Ee mungu wangu medrick sanga

  Рет қаралды 269,331

Lydia Andicha

Lydia Andicha

Күн бұрын

Пікірлер: 181
@DanielPeter-h8n
@DanielPeter-h8n Ай бұрын
Nani yuko hapa 2025 gonga laik ili nirudi tena kuskiliza wimbo huu mzuri
@lameckyohana8496
@lameckyohana8496 2 күн бұрын
😅🎉
@farajapius2700
@farajapius2700 Күн бұрын
🙌🙌🔥
@AngelMgonja
@AngelMgonja 14 күн бұрын
Anyone here 2025 lets praise GOD😊
@realscholarships-bolde.2344
@realscholarships-bolde.2344 6 күн бұрын
This song reminds me in 2010 😊😊, of our tenant she liked to play this song, God bless her wherever she is🎉🎉🎉
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 2 ай бұрын
Nakumbuka wakati namalizia shule ya msingi mwaka 2008 huu wimbo hakika ulikuwa!!! Hadi leo hii ni mpya!!! Amen, Bwana Yesu Kristo asifiwe!! Nampenda Bwana Yesu!!!
@ChristopherMuganda-c9s
@ChristopherMuganda-c9s 2 ай бұрын
KWELI YA KALE NI DHAABU:Sauti nzuri na tamu ya kumtukuza MUNGU. Sijui yuko wapi huyu mtumishi wa MUNGU? Kama bado yu hai ABARIKIWE SANA.
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 2 ай бұрын
@ChristopherMuganda-c9s yuko hai, anakula vitu vinono.
@neicoltd3496
@neicoltd3496 Ай бұрын
Wakati huo wimbo ulikuwa umeshatoka kitambo. Huu wimbo ni wa kati ya 1999 au 2000
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f Ай бұрын
@neicoltd3496 hapana, si kweli, huu wimbo ulitoka mwaka 2007
@leoncematara284
@leoncematara284 24 күн бұрын
Qq
@MamaJanet-e2r
@MamaJanet-e2r 2 ай бұрын
Asante Sana ndugu nikiuskia wimbo uuu nakumbka mbari nilipotokea namateso ya dunia iiiii
@PonsionoMamboleo
@PonsionoMamboleo 2 ай бұрын
Ilinipa nguvu sana 2008..nikiwa nimekata tamaa sana....miaka mitano mbele nikakutana na Medrick Sanga live chuoni RUCO getting, nilifurah sana nikaomba kumshika mkono....baraka teele na upako, sintosahau......my best song ever...."ee Mungu wangu...mbona umeniacha.......Mungu wangu uko wapi.....
@SelinaChikawe
@SelinaChikawe 9 күн бұрын
Nimenyang'anywa kilakitu na familia sina pakukimbilia kupitiawimbo huu naomba faraja kwako munguwangu
@MariamKarembo
@MariamKarembo 11 күн бұрын
Huu wimbo naupenda sana❤❤❤❤ ninapopitia kipindi kigumu unanifariji moyo wangu😊😊🙏
@IreneMsile
@IreneMsile Ай бұрын
Nasikia amani hata kama nina huzuni hii nyimbo inanibariki barikiwa sana❤❤
@ZainabuMagari-e1i
@ZainabuMagari-e1i Ай бұрын
Huu wimbo naaza nao mwaka jaman unanifariji sana
@MD4099-f2y
@MD4099-f2y 3 сағат бұрын
This song reminds my Grandma liked to play dis song wen we’re little kido. You are blessed MEDRICK SANGA….RIP MY GRANDMA ❤
@AlexNgoka-z3n
@AlexNgoka-z3n 7 күн бұрын
Uduma nzur sana mungu awenawe
@StevenGendo-vx9jo
@StevenGendo-vx9jo 2 ай бұрын
Yuko wap jaman medrick sanga, wimbo wa hisia Sana ❤❤❤❤
@ebenezerdavid10
@ebenezerdavid10 2 ай бұрын
Who is Listening Till 2024!!😊
@RubenMzungu
@RubenMzungu Ай бұрын
am here till 2050
@FarajaamaniMtua
@FarajaamaniMtua 29 күн бұрын
amen
@FadhiliMdetele
@FadhiliMdetele 7 күн бұрын
Who is listening till 2024!!❤❤
@JosephMayala-s6m
@JosephMayala-s6m 2 ай бұрын
It reminds me of my past!... I had unknown life, I had nothing to posses nothing to give but thanks to God now atleast I have smartphone I can watch this song over and over again😢 in my own
