Blessed by your songs from kenya machakos county be blessed man of God
@sylvestercharles35855 жыл бұрын
Mungu akuponye kaka.... Roho ya mauti na ihame kwako kwa jina la Yesu.
@NAZARENAMUHEMBANO15 күн бұрын
Hakika tutalia hasa tunaokufuatilia. Na kusikiliza ujumbe wa mungu kupitia nyimbo ubarikiwe sana
@emmachokonoa66394 жыл бұрын
Umetisha kwa nyimbo Kali
@joycemanyuka77385 жыл бұрын
Kaka yangu kipenzi Nimejikuta natoa machozi PASCAL yupo Mungu katika maisha yetu, IPO siku moja Mungu atafanyika kua mtu wa nne kwako kama alivotokea katika lile tanuru LA moto.
@rachelmsuya62635 жыл бұрын
Mungu akulinde kaka hutakufa kwa jina la Yesu naikemea roho ya mauti ishndwe kwa jina la Yesu.
@bethllyimo22815 жыл бұрын
hakuna lisilo wezekana kwa mungu
@witnessmonyo1135 жыл бұрын
Tunamshukru mungu sasa umepona
@solomonmpaji6811 Жыл бұрын
Ni hatari mkianza kuimba hivo tayali mmeshaa jua siku yenu ya kufa mnajitabiliya kifo kwanini mpaka sasa hamjui kwamba mdomo ni mbaya?umeniskitisha Sana bwana paschal najuwa mkishaa Imba hivo mwaka hauishi.kama nihofu tu Mungu akulinde mtumishi wa Mungu.Cassian unapendwa na wengi ila nyimbo hii imewashangaza sana
@rachelkhavere15325 жыл бұрын
Music industry has been my big surprise, kila mwanamuziki aimbapo kuhusu kifo inabaki kafa. Godzilla, Sam wa ukweli ,Masongange, kanumba. Bali wewe mungu ha kuku bali ufe maanake yuakupenda sana,God is happy how you preach the gospel, have strong Faith soon atakusurprise adui zako wabaki kushangaa, lazima ushuhuda uutoe paschal. Twakupenda sana en u will be ok.
@derickkahangwa54056 ай бұрын
Mungu akutie nguvu
@Pendopasilika6 ай бұрын
Eee kweli uliokolewa kwa ajili ya kazi ya kupeleka jumbe duniani kwa wana wa MUNGU barikiwa
@danielyfwalogospelartist82514 жыл бұрын
Umeandka Baba ujumbe nmeupenda
@josephinemwambe33852 жыл бұрын
Twakutakia mema mtumishi wa mungu na uishi kusambaza woman wake mungu ulimwengu mzima
@jacklinelyimo74075 жыл бұрын
Pole sana mtumishi jipe moyo Mungu atakuponya usikate tamaa
@maglindaanyango Жыл бұрын
Amen amen amen
@marylingean76376 жыл бұрын
Very nice song Pascal, although I do not understand the language but my soul understands it because my soul rejoices and praises BWANA WANGU. ASANTE MUNGU BABA. I also love Atapita I believe is about that young woman who lost her husband and was evicted from her home with the kids. Everyone in that video plays their part with so much feelings and emotions. ASANTE Pascal JEHOVAH'S blessings be upon you and yours. From the USA I hope one day to visit that beautiful country of Tanzania if GOD permits. I shall then see you face to face and there are others that I hope to see. May GOD bless me and answers my prayers. Ameni Ameni Ameni
@georgemwaduma80535 жыл бұрын
Oops!!this man is very sick!!he is singing a sad song!!about his death!!that people will cry for him....!!he has asked for the help for his treatment!!I think no respond!!he is somehow disapointed and think negatively.
