2HOURS TENZI ZA ROHONI, NYIMBO ZA WOKOVU NA ZA INJILI BY DANIEL SIFUNA, BEST SWAHILI WORSHIP SONGS.

  Рет қаралды 382,135

Daniel Sifuna

Daniel Sifuna

Ай бұрын

NYIMBO ZA KUKUFARIJI NA KUKUTULIZA MOYO
ILI UENDELEE MBELE NA KUMWANI MUNGU LICHA YA YOTE UNAYOPITIA.
#Alone with God.
#relaxing worship songs
#relaxing Tenzi za rohoni
#Tenzi za rohoni mix
#nyimbo za wokovu mix
#Kenya Tanzania best praise and worship songs
peaceful Tenzi za rohoni
#Daniel Sifuna
Facebook Daniel Sifuna
Tiktok Daniel Sifuna
Instagram Daniel Sifuna
CALL/ SUPPORT 0746298853
GOD BLESS YOU

Пікірлер: 692
@mildredsakali2243
@mildredsakali2243 Ай бұрын
Amen aki napitia kipindi kigumu huku Iraqi 😢Naomba Mungu anione ninaposikiliza hizi nyimbo za kumtukuza 😢😩😭😭😭😭🤲🧎🙏
@LydiaLydia-iw6qt
@LydiaLydia-iw6qt Ай бұрын
Mungu na akuokoe dada❤❤❤
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen amen Mungu akupiganie na akushindanie❤❤❤🙏🙏🙏❤
@Billionaire-mr6et
@Billionaire-mr6et Ай бұрын
Mark 11:24.,Hesabu 14:28. Amin
@milkaopatia7560
@milkaopatia7560 Ай бұрын
Mungu anasema yeye ni mungu wa vizazi vyote, kunalo jambo gumu kumshinda?
@beatriceomino6266
@beatriceomino6266 Ай бұрын
Damu ya yesu ikufunika dadangu
@LydiaLydia-iw6qt
@LydiaLydia-iw6qt Ай бұрын
Who else feels like flying while listening to this wonderful songs ,wow,thenkyou Jesus
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen amen❤❤❤❤🙏
@FredNyakundi-vq8fm
@FredNyakundi-vq8fm 27 күн бұрын
Amen
@LauraWambui-nf2xb
@LauraWambui-nf2xb 11 күн бұрын
AMEN
@user-uc6zs3ix1e
@user-uc6zs3ix1e 27 күн бұрын
Hallelujah 🙏🙏napenda hizi nyimbo saaaaana beacuse hua sinanituliza Roho yangu like nimeona nimefika mwisho,nikizikiza najua nko na mungu karibu sina haya tena 🙏🙏🙏🙏👍
@FredNyakundi-vq8fm
@FredNyakundi-vq8fm 27 күн бұрын
Amen
@jackiemulala-ur8dn
@jackiemulala-ur8dn Ай бұрын
Nyimbo za ukuzo nahisi Amani moyoni baada ya kusikiza hixi nyingi pokea baraka 🙏🏻
@ambunyacaroline1348
@ambunyacaroline1348 Ай бұрын
Barikiwa sana na nyimbo hizi tamu na kumsifu mungu ....... nakuombea mungu aendelee kukupa ufunuo ili uwendele kutubariki na nyimbo tamu kama hizi ❤❤😅
@SusanMwimali
@SusanMwimali 12 күн бұрын
Very enjoyable
@EstherSophiabarisa-bj4bg
@EstherSophiabarisa-bj4bg 3 күн бұрын
Amen mungu awezeshe mume wangu kutoka mahali ako anapitia hali ngumu 😢 mungu amukumbuke
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 3 күн бұрын
Amen amen
@AggreyOjango-ky1co
@AggreyOjango-ky1co Ай бұрын
Ubarikiwe Sana mtumushi wa mungu
@marthaoguda7699
@marthaoguda7699 11 күн бұрын
Very Good nyimbo za kuasifu Bwana Yesu Vhristo❤.
