Nmekumbuka mbali saana 20/9/2018 saa 1:48 alhamis nliponusulika kwenye ajar ya MV nyerere ndani ya ziwa Victoria kutoka bugorola kwenye kisiwa cha Ukara,kwa kwel sitosahau,mm pia ni manusura nko ukerewe mkoa wa mwanza
@maryamoman13704 жыл бұрын
Pole kakaaa
@neemaendward48974 жыл бұрын
Pole na hongera
@Tanganyika-w5p7 ай бұрын
Daaa aisee pole sana.. Mungu amekupa nafasi nyingine
@namsamson34434 жыл бұрын
Atleast walimkumbuka Muumba wao siku zao za Mwisho. Poleni sana kisa kinasikitisha ila kinatupa matumaini kwamba watu wamejikabidhi kwa Mungu
@richardfrank27304 жыл бұрын
Kwa kumtumia kiangozi hapo ambaye alinusurika na ajali ya MV Bukoba ingetengenezwa a move nzuri ambayo itasisimua na pia itabaki kama historical kwa vizazi vijavyo
@sanyamwita18534 жыл бұрын
Ameandika vitabu kuhusu hiyo ajali
@kiuwamhina28024 жыл бұрын
Amefanya vizuri sana kuandika kitabu coz what he saw is in the book
@Tanganyika-w5p7 ай бұрын
Hahahaahaa Baby Kabai Alijitahidi sana kuishi na Mheshimiwa Hassan Ngoma. Jama anaongea ukiwa unaongea. Huyu jamaa anachekesha
@gloryshayo68744 жыл бұрын
Jamani watangazaji muwe mnamuacha mtu ajieleze msimkatishe
@mkwayamasanja70783 ай бұрын
MU NGU Ni MWEMA
@adamfundikira10293 жыл бұрын
Kifo uwa kinamwita mtu raiti kama mtu angekuwa anaijua siku asingepanda Ila kwakuwa kifo ni fumbo ndo hivyo Mungu atuzidishie uhai mpaka nimetetemeka sana lakini namuamini Bwana Yesu
@zulishoo94962 жыл бұрын
Sema Laiti sio Raiti
@agnesmajuramangombe9862 жыл бұрын
Acheni maneno mengi sifa na utukufu zimrudie mungu
@patrickmipawa15524 жыл бұрын
Clouds 360 kipindi ni kizuri, ningeshauri itafutwe pia taasisi ya Serikali inayosimamia usafiri wa majini itupe maboresho yaliyofikiwa mpaka sasa ya usimamizi wa usafiri huo wa majini na takwimu za ajali.
@hastomatumla50172 жыл бұрын
Hii ajali ya Mv Bukoba ni uzembe wa wahusika full stop
@giztony20092 жыл бұрын
He is such a good story teller!
@calvinpaul21714 жыл бұрын
Watangazaj mbonaa kiherehere sana siklizen story
@daudminzi-pb3je7 ай бұрын
Hamjui hata kuhoji hamkupagilia mswali
@abdelehmanmwenda78114 жыл бұрын
Wanaharibu story hawa watangazajiwanashindwa kumuacha MTU ajieleze
@ashaismai81144 жыл бұрын
Hapo ndo panakera....wanakuwa wajuaji sana hawa
@neemaendward48974 жыл бұрын
Yani wana kera kweli
@milleniyahmohamedy87874 жыл бұрын
Watangazaji mnaalibu story
@manfredkibona31267 ай бұрын
Maji hayafai depth ta mita 25 inaua watu wengu hivo
@lungusii4 жыл бұрын
Kweli dada Ulaya na Uingrreza
@isaacgwams80804 жыл бұрын
Big up sana kaka we ni shujaa
@fenrickmsigwa74374 жыл бұрын
Very interesting
@piusnkwale4 жыл бұрын
Stori ya kusisimua sana
@khatibuhabibu24654 жыл бұрын
Daah, inahuzunisha sana
@milleniyahmohamedy87874 жыл бұрын
Hasan mnauliza vitu gani huwezi ona mtu ndani ya maji, sio swiming pool apo
@neyngumungu24034 жыл бұрын
Baada ya hapo mlipona wagapi
@colethamichaelkishinda9032 жыл бұрын
Nmecheka Kama mazur,et bukuta kaona inaele
@vicentmaganga36874 жыл бұрын
Nyaisa nakushauri tengeneza movie ya hiyo story nzima ya tukio uliyoiandika.
@gappymtambalike44302 жыл бұрын
Angekufa tuanaroho mbaya huyu baba mshenzi sana hapo anajieleze a hapo
@gracegeorge48482 жыл бұрын
Amekufanya nini shogaangu
@christopherjoseph99812 жыл бұрын
Why unasema ana roho mbaya?
@israelkisaila8401 Жыл бұрын
Unamjuwa?
@Tanganyika-w5p7 ай бұрын
Manyoko
@manfredkibona31267 ай бұрын
Umepigwa tukuo na mhanga😅
@jamesmliba25144 жыл бұрын
Kipindi kizuri but watangazaji sio professionals
@tausingomeni25684 жыл бұрын
Nimeenjoy huku mwesho, aandike kwel visaa vyao wanaume
@israelkisaila8401 Жыл бұрын
Jamani kafute jina lako pale nyamagana
@kendrickerick80273 жыл бұрын
Where to get this book Jaman.. i want this
@samehemwinuka40874 жыл бұрын
watangazaji mnaongea cn
@ashafelix83324 жыл бұрын
Alivyoona jina lake kama miongoni mwa marehemu alijisikiaje?
@israelkisaila8401 Жыл бұрын
Yani,atakuwa alilia sana
@tausingomeni25684 жыл бұрын
Dah, hii stori mpk nasisimuka mwili ,
@derrikdesertman45643 жыл бұрын
Naomba nikuone unavyosisimuka
@ashurakiswamba70852 жыл бұрын
Siku nyingine km hamuwezi kumuhoji mtu msituletee mmekuwa wambea km nyie ndio mlio kuwa mv bukoba pumbavuu
@ashurakiswamba70852 жыл бұрын
MNAJUWA NYIE MNAKERA ALIOZAMA MWINGINE MNAMSEMEA NDIO NINI?
@hopefor20883 жыл бұрын
Huyu mtngzaji wakiume anauliza maswali hayan maana sijui wamemuokotea wapii
@ringoaskali76253 жыл бұрын
sauti ndogo sana
@kenedytheonest27982 жыл бұрын
Huyu mtangazaji msumbufu saana
@Tanganyika-w5p7 ай бұрын
Hahaahahaha huyo anaitwa Mheshimiwa Hassan Ngoma
@lazaroletion4 жыл бұрын
Kuondoa mkosi kwa kufanya kafara ama kimila ni imani, nakumbuka 2015 nilipitia msukosuko nikafungwa pingu, baaadhi wakaniambia katambikie/kamuone mtaalamu wa mambo ya jadi. Nashukuru Mungu toka kipindi sijapitia misukosuko ya polisi wala sijaenda kutambiaka wala nini.