@avelinaswai75725 жыл бұрын
Mungu akuponye kaka yangu.Roho ya maut tunaikataa kwa jina la Yesu
@yasintaswahasni47475 жыл бұрын
Usikate tamaa Mwenyez Mungu yupo pamoja ba weye broo
@yohanajackson44504 жыл бұрын
Ubarikiwe PASCAL Cassian kwa Wimbaji
@refereetrainingcamp89825 жыл бұрын
Amina Mtumishi Mungu yuko pamoja nawe
@GoodluckAntony-cz9rt3 ай бұрын
Kaka mbo wimbo huu tiktoku ujawekaaa
@abilykamgisha97005 жыл бұрын
pole sana kaka yangu naamini mungu atakuponya
@kiruimatep10225 жыл бұрын
Mungu atabaki kuwa mungu
@helenamasinjisa84705 жыл бұрын
ee Mwenyez Mungu akuponye kwa jina la Yesu
@pastornyundo18353 жыл бұрын
Safi good
@nurumambovphelman78525 жыл бұрын
Myezi mungu akuponye
@jessicafondamentale20443 жыл бұрын
Napanda sana nyimbo ya pascal
@zawadianagabriel97686 жыл бұрын
Amina amina mungu akuponye upesi mtushi
@mwakalingaayubu88256 жыл бұрын
Kaka pole sana kaka angu ila kikubwa muamini baba yetu yupo na anatupigania Mungu akubariki sana na amini umepona kwa jina la mwokozi wetu Yesu kristo anaehakikisha usalama wetu ubarikiwe mnoo
@johncharles11805 жыл бұрын
BWANA akuponye mtumishi
@danielkiwanga28535 жыл бұрын
We pole sana brother unapona kwakuwa Mungu yupo
@tedkadenge57145 жыл бұрын
tunakataa roho ya mauti kwako ..katika jina la yesu
@masumbukomanyara13595 жыл бұрын
Hilo nijaribu mtumishi wa mungu maandiko yanasema mpingeni shetani nae atawakimbia bwana akuponye kwa neno lake isaya 53:5,pole
@tumainihasheem44435 жыл бұрын
Jamani wimbo umenitoa machozi mungu atakuponya
@neemakulwa81685 жыл бұрын
Mungu akuponye kwa jina la yesu na kama ndiye kaliruhusu bas likapate kutendeka
@mwambinguphilip556 жыл бұрын
Paschal studio gan hio bro iko sawa
@fibimshongo47585 жыл бұрын
Mungu akupe uhai
@vesitinalevocatus48866 жыл бұрын
nakupendasama Pascal mungu akubariki
@annajustine51045 жыл бұрын
Hakika kufa mtakufa!! Kupata neema yakupewa wimbo na Mungu. Mapenzi ya Mungu yakatimie kwa mtumishi wake!!
@victorcephas36186 жыл бұрын
Uzima na mauti vimo katika ulimi, ni vizuri kuimba jumbe za uzima. Waimbaji wengi walioimba kifo wamekufa ksbla ya wakati. 1. Angela Chibalonza 2. Remy Ongala 3. Apostle Deo 4. Fanuel Sedekia n.k "Sitakufa Bali nitaishi niyasimulie matendo ya Mungu"
@suzanamlaki86176 жыл бұрын
We vipi siku ikifika imefika usiwe na mawazo potofu
@tunzakingdom31716 жыл бұрын
kifo kipo lazima tukumbushwe uzima ni WA muda tu.
@noellazaro46885 жыл бұрын
Victor Cephas nduguyangu napenda kukujulisha kuakuf anifaida nakuishi nikristo. balikiwa sana
@newbornhaule16355 жыл бұрын
Kwani walipangiwa miaka mingapi hao
@estersulle9835 жыл бұрын
Victor really u took
@gidionezekia14684 жыл бұрын
Nikwer itakuwa uzuni kwa wale watakao baki ila jua Kuna tumaini ambalo nila milele baada ya kivo cha mwili Kuna maisha mengine
@raybenson90625 жыл бұрын
Mungu akuponye mtumishi bado tunakuombea upone haraka.