@user-kr6iw8dx7o
@user-kr6iw8dx7o 9 күн бұрын
Nikiwa gulf nasikia kufarijika na nyimbo hizi hasakwa wakati ngumu huwezi omba labda kimoyomoyo God bless you
@user-rf3zz1lb6l
@user-rf3zz1lb6l 18 сағат бұрын
Asante Yesu for these worship hallelujah hallelujah hallelujah Amen Amen 🙏🙏🙌🙌
@ireneshikoya9794
@ireneshikoya9794 Ай бұрын
Morning all dear lovely sisters and brothers for sure i never knew this apostle has been touched with his songs day in and out as am writing this am toothless after extracting my teeth due to infection and am trusting God to see me through as am to to for refilling on 8/7/2024 has suffered extra pain beyond but am seeing light at the end of the tunnel especially the first song am feeling the presence of the HOL;Y SPIRIT
@BramwelWanyonyi-kb4rd
@BramwelWanyonyi-kb4rd Ай бұрын
Amen
@WickliffeOngai2
@WickliffeOngai2 5 күн бұрын
Asante sana mchungaji kwa nyimbo hizi zinanifariji wakati huu mgumu ,Niki omboleza mama mzazi. Ubarikiwe mchungaji bwana mungu apewe sifa amen
@user-uk3vz3tl2x
@user-uk3vz3tl2x 8 күн бұрын
Hallelujah 🙏🙏🙏🙏🙏 Amen may God bless you nyimbo zako nazipenda barikiwa my bro
@JaneOkanya-mx1go
@JaneOkanya-mx1go 4 күн бұрын
Akii hizi nyimbo nzinanipa guvu ninapo nzizikiza am blessed
@matamm2411
@matamm2411 Ай бұрын
Hakika nyimbo hizi zinanibariki sana ninaposikiza be blessed mtumishi wa Mungu,,🙏🙏🙏🙏
@petermutiso5777
@petermutiso5777 Ай бұрын
Thanks be unto lord
@GodfreyShitera
@GodfreyShitera 22 күн бұрын
Zina nipa nguvu 🙏
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 7 күн бұрын
Ameni! Barikiwa sana,nyimbo mwanana sana hizi♥️💯🇹🇿🇮🇱👏
@jamesodari4399
@jamesodari4399 9 күн бұрын
Nabarikuwa sana, kijito cha Utakaso ni Damu ya Yesu!
@BeatriceDhahabu
@BeatriceDhahabu 20 күн бұрын
Naomba uponyaji wa kiafya kwa jna la yesu
@christinesomoina5943
@christinesomoina5943 23 күн бұрын
Asante Yesu kwa kupata nyimbo za Kuabudu
@MonicaEzekiel-mu3ol
@MonicaEzekiel-mu3ol Ай бұрын
Amina
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen🙏❤❤❤
@modestamarakammbishi1127
@modestamarakammbishi1127 Ай бұрын
Hallelujah Hallelujah,,nimekuwa na ugonjwa wa growth ndani ya jicho langu.ilikuwa inafaa nifanyiwe operation,,lakini nilisikiza hizi nyimbo na nikamini mungu,,nashukuru mungu ameniponya
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Wow glory be to God ❤❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏❤
@AseqHeed
@AseqHeed Ай бұрын
Amen amen amen amen amen amen 🙏🙏🙏 mungu wetu nidaktari WA Kila kitu
@user-zj7hd6sg3y
@user-zj7hd6sg3y Ай бұрын
Amen 🙏🙏🤲🤲👏👏
@RoseMtiva
@RoseMtiva Ай бұрын
Amen
@timothybaraza2641
@timothybaraza2641 Ай бұрын
He is able God
@ChristopherBarasa-nk9si
@ChristopherBarasa-nk9si 6 күн бұрын
Nyimbo tamu sana, naskia moyo wangu umejaa neema
@Smchoki5036
@Smchoki5036 4 күн бұрын
Ever green songs nazipenda sana sana barikiwa sana
@lucamavoo3789
@lucamavoo3789 12 күн бұрын
Kiukwel hata unapitia magumu kiasi gani lakini ukisikiliza nyimbo hizi hakika utajihisi uumbarikiwa endelea kutufariji kaka mungu akubariki sana❤❤❤
@JacklineTotito-rh3im
@JacklineTotito-rh3im 15 күн бұрын
Amen nahisi roho wa mungu akinitia nguvu
@user-po3bo4mk7m
@user-po3bo4mk7m 16 күн бұрын
