Hakika DINI ya HAKI mbele za Mwenyezi MUNGU ni UISLAMU
@saidmwamburi17582 жыл бұрын
mashaallah
@omarjuma56277 жыл бұрын
dini ya haki mbele ya mungu ni uislam wacheni wakristo kumshirikisha mungu yesu mwenyewe hakufundisha hvo alivo tumwa kama mtume hivo vitabu vilipotoshwa na waandishi kina Paulo Laanatullah aleyh wannasi ajmain
@jantrixwakirori392 жыл бұрын
Kuna verse kwa bible inasema wachristo wote ni wa kuenda Motoni please nani atanisaidia
@fardowsaahmed49378 жыл бұрын
wakristo makafiri nyie laana ya mwenyezii mungu iwashukie
@financialloan98186 жыл бұрын
😂😂😂😂😂nyinyi ndo mpo gizani maana Mohammed kaja dunian kakuta mitume ishakufa yy unabii kautoa wp
@fistonkyuing98886 жыл бұрын
Niatari wanajitahidi sana kukuteteya utume wa muhamadi na akuna aliye umupatiya aho akuna hata andiko moja inasema kachaguliwa na Mungu ni ubishi na kutafuta haki ya mutume wabo bila andiko yoyote hile.
@h.alshidhani89715 жыл бұрын
@@financialloan9818 soma biblia utamsikia Yesu kasema baada yake atakuja Mtume Muhammad S.A.W
@financialloan98185 жыл бұрын
@@h.alshidhani8971 kitabu gani icho ili na Mimi niamini maana bible na vitabu vilivyo tangulia amna ata aya moja iliyo mtabili Mohammed nipe ilo andiko basi nione
@h.alshidhani89715 жыл бұрын
@@financialloan9818 AL QURAAN AL KAREEM. NDANI YA KITABU HIKI KINA ZABURI, TAURAAT NA INJILI.
@hamisimuhammad62253 жыл бұрын
Uislam raha sana
@Abdiaziz0017 жыл бұрын
Suali mzuri sana Dr. sule ali uliza wa kristo lakini waka shindua kujibu i
@ummuabdillahi51959 жыл бұрын
wallahi kazi hii ni nguma maana mijikristo haielewiii na ni ngumu kuelewa bibilia yenyewe inawaonyesha njia lakini pia hawaioni...poleni masheikh wetu Allah awamiminie subra hivyo hivyo
@imamuhemedi98627 жыл бұрын
Allah akbar
@stevintitusmkoreaasijaribu69186 жыл бұрын
ummu abdillahi nayie wapumbuvu mloletewa krn na majini amsemi waabudu krn yenyewe imeletwa na majin
@elishakyamba89046 жыл бұрын
ummu abdillahi sisi wa kristo hatuwezi kumfuata mtu ambaye yeye mwenyewe hajui atakavyofanywa pole sana waislamu
@aripaliev10596 жыл бұрын
@@elishakyamba8904 BWANA WETU YESU KRISTO ASIFIWE MILELE NA MILELE AMINA.🤗😀🤗😄🤗
@financialloan98186 жыл бұрын
Mohammed mwenyewe ajui akipo saiz
@geoffreykhaemba31787 жыл бұрын
kusema kweli krismasi si ukristo..... in the next 50 years haitakuweko. hapa waislamu swali lao liko sawa.
@ghaniyashaban98455 жыл бұрын
Mimi nashangazwa na waumini wa kikiristo bibilia ni kitabu wanacho dai kua Chao mapasta wao au bishop hawakijui wanasoma kama wanvyo imba. Masheikh wa kislam hawatoshi kina doctor sulle. Mazinge na wengine hamuwawezi hata kidogo hamutoshi
@najjanaj77867 жыл бұрын
afu anarudia Aya zenye shekh amesoma siatoe zake.. yani ukirito sio ndini kbsaa wamepotea na mm nasema hvyo maana nimezaliwa katika familia ya ukirito kishaa nikasilimu Allahamdhulillah
@dkalhajijbmatatala93926 жыл бұрын
TAKIBIR!!!!
