MUNGU akupee hekima na busala kila siku nmebarikiwa sana.AMINAAA!!HALLELUJAH
@kambonapaul62933 жыл бұрын
Mungu ndiye kimbilio letu nafarijika kwa mafundisho ya pr.geoffrey mbwana
@hesbononkoba54498 жыл бұрын
tunakushukuru pastor kwa kazi ya kueneza injili ya wokovu nchini Kenya
@hellenbarnaba90693 жыл бұрын
Mungu atukuzwe sote tuokolewe much Mungu akubariki sana songs mbele ktk utumishi ameen
@sara.wanjalaalipoyesuyotey36137 жыл бұрын
Mungu akubariki sana nimebarikiwa sana. ..Natamani sana nami niwe kanisa la masalio nitamfuata Yesu siku zote za Maisha yangu
@habelkalume90114 жыл бұрын
Amina,,,,,
@stephanokimaro54304 жыл бұрын
Pr be bls
@godsonmacoco64194 жыл бұрын
Mungu Endelea Kumpatia Uzee Mwema Pr Mbwana
@bonifacensengiyumva7428 жыл бұрын
God bless you pastor for the work you do of harvesting many souls to crist
@samjackson47766 жыл бұрын
DR.MUNGU WA MBINGUNI AKUTANGULIA KATIKA KAZI YAKE.UBARIKIWE PASTOR
@nelsonsamwel24036 жыл бұрын
YESU NDIYE MWENYE AMANI WANADAMU NDIO HAWAITAKI AMANI
@freythadea93186 жыл бұрын
Mungu awe nasi amina
@meddyakimana41049 жыл бұрын
ubarikiwe sana hiyo ni ijili ya kweli kutoka kwa Yesu mwenyewe.
@omonywamotangi90153 жыл бұрын
Nasi pia tusishikwe na mkengeuko... Twaweza duwazwa wingu litakaposhuka. Bwana wetu aturehemu
@bethesdagospelpastorondari1991 Жыл бұрын
Good message of the time
@2CBNTV Жыл бұрын
Amen
@heriamanmwita48203 жыл бұрын
Somo zuri mnoo pastor ubarkiwe sana
@2CBNTV3 жыл бұрын
Amen. Stay tuned
@namwenyechikira88 жыл бұрын
MUNGU akubariki pastor.
@zacharyabere97298 жыл бұрын
asante sana pr. ubarikiwe
@damarisondiek54145 жыл бұрын
AMEN umeelezea kabisa
@salomejaphet59807 жыл бұрын
God bless you pastor Mbwana
@melichiolirugata79716 жыл бұрын
Great
@stellaobara988218 күн бұрын
May God name be praised forever
@elisanteelisante1725 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu Wapare sasa okokeni jamani
@stellaobara988218 күн бұрын
Thanks!
@2CBNTV18 күн бұрын
Thanks in advance 🙏
@NakundwaMichael Жыл бұрын
Hongera!
@atanasiacostantine32386 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@anethkimanga23176 жыл бұрын
mungu aku bariki sana
@tobesimatiku19877 жыл бұрын
Mungu akubariki sana PR good meseji
@nelsonsamwel24036 жыл бұрын
amina sanaaaaaaaaaaaaaaaa BARIKIWENI SANAAAAAA MUNGU AWABARIKI SANAAAA
@mshanimacka79984 жыл бұрын
Ipo siku nitakuja kenya na nitafika kanisani kwako mtumishi kwa Jina la Yesu nitakutafuta
@icontv55269 жыл бұрын
ahsante pastor
@joycewanjara79529 жыл бұрын
Be blessed Pr
@roselineosebeami21567 жыл бұрын
amen
@dismasmalele24087 жыл бұрын
Thank you for the best message pr, God bless you
@abelpius74958 жыл бұрын
God bless you pr. Amen
@sheilaombongi80864 жыл бұрын
Barikiwa sana pastor kwa mahubiri yakweli, tufunguliwe macho tupate kujua ukweli Amina
@mukamambeba79669 жыл бұрын
amina.....
