Mungu naomba 2025 malango ya baraka mafanikiko namilango yote iliyo funguwa ikafunguke kwa jina la yesu kirsto Amen Amen 😢😢
@EmmaBaya-g7tАй бұрын
Ameeeeen eeh Mungu wangu naomba malango ya baraka zangu iwe wazi niwe mwenye kupokea baraka za afya kazi kwa neema yako
@AnithapaulKarugabaАй бұрын
Mungu naomba kufunguliwa kiroho kiimani nikue kiroho niheshimu maamuzi ya Mungu, nifunguliwe milango ya baraka, niwe na hekima, uzao wangu ukabarikiwe Yesu nisaidie🙏.
@JosephineOmari-t5jАй бұрын
Na imani 2025 wangu wakufanikiwa na sitolia wala kuteseka mwaka uhu niwa kwangu✊✊✊✊✊🔓🔓🔐
@Girlwhite4474Ай бұрын
Naendelea kumshukuru mwenyezi Mungu maana amenitendea mambo makuu Asante Mungu kwa neema yako Amina!
@Stellastella-yi5vuАй бұрын
2025 Mungu huu mwaka uwe wa mafanikio na baraka kwangu Kwa damu ya Yesu kristo
@NabwikeMwambebuleАй бұрын
Amina hakika ni mwaka wa baraka kwangu napokea Kwa jina la Yesu
@estermathias8354Ай бұрын
Mwaka huu napakata pacha wangu kwa jina la YESU
@ElizabethAminiIsomba-u4y29 күн бұрын
Amen amen 🙏🏽 🙏🏽🙏🏽
@Nauminaumi_1984Ай бұрын
Asante mungu Kwa 2025 naimani mungu si tabaki ivo nilivi lazima nilinde imani yangu ili nifau ulu
@marymessay2768Ай бұрын
Asante Mungu kwa mafundisho mazuri yamekuwa baraka ubariki mtumishiwako nibariki na familia yangu tukujue zaidi tuishi nawewe milele
@MarieMakiwaАй бұрын
Nashukuru mungu kwaku nivusha salama nahomba neema yako mungu
@berthabuseleke598Ай бұрын
Amen Mungu naomba hii neema isinipite maana ht mie nimedhamilia kufanikiwa mwaka 2025
@Nauminaumi_1984Ай бұрын
Na imani Kwa mungu ahandi zakeni hakika na kweli
@HellenDaudi-rt8olАй бұрын
Ameeeeeeeeeen Najiona nikiwa mkuu sana mwaka huu
@Graceelena-g2j22 күн бұрын
Asante Mungu ataniwezesha amen🎉nitafaulu masomo
@JeromeragiraOmbunaАй бұрын
Mungu Amen, naitisha nguvu za ulimwengu za roho ya maombi ya bwana kutoka mbinguni zikuje hapa duniani siniondolee madhabahu ya shetani kutoka kwangu nifanikiwe kila Jambo maishani mwangu milele roho zilioko Ndani mwangu za shetani sipotelee mbali na maisha yangu yarudi vyema
@RhodaMichael-x5wАй бұрын
amin yani nahis kam mimi ndo nasemwa EE MUNGU NISAIDIE
@KuvunaGondaАй бұрын
Amina🙏
@joyceshirima207Ай бұрын
Amen Ee Mungu baba naomb unikumbuke na mim 2025
@NeemaKarisa-s2wАй бұрын
Amen 🙏🙏 MUNGU nivushe nami ni vushe wenzangu niikawe hivyo kwa Jina la Yesu Amen
@HellenDaudi-rt8olАй бұрын
Asante Yesu napokea kutoka kwa mtumishi wako uliyemuamini kunivusha mwaka huu pia
@MariaAllure-z5vАй бұрын
Bwana nisaidie Mwaka huu nipokee mambo makubwa
@JosephineOmari-t5jАй бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@Marianamariana181Ай бұрын
Ahsante roho wa mungu n mkono wako uliokuwa nasi naomba maarifa na kibani nikae uwepone mwako🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@verynicejohn7384Ай бұрын
Eeeh Mungu na omba kuongozwa na wewe na kutembea na wewe
@mariyammariyam-y3uАй бұрын
Ameni❤❤❤ kwa kwel tumefika kwa mapenzi yake Mungu ni nafasi nyingine yakufanya Mambo makubwa 🎉🎉🎉❤❤❤
@ElizabethMlomo-d9xАй бұрын
ASante mungu hii neema mwaka 2025 isinipite ,ukanibadilishe bwana
@mwanaomar4698Ай бұрын
Asante Mungu kwa kunipa neema ya kufika huu mwaka,naomba Mungu wa madhabahu ya Siri za biblia uende nami nahuu uwe mwaka washuhuda kuu za ushindi na Mungu ajitwalie utukufu
@klm645Ай бұрын
Asante mungu kwa nipa neema
@PeterKayanzaАй бұрын
Nashukuru Mungu umenitendea Imani ya kujifunza mambo mengi kupitie Siri za biblia Amen🙏🙏🙏
@MutambalaSelemaniАй бұрын
Amen amen
@mua24-b2dАй бұрын
Umezungumza na mimi pia, nakuelewa, niko tayari
@dativamremi1235Ай бұрын
Thank You Jesus
@davidkadenge1902Ай бұрын
Amen mtumishi
@HellenDaudi-rt8olАй бұрын
Natamani sana nikuwe kiimani mimi ni mtu mkubwa sana nitaishi na kufika mbali kwa imani
@vedastogwido5311Ай бұрын
Amina aminaa
@NchamaLudeАй бұрын
Ameen
@LivingMindfullyWithKwizeraАй бұрын
I receive ! ❤
@SalomePeter-lf6gfАй бұрын
Aminaaaaa
@LivingMindfullyWithKwizeraАй бұрын
THIS IS THE YEAR !!
@furahamkonda5112Ай бұрын
AMEN
@JumaAugusto-du5buАй бұрын
Asante kwa mafunzo yako mazuri kwenye yutb asante sana psta mungu akupe mwaka mingi vya kuishi hapa duniani ubarikiwe sana sana 👏👏👏🌒🌒🌒🙋🙋🙋