneno ya faraja , nitafute hata kwa namba hii 0677991687
@malindisamwel41444 жыл бұрын
Kaz nzur
@godsonanthony60246 жыл бұрын
Nifungue... Amina
@pastorheri24285 жыл бұрын
Kama ipo nifunguwe mimi nijuwe😭😭😭
@mbogomhandus62163 жыл бұрын
Kweli kaka umenikumbusha mbali san
@mariyaal53665 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@irinenabwire98423 жыл бұрын
Good work may the Lord bless you more
@user-dx5wo8dy9g5 ай бұрын
❤❤❤
@mwakasegeshukuru37204 жыл бұрын
Nakosea wap Mungu wng,kama ipo nifungue
@jonathanbrightstar90493 жыл бұрын
Khaaaaaaaa
@mateimfoy93855 жыл бұрын
Nifungue na mi mi yesu
@febroniachengula98183 жыл бұрын
Nam nifungue bwana
@beatricejohnsonjohnsonmutu31655 жыл бұрын
Nimekosea Wapi Mungu nifuguwe😭😭🙏🙌👏💞💞💟☝👍
@modestaabeli33895 жыл бұрын
Ee mungu tumekosea wp ebu tufungue ili tufanikisha ktk maisha haya AMEN👏❤
@zacchaeusmirera54925 жыл бұрын
Nimekosea wapi Bwana mimi???
@stanislastv37866 жыл бұрын
Amen kaka
@paschalinamoshne62283 жыл бұрын
video wa huu wimb haujatok eh
@julliennenaomi6156 жыл бұрын
Mubari kiwe kwawimbo muzuri sana
@paschalcassiancassian11086 жыл бұрын
aaaaamen
@ostazclassic33705 жыл бұрын
Nimekosea wapi mungu wangu
@miriamumtawa14495 жыл бұрын
Amina Mungu atufungue
@stevenkipara93105 жыл бұрын
Mg’ang’anie Mungu atatenda usichoke kumuomba
@subirajosepha26535 жыл бұрын
Nimekosea wapi mungu wangu nifungue .wakati mwingine ninahisi kama si binadamu nikiangalia wenzangu wanazaa watoto wengi tena wazuri