Ameni mungu akubariki sana mtumishi wa mungu maisha uarabuni ni magumu sana sana hasa usiku kunyongwe na majini lakini nikisikiliza hizi nyimbo na lala vizuri aki mungu akubarikie huduma yako😢😢
@stanleyguthia7771
@stanleyguthia7771 11 күн бұрын
Powerful worship songs. Glory to Jesus Christ and the Holy Spirit
@Isaacmutenyo-ur6fw
@Isaacmutenyo-ur6fw 8 күн бұрын
Nimeptia magumu but mungu amenionekania kupitia hizi nyimbo na akakuinue na uimbe zaidi
@GodfreyShitera
@GodfreyShitera 22 күн бұрын
Hakika hizi nyimbo zinanipa nguvu ya kumsifu mwenyezi mungu nanimemkubali kwa yoyote yenye amenitendea
@BeatriceDhahabu
@BeatriceDhahabu 20 күн бұрын
Nmeona mungu kupitia hizi mungu mungu azidi kunifungua
@bhavinjani4415
@bhavinjani4415 13 күн бұрын
ILove you Jesus also I need you for my life
@abigaeljelimo5724
@abigaeljelimo5724 Ай бұрын
Very nice and encouraging songs...God bless
@AaBb-uy9ko
@AaBb-uy9ko Ай бұрын
Very sick while listening 😢😢hop mungu anaenda kuniponya katika jina lake takatifu amen 🙏🙏
@pmblessed.5580
@pmblessed.5580 Ай бұрын
Mungu akutembelee, ni salama katika Yesu
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen❤❤
@user-ic3kr6sn7r
@user-ic3kr6sn7r Ай бұрын
​@@pmblessed.5580it's true Man of God 🙏 hata hali ikiwa ngumu shout with joy for the Joy of the Lord is our strength 🙏
@josendush2805
@josendush2805 Ай бұрын
​@@pmblessed.5580o8ooo
@kariukijoseph1198
@kariukijoseph1198 Ай бұрын
May healing be your portion in Jesus name
@FoibeChali
@FoibeChali Күн бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah 22:14
@christinekidavasi6403
@christinekidavasi6403 Ай бұрын
Hofu rohoni sina🙏🙏🙏
@YollandeMukantabana
@YollandeMukantabana Ай бұрын
Mingu awabariki Siku zote Kweli tunafarijika kwa hizi nyimbo
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen❤❤❤
@user-hd1lu8kl9h
@user-hd1lu8kl9h Ай бұрын
May God bless u 🙏
@user-ce3tw2ye2t
@user-ce3tw2ye2t Ай бұрын
Am lonely 💔 Jobless 😓 Homeless But God remember me 😢
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
May God be with you. Wherever you are 🙏🙏
@user-ce3tw2ye2t
@user-ce3tw2ye2t Ай бұрын
@@danielsifuna7377 AMEN 🙏
@janewillium4445
@janewillium4445 Ай бұрын
Ameen ameen😊
@user-maria976
@user-maria976 Ай бұрын
Amen
@Blessedandchosen
@Blessedandchosen Ай бұрын
May God remember you and open doors for you.Mbingu sikukubali na zikukumbuke katika Jina la Yesu.Amen🙏
@everlynemabialo
@everlynemabialo 21 күн бұрын
Amen 🙏 utukufu umrudie mungu isinyimbo sinanijaza ki. Roho nikiwa nimelemewa naimani
@BettyNgome
@BettyNgome 26 күн бұрын
Asaante mungu kwa baraka zako zidi kunikumbuka kwa wakati huu mgumu napitia
@mildrednakhumicha5351
@mildrednakhumicha5351 Ай бұрын
thank you lord your blessings
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen❤❤❤❤
@MutisoJoash
@MutisoJoash Ай бұрын
Barikiwa sana hizi zinaninguza moyo wangu
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen amen❤❤❤❤❤❤❤
@CatherineAmanda-oh6qu
@CatherineAmanda-oh6qu 23 күн бұрын
Aki Mimi nikisikia hizi nyimbo najikutanga nikiwa kwa anga ya kiroho nasikia nikiwa sauth arabia , riyath town
@RuthkaremuMusyoki
@RuthkaremuMusyoki Ай бұрын
Amen 🙏🙏
@maryannepeter7358
@maryannepeter7358 Ай бұрын