@fedrickntongolo78217 жыл бұрын
ubarikiwe
@cavinom75146 жыл бұрын
Fedrick Ntongolo Asante Sana pastor. Natamani kua Katia kanisa la masalio.amen
@mwomadennis8301 Жыл бұрын
God be with you
@gideontv88448 жыл бұрын
tunakuhukuru pr kundukumbusha nyumbani kwetu kusipokuwa na hamani
@JustineMwakajinga Жыл бұрын
injiri ya kweli hii
@2CBNTV Жыл бұрын
Amina 🙏
@juliusyenga1109 Жыл бұрын
GOD BLESS YOU PR. MBWANA FOR GOOD MESSAGE..... 🙏
@charznyamaresa55716 жыл бұрын
kamahumwelewi huyu mzee basically hutaelewa
@barakajoseph18164 жыл бұрын
Preach the gospel to cross over
@evangelistegadokechi99166 жыл бұрын
Kacou 2:Tamka hukumu! 6. Haya! Tunajua ya kwamba manabii wajumbe wote walipokea ujumbe yao toka mbinguni na tuone sasa Ujumbe huu wa shairi la 6 na la 7. Ni Ujumbe ya kwanza inao mwambia mwafrika, kwa mfano, amuabudu Mungu wa kweli aliye fanya mbingu: nyota, jua, mwezi, hata pia malaika walioanguka wanao tumia horoskope, orodha za maajabu, dini. Mungu haja wahi kuwa tatika dini. Ukristo halisi siyo dini bali maisha. Malaika huyo anaomba wahaiti na wabenina kuachana na vodoo, uchawi, asili na zingine aina zote za kuabudu na kuita mapepo… Mungu aliumba dunia kwa kuishi kwetu na hatupashwe kuigeuza kuwa msitu takatifu, sanamu na mask kwa kuiabudu… Hii ndiyo ilikuwa Ujumbe ya malaika wa kwanza. Na huyu malaika wa kwanza ni mtume Paulo. Bahari kubwa na chemchem za maji hazikuumbwa kwa kuabudiwa bali ni Mungu ndiye inatupasa kumwabudu; ni Mungu ndiye muumbaji. Mnaona? 7. Baadaye, kwa shairi la 8, malaika wa pili alitoka; siyo katika seminari wala katika shule la uchungaji bali alitoka mbiguni. Kwa kutangaza teolojia? Hapana! Kwa kufundisha mahubiri ambayo tayari yalihubiriwa tangu zamani kumepita miaka arobaini au mia moja? Hapana! Kwa kuenda kuwafunulia neno waalimu na wenye kuleta mafunzo katika shule za wachungaji? Hapana! Kwa kutoa maoni yake kulingana na yale mtu Fulani alisema imepita miaka arobaini? Hapana!... LAKINI WAKATI ILITIMIA ILI KUHUBIRI INJILI YA UPEO MWINGINE! [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!]. Kuhubiri hukumu ya Babiloni, kanisa katolika kwa kuwa alipiganisha, aliua watakatifu na kuharibu njia zote za wokovu. Na hii imewekwa wazi katika Ufunuo 17. Ilikuwa kwa karne ya XV na ya XVI pamoja na mageuzi. Na ile iliongoza hadi uprotestanti. 8. Baada ya mageuzi, Martin Lutheri, Ulrich Zwingli, Farel, Yoani Kalvini, John Wesley na wengine walipo fariki, makanisa yakasonga Kanisa la kweli. Mungu akapandisha sasa malaika wa tatu, mjumbe wa tatu pamoja na Ujumbe ya unabii kwa watu wote wa dunia. Mungu hapandishi kamwe kanisa au kundi la watu kwa kuleta au kurudisha Ukweli duniani bali nabii-mjumbe. Kumkataa huyu nabii, ni kumkataa Mungu, kwa kuwa nabii ni kinywa cha Mungu, msemaji wa Mungu, anaye kuja na Ujumbe ya Mungu, anayetumwa na Mungu, siyo mtu anayeleta maneno ya ujuzi au mtu anayeangusha watu katika makutano ya maombi pamoja na maajabu na ufunuo ya udanganyifu, hata kama hizo ufunuo zinakuwa kila mara kweli… [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!]. WWW.PHILIPPEKACOU.ORG #Sikensi #
@sheilaombongi80864 жыл бұрын
Aminaaa
@elimikasauti9tv2476 жыл бұрын
Amen
@barakajoseph18164 жыл бұрын
Hallelujah
@onesmoemmanuel39975 жыл бұрын
Pastor mbwana umeugusa moyo wwangu ubarikiwe sana lakini na swali wapendwa naomba niulize swali wapi Adam na Hawa waliambiwa waitii sabato
@omariomosa86124 жыл бұрын
@Onesmo Emmanuel Marko 2:27-28 BHN Basi, Yesu akawaambia, “Sabato iliwekwa kwa ajili ya binadamu na si binadamu kwa ajili ya Sabato! Kwa hiyo, Mwana wa Mtu ana uwezo hata juu ya Sabato.” Katika Mwanzo 2:1-4 Mungu aliitengeneza Siku ya saba, Na wakati huo, Nani ndio alikua kuitii? Wacha niulize tena, tumesoma katika.. Marko 2:27 Sabato iliwekwa kwa ajili ya binadamu.... SWALI? Ni lini sabato iliekwa? na wakati iliekwa, ni binadamu mgani alikua duniani? Kwa ivyo Adam aliambiwa watii sabato. Ndio maana Umri wa nne inaanza na kusema . Kutoka 20:8 “Usisahau kuiweka takatifu siku ya Sabato: Exodus 20:8 REMEMBER >> Kumanisha ilikua ni amri ambayo walikua wamepewa kitambo wakasahau.
@annchemtai33944 жыл бұрын
Pastor barikiwa sana umegusa moyo wangu nashukuru na nakuombea mungu uuishi maisha marefu ili uendelee kuwagusa na kubadilisha wengine