@AlisiaMagezi
@AlisiaMagezi 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi umenikumbusha mbali sana jamani Medrick Sanga Mungu awe nawe daima
@Suleimanhakimu
@Suleimanhakimu Ай бұрын
🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤maneno mazuri yakumtukuza mungu na kumsifu wakati wakuhitaji msaada hongera barikiwa kwa Neema uliyonayo ktk kristo yesu ,pia huu wimbo unanikumbusha jambo fulani
@edithanicodemu8690
@edithanicodemu8690 Ай бұрын
Maneno ya faraja sana Mungu uko wapi
@EDITHACHINGUILE
@EDITHACHINGUILE 2 күн бұрын
Jamani nilikuwa naipenda hii albam nzima niliisikiliza toka 2011 kama sikosei
@barakacmwanza
@barakacmwanza Күн бұрын
Mie tangu 2008 kipindi nikiwa pale pale makongolos, lakini hadi leo ni ❤
@ShukranKasiano
@ShukranKasiano Ай бұрын
mungu mwema abarikiw kama man duuu 2024 tunaicha siku sinyingi mungu saidy famly yangu amin
@Chrismadiba1
@Chrismadiba1 Ай бұрын
Mungu akubariki medrick kwa ujumbe huu unanifaliji kwa mateso ninay pitia n meng sana naiman ipo siku yataisha
@ObadiaNiyomwungere-ee1jl
@ObadiaNiyomwungere-ee1jl 2 ай бұрын
I'm from burundi asate sana hiyi wimbo ndayikunda cane
@elizabethrichard7694
@elizabethrichard7694 Ай бұрын
Hii nyimbo inanikumbusha mwaka 2011 nimejifungua kwa op nipo hoi kitandani nipo nusu mtu nusu mfu nilikuwa naisikiliza mala kwa mala aipiti siku nasikiliza ata mala 5 Mungu nimwema leo bado siku 5 niingie 2025 namshukuru sana Mungu
@HeriDotto
@HeriDotto Ай бұрын
Asante kwa shukulani maana nimeukumbuka sana bado nikiwa mdogo baba angu alikua anupenda sana❤❤❤❤❤
@Mary-z5i1s
@Mary-z5i1s 2 ай бұрын
Mungu wangu uko wapi mi mwanao ninakutafuta🙏🙏🙏❤️❤️
@hammerymachogu3885
@hammerymachogu3885 2 ай бұрын
Mtumishi Sanga uko wap hatusikii tena huduma yake ,ukitugusa sana nakumbuja chuoni Moshi Muccobs, pia sumbawanga, zaidi nashukuru nilikuona live mbeya, barikiwa sana .pls km upo nchi toa wimbo mana nilisikia kuwa umeona mzungu yawezekana uko nje ya nchi
@amandokanondo4734
@amandokanondo4734 2 ай бұрын
Merrick mungu akubariki ulitilia sana huu wimbo
@UpendoDavid-c9p
@UpendoDavid-c9p 7 күн бұрын
Mimi niko hapa unanifariji sina nateseka
@NdayiOnesime
@NdayiOnesime 9 күн бұрын
Nice 👍👍👍😢😢🎉
@Aminatomas-q4u
@Aminatomas-q4u 10 күн бұрын
T❤❤❤❤pamoja sana kaka
@barakangobito4392
@barakangobito4392 2 ай бұрын
Wacha tuendelee kusikiliza ujumbe huu mzuri 2024
@FaridahRashid-j1t
@FaridahRashid-j1t Ай бұрын
Mungu wewe ni mungu.Kwa ukweli huu wimbo unanikumbusha wakati kila mtu alinikataa
@atnasijacob9410
@atnasijacob9410 26 күн бұрын
Who is listening till 2025
@Hellenmoronge-is6kq
@Hellenmoronge-is6kq 7 күн бұрын
@RAIVONMWAKALANJE
@RAIVONMWAKALANJE Ай бұрын
Kaka angu medercki sanga mungu akubaliki sana mtumishi uzidi kupata kibali kila mara natamani utohe nyimbo mpya lakini nakuona ukobize mikutano mingi sana lakini mwaka 2025 lazima tutohe nyimbo ya pamoja nimmi raivon mwakalanje mdogo wako ninaimani tutafanya ivyo kaka mungu atupe uzima tuuu
@JumaMatiko-zp5nm
@JumaMatiko-zp5nm 2 ай бұрын
Nilibarikiwa na hii nyimbo mwaka 2007.it was the time I can't forget this song.