@financialloan98186 жыл бұрын
Upo kizani wngu
@damianopetro58722 жыл бұрын
Thanks I want to change religion into muslims
@AKASHA.P2 жыл бұрын
Where are you located?
@fistonkyuing98886 жыл бұрын
Mungu wa isilamu anasikiya lugha moja peke yake
@malekemfaume77515 жыл бұрын
Fiston Kyuing kweli dada yangu
@aminaabdallah77023 жыл бұрын
Masikini roho Yako wewe hujui unaoasoma hapo mungu anakusikia anakuona Malaika yanandika kila neno unavolisema kabla utawekewa mzigo huo chingoni yubebe Siku yakiama hapo utajua ni Nini dini yausilamu n'a yensu mwenyewe atakukimbia kwa machafu nauongo unaousema hapo kwa jina lake mungu yakuokezee njia njema
@mtanzaniamzalendo70017 жыл бұрын
Imani imefika Roma hujui dunia wakti hyu Dola ya Rumi ilitawala kote hfmdi uarabuni.???? upotoshwaji
@dkalhajijbmatatala93926 жыл бұрын
WISLAAM NDIO DINI YA ALLAH ( MWZ MUNGU ) UKRISTO DINI YA WAZUNGU YENYE KIZUNGUZUNGU ,, MALA YESU MUNGU, MALA YESU MTOTO WA MUNGU,,?,,...........! : ( UKRISTO NI UQAFILI MTUPU )
@petermatonya68906 жыл бұрын
Asiyemwamini Yesu amekwisha kuhukumiwa, kama humwamini jibu unalo mwenyewe.
@yoveanyakarungu15477 жыл бұрын
Pole sana waslam mtaenda motoni
@mwanashazinga95386 жыл бұрын
😂😂😂 pole yako namatumaini yako potovu
@mbwezegarage26816 жыл бұрын
Allah akusamehe
@brightonwashira54206 жыл бұрын
We peleka Ujinga yako Uko kumpavu mkristo wewe
@prettyaysha78925 жыл бұрын
Unaanza wewe
@markosamuel64907 жыл бұрын
Ni marufuku waislamu Burma nchi ya kikristo na ni marufuku waislamu nchini marekani trump ubarikiwe
waislam wanamuabudu Yesu bila kutambuwa, kila mkikutana ni jina Jesu mndomoni mwenu , mumtukane mufanye chochote kadiri ya uwezo wenu. YESU NI NJIA YA KWELI NA UZIMA WA MILELE.
@Mimi.Official768 жыл бұрын
Amina
@jumahongerakwauchambuzimzu30246 жыл бұрын
tunaiona kazi yenu kubwa sana mungu awaongoze masheikh wetu wakristo wameshindwa kuutetea ukristo wao kweli hiyo si dini ya mungu
@dullyvidully77985 жыл бұрын
@@financialloan9818 pole yako kwani musaa kamuona yesu au yesu kamuona mussa Yani pumba tupu unazozungumz
@ericksoncheruiyot32466 жыл бұрын
Ukweli hko wpy
@AliAli-wb2vq6 жыл бұрын
I wish kuwe na dibeti kaa hiii nikiwa rabu mungu haniweke siku moja nikuje kushidia madia kaa hiii mutatoka hapo kaa mumekubali kurudi kwa yesu kuchukuwa watakatifu walio wake
@bigmanfish634610 ай бұрын
Lohhh mkutano umeisha vizuri jamani wakiristo wakafungiwa mlango na yesu 😂😂😂 mwisho wap patupu
@asutfaile26478 жыл бұрын
Allahu Akbar
@asmaabdallah40556 жыл бұрын
Hao wakafiri wa kikristo hawana jipya makao yao jahanam mungu amewaandalia
@asmaabdallah40556 жыл бұрын
hamna dini nyinyi wakristo nahamtapata mpaka kufa kwenu
@asmaabdallah40556 жыл бұрын
Wajinga wakristo hata mm na ww tulikuwa kabla ya yeso hàhaaa
@asmaabdallah40556 жыл бұрын
Loh ukiuliza mkristo dini yake nn anajibu wafwasi kristo nawahurumia hawana dini ya haki kwa sababu hawajielewi .dini yahaki mpele ya mwenyezimgu uslamu
@almamri92456 жыл бұрын
Ngandu snake wewe mwenyewe unajiita nyoka bus kaburi utamuona nyoka
@aminaabdallah77023 жыл бұрын
Wewe mkristo unatoa jasho Sana unajua sababu gani? mwili wako chafu unaona shehi wetu hatoi jasho lolote sababu mwili wake Safi
@yusramohammed44968 жыл бұрын
jesu ndiye njia ya ukweli.
