Namshukuru Mungu mtumishi sana nimepona Kwa mafundisho Yako, laana za ukoo
@neemamarisamarisa-rd7cq9 күн бұрын
Mchg Bwana Yesu asifiwe. Nikilala sioti ndoto, na nikiota sikumbuku.
@Robert-v8f5e9 күн бұрын
Tatizo wengine hasa wachungaji wanapinga baadhi ya mambo haya kwasababu hawajui siri za shetani na utendaji wake kwa usahihi katika ulimwengu wa roho kuliko Yeye aliyekuwa mtendaji wakazi za giza na amekuwa chaguo la Mungu ili kuhushudia ulimwengu kazi za giza, ubarikiwe sana Amieli Katekela
@DorcasGeorge-e4h10 күн бұрын
Amen baba
@ChristineDama-wf3sd10 күн бұрын
Amen Amen
@VailethGeorge-d4t9 күн бұрын
Ubarikiwe mno mtumish wa Bwana!!
@annajotham94789 күн бұрын
Jamani naomba mnisaidie hayo yote mchungaji ya kwangu naomba msaada WENU
@SindakilaFabiano10 күн бұрын
Amina mtumishi ubarikiwe kwa somo zuri 4:59
@margaretnekesa201910 күн бұрын
Ameee. Baba. Yangu
@adventinandyanabo161510 күн бұрын
Mimi nakuelewa sana mchungaji ubarikiwe sana
@Suzanpaul-j9k9 күн бұрын
Mtumishi naomba mniweke kwenye group
@StanslausKobelo-p8h10 күн бұрын
Next session mtumishi upate sehemu yenye utulivu zaidi. Kuna miziki ya kidunia na azana zinasikika kwenye background inapunguza concentration. Be blessed.
@emilymukholi169410 күн бұрын
Amina
@pierrefikiri873310 күн бұрын
Amen.
@angelamugoywa491710 күн бұрын
Ameeen 🙏🙏
@JacklineMmari-y1y10 күн бұрын
Amina Mchungaji
@GervasVenom10 күн бұрын
Amen Mtumishi0
@violetnasimiyu871810 күн бұрын
Mungu wetu ni mwema
@ZaifatiMlisa10 күн бұрын
Mtumishi,ninamtoto Ana miaka miwili sasa laking mtoto alalagi usiku analala anaweweseka usiku anangata meno,anatafuna, anaongea maneno siyajui amesha ombewa na wachungaji mtoto aponi, naomba msaada mtumishi nazalilishwa na baba ake na mtoto kwa aajili ya yesu kristo,, yeye bado ajampokea yesu, eti yesu anazidiwa na nguvu zagiza, nazalilishwa mtumishi nisaidie.
@nellymutune498210 күн бұрын
AMEN
@JescaJonathan-b5z10 күн бұрын
Shalom baba, Bwana Yesu akubariki sana kwa maharifa unayotupa Mungu akutie nguvu za rohoni na mwilini. Mm ninazo ndoto nyingi nisizozielewa, 1. Nilitoa tulikuwa na Mtumishi kwenye huduma tukawa tumemaliza huduma tunaitaji kuondoka akawa amepanda gari anaendesha mwenyewe alipotaka kuondoka nikawa sijapanda akasema siwezi kuondoka bila Mimi nikakimbia kupanda lakini nikawa nimeacha nguo yangu kwenye maeneo yakanisa ilo na ikawa inaniuma nitampataje lakini tukawa tumeondoka nakwenye ilo gari walikuwemo watu wengine, je inamaana Gani?
@FailaMwangaza-x5s10 күн бұрын
Amina amina
@VailethJohn-n2o10 күн бұрын
Amina baba Mungu akubariki sana.
@JasmineMilima-e7m9 күн бұрын
Naomba pia uniweke kwenye group lako imana ishimwe
@WitnessSamson-qc9ie9 күн бұрын
Mpigie jactan akuunge
@JermeneMujinikire10 күн бұрын
Namiminaoba muniweke. Ubarikiwe
@AugustineCharles-ud4vb9 күн бұрын
Mtumishi niunge na mm kwenye group
@JasmineMilima-e7m9 күн бұрын
Amina mchungaj Ila naomba mtumishi nilikuwa naomba kuongea na wew baba yangu Nina mambo binafsi unisaidie na mungu ahusike katika yote shalom shalom amina
@ZaifatiMlisa10 күн бұрын
AMEEN, MTUMISHI UKIWAUNAOTA NDOTO UNASAHAU ,TATIZO NI NINI,ALAFU NIFANYE NINI ILI NIANZE KUKUMBUKA NINAPO OTA?
@Amina-o7x1h10 күн бұрын
Ameni Baba wakiroho ameni
@neemarashid262110 күн бұрын
Maswali yanaulizwa kwenye namba ipi?
@merebita10 күн бұрын
Je maombi Aya ni maombi ya ku funga
@annajotham947810 күн бұрын
Mchungaji naomba maombi Yani kabisa ninahisi ninavifungo kilaninalofanya sifanikiwi
@ElizabethKulola10 күн бұрын
Heee mtumishi unanichekesha unaposema vunja 😂upo karibu kuanguka upande unaoegemea yani kwa msisitizo. Tuvunje 😂😂😂
@MaisaraRajabu7 күн бұрын
Duuuh....ila ww mwenzio anatumia Asia kbsaa
@fadhilingilangwa326210 күн бұрын
Mchungaji bwana yesu asifiwe mm mume wangu anekufa lakini ninaota mzima naninaongea nae hicho nn
@SophiaZabron10 күн бұрын
Mchungaj naomba na mm niugwe kwenye group
@beatricebukuru942510 күн бұрын
Banana sifie Mchungaji Mimi nimeota simba arie zeheka ananihangaria ana meno moja mutoto wangu name akaota anapigana nasimba inamana gani
@ZaifatiMlisa10 күн бұрын
Mtumishi mimi natotka bukoba nateseka sana namizimu ya ukoo
@noelmbosa273610 күн бұрын
hata mimi naomba mniweke katika group lenu mniombee
@WitnessSamson-qc9ie9 күн бұрын
Mpigie jactan akuunge
@JescaJonathan-b5z10 күн бұрын
Nyingine, mtoto wangu aliota baba yake amekufa aliponiambia tukaingia kwenye maombi yatoba nakukataa roho yamauti, japobaada yask chache baba alihugua sana lakini tukamwombea akapona