ustadh Shafii unafanya kazi kubwa sana Allah akulipe
@OmarAbubakar-bz9lf11 ай бұрын
Amiin
@issaabdallah12053 ай бұрын
Wew ni muongo mbona huoneshi hayo maandishi ktk kitabu
@issaabdallah12053 ай бұрын
Usitoke ktk mada tuambie suyut nz ghazati je naeao ni makafiri?
@issaabdallah12053 ай бұрын
Maulidi uwongo mtupu Usidanganye watu Aliyesema babake mtume yuko motono ni mtume mwenyewe TULZA AKTLI KAMA unazo
@issaabdallah12053 ай бұрын
K
@issaabdallah12053 ай бұрын
Anati hiruma huyu shia
@muhammedaloufy408611 ай бұрын
WAtu wanajiita wa Sunnah wao kutwa ni kuwawqeka watu mbali na Mtume!!! Mtu anaacha kazi anaweka Darsa kuzungumzia Wazazi wa Mtume SAW wako MOTONI!!
@hassanmzandy14214 ай бұрын
Shia ni ukafir
@user-xi4le1hp4y3 ай бұрын
Ivi kweli mashia watetee barazanji na ahlu sunna watete barazanji?je hawa wanaotetea barazanji katika masufi na wao ni mashia ?kweli mashia ndio waanzilishi wa bidaa hii ya sherehe za maulidi kama tulivyo elezwa na maulamaa wa ahlu sunna wal jamaa