@360-t5s8 жыл бұрын
indeed it's the way towards hell
@h.alshidhani89715 жыл бұрын
Ndio fikra za makafiri wakiristo
@hassankuni69248 жыл бұрын
Naam
@mamawamoya33443 жыл бұрын
Lo balaa ucristo haumake sence, Tutumieni akili ndugu katika Adam
@umayyaali38489 жыл бұрын
kila kitabu kisomwe kivyake kieleweke usisome quani mara bibilia ungemaliza ya quran chini ikumalize kisha bibilia.hapo marko hakuna dalili yesu alibatizwa kwa ufupi baada ya kumjibu yhana sauti ilitoka kutoka mbingu kisha hakuna daklili tena ya kuwa alibatizwa.na nai yeremiah alikuwa pia na mungu ukusoma kitabu hicho na kila kmalaika na kila kiumbe kama adam alikuwa na mungu . kristo wa uwongo si alihubiriwa na paulo ndio alihubiri kinyume na sheria mawlana ashatoa matendo 18:5 na 46:9 hiyo ni uwongo si kama vile yesu alivyosema katika marko 13:32 hajui lini saa itafika!!!!!!!!!!!!!!! msiba mkubwa nabii wa uwongo si ni paulo kuhubiri kinyume na mafundisho ya yesu hata harper bible dictionary utapata maelezo hayo ya paulo kuweka upagani na kubadilisha sheria ya mungu mzungu alivyowafundisha huku akijua kweli..kisha petro shetani vipi kusifiwa kisha kulaaniwa na yesu katika matayo 16:18 na petro kumkatta yesu mara 3 mbona hupiti hapo sawa lakini si ni huyu alimwacha yesu na shetani alifanyage ndio mukaokolewa alipomwingia judah na mwishi yohana 8:40 kwenda chini wqaliotaka kumwua ni shetani sasa nyinyi munafurahia kitu yesu alichukia sasa tumwamini yesu ama nyinyi na aya ya 11:23 matendo umefuta katika bibilia kwa mazingizio kwa hivyo asante asili ya ukristo ni upagani jina kumbe lakipagani asante umerudia na kutufahamisha na marko 9:14 iliandikwa baada ya paulo soma historia ya ukristo vitabu viliwekwa hivyo marko , yohana,.......vilipangwa nicea soma vitabu vya edward gibbomn mmzungu anafundisha uwongo il hali anajua ukweli na muha mmad kuomba msamaha ni ile hishma na udhalilifiu na kutokua na kibri kweli yesu ni bwana na zaburi umeitoa asante munatakiwa kusujudu lakini hamutaki na usisahau paulo alisema yeye amewashika na hila na1timotheo 1:20 paulo aliwafanya nini na 2cor11:12 yeye ni maskini muhammad kwa mujibu wa historia hakufanya dhambi mwenyewe kwa hadith zake hiyo ni kunyenyekea kwa mungu na kujidhalilisha mbele ya mungu. matayo 26:39 yesu aliheshimu kwa kuanguka kwa uso na kusujudu vizuri unamfuata yesu bado kidogo usilimu. basi kama sisi wanga si yesu ni kiongozi na ibrahimu mwanzo 17:3 na nyakati wa 2 wana waizraeli ni wahawi pia? na yoshua aliposujudu katika na yoshua 5:13-15 ni uchawi? mbna wewe fala hivi? hiyo ya suleimani ukienda chini utaona uchawi yakatazwa na qurani na andiko ni wachawi wa kislamu si