@RashidMahemba
@RashidMahemba Ай бұрын
med daaa unanikumbusha mbal sana kwa hii nyimbo mungu akubaliki
@AgnessIlumba
@AgnessIlumba 2 ай бұрын
Naupenda sana huo wimbo ubalikiwe sana
@samsonchacha7108
@samsonchacha7108 2 ай бұрын
The song made my year,when I was completing my form four 2008
@mbaralidc1404
@mbaralidc1404 5 ай бұрын
Kila asubuhi kabla ya kazini na baada ya kazini, kabla ya kulala lazima nisikilize huu wimbo❤
@LydiaJaphet-bl4df
@LydiaJaphet-bl4df 5 ай бұрын
Ameeen
@IsayaKitaly-n9u
@IsayaKitaly-n9u 2 ай бұрын
Barikiwa mtumishi kwa nyimboo nzurii❤❤❤
@NakazibweMadinah-o8l
@NakazibweMadinah-o8l 2 ай бұрын
Asante sana unanikumbusha mbali
@apollobupolo9884
@apollobupolo9884 6 ай бұрын
Ila ubarikiwe sana jamani wimbo naupenda sana
@AgnessCharlz
@AgnessCharlz Ай бұрын
Nakumbuka mwaka 2009 niliusikuliza kwenye bas nikiwa naenda mbeya ❤
@hamzarobert2372
@hamzarobert2372 5 күн бұрын
❤❤Amina sanga ubarikiwe
@OrestaNgingo
@OrestaNgingo 4 ай бұрын
Mungu akubalik San huu wimbo
@BilhudaBakari-b3b
@BilhudaBakari-b3b 2 ай бұрын
Naupendasanawimbohuu.bwanaapewesifa
@lordorcas9344
@lordorcas9344 Ай бұрын
Amen 🙏 mi na kuicha choka sana na ka Tama si June pa kinda tena wala Kimbilio ❤
@BarakaEdna
@BarakaEdna 2 ай бұрын
Huu niliutafuta sana hatimaye nimeupata ahsanteni kwa kuu post Mwenyezi Mungu amubariki huyu baba na ampe maisha marefu
@alexfongnimubona1409
@alexfongnimubona1409 4 ай бұрын
Nagupenda sana mungu akongezeye nguvusana
@paulliganga2051
@paulliganga2051 2 ай бұрын
Mungu ni muweza wa yote.Amen.
