Habari kamiri kutoka kwa Ndugu Ps ni wazi, wachawi wameihadai dunia. Yesu Kristo waokoe nasi tupate nafu. Mungu yupo kazini atafanya njia hata wanyeje Mungu atatenda.
@akothchristine47526 күн бұрын
Amen YESU KRISTO ni bwana
@wakeshojana10 күн бұрын
NI VZR MUISLAMU KUAMINI NA KUKIRI YESU NI BWANA....AWAONYESHE WENZAKE NJIA NA KWELI NA UZIMA!!
@Wardenburg-h5x8 күн бұрын
Yaani ndugu, nilikuwa siamini lakn nafuatilia sana kati ya waislam na wakrosto ni fini gani inayoongoza kiasi dini yake Jana nikaona wimbo kubwa la waislam wanahama na kujiunga na ulokole
@ellyitete9386 күн бұрын
Yesu Kristo ni Bwana....aliniponya na mauti ya kurogwa
@HOLYGHOSTREVIVALMINISTRYTZ10 күн бұрын
Yesu ni Bwana
@borntosucceed687711 күн бұрын
Dunia jamani tuokoke YESU ni kila kitu
@JaneKuyokwa-ng2qf9 күн бұрын
Mungu nimwema upende usipende mungu ni mungu
@HOLYGHOSTREVIVALCHOIR-MWANZA10 күн бұрын
MUNGU hajawahi kushindwa na kamwe hatashindwa
@RehemaMtono10 күн бұрын
Usalama wetu nikwa YESU KRISTO tukimbilie kwake AMEN
@felixBenos9 күн бұрын
Yesu nimshindi kila wakati.
@ElizabethMuia-ro9yh10 күн бұрын
MPAKA MASHEH WANAUZA MAHIRIZI
@amishambar341810 күн бұрын
Hao ndio magwiji nawaanzilishi wa Aya mambo
@prochesernest543910 күн бұрын
Mashehe hilizi kwao sio Dhabi maana majini mapepo wachafu kwao ni waislamu na hilizi ni majini yanayatumia majini kitabu chao ni Quran
@HappyJohn-j6u10 күн бұрын
Jactani yuko wap ndevu izo jamani du ni mtazamo😂😂😂😂😂
@ElizabethMuia-ro9yh10 күн бұрын
KICWHA CHA MBUZI OR KONDOO KIKIZIKWA KWA BOMA INA KUWANGA NA MAANA GANI? KWA SABABU NINA RAFIKI YANGU ,ANA NIAHADIDHIAGA ETI KWA BOMA LAO KUNA MJOMBA WAO,ALIZIKA KICHWA CHA MBUZI KWA COMPOUND YAO,PASTOR NIELIMUSHEPLZ.