waislamu wote? kiswahili vipi nyinyi? kweli daniel akapiga na pia munatakiwa musujudu kama hautaki basi mnawapinga manabii waliosujudu katika bible kama nilivyotaja. na pia petro alivyotaja si ni mwanafunzi aliyeambiwa asitasje mbona ikiwa kweli nyinyi ni wakirito wanafunzi wa yesu mbona munakubali kutupia jina la pagani kwani yesu alikuwa myahudi na ingefaa mutumie masdih s i sasa mumemwacha bali mumefuata lakipagani kristo? jina lakiyahudi ndiyo mungefaa mutumie ambayo ni maSIH SI KRISTO
@abdullahibaris71826 жыл бұрын
Brother paster fata dini polepole ndiyo ujue dini ya haki ukweli niiii waislamu
@lenathapatrick3886 жыл бұрын
Mpo makini sana majembe ya Yesu piga kazi mtalipwa msipo zimia mioyo mataji yenu yapo mbinguni.. hao waislam tuwahurumie tu jaman.. sio wao wakefungwa faham zao na lile jabar mana sikio la kufa halisikii dawa pia sikio la jehanam halisikii mahubiri..looh inasikitisha mno.
@engzuberir.akilenza17642 жыл бұрын
Mbona kama kuna watu wanafanya mzaha na hata wasomi wanawaelewa wakati hawaongei lolote. Duh hizi akili zitapeleka wengi jahanamu.
@abdulamour73289 жыл бұрын
pasta hakuna kitu hapoooooo
@mamawamoya33443 жыл бұрын
Mlisujudu wapi mkapiga magoti
@brightnessphonespack28036 жыл бұрын
Ma
@eliamtinda15757 жыл бұрын
Yesu ndio njia pekee...mtume mwenyewe alinukuu uchawi wa zamani...maswahaba walioandika walikuwa walevi...zinaa mpaka kwenye hija...Kali ya yote..Alah ataingia jehanam nyie mnaemfuata mtapone...???waislam kimbieni jehanam salama ni kwa Yesu yeye ni mwanzo na mwisho.
@zulekhaabdull58076 жыл бұрын
wwe Etenda sijui. jina lenywe halieleweki Fanya heshima wwe junga sana ulimi wko hayo ya kipuuuzi usijielewa kama haukuamini acha usisingiziee nyumba ya Allah tukufu wwe utakapo kufanya ndio utakijua tena mmi nakutakia sana wwe wasingizia nyumba ya Allah atakulipa mdomo wko
@philemonvasale54145 жыл бұрын
Ninyi waislamu mmepotea kimaandiko ndoo maana mnababaisha na kutukana
@hanifaharet37397 жыл бұрын
yaani haya makafiri hayana hata haya wanavopotosha maandiko,Moto unawangoja shauri yenu
@calvinmchopa22226 жыл бұрын
Hanifa haret 5:82quran
@dzamecbc28597 жыл бұрын
kinyogoli pia hukuacha wakristo salama
@lailatlailat38502 жыл бұрын
Waislam wakisoma bibilia wanaru maneno nakusoma nus kama unataka kujua wakati wanasoma na ww usome bibilia
@lailatlailat38502 жыл бұрын
Mtadanganya wapangan lakin siyo mukirsto aliye simama
@yoveanyakarungu15477 жыл бұрын
Kweli waslam majini yamewakamata kweli kweli
@lileoh38933 жыл бұрын
Jini wakwanza niyesu maana nayeye muislam kufeni kwachuki zenu
@timchallen47749 жыл бұрын
kuanzia leo naokoka duuh
@ismailwandera51795 жыл бұрын
I.
@financialloan98186 жыл бұрын
Yan waislam iyo takibiriiii Mimi naiogopa uku naona kama majini wanataka damu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@dullyvidully77985 жыл бұрын
Pole yko kenge ww wa motoni
@financialloan98185 жыл бұрын
@@dullyvidully7798 toa ushaidi muislm gani kaenda mbinguni?mohammed yuko wp?maana sisi tuna jua manabii wetu wotee wapo mbinguni kina yohana eliya daud Daniel Jacob Isaac Ibrahim na wengine wotee akiwepo mwanaume wao mwenyewe yesu yupo mbinguni vp mohammed yuko wp ?waislam motoni moja kwa moja mkapewe wale bikira70
@financialloan98185 жыл бұрын
@@dullyvidully7798 umesaau siku yesu anataka kuuwawa musa na eliya wamtokea au ujui?jinga ww mohammed yuko wp saiz mbinguni au anasubilia ukumu na yy?
@financialloan98186 жыл бұрын
Nasemaga kila siku mazinge akili zke fupi ajui kitu kazi ya maneno ya ajabu tuu Yan waislam awajui kubishan awajui kujibu kwa oja awajui kujieleza wapo kigovi govi tuuu😂😂😂😂😂😂😂😂 uwa nawacheka sana waone walivyo na vinguo vyao vichafuuuu😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
@mariamsuleiman71597 жыл бұрын
yani hawa hawana hoja shuhuli ishamalizwa yani hawa wakristo hawana jipya
@ramadhanmussa63186 жыл бұрын
Wakristo wanasubili moto
@hajjihassani6145 жыл бұрын
Kabisa mzma lakn
@ericjosephat91806 жыл бұрын
uisilamu ni kufirana maka
@kfastak6 жыл бұрын
Hahahaha wale wanofungisha ndio makanisani Ni waislam
@davisrotich1166 жыл бұрын
Hakika mazinge umeishiwa mafundisho huna, kisha ukweli unaujua ukiristo ndio njia pekee yakwenda mbinguni lakini kwafaida zako tu unawadanganya waislamu
@mbarakaboskubwa35116 жыл бұрын
Ww unasema je ?
@dullyvidully77985 жыл бұрын
Toa yako ya ukweli basi kenge ww
@prettyaysha78925 жыл бұрын
Hivi akili zako ziko sawa wewe
@h.alshidhani89715 жыл бұрын
MAZINGE ndio komesha ya makafiri
@mariamsuleiman71597 жыл бұрын
jamani mbona pat 3 hipo wapi mbona hadi rahaaaa
@chrispinimpepo74476 жыл бұрын
Gaspar nakukubar miaka 100 Nidocter ila kiuchamungu umempga chini sur mshamba huyo anafananisha elim ya university na Bible
@jennywakirori99717 жыл бұрын
Amen Jesus is lord
@hanifaharet37397 жыл бұрын
Jenny Wakirori nao waliolala katika kristo wamepotea hamuonagi hayo maandiko?na kama mnaonaga linamaanisha nini????chanukeni nyinyi makafiri wacheni ufala
@jennywakirori99717 жыл бұрын
Hanifa haret Jamani siku ya kiama ndo itaamua kwani hapa duniani mtaki kufwata njia ya kweli so Aina maanam kwani habari imewafikia mengine tuyangoje wakati wa hukumu
@chidzore6 жыл бұрын
tatizo la hawa ndugu zetu wa kibinadamu ni kwamba hawasomi kitabu chao. wanategemea wachungaji wao kuwafunza;kumbuka kuna mambo mengine hawataki mjue kwa sababu itabidi wakose kazi.
@mbaroukmohammed9132 жыл бұрын
@@hanifaharet3739 6 66
@jantrixwakirori392 жыл бұрын
@@hanifaharet3739 mi ni uyo jenny but nimejuwa ukweli kwamba nilikuwa nimepotea sasa hivi mi muislamu
@hanifaharet37397 жыл бұрын
ukristo ni ushabiki tu na ukafiri,bakini na ukafiri wenu
@imanmartin22968 жыл бұрын
Ukristo ni ukafii
@amuleleshivachi31678 жыл бұрын
kama umefundisha na kafiri mwenzako lazima utakuwa lakini sio ukosefu waelimu huu.
