Allah akuhifadhi sheikh wng allah anavipenzi wakee
@MuslimBakar-uf6xd2 ай бұрын
Umesoma dini lkini hufanyii kzi yliomo ktika dini juwa kwamb mmbo mawili ymelaaniwa nyimbo na nai nynyi mnaimba mnpiga gitaa zumari nai khee vpi nynyi mbn mnavichekesho sana
@LukindoMwinidadi-b6x2 ай бұрын
Hakuna mwenye elimu zaid ya mtume Muhammad
@ZainamavooMavoo2 ай бұрын
❤
@inasrashidissanassor-pv7ur2 ай бұрын
M.bachu haja soma elimu yoyote, ila amesoma itikadi ya kiwahabi, kama angelikua na elimu asinge shindwa swala moja alio ulizwa mambrui na Ust.saidi na akaondoka mwenyewe.
@MuslimBakar-uf6xd2 ай бұрын
Jamii zmekabiliwa na majanga ya liwatwi nynyi mnakaa mnatowa hoja ambazo hmzitendei kzi
@inasrashidissanassor-pv7ur2 ай бұрын
Mawahabi ufuraikia mpira kuliko kumuadhimisha bwana mtume.
@HemedSerious2 ай бұрын
Hawa watu matatzo
@samirrubeya23792 ай бұрын
Amemfundisha Guitar?
@shilingi-Ahmadi2 ай бұрын
@@samirrubeya2379 pia hiyo ni elimu tena kubwa
@MuslimBakar-uf6xd2 ай бұрын
Mnashangiria mazazi yamtu eeenh kunamoto mbele uko
@MuslimBakar-uf6xd2 ай бұрын
Shekhe gani msanii tu ww said
@issaabdallah12052 ай бұрын
Msanni anafany usanii wake. Mbele ya wasanii wenzake
@shilingi-Ahmadi2 ай бұрын
@@issaabdallah1205 Na mwenye kiburi unafanya kiburi chako
@inasrashidissanassor-pv7ur2 ай бұрын
Cha dhamana ni kuadhimisha, sababu huwezi kumufwata usie mufahamu,ukiadhwimisha utamufahamu vizuri unae mfata, mume gonda na chuki yenu enyi mayahudi.
@issaabdallah12052 ай бұрын
Gita na vinand ndo kazi yako dini si kazi yako
@TwahirBurhan2 ай бұрын
WEWE NENDA KASOME KWANZA ELIMU YA SHEKH BACHU HATA NUSU HUIFIKII,WEWE ENDELEA KUHALALISHA BID'AA TU
@shilingi-Ahmadi2 ай бұрын
@@TwahirBurhan Twaona ana elimu mpaka hadith gharib asema ni hadith ngeni na ushahidi wake ni kuwa alimuliza paka na paka akamtolea macho kweli
@abubakaromar61012 ай бұрын
TwahirBurhan Bachu angelikuwa na Elimu zaidi angelikojoa na kukimbia, kisha kwani huko kwenu uwahabini hamuna Bid'aa Uzushi mbona zipo nyingi na kuna kitabu kizima cha Uzushi wa mawahabi au hajui hilo?
@MuslimBakar-uf6xd2 ай бұрын
Mwafany mambi ambyo ata maswahaba hwajawahi kufnya unelimu ww kushinda maswahaba na tabiina mbona hwajwahi kufany huo uovu
@abuuaisha61102 ай бұрын
Shekh muogope Allah unapoteza awamu ilhali wewe waijua haki, utaenda kumuambia nini Allah siku kiama?
@shilingi-Ahmadi2 ай бұрын
@@abuuaisha6110 Kwa hiyo wewe umeingia kwenye moyo ukajua haogopi Allah siyo
@inasrashidissanassor-pv7ur2 ай бұрын
Mawahabi ni makafiri kabisa, wamechukia kumuadhimisha bwana mtume,bila yeye tusinge pata wislamu.
@shilingi-Ahmadi2 ай бұрын
@@inasrashidissanassor-pv7ur Waache wachukie Sisi tutazidi tu kusoma maulidi chuki yao si huja katika dini
@headboy77682 ай бұрын
Kuadhimisha mtume na kufuata mtume kipi cha dhamana
@TwahirBurhan2 ай бұрын
TOENI HADITHI HATA MOJA TU AU AYA INAYOSEMA MAULID NI IBADA!!! AU IWEJE NYIE MASUFI MUIJUE HIYO ELIMU AMBAYO MASWAHABA WA MTUME NA TAABIHI TAABIINA HAWAKUIJUA..
@shilingi-Ahmadi2 ай бұрын
@@TwahirBurhan Ukisikia uzuka ndio huu iwe ni Ibada si ibada kufaa kwa Jambo na kutofaa huwa twaangalia nini katika hukmu?
@TwahirBurhan2 ай бұрын
@@shilingi-Ahmadi MSITAKE KUTUFANYA WAJINGA NYIE ENDELEENI KUUFUATA HUO UZUSHI WENU....YAAANI HAIINGII AKILINI ETI MASWAHABA, MATAABIIN,TAABII TAABIIN,NA MAIMAM WETU WANNE WASIIJUE NA KUIFANYA MAULIDI ALAFU ETI HUYU MPIGA VINANDA NA NYIE MASUFI WENZAKE NDO MUIJUE..?
@shilingi-Ahmadi2 ай бұрын
@@TwahirBurhan Hakuna mahali katika quran wala hidith kuwa kitu ikiwa hakufanya mtume swal-lallahu alayhi wasal-lam na maswahaba na taabiin hicho hakifai.
@TwahirBurhan2 ай бұрын
@@shilingi-Ahmadi Shekh acha ubishi wa masufi....mbona hujajibu kwamba nyie ndo mnampenda na kuwa na elimu kuwazidi maswahaba? kama Maulidi ni ibada kwann wao hawakuiadhimisha pamoja vile vizazi 4 vitukufu?
@TwahirBurhan2 ай бұрын
@@shilingi-Ahmadi Leo hii nyie ndio mnajinadi kuwa na elimu zaidi yao? Pili Ile Aya ktk Qur-an ya " AL YAUMA AKMALTU..... nyie mnaitafsiri vipi?
@ramadhanishabani16442 ай бұрын
Watu wa maulid tabu kabisa
@مبغضالبدع-ع9ص11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 yani unawadanganya hao walioko chini yako maskini!!! Yani duh upumbavu mtupu huu anaongea!!! Muulizeni ameyatoa wapi hayo??? Kuna mwanachuoni gani duniani amesema hayo?!!! Kadhaab wahed!!!