#2

  Рет қаралды 14,323

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

3 жыл бұрын

Пікірлер: 18
@williammathias1526
@williammathias1526 3 жыл бұрын
Mungu atukuzwe mtumishi wa Mungu nilikuwa nasumbuliwa na maumivu ya kifua Mungu amesikia maombi nimepona sasa ivi ashukuriwe Mungu wetu
@dorinimalisa3062
@dorinimalisa3062 3 жыл бұрын
Amen mtumushi Mungu azid kukubarik
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 жыл бұрын
Amen
@benben8598
@benben8598 3 жыл бұрын
Sifa kwa Mungu!Mungu azidi kukupa nguvu tokea mimi na familia langu tume kugunduwa,na zaidi ivi corona bado sisi tungali nayo apa Canada 🇨🇦 watu awaendi saana kanisa .ndio maana ume kua baraka kwetu sababu tunasikiliza mahibiri tv nasiwezi eleza ni mara ngapi ina tusaidia...
@judithnjalambaya2450
@judithnjalambaya2450 3 жыл бұрын
Barikiwa Mchungaji
@habaritv6364
@habaritv6364 3 жыл бұрын
Amen
@doricefrancis3117
@doricefrancis3117 3 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe pastor. Nipo dar es salaam nahitaji vitabu vya siri ya maombi yaliyojibiwa na vingine.
@ellenmbota1241
@ellenmbota1241 3 жыл бұрын
Amen amen pr umenifurahisha na hiyo sitor Mungu akubariki
@hellinahombuya4113
@hellinahombuya4113 3 жыл бұрын
Napenda sana neno la Mungu,barikiwa mchungaji.
@asooraaasooraa4816
@asooraaasooraa4816 3 жыл бұрын
Ameen
@wewehehe6405
@wewehehe6405 3 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa neno nzuri
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 жыл бұрын
Amen
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 3 жыл бұрын
Siwez lala bila kusikiliza maombi kil siku izi apa nipo kitandani nasikiliza uku nasinzia..
@godfreydavid6996
@godfreydavid6996 Ай бұрын
Nimekuwa na hofu kwa miaka kumi,ila kuanzia leo naenda kuishinda kwa jina la YESU.
@Shuku681
@Shuku681 3 жыл бұрын
Nina uhitaji wa vitabu vyake nita vipateje
#3#SIRI HII ITAKUSAIDIA KUSHINDA KABISA HOFU/WOGA SEHEM YA 3
34:02
UFANYE NINI ADUI ANAPOKUFANYIA NJAMA?
41:18
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 30 М.
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 12 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 18 МЛН
NAMNA YA KULIFANYA NENO LIFANYE KAZI MAISHANI MWAKO SEH 1
33:21
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 15 М.
Namna ya Kuzikabili siku ngumu bila hofu
49:13
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 319 М.
#LIVE; Pr David Mbaga. Ndoa yenye Furaha.
17:39
Sanga Richa
Рет қаралды 3,2 М.
SIRI YA KUINUKA TENA BAADA YA HASARA
51:47
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 48 М.
Damu Ya Yesu_Pr. David Mbaga
12:14
Advent TV Online
Рет қаралды 297
KUNA SAUTI NYINGI KWENYE ULIMWENGU WA ROHO
25:49
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 14 М.
AINA SABA ZA MAOMBI WAKATI HUU WA GONJWA HILI (OFFICIAL VIDEO)
53:39
Usimnyooshe Mtu Kidole | USIHUKUMU | Rev. Dr. Eliona Kimaro
17:56
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 22 М.
#1#SIRI HII ITAKUSAIDIA KUSHINDA KABISA HOFU/WOGA SEHEM YA 1.
40:08
Namna ya Kushinda hofu na Hatia Maishani Seh. I
43:09
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 53 М.