@JohnMontana-c9p
@JohnMontana-c9p 2 ай бұрын
Huu wimbo niwa imani sana
@IreneKamwaya
@IreneKamwaya Ай бұрын
Daaah hiii nyimbo inanifanyagaa nitoe chozi
@AggyMaghuwa
@AggyMaghuwa Ай бұрын
nimekumbuka nilikua nasikiza wimbo huu ulinijega sana wakati ukuta wa nyumba ulipo poromoka lakini nikatoka salama 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@DianeNdayisenga-u9t
@DianeNdayisenga-u9t 3 ай бұрын
Amina baba barikiwa sana
@Milianemy
@Milianemy Ай бұрын
Hatimae huu wimbo leo nimeupata🙏🙏🙏🙏
@NakazibweMadinah-o8l
@NakazibweMadinah-o8l Ай бұрын
Mungu akulinde mahana wimbo huu unanikumbusha mbali
@IbrahimSawaya
@IbrahimSawaya 19 күн бұрын
Reo wasanii wakuiga karama hii hawapo jamani❤❤❤❤
@EMANULIPETRO
@EMANULIPETRO 2 ай бұрын
Kwel nimekumbuka mbl sana yan bas2
@StellaMgaya-i8h
@StellaMgaya-i8h Ай бұрын
Mungu amubariki sana
@IreneMsile
@IreneMsile Ай бұрын
Nyimbo yangu pendwa ❤❤❤❤
@rahellubandila1928
@rahellubandila1928 Ай бұрын
Mama Simo Bushebele nimewaona hongereni kwa kazi karibuni Dodoma
@PoulNenula
@PoulNenula 22 күн бұрын
Safi kaka Mungu akubariki
@KuvunaGonda
@KuvunaGonda 5 ай бұрын
Ubarikiwe Sana wimbo huu unanitia nguvu naimani tele
@JamesmiliaOloulu
@JamesmiliaOloulu 2 ай бұрын
Amen barikiwa sana ulie weka huu wimbo KZbin
@elizabethnzunda9223
@elizabethnzunda9223 2 ай бұрын
Mungu muweke mahali pema pepon Amina!!!!!!!!!
@AyubuSumuni-e8n
@AyubuSumuni-e8n 17 күн бұрын
Nimekumbuka mbali sana
@innocentebarnabas4615
@innocentebarnabas4615 29 күн бұрын
❤❤❤asnte sana
@jescaherry2389
@jescaherry2389 15 күн бұрын
Forever best song
@PaschalJohn-h6x
@PaschalJohn-h6x 22 күн бұрын
Nabarikiwa na wimbo huu
@Bizzo08
@Bizzo08 Ай бұрын
nafunga nayo mwaka🙏🙏🙏🙏
@collinskhaemba7525
@collinskhaemba7525 4 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@jamilamwangangi6199
@jamilamwangangi6199 2 сағат бұрын
Who else is here 2025 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@Emmiz_boy
@Emmiz_boy 22 күн бұрын
Hii nyimbo hatimaye nimeipata jamani😭😭😭😭
@rozaliabaraka8589
@rozaliabaraka8589 Ай бұрын
Wimbo huu ni baraka kweli kwa Kila mtu
@JohnWilliam-f1k
@JohnWilliam-f1k 2 ай бұрын
Mr Sanga unakubalika vilivyo
@wafiiwaii-v1d
@wafiiwaii-v1d Ай бұрын
Amen 🙌🙌
@FatumaYassini-rp5zu
@FatumaYassini-rp5zu Ай бұрын
Ata mm nakumbuka Mbari sana
@QchiefuBarnaba-u3q
@QchiefuBarnaba-u3q 2 ай бұрын
Kitambo sana dh nimekumbuka mbali sana
@SelinaHankungwe
@SelinaHankungwe 2 ай бұрын
Ubarikiwe medrik sanga🎉
@PaskaliIndae-k8p
@PaskaliIndae-k8p Күн бұрын
Medreck noma sana
@VeronikaEzekieli
@VeronikaEzekieli Ай бұрын
Huu wimbo amiimbia mm,balikiwa sana kaka
@JuniorMakala-m1u
@JuniorMakala-m1u 27 күн бұрын
❤mungu awakumbuke
@MakayimaJacklyn-y4y
