Wenye tunajua sauti ya MUNGU mupo? Bwana Yesu akasema kondoo zangu wananijua wanasikia sauti yangu na wanafuata John 10v27. Asante YESU kwa kumrechesha mwanao katika njia yako ya kweli, be blessed My brother,.. Watu wengi wakasema ungempa ata maskini. Nikasema hivi!! Mtu akienda kwa mganga kutafuta irizi na siku ataokaka je irizi atachoma au atarejesha kwa mganga ama atampa maskini? Watu wa MUNGU tuombe MUNGU atupe macho ya kiroho ili tufahamu yalio rohoni. Huyu kaka alifanya vizuri sana
@MaryMichaelMaryMichael-i7o13 сағат бұрын
Dah 😢bas no coment bleesd promover tv n bro Gudy..wacha MUNGU afanye kaz yke
@farajijoemojy693512 сағат бұрын
MUNGU akulinde na azidi kukuweka na kukutunza watesi wako wote wateketee kama watu wa Sodoma na gomora walivyo teketea
@maliakaponya320812 сағат бұрын
Maagano ya ukoo ni mbaya sana...yaan wakikkamia utajuta huwa wanalimit ya kufka ukizid tu utakoma
@faithe406312 сағат бұрын
MUNGU anaokoa waliyo wake zaburi 34 v7 akasema malaika wa Mungu ufanya kituo akisungukia wamchao na kuwaokoa Asante Yesu kwa Neema yako ya kipekee pokea sifa na utukuvu milele
@SuzanaNyanda14 сағат бұрын
Mtumishi nakuelewa sana nini unasema ,YESU AKUTUNZE SANA
@Joshuajereman4 сағат бұрын
Kwanini ukurudishaaa na usingeoaka rangiiii nyoooo
@sweetlisious6 сағат бұрын
Chanzo ni PRODUCER wako acha kuchafua watu kijana ujifunze tamaa mbaya NA umekonda sana ukae ule sasa unenepe bada ya kuchoma gari tuone sasa maendeleo GUDI pole lakini