@mtanzaniamzalendo70017 жыл бұрын
Kweli imani ya kiislamu ni ushetwani, yaani ujanja ujanja hta kusoma vitabu,Umesema ukristo umeanza b4, sasa mara paulo!!! Duuuuu ,wewe mbabaishaji,
@malekemfaume77515 жыл бұрын
Wewe ni mjinga tu
@zaidanawadhi12678 жыл бұрын
Na wale wote waliolala kwenye ukristo wamepotea, hivi hilo andiko hamlioni au ndio ubishi tu.
@papawaparazi3415 жыл бұрын
Mbona husomi aya zote Kwa kuwa zinafuatana
@bestRasta-10 ай бұрын
Na wakati yesu Ali fufuka wamepoteaj?
@financialloan98186 жыл бұрын
Waislam uwa mnanifurahisha sana amkubali Paul wkt mmezaliwa mmemkuta Mohammed mwenyewe kakuta Paul kashakufa sasa Mohammed mamlaka ya kumkataa Paul kapata wp?Yan ni vitu vya kuchekesha sana Mohammed ajakutana na nabii yyt Mohammed kakuta mitume ishamaliza kazi Mohammed katoa wp unabiii maana kaja yy wkt manabii washakufa tena Miaka mingi sana imepita😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@keinanosman51967 жыл бұрын
makafiri wote kimyaaaa hhhhhhhhhh
@khaledrashid28255 жыл бұрын
Eeeh ukirsto so dini nyie.. Lkn wapo vzr tz kwa midahalo. Nalkn wakrsto hamuwawez waislm waislm wako kwenye haki iliokua kweli namkrsto akijua haki anaifuata ktk uislam utawakuta wanasilimu
@mariamsuleiman71597 жыл бұрын
mmmm kichefu chefu tuu
@sifaali17447 жыл бұрын
haya makafri hayana hata elim sasa wanasubir nini katika ukafri allah awaonyeshe haki
@lailatlailat38502 жыл бұрын
Ww usiite mtu kafr kwasababu ww mwenyewe ujijui
@felixmakuva5205 жыл бұрын
Muhammad kaowa ancountable wife's until ata mimi sina mmoja .mtu mzizi huyo
@mariamsuleiman71597 жыл бұрын
hapo jibu zii toa jibu bwana
@raycaventure80978 жыл бұрын
makafiri tuu wakristo jàmani duu ata vibaya kupewa dini na wazungu mtakufa makafir
@amuleleshivachi31678 жыл бұрын
wewe ufaata ya mwarabu owe nyani haoni gundule
@bashitemakonda15407 жыл бұрын
Achakelelekafiriwewe
@yoveanyakarungu15477 жыл бұрын
Takandiniiiiiiiiiiiiiiiiii penzi kitovu cha uzembe aaaaahaaa hawa wislam wanavtuko xanaaaa kazi kuzini na majni tu
@ramadhanmussa63186 жыл бұрын
Kafiri ww
@dullyvidully77985 жыл бұрын
Hasa nyie na sisi wepi wanozini nyie mnazini mshapata mitoto ndo mnaowana
@prettyaysha78925 жыл бұрын
Wakristo hawana ndowa cc tunafuata muhammad nyinyi mnaowana ndoa za maajabu mafundisho ya nani
@josephmkande48965 жыл бұрын
Quran ni kitabu kilichocopy mambo yakwenye biblia nakuongeza yakwao mana kinataja vitu vingi vya biblia ila biblia hakuna hayo tena Quran imewataja hadi ukristo ndipo unajua uislam umeletwa juzi ila kwenye biblia hautakuta neno uislam
@h.alshidhani89715 жыл бұрын
Quran ni kitabu kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Kupitia kwa Gabriel. Acha ujahili
@kimitojunior2688 жыл бұрын
yesu ndiye jibu tubu uokolewe
@yoveanyakarungu15477 жыл бұрын
Hlo n swali au mavi waslam achen upumbavu
@aishaaaa69876 жыл бұрын
yovea Nyakarungu Wewe mpuuzi acha ushenzi wako kama wewe unaona hilo sio swali si unyamaze uwaachie wenyewe we unashoboka na nini?