@angelherman54645 жыл бұрын
Usijitabirie kufa pascal tabir uzima kwa jina la yesu
@yasintamartin34265 жыл бұрын
noooo Pascal hautakufa kiri ushindi mwamini Mungu
@veronicamalimi29515 жыл бұрын
ktka jina la yesu mungu akupenye
@agnesbo88125 жыл бұрын
Pascal mungu awezi kukuacha peke ako amini ipo cku utakua mzima maradhi yataisha mwilini kwako
@priscamboya64225 жыл бұрын
Brother nafuta roho ya mauti juu yako, roho ya kukata tamaa naifuta kwa Damu ya Yesu ,hakika Hakuna silaha itakayoinuka kinyume chako itakayofanikiwa, Yesu Kama alivyomwinua Ayubu ndivyo Nawe atakuinua,mama paschal Yesu akupiganie na kukupa nguvu ya ushindi nyingi ni washindi zaidi ya washindi kuna Sehemu Mungu anawafundisha hivyo Mwambie Ahsante hata Kama ni mabaya sema Ahsanteeeeee Yesu
@davyadamsontz5 жыл бұрын
huwezi kufuta kitu ambacho mwenyewe hajaamua kufuta
@joelnyangwa35235 жыл бұрын
tunakuombea kwa mungu alie juu,shetani hatakugusa, kwa jina la yesu uishi daima
@aminamrisho98255 жыл бұрын
😤😤😤😥😥😥usikate tamaa mungu atakuponya kaka roho ya mauti ishindwe
@josephpesa51926 жыл бұрын
Ameeeen mtumishi ubarikiwe sana
@marthacharles81515 жыл бұрын
Usiimbe hivo au unasiri gani, nzito adi ujitabirie hivo, kwaimani utaishi Amina.
@bernadethamadito56475 жыл бұрын
No pascal bado tunakuhitaj na huyo pepo ashindwe katika jina la yesu eee mungu mtiye nguvu ya uzima amin
@danielyfwalogospelartist82514 жыл бұрын
Naomba namba Zako Baba pls na Mungu atakubaliki
@mosesg.pendael83815 жыл бұрын
Paschal una shida sana....kwann kila wimbo wako unajitabiria kifo????? Kama unajua unayoyasema yana nguvu kuliko Nguvu iliyo ndani yako KWANINI UNAYASEMA?????....kwann unaamin wengi watalia wkt umeona kwenye ajali yako hakuna anaekusaidia!!!!!!....Paschal, jizuie kuongea mambo mengine. Yule nani yule aliimba wimbo wa Swahiba.....aliuandaa vzur kwa maziko yake, LKN NANI ANAMKUMBUKA TENA???? Acha kuwa mnyonge.....embu jitabirie mambo mazuri yenye tumaini. KAMA NI LAZIMA SANA UIMBE MAMBO YA KIFO BASI IMBA ALIKUFA ILI TUWE NA UZIMA, ALITEMEWA MATE NA KUUWAWA ILI KUUFICHA UHAI WETU MBAVUNI MWAKE......IVO!!!!! Jizuie. Jipe mipaka. Uuuuuughweee, .....Cassian, please!!!!!! Usifanye watoto wako kuambiwa maneno magumu kuwa BABA YENU ALIJITABIRIA KIFO....ALIJIFANYA KUWAIMBA FREEMASO!....pliiiiiiz....kama huiamini nguvu iliyo ndani yako ACHAAAA!!!!! Nimeandika ujumbe mrefu na kwa hasira sbu najua hii ni page yako na unatakiwa kusoma wewe!!!!! USIUTWEZE AIBU UKRISTO. MKRISTO HAAMINI KUFA. SITAKUFA BALI NITAISHI. SITAKUFA MPAKA MUNGU ASEME. NITAKUFA NIKIWA NA UMRI TIMILIFU. KWANINI UNAOGOPA????? Wewe sasa hivi unatakiwa kwenda India kupata matibabu. Nimesikia Clip ingine unalaumu madaktari.....kwanini???? Unalaumu Msechu, unalaumu Ritta, WHYYYY????? Unaonaje kwenye Clip iyo ungeongea na mzee Mengi na kumwambia baba nisaidie nikatibiwe....au Mh Rais!!!!! ACHA HIZI MAMBO CASSIAN. JIZUIE, PLIIIZZZZZ! Tunajua unaumia.....tunaumia pamoja nawe....LKN USITUVUNJE MOYO. MOYO ULIOCHANGAMKA NI DAWA. ACHANA NA MISIBA ROHONI MWAKO. TUNAKUOMBEA UZIMA....!!!!