The songs are blessings to me ❤❤!!Kwaza ile ya kutakuwa mwanga🫶🫶My best ever💕💞
@FredNyakundi-vq8fm
@FredNyakundi-vq8fm 27 күн бұрын
Nyimbo hizi zaileta roho yangu karibu na Mungu, Amen Amen
@elizabethmaloba7661
@elizabethmaloba7661 Ай бұрын
Amem l feel blessed
@susananayah3098
@susananayah3098 16 күн бұрын
Ingawa shetani ananitesa ni salama rohoni mwangu
@peteroloo4040
@peteroloo4040 Ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe . Ameen
@rosemulwa6442
@rosemulwa6442 4 күн бұрын
Amen. Jesus is my saviour. ❤❤❤❤❤❤❤❤
@claraimali6830
@claraimali6830 Ай бұрын
Hallelujah PSALMS 100...sing to the LORD,all the world! Worship the LORD with joy AMEN
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen
@judithkogo
@judithkogo 21 күн бұрын
Mimi muimbaji but sijapata wa kunshika mkono. Hope mungu atanionekania kupitia wewe
@annynelish6572
@annynelish6572 10 күн бұрын
Amina nimebariwa sana na hii ya kwanza hata kabla niendelee🙏🙏barikiweni sana
@MildredChepasi
@MildredChepasi Ай бұрын
So encouraging
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m 20 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤ barikiwa sana mutumishi wa Mungu
@JacklineTotito-rh3im
@JacklineTotito-rh3im Ай бұрын
Barikiwa Sana ndugu, wimbo wako niwabaraka sana
@JosephineMusimbi-zj7hp
@JosephineMusimbi-zj7hp Ай бұрын
Amen may God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen❤❤❤
@SIMONLUTTAH
@SIMONLUTTAH 28 күн бұрын
His songs have been of great blessing to my spirit.He's blessed spiritually. Amen Amen 🙏🙏
@marthaoguda7699
@marthaoguda7699 Ай бұрын
Very nice song. It is true.Keep it up.
@user-ny8tt3qk8f
@user-ny8tt3qk8f Ай бұрын
May God bless you and and add more years to your way
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen amen amen
@alicemayende5212
@alicemayende5212 Ай бұрын
Thank you may God expand your borders stay blessed as you reach many through those hymns
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Aamen
@juliethringo7151
@juliethringo7151 16 күн бұрын
Mungu akupe uponyaji wa daima
@user-dt9hd6cb3v
@user-dt9hd6cb3v 28 күн бұрын
Mungu anionekanie napitia wakati mgumu moyoni mwangu naomba mungu anipee Amani nayi pia ndugu zangu kwa christo tuompeane
@CharlesWanyonyi-yx1un
@CharlesWanyonyi-yx1un 28 күн бұрын
Amen mungu tuhurumie kwa boma letu tusimamishe kwa wema wako tupanguze machozi
@doreenkhavai6980
@doreenkhavai6980 Ай бұрын
😮😮 eeeh I'm surprised to hear the song Mungu Nipendo... I used to hear it from one of my cousins while I was a young girl.... Wow its so nice to listen to it here
@AmosObanda23Thursday16Nov8am
@AmosObanda23Thursday16Nov8am Ай бұрын
Same to me, my dad used to sing it while young
@pmblessed.5580
@pmblessed.5580 Ай бұрын
Ni salama moyoni mwangu,ata hali ikiwa ngumu bado ni salama
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen amen
@carolinefinna4033
@carolinefinna4033 Ай бұрын
My favorite worship songs🙏May God uplift u more brother
@user-qn2bp4hi8p
@user-qn2bp4hi8p Ай бұрын
Ameeeeeeena be blessed thanks alo
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen❤❤❤❤❤
@edelawino5624
@edelawino5624 10 күн бұрын
Nitafunguliwa kiroho 🙏
@oderoadu3267
@oderoadu3267 Ай бұрын
The Lord's blessings, the Lord's servant! 🙏