@aishaaaa69876 жыл бұрын
Kama wewe unaweza basi nijibu hapa mshenzi weeee, hunalolote suburi Mungu akusweke motoni tu
@farajihakika18896 жыл бұрын
makafir Hanna jipwa jahana inawangoja
@damianopetro58722 жыл бұрын
Unafikiri kuwa muislamu ndio tutaenda Janna hvhv????
@mamatuishi-mamatuondoke88229 жыл бұрын
ww shehhe kalale huna lolote soma biblia utaelewa acha kuyumbayumba biblia ndio njia ya ukweli na unzimaaa!
@ahmadchuti9736 жыл бұрын
Pole sana
@dullyvidully77985 жыл бұрын
Ukasome ww ulokuwa huijui
@h.alshidhani89715 жыл бұрын
Sio wewe tu. Makafiri wengi duniani hawajui nini dini ya Mwenyezi Mungu. Yeyote atakaye ikataa dini ya kiislaamu. Ndiye mwenye hasara
@romanticsong21956 жыл бұрын
Acha kupindisha Maandiko ww.........................., Tulia na ulichonacho moyoni Mwako na akilini mwako cku ya khama kila Ulimi utakri, Amna mtashi hapa duniani fanya unachokiamini...
@umayyaali38489 жыл бұрын
MATENDO 13:6 BARE YESU NI NANI? TUNGETAKA TUNGEENDA NA AKILI HIYO LAKINI HUYO BARE YESU SI YESU MTUME KAMA VILE SI KILa muislamu ni mchwi na ukisoma historia wachawi hao wa musa waliacha uchawi baada ya kusilimu kama vile simeoni alivyowacha kabla hajaenda kwa yesu kwa hivyo bibilia imetaja uchawi kama vile qurani
@muhammedkinanda69606 жыл бұрын
makafir hanma hoja nyie
@umayyaali38489 жыл бұрын
mushi lakini yako ulianza kuimba kama vile mwanamke anavyomwimbia mwanamume
@margaretmkangala77745 жыл бұрын
Umetafsiri biblia kwamaneno ya kuxhomeka
@abdullahibaris71826 жыл бұрын
Rongo tupu
@Mimi.Official768 жыл бұрын
Najaribu kutenda mema lakini najipata nimetenda dhambi,olewangu mimi ........hivyo ndivyo anavyomaanisha Paulo
@amuleleshivachi31678 жыл бұрын
2 peter 3:16 biblia ni bahari husomwa kwa uongozi wa roho si kama Koran kisomo cha kukariri .
@kijanahodari20807 жыл бұрын
Dolvine Kwamboka na bado hakuna mtume atakuja akubali katumwa aanzishe dini iitwayo ukiristo spo ndipo mutakubaliana na waislamu
@NimoJama-iw6tg10 ай бұрын
You people do now the .Muslim are leading the religion in this world don't waste your briath
@josephmkande48965 жыл бұрын
Quran inakili ukuu wa Jesus tena ndio hakimu siku ya mwisho sasa kwann mnatapatapa, waislam mtahukumiwa na huyu hakimu mana kitabu chenu kinawaambia au mtume wanu anakili kwamba yesu ndio ishara yakihama sasa ole wenu siku ya hukumu, wakristo hawamjui Muhammad hivyo hata wasipo msifu hawata hukumiwa kwahuyo
@godfreymande65848 жыл бұрын
Hawa waislamu wamelaaniwa
@abdubabu54547 жыл бұрын
Godfrey Mande umelaaniwa wewe ulie lisi ukristo wakupangiwa na wapagani,kwamujibu wa biblia,
@abdubabu54547 жыл бұрын
Godfrey Mande umelaaniwa wewe ulie lisi ukristo wakupangiwa na wapagani,kwamujibu wa biblia,
@abdubabu54547 жыл бұрын
wapagani wa antiokia ndio walio wapangia dini
@hanifaharet37397 жыл бұрын
Godfrey Mande waliolaaniwa ni nyinyi wakristo msioielewa hata hiyo biblia yenu