@MakayimaJacklyn-y4y 4 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏💯
@RashidMahemba
@RashidMahemba Ай бұрын
Nakumbuka sana na Ile alubam ya kwanza kkt makonglos alikuwepo na dada sifa
@AcksonKisege
@AcksonKisege Ай бұрын
IN GOD I TRUST 2024🙏🙏🙏
@VeronicaMachimu
@VeronicaMachimu 5 ай бұрын
Kila nikiwa na changamoto yoyte napenda sana kusikiliza huu wimbo
@LydiaJaphet-bl4df
@LydiaJaphet-bl4df 5 ай бұрын
Ukwel kabisa dada ,unakuwa na matumaini barikiwa sana
@JuliethMabuga
@JuliethMabuga 52 минут бұрын
Am here 2025❤❤❤
@IreneZablon-kq9wf
@IreneZablon-kq9wf 9 күн бұрын
2025 tupo apa kweli Mungu alikuwepo
@lordorcas9344
@lordorcas9344 Ай бұрын
Dunia ni Haramu kueli Dunia Ni Buchungu , Ni Machozi ya Kilasiku
@SonsShop-j8o
@SonsShop-j8o 5 ай бұрын
Ubarikiwe baba
@AnjelaMichael-cn9rg
@AnjelaMichael-cn9rg 4 ай бұрын
Forever old is gold 🤲🏻🤲🏻
@YusuphZebedayo-u4j
@YusuphZebedayo-u4j 15 күн бұрын
Why im crying 🙏🙏🙏
@RashidMahemba
@RashidMahemba Ай бұрын
Med medrk sanga yupo matundas chunya
@elifazmpozayo2930
@elifazmpozayo2930 2 ай бұрын
Nmekumbuka mbali sana 🙏🙏🙏
@skilindaissa5441
@skilindaissa5441 2 ай бұрын
Nimekumbuka mbali Sana.
@SesiliaIsaya
@SesiliaIsaya Ай бұрын
Ok powa
@dinessaikong4164
@dinessaikong4164 Ай бұрын
Who is here on 31st December 2024 8:05am Tunamaliza mwaka kwa Ushindii
@EDITHACHINGUILE
@EDITHACHINGUILE 2 күн бұрын
Mwenye kujua yuko wapi jmn arudi tena
@EbeleEugenie
@EbeleEugenie 2 ай бұрын
Maneno matamu Sana Mungu aku bariki
@vivianakinyi339
@vivianakinyi339 2 ай бұрын
Hu wimbo unanifanya nakumbuka penye mungu amenitoa
Mwokozi Yesu ● Medrick Sanga
10:05
Focus Mengi
Рет қаралды 923 М.
Lini Utapita kwangu  -  Mch. Abiud Misholi (Official Music Video).
10:20
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 2,9 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
Mapambano ● Medrick Sanga
10:10
Focus Mengi
Рет қаралды 857 М.
Pesa Ni Maua
13:35
Ndayiragije Isack
Рет қаралды 98 М.
KISHINDO CHA WAKOMA (OFFICIAL VIDEO) - NJIRO SDA CHOIR
6:32
Njiro SDA Church
Рет қаралды 16 МЛН
Tupate wapi  -  Neema Mwaipopo (Official Music Video).
8:04
Neema Mwaipopo
Рет қаралды 164 М.
WARAKA WA AMANI ESTER
12:55
fimtespa
Рет қаралды 444 М.
MISULI YA IMANI BY AMBWENE MWASONGWE (Official Music Video)
8:06
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 1,4 МЛН
Nataka kuvuka-Bwana niongeze-Roho wa Bwana by pastor Collins Khisa.
19:55
Pastor collins khisa
Рет қаралды 695 М.
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Israel Mbonyi
Рет қаралды 71 МЛН
Nyimbo za Kuabudu na Maombi
1:00:07
Lucas Kaaya
Рет қаралды 688 М.
Bahati Bukuku - Waraka (Official Version Video)
12:54
Injili
Рет қаралды 6 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН