KAULI ZA KUTAMKA KWENYE MAOMBI YAKO ILI UJIBIWE HARAKA

  Рет қаралды 40,757

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

Жыл бұрын

Zaburi 107:28
Wakamlilia BWANA katika dhiki zao, Akawaponya na shida zao.
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/sirizabiblia
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Пікірлер: 220
@angelmoris9384
@angelmoris9384 Ай бұрын
Mungu nisaidi kila ninaposhika ujauzito unapotea mungu naomba msaada wako
@helinahenry2363
@helinahenry2363 Жыл бұрын
Amen, Kuna kipind mtu unatingwa unashndwa hata kuwa busy na KAZI kwa stress Kila inachokifanya hakitiki yaan ni stresss Kila siku, tuombeane wapendwa
@nasimiyujustine
@nasimiyujustine Жыл бұрын
Amen
@godeselagosbert434
@godeselagosbert434 11 ай бұрын
Najiunganisha na muujiza wangu wa kupokea kazi yangu ya uhasibu
@godeselagosbert434
@godeselagosbert434 11 ай бұрын
Aimee
@MarthaHitra
@MarthaHitra 2 ай бұрын
Amina 🙏🤚 so
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Taarifa za daktari hainizuii kupokea baraka zangu toka kwa MUNGU
@faridadauda3227
@faridadauda3227 Жыл бұрын
Yesu Mwokozi naomba usinipite unapozuru wengine. Hakika nahitaji msaada wako Bwana. Amina
@user-ey6vo2rc7y
@user-ey6vo2rc7y 10 ай бұрын
Naomba unibebe katika kuwaombea watoto wangu wenye kuhangaika kutafuta lakini hawana mafanikio.umaskini umetutawala
@user-ur1bs3vk2p
@user-ur1bs3vk2p Ай бұрын
amen mungu nisaidie baba nijaze nguvu yamaombi
@SurprisedHopscotch-fw8rw
@SurprisedHopscotch-fw8rw 16 күн бұрын
Mungu naomba unisaidiye nipate mme nipate kazi
@LawrencebarakaNyaoke
@LawrencebarakaNyaoke Ай бұрын
Mungu nipigie katk maisha yangu nami nifike kwenye nchi ya ahadi uliyoniandalia km wengine
@elizabethmartin854
@elizabethmartin854 20 күн бұрын
Niombee mtumishi was mungu Kwa ajili yakijana wangu ache bangi
@dionizntorock5078
@dionizntorock5078 9 ай бұрын
Asante Sana mtumishi ubarikiwe
@MagdalenaAyubu-ox5fz
@MagdalenaAyubu-ox5fz Жыл бұрын
Mungu naomba unibariki niwe na hekima nikiwa na hekima Nadhani yote nitayapata mbele za Mungu Amen Mtumishi wa Mungu Mungu Kubariki kwa Huduma hii nimebarikiwa 🙏🙏
@NathanielTindi
@NathanielTindi Жыл бұрын
Amen!Eeeh Mungu naomba unipe kibali mbele zako uniepushe na maadui na mitego yao kwa jina kuu la Yesu Kristo aliye hair.
@user-pu4ys8cf5e
@user-pu4ys8cf5e 11 ай бұрын
Mungu naomba nisaidie usiniache babaangu katika wakati mgumu ninaopitia nakuhitaji wewe tu muumba wangu
@alicethobias932
@alicethobias932 7 ай бұрын
Mungu nisaidie nivushe nchi ya irak
@user-cs6mk3ry5h
@user-cs6mk3ry5h 6 ай бұрын
Barikiwa zaid mtumishi wa MUNGU zaidi kutufunulia Siri za ufalme wa mungu
@linet6663
@linet6663 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏,May God be with us always 🙏🙏
@user-lo1nw1sy7l
@user-lo1nw1sy7l Жыл бұрын
Mungu Wangu,, naomba msaada wako,,, nibadilishe maisha yangu,,,, yakuelekee wewe tu Bwana wangu❤
@FarhO-r7m
@FarhO-r7m 2 күн бұрын
Amen Amen
@ReginaBenjamin-ij2ec
@ReginaBenjamin-ij2ec 2 ай бұрын
Asante sana kwa mafunzo yako mungu akupe afya njem
@user-vl3pr8rh9q
@user-vl3pr8rh9q 9 ай бұрын
Asnte mungu asante sana❤
@phylisselebwa4716
@phylisselebwa4716 Жыл бұрын
Amen 🙏,,,Mungu usinipite , Asante kwa neno mtumishi
@user-gn3ln6ce4z
@user-gn3ln6ce4z 11 ай бұрын
Amina mtumishi wa mungu unazidi kunitia moyo ktka maombi yangu ubarikiwe
@safialuhizo4979
@safialuhizo4979 Жыл бұрын
Ameen mtumishi nimebarikiwa Kwa mahubri haya,,naamini juhudi yangu ya maombi iko jibu
@user-zh1kf9di2x
@user-zh1kf9di2x 5 ай бұрын
Naomba tuwasiliane
@rehemamalechela768
@rehemamalechela768 Жыл бұрын
Asante bwana yesu ww unajua yaliyomoyoni mwangu
@chazkkasubi
@chazkkasubi Жыл бұрын
YESU KRISTO mwokozi unapopita Kwa wengine kwenye biashara yangu usinipite
@joanbenezeth8677
@joanbenezeth8677 Жыл бұрын
Usinipite mwokozi Unisikie kilio changu, uniguse Yesu wangu.
@user-gd1yp1tu6g
@user-gd1yp1tu6g 9 ай бұрын
Amina
@jenifadaniel7752
@jenifadaniel7752 Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe mtumishi wa Mungu! Binafsi namuomba sana Mungu lakini hakuwahi kunijibu kama ni kufunga ninafunga adi najiuliza sijui nakosea wapi kila mahali ninapojaribu kuomba kazi inashindikana sijui ata nitaomba ombi gani ili Mungu aweze kunijibu
@emanulyamuya9966
@emanulyamuya9966 Жыл бұрын
Mungu afanye kwako njia usikate tamaa wakati upo utafutwa machozi
@phylisselebwa4716
@phylisselebwa4716 Жыл бұрын
Endelea kufunga kwa maombi,,,Mungu atakujibu kwa wakati wake dada
@FabiolaJoseph-iq5kw
@FabiolaJoseph-iq5kw 11 ай бұрын
Shalom,Jitahidi kuitolea Maombi yako Sadaka MUNGU atakujibu
@marrykajala1450
@marrykajala1450 2 ай бұрын
Pole tuombeane tutiane moyo mm nimeomba sana nimeombewa san nimezfunga japo sio sana najiuriza wap nimefer Yan ndo ugonjwa unaongezeka mmi nimuimbaji nitaimba rin sasa
@DanieryWangao
@DanieryWangao 29 күн бұрын
Asante kwa msfunfisho
@FaidaWilly-du8ts
@FaidaWilly-du8ts Жыл бұрын
Pana shukuru Mungu salama maombi yako ya siri ya biblia.niko Congo.