@annajustine51045 жыл бұрын
Moses G. Pendael Amen, amen..Mwenye haki wa Mungu ataanguka Mara saba na kusimama Tena
@lisutundu9995 жыл бұрын
utapona kwa jina LA yesu amina
@phinranmkongo80706 жыл бұрын
Jitie imani, na urubu sana, kuishi ni uwamzi wa mungu, kufa pia ni uwamzi wake mungu, jipe imani mungu yuko pamoja na wewe.
@monicahchepkorir82086 жыл бұрын
God is full of grace for which we are adoned
@khatijaitla.safisanaa19915 жыл бұрын
Mungu nimwema utapona
@loycemanyandi77795 жыл бұрын
Jipe moyo kaka ulimwenguni tunayo dhiki lakin sisi ni washindi kwa jina la Yesu
@zawadilubani54015 жыл бұрын
Loyce Manyandi ishindweee rohoo hiyoooo
@safinaamo21835 жыл бұрын
Hutakufa Bali utaishi
@aloyceveronica67986 жыл бұрын
Mungu akuponye mpendwa wasemao vibaya waaibe
@claralassonn88335 жыл бұрын
Mtumishi unakili kwa kinywa chako msiba wako izo pesa unazo lecodia jitaidi ziende kwenye matibabu usikate tamaa kiasi iki ata kama wamekuacha mungu atakuinulia mawe na ukiona mwanadamu amenyamaza mungu anataka kujitukuza mtazame mungu usiluhusu uchungu kaka ukatawala moyo wako kama mungu angepanga ufe ungekufa sikubile ile ila anataka kukuinua anapepeta makapi kwanza kujua mtu na kutambua rafiki wa kweli kwako ni nani
@jeremiahkinyanjui85655 жыл бұрын
Mungu akupe uponyaji was haraka mchungaji urejee kijiweni😥
@devothaignatus59115 жыл бұрын
pole sana
@bossinnongawesaki49055 жыл бұрын
amini umeshapona ... pepo LA mauti limeshindwa mtumishi
@evarynedeus84266 жыл бұрын
Kaka angu nakuombea uponyaji katika jina la Yesu
@charleslucas99944 жыл бұрын
Kwanini umeimba nyimbo hiii? Umefikilianini uzuni sana,
@stevesampasa68855 жыл бұрын
Kk mbona unajihukumu kk siopowa
@magabilomasambu4465 жыл бұрын
Huyu mtumishi anaonekana kufahamu siri ya kifo chake kitakavyokuwa,anaonekana kuwa na Jambo analolijua juu ya maisha yake atanisamehe lakini anaonekana pengine amewahi kufanya maagano fulani ambayo sasa masharti yake yamekuwa magumu na sasa anajinasua lakini hana uhakika kama ataweza kujinasua ,Mungu akusaidie akuokoe akuponye na akuepushe juu ya hayo ,nimefuatilia sana nyimbo zake anafanya Kama alivyokuwa akifanya marehemu Kanumba ambaye alianza kuonyesha siri za Mafree mwisho akaondoka katika mazingira ya ajabu Sasa nayaona kwa ndugu yangu huyu akitembea kwenye njia zilezile Mungu amuhurumie kama aliingia huko sasa ameshindwa basi asamehewe hata mazingira ya ajari na wasiwasi ilikuwa wamng'oe pengine moja kwa moja hata anapoeleza mazingira anayouguza majeraha na mkojo anaonyesha kwamba anapigana na vita kali ,Mwenyezi Mungu ampiganie
@singosingojr62105 жыл бұрын
Mwombe Mungu atakuponya tu. Kwani Mungu anasikia maombi na kujibu kwa wakati wake. Usidhani kwamba amekuacha. Bado ana mpango na wewe.
@singosingojr62105 жыл бұрын
Jipe moyo kaka Mungu yuko pamoja nawe na atakuponya kuwa na imani.
You will leave to declare God's grace and preach the gospel in Jesus name
@PastorObedChikoga5 жыл бұрын
hapana mimi nakataa hiyo roho ya mauti kwa jia la Yesu na sijui huu wimbo uliimba waakati umepata ajali au la.
@nshonabdll93635 жыл бұрын
Usijitabir tafadhal kaka
@barikisaid10075 жыл бұрын
mungu akuponye
@immahjohn36823 жыл бұрын
Iko muzuliii uko Gudi
@winnyjulius26905 жыл бұрын
dah kaka kemea hiyo roho jamani
@nabiiashermgani75236 жыл бұрын
Mshukuru Mungu kwa kila jambo
@deecutegal42615 жыл бұрын
Daaaaa..,
@sharonyasin75215 жыл бұрын
hivi wewe umeokoka au??kwanini unakili udhaifu,kwanini unakili mauti,usije ukala matunda ya kinywa chako.Be strong bwana tamka UZIMA kwa jina la YESU KRISTO
@vumiliasaimon18915 жыл бұрын
nafuta maneno hayo kwa jina LA yesu omba lehema kwa mungu mungu hakosei jambo kwani ulitaka usipite kwenye majabu we we no mtumishi was mungu unajua naneno yanaumba futa
@emmanuelmsangi6455 жыл бұрын
Kuimba nyimbo wala sio kosa nanineema MTU kuipata ya kutoa ujumbe kabla ya kutoka pumzi upo vizuri
@timothmhangwa43295 жыл бұрын
Emmanuel Msangi Asante Dady kumbe umemwelewa vizuri sana maana wengi wanakemea roho ya mauti ila yeye anatoa ujumbe kwa jamii.
@ryobanyanganyi94826 жыл бұрын
safi
@izraeljacob54595 жыл бұрын
Kwa jina la yesu haitafanikiwa
@nicetw0116 жыл бұрын
MUNGU akujalie uponyaji wa haraka katika jina la YESU Kristo.
@cosmasimuhofu33955 жыл бұрын
Nakuombea mungu akuponye mtumishi jipe moyo nimapito pore namaumivu mazito mungu anakuona natakusaidia ame
@marthacharles81515 жыл бұрын
Duuuh huuuwimbo unatoa machoz
@teklamahenge52125 жыл бұрын
Kweli kabisa
@albertludago73745 жыл бұрын
Uzima na mauti vi ktk ukiri wako ukitaka uzima utapata lakn pia ukitak maut itakufuata, sion sababu ya ww mtu wa mungu kujiimbia nymbo za kujiombolezea au hujui Mungu bado ana haja na ww achana nymbo hzo kk
@hosianyumba25865 жыл бұрын
Usiruhusu roho ya umauti matatizo tumeumbiwa sisi lazima uyashinde mtumishi
@amocynyamwanji99165 жыл бұрын
Mola yu pamoja nawe kaka Pascal ataachlia uponyaj maana yeye akuna lnalomshnda ukmtegemea
@amospius61833 жыл бұрын
Polee saana ndugu yetuu.
@pairotpauro80775 жыл бұрын
H
@neemasimon77205 жыл бұрын
Hautakufa Bali utaishi Kwa jina la yesu
@saraisacc60555 жыл бұрын
Roho za mauti zishindwa kwa damu ya Yesu..usikiri udhaifu.. mdomo unaumba
@frankoctavian74105 жыл бұрын
Paschal but why umekata tamaa hivyo, mungu yupo
@frankmnale19005 жыл бұрын
Mbn nyimbo za uzuni banae imba na za fraha, hizo zinakatika tamaa ya kuishi duh!
@meryngondo14305 жыл бұрын
isaya 43:18
@dyanatanz65746 жыл бұрын
Kemea roho ya maut pascal ona sasa unavo teseka
@jeremiaabel89385 жыл бұрын
Dyana Tanz usivujike moyo mung u pamoja nawe kaza mwendo
@dyanatanz65745 жыл бұрын
@@jeremiaabel8938 sivunjik ipo sk na mm mungu atajib maomb yang
@lemykagozi53055 жыл бұрын
jamani roho ya mauti toka
@margarethsaramaki11005 жыл бұрын
Devil is a liar!!!
@godsonanthony60246 жыл бұрын
Ufunuo wa Yohana 14:13
@augustinemosha82465 жыл бұрын
Ivi nyie mnaomkemea hamjui katka jaribu ndio ujumbe unakuja wa muimbaji huyu kufa hafi ila anatukumbusha ujumbe tu