Ili mradi nimepata neema ya kusikia haya, Mbingu ni yangu lazima nikamwone Bwana Yesu amen.barikiwa sana jactan
@samkinando16203 жыл бұрын
Asante sana Bwana Yesu Kristo kwa kuwatumia watumishi wako kutupa siri ya dhambi tusaidie tushinde dhambi tufike mbinguni Amen
@sophiamakani61332 жыл бұрын
Mungu wangu tukumbuke tusamehe
@NaomiMagawa18 күн бұрын
Ubarikiwa sana astoni nimejifunza mengi ningekufa Jana juz mungu wangu ningeenda kuzimu moja kwa moja mungu nope neema ya kukamilisha madeni niione mbingu
@vumiliawambula1716 Жыл бұрын
Bwana Yesu tunaomba neema yako bila WEWE atuwezi
@sarifusteven46349 ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@esthernthambamusau7563 жыл бұрын
Jacktan pokea baraka kutoka Mbinguni kwa kutuletea hawa wachungaji wa Mungu, tuned in hapa Saudi Arabia
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Amen napokea
@NaomiMgala23 күн бұрын
Mungu utuhurumie utusamehe na makosa yetu tusioyajua utupe kulinda vazi lako Yesu
@salomejames58923 жыл бұрын
Asante kwa kunisame dhambi zangu nilikua mchafu Sana mwenye dhambi zisizo na idadi lakini wewe umenisamehe, nipe nguvu ya kishinda majaribu na Vita, na vishawishi vya kila aina
@theophiledeleternel91522 жыл бұрын
Bwana awabariki sana watumishi wa Bwana, tumejengwa sana n'a hayo mahubire
@admerarobert34853 жыл бұрын
Ee Bwana nafsi yangu yakili kuwa yote ni amini na kweli moyo wangu umetubu sawasawa na maombi yote ya Mtumishi wa Mungu Aston Mbaya Ee Mungu nilehemu natubu dhambi zangu zote Amina.
@sarahsisika7531 Жыл бұрын
Ameeeeeen nami nimesamehewa Dhabi zangu na baba Ameeeeeen
@maggyirene1103 жыл бұрын
Ameen ameen, asante kwa kazi njema katika Kristo. More grace watumishi
@julianawanjala64952 жыл бұрын
Amen mubarikiwe Sanaa wachungaji wa Mungu... Eeeh Mungu nisaidie
@jennjaja15863 жыл бұрын
🙆♀️🙆♀️🙆♀️ mungu wangu nisaidie.🙏
@nsimirrlove21393 жыл бұрын
Ameeen ubarikiwe sana tena sana mungu akutiye guvu kwaushuhuda huyu muzito mungu wetu nimukubwa sana
@yusuphsimon57511 ай бұрын
Mungu na aturehemu wapendwa
@fatumaminyeko75532 жыл бұрын
Mungu nisaidiè nishide ya dunia
@gloryr94973 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni nijalie neema ya kutenda mema ili niweze kuiona mbingu
@preciousmtui3663 жыл бұрын
Amen
@EverineEmmanuel2 ай бұрын
Mungu nihurumie mimi
@rmaryp62693 жыл бұрын
Namtukuza Mungu sana kwaajili ya Mtumishi wake Aston! Barikiwa sn Jacktan kwa kz yako njema.
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Amen
@carendeborah56872 жыл бұрын
Ameeeeeen,peace of the God Father and his son LORD JESUS CHRIST be with all.
@salomejames58923 жыл бұрын
Makishukuru BWANA YESU kwa wema wako japo nipo safari sipo nyumbani lakini nimepokea, japo nipo nyumba ya wageni karatu lakini nimepoke. Asante YESU
@THEWORLD-om1bo3 жыл бұрын
Bado najitajidi kumtafuta BWANA YESU, naitwa Alex, naomba uniombee, ahsante
@eliekanathan57843 жыл бұрын
Jacktan ubarikiwe mno mno kwa kutuletea huyu mtumishi wa Mungu Aston Mbaya hakika nimesikia vema
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Amen
@ivonaevarista46543 жыл бұрын
Your my strength, when am weak,you're the treasure that I seek,you're my all in all,,,Jesus give us strength to finish our journey well.
@jessemach44593 жыл бұрын
Tuned in nairobi kenya....asante sana
@afredmwatate81283 жыл бұрын
👏👏kazi nzuri jacton na Prophet, naomba tafadhali kuorothesha mafundisho haya Ili yawe rahisi kufuatilia baadaye, Asante 🙏 (number them)
@godisable20983 жыл бұрын
He is all in all Alfa Omega our Jesus Christ the king of kings ruler of the heavens and earth we worship you Lord and we love you Jesus Christ.
@faze_narq68903 жыл бұрын
Hallelujah! Hallelujah Glory be to the most high God!! The great IAM, human words cannot describe him! So we give Him All Glory, All praise, and All worship!! No one like Him. He’s Ancient of Days!! Let every everything that has breath praise the Lord!!! Amen 🙏
@lydiamichael55093 жыл бұрын
Baba wetu wa Mbinguni sifa zikurudie milele Amina hakuna mwingine kama wewe..Santi kwa kutuma watumishi wako kuja kutukomboa hakika sisi niwakosefu hatustaili mbele zako twaomba msamaha tuenende kwa njia zako ili tuone ufalme wako Eeh Mungu
@msanginaza905 Жыл бұрын
Ni Kwa neema kusikia haya ,sasa angalau najua nitubuje na nitembeeje maana mbingu sio mchezo jehanamu panatisha mnoo alafu utasikia tuuu Kwa wepesi rest in peace haviogo hivyo
@neemawanjiku87913 жыл бұрын
Wote waliompokea Aliwapa Uwezo Kuwa Wana Na Binti zake , Na waridhi katika Ufalme Wa Mbinguni AMen🙏
@gestinakuya81173 жыл бұрын
Eeeeee Mungu niokoe na hayo mateso
@dokasa91763 жыл бұрын
Asante sana bw Jacktan kwa ajili ya kutuletea nchili ya nyakati na majira,mchungaji wa Zion temple barikiwa sana to be the role model, watumishi Mungu awatie nguvu
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Amen
@kirshnaindia8903 жыл бұрын
Amen Amen
@florencendatila91833 жыл бұрын
Amina
@sarahsarai86903 жыл бұрын
Amina.
@sarifusteven46349 ай бұрын
❤
@dianerokizlouisavesterager15733 жыл бұрын
amen
@moyojubeki63303 жыл бұрын
Asante Yesu kwa ajili ya jactan kumpa kazi hii maana kupitia yeye yesu ametubadilisha.
@moyojubeki63303 жыл бұрын
Asnte yesu kwa ujumbe huu
@salomejames58923 жыл бұрын
Upondo wako unashangaza Sana BWANA YESU, ajarishi mtu Yuko mazingira gani rakini anapojiunganisha na nguvu zako wewe unatenda,
@mariamngowa28823 жыл бұрын
Amen
@salomejames58923 жыл бұрын
MUNGU awabariki watumishi wa MUNGU awabariki Sana Kama naweza pata namba ya watsap ya mtumishi wa MUNGU wote wa wili naomba unisaidie Kaka jactani
@MwanamgeniKavuthi Жыл бұрын
Nimesikiza mahubiri,je kulikuwa na gereza oa walio fanya dhambi zote hizi? Mfano,nilibleach ngozi,nikaitattoo,niliweka ahadi na sikutimiza,niliota nkifanya ngono na pia nilivaa nguo fupi!