@JumanneShingsha-ks4vb
@JumanneShingsha-ks4vb Жыл бұрын
Amen 🙏🙏❤️
@magdalenamagdalena8263
@magdalenamagdalena8263 Жыл бұрын
MUNGU nisaidie mm pamoja na familia yangu
@juliuskalawa7860
@juliuskalawa7860 Жыл бұрын
Hakuna kukata tamaa naamini muujiza wangu upo karibu
@user-yk3po2ll7n
@user-yk3po2ll7n 7 ай бұрын
Mungu unaweza unaweza, unatupeleka US mimi na familia yangu. Ameeen
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 Жыл бұрын
Asante YESU KRISTO, Nipe nguvu nisikate tamaa kwamwe
@maseaJoe8676
@maseaJoe8676 10 ай бұрын
Asante pastor Amen Amen
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Nakuelewa mtumishi wa MUNGU
@cosmusruwa236
@cosmusruwa236 Жыл бұрын
Amen mtumishi Nakufuatilia,Tuko pamoja
@LilianPeter-qt1vc
@LilianPeter-qt1vc Ай бұрын
Amen 🙏🏻🤲🏻
@melisaawiti867
@melisaawiti867 Жыл бұрын
Amen PST for the wonderful teachings
@JestinaKalama
@JestinaKalama Ай бұрын
Ameen
@user-ku6pm4ys1v
@user-ku6pm4ys1v 11 ай бұрын
Amen amen
@devothaisaya5833
@devothaisaya5833 Жыл бұрын
Ameni sitakata Tamaa Mungu atatuponya nakutubariki Amen
@esterlyanga26
@esterlyanga26 Жыл бұрын
Amen, ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa somo zuri sana, binafsi nimebarikiwa
@Ldm7846
@Ldm7846 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 Asante Bwana wetu Yesu Kristo
@mercymwaniki-ot5be
@mercymwaniki-ot5be Жыл бұрын
Ameen🙏niombee nimeanzia biashara ya online marketing nlikua nime give upp but umenizaidia 🙏🙏🙏🙏
@moseskulola6913
@moseskulola6913 2 ай бұрын
Amen
@ruthnamarigo8289
@ruthnamarigo8289 Жыл бұрын
AMEEN mtumishi,,,naomba umuombee mama yangu amekuwa mtu wa magonjwa tu Leo mzima hamalizi wiki mgonjwa Tena eeh MUNGU anisaidie
@godeselagosbert434
@godeselagosbert434 11 ай бұрын
Ee mungu nimeomba Kwa miaka mingi sana juu ya upenyo na uhamsho Bwana usinipite
@edwinjanson304
@edwinjanson304 Жыл бұрын
Amen mtumishi unarikiwe sana na mungu
@user-sy5mh4ez3n
@user-sy5mh4ez3n 5 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙌
@faithfaylinn9779
@faithfaylinn9779 Жыл бұрын
Ameeen!Sitakuacha Mungu wangu!
@consolataanyambilile-mr5ph
@consolataanyambilile-mr5ph 9 ай бұрын
Mungu wangu naomba niondolee Hali ya uzito nijalie wepes katika maisha yangu yote magonjwa yote yanayonishikilia yakapate kuniachilia pia naomba nisaidie nifanikiwe nimepitia magumu kwa kipindi kirefu, niokoe yehova
@Peterolengo
@Peterolengo Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu nakuomba uendelee kutubaliki na utujibi maombi yetu naamini kwamba unatenda natena utatenda nikwajina la Yesu muokozi wetu Amen🙏🙏🙏
@dorothychilembo-py7bo
@dorothychilembo-py7bo Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi kwa somo zuri
@DevotaJohn-id1td
@DevotaJohn-id1td Жыл бұрын
Mungu akubaliki na akutunze sana
@BarekeTumaini
@BarekeTumaini 10 күн бұрын
Ameeen
@johntarmo
@johntarmo Жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu ubarikiwe sana
@abigaelmwadena2262
@abigaelmwadena2262 Жыл бұрын
Ameen hakika Mungu nmwema nhujibu kwa wakati wake barikiwa sana❤🎉
@vicenttarimo2203
@vicenttarimo2203 10 ай бұрын
Amina. Endelea kutufundisha na kututia moyo mungu aku JJ alie afya njema ubarikiwe.
@GloryMsofe-gr3st
@GloryMsofe-gr3st 8 ай бұрын
Amen🙏🙏
@fatumakitwara4793
@fatumakitwara4793 Жыл бұрын
Amen 🙏🏽 🧎🏽‍♀️🧎🏽‍♀️🧎🏽‍♀️🧎🏽‍♀️usinipite Mwokozi 😂😂😂😂 unisikie katika shida zangu Ee Yesu🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🩸🩸🩸🩸🩸
@godeselagosbert434
@godeselagosbert434 11 ай бұрын
Mungu dhiki yangu ni kupata ajira ni haki yangu kupata . Aimee
@anarosenicodem5913
@anarosenicodem5913 Жыл бұрын
Ameen bariki wa Mtumishi
@MarthaShimba-ui3gn
@MarthaShimba-ui3gn 10 ай бұрын
Ameni🙏
@anneochare4028
@anneochare4028 Жыл бұрын
Amen Amen Amen 🙌 be blessed
@user-fs5hl7pq3z
@user-fs5hl7pq3z Жыл бұрын
Amen amen amen🙏 Mungu azidi kuku bariki
@LSjr144
@LSjr144 10 ай бұрын
amen
@rizikishamimu7188
@rizikishamimu7188 Жыл бұрын
Amen Mungu mwenye nguvu nisaidie kukujua zaidi na kulitii Neno lako Mungu nisaidie
@IreneWillim
@IreneWillim 10 ай бұрын
Naihitaji maombi yako mtumishi,napitia magumu sana katika ndoa na uchumi kiujumla.
@joyobungu-rm7xf
@joyobungu-rm7xf 2 ай бұрын
Nakuhitaji tu Mungu kw mazuri na mabaya eeenh Mungu wangu
@eli_tzmtepeka4879
@eli_tzmtepeka4879 2 ай бұрын
Asante 😢😢😢😢
@user-be9ns8st4b
@user-be9ns8st4b 11 ай бұрын
Amen mu ngu anikumbe na maombi yangu yapate kibali cha kazi
@johanithakaihula5351
@johanithakaihula5351 9 ай бұрын
Hakika nahitaji msaada wako bwana asante sana mungu wangu amina
@paroma3249
@paroma3249 Жыл бұрын
Ameen mtumishi umenigusa sana 🙏 😢 😞 😔
@paroma3249
@paroma3249 Жыл бұрын
🙏🙏 Mungu wetu awe na sisi Katikati shida zetu
@MiriamPatrick-mn1rs
@MiriamPatrick-mn1rs 9 ай бұрын
Amen mtumishi mm nipo Kenya nitatuma sadaka yangu aje .
@godeselagosbert434
@godeselagosbert434 11 ай бұрын
Mtumishi dhiki yangu ni ajira
@NaomiBahat-bz6ri
@NaomiBahat-bz6ri 2 ай бұрын
Amen Mungu nipiganie
@ernestmwata4218
@ernestmwata4218 Жыл бұрын
Ameen 🙏🙏🙏
@hilidagardajacob240
@hilidagardajacob240 Жыл бұрын
Amen mtumishi
@ClaraMharuka
@ClaraMharuka 5 ай бұрын
Ubarikiwe San mtuwamungu
@fridahmwende5449
@fridahmwende5449 Жыл бұрын
Amen mungu ni mwaminifu,na atabaki kua mungu...namshukuru sana huyu Yesu kwa neema zake
@anjelinamgude808
@anjelinamgude808 Жыл бұрын
Amina🙏
@amisakiza1538
@amisakiza1538 Жыл бұрын
Amina atukuzwe Mungu atuwazihaye mema kilasiku 🙏🙏🙏🙏🙏
@nyakatongongo4292
@nyakatongongo4292 Жыл бұрын
Amen Amen ndugu wapendwa tufunge Mungu ni hajabu ni mara yangu ya kwanza kufunga masaa 24 ijumaa iliyopita ila Mungu wetu alinipa nguvu kinyume kabisa na nilivyotarajia hivi nafurahia kuunga masaa 24 na nina Amani
@CalistaAlex-xf7vw
@CalistaAlex-xf7vw Жыл бұрын
Umetufanya tukue kiroho naki imani pia barikiwa mtumishi wa MUNGU
@carolinanyongesa
@carolinanyongesa Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 mungu azidi kusimama na Hali zetu
@victoriadickson6931
@victoriadickson6931 Жыл бұрын
Amina Mungu akubariki mtumishi
@JamesTimba-bz1by
@JamesTimba-bz1by 9 ай бұрын
Ee Mungu nisaidie nikujue ww zaidi
@felisterndeule-oc3yv
@felisterndeule-oc3yv Жыл бұрын
Emwenyezi MUNGu unikumbuke mm kwa wakati huu ninaopita nao
@johanithakaihula5351
@johanithakaihula5351 9 ай бұрын
Yesu mwokozi naomba usinipite unapozuru wengine
@fourgmobile1969
@fourgmobile1969 Жыл бұрын
Ameeeen Ameeeen barikiwa mtumishi
@evampuya-mp9vf
@evampuya-mp9vf Жыл бұрын
Bint yangu amelala kitandani zaidi ya miaka kumi mtumishi wa mungu naomba msaada wako ktkt maombi
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 Жыл бұрын
atasimama tena kwa jina la Yesu
@marrykajala1450
@marrykajala1450 2 ай бұрын
Nateseka San mwaka watano mtumishi niripo mariza tu uzinduz ugonjwa ndo ukazd nikienda studio kuimba unaugua nikiimba nakabwa mwili unaishiwa nguvu vidonda vyatumbo miaka mitano ukienda kupima vpimo vkubwa hauonekan rakin naumwa niwe sjara tumbo rimejaa mgongo kifuani Pana waka moto sisikii njaa hata wik sirag chakula kingine zaid yaugal mlenda mchan najion miaka mitano naumia Kwa nn siimbi tena​@@sirizabiblia5276
@anarosenicodem5913
@anarosenicodem5913 Жыл бұрын
Am3en❤
@estherchanga8040
@estherchanga8040 Жыл бұрын
Mungu nipe nguvu ya kukujua zaid na zaid
@ChristianMakundi-u7p
@ChristianMakundi-u7p 9 күн бұрын
❤❤❤❤
@NizaLuka-gi8hf
@NizaLuka-gi8hf 7 ай бұрын
Amina usinipite mokozi
@AliceMwendwa-lg4pt
@AliceMwendwa-lg4pt Жыл бұрын
Amen Kama Mimi Niko kwa mapito mangumu sana lakini namwamini mungu two
@johanithakaihula5351
@johanithakaihula5351 9 ай бұрын
Mungu awe pamoja nawe postor
@emilypatrick5509
@emilypatrick5509 Жыл бұрын
Amen amen MUNGU ongeza imani YANGU ili nisikate tamaa 🙏🙏🙏
JIFUNZE KUOMBEA NDOTO UNAZOZIOTA KILA SIKU // DAY 7
35:50
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 23 М.
OMBA HIVI, NA TATIZO LAKO HALITAJIRUDIA TENA // UWEPONI MWA MUNGU
17:15
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,7 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 63 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 17 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 97 МЛН
MAOMBI YA KUOMBA KIBALI / NYOTA,    MAOMBI YA KUONDOA ROHO YA KUKATALIWA
9:01
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 26 М.
MAOMBI YASIYOSHINDWA
45:23
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 163 М.
NJIA KUU TATU ZA KUMSIKIA ROHO MTAKATIFU
19:24
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 210 М.
MBINU ZA KUOMBEA MAJARIBU || Mwl Christopher Mwakasege
1:23:21
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 142 М.
ISHARA KUBWA-MUNGU ANAPOTAKA KUKUBARIKI
13:59
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 22 М.
MAOMBI YA VITA YA MKOMBOZI WA FAMILIA // MBINU ZA KUPAMBANA
27:35
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 26 М.
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,7 МЛН