@RaelRael-iz2hz
@RaelRael-iz2hz 15 күн бұрын
When i listen to these songs i feel the holy spirit in me and start crying i dont know why...nisaidie hapa pastor
@user-bp9vy7cx1p
@user-bp9vy7cx1p Ай бұрын
Asanti kwa hizi nyimbo nzuri ninapo kata imani nazo zinaniinua tena, kwa hakika ubarikiwe nimepitia kipindi kigumu muno laki najua mungu atanionekania pamoja na familia yangu
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen amen❤❤❤❤❤❤
@user-jd6io6ky9f
@user-jd6io6ky9f Ай бұрын
Nabarikiwa utukufu kwa Mungu
@LoshieLiza
@LoshieLiza 7 күн бұрын
Mungu apewe sifa
@joyjoy-ee4oy
@joyjoy-ee4oy Ай бұрын
Ever blessed and nourished by the songs
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen❤❤❤
@agneskiarie4548
@agneskiarie4548 Ай бұрын
Ni salama Rohoni mwangu❤
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen❤❤❤
@Hussainalafraa
@Hussainalafraa Ай бұрын
Amen , I'm blessed and you be blessed too. May God use you to heal the broken souls.
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen amen❤❤❤❤
@ClaireMakotswi
@ClaireMakotswi Ай бұрын
Hallelujah hallelujah glory be to God 💪💪🙏🙏🙏🙌🙌🙌
@zuwenabakari-sc4xj
@zuwenabakari-sc4xj 16 күн бұрын
Huwa nabarikiwa kiukwel
@AgripinaAugostine
@AgripinaAugostine Ай бұрын
Hakika mungu atue nguvu😢😢😢🙏🙏🙏
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen
@mrhome4426
@mrhome4426 24 күн бұрын
Listening from Saudi and really encouraged by this songs i won't give up even if it's hard😢😢😢
@florencemutuku4758
@florencemutuku4758 Ай бұрын
I am so much blessed by your songs. God bless you
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen amen
@mildred9561
@mildred9561 Ай бұрын
Ni salama rohoni mwangu🙏🙏🙏
@zablononduko1736
@zablononduko1736 Ай бұрын
Nyimbo tamu zanitia moyo katika kipindi cha mawimbi makali
@saharaoliki8748
@saharaoliki8748 Ай бұрын
Amen thank you God for you using your son to lift many people. Fill blessed bro whenever you are.
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen amen❤❤❤❤❤❤❤
@ApostleWafula
@ApostleWafula 25 күн бұрын
Ameeen nashukuru Mungu kwa maisha yangu 😭
@BecheteEve
@BecheteEve Ай бұрын
Amen nimebarikia .Mungu akubatiki
@NgenaSuzanne-rh5eu
@NgenaSuzanne-rh5eu Ай бұрын
Mungu wangu naomba namimi bwana unipe nguvu baba yakushinda ulimwengu, na unipe aja ya moyo wangu ninaaja unifunguwe tumbo langu baba yangu unipe namimi watoto yesu wangu😢😢😢
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen amen🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤
@DoreenKhisa-cd7bg
@DoreenKhisa-cd7bg Ай бұрын
Good job mtumishi
@joyjoy503
@joyjoy503 Ай бұрын
Amen blessed songs🙏
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen
@RuthkaremuMusyoki
@RuthkaremuMusyoki Ай бұрын
God bless you man of God
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen
@RuthChemu
@RuthChemu Ай бұрын
I feel blessed while listening to this music ubarikiwe sana from Saudi Arabia ❤❣️❣️🥰
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen Mungu akubariki sana sana
@justineomega1996
@justineomega1996 Ай бұрын
i don’t why am so touched with the 2nd song🙏🙏🙏i will never be broke in Jesus name
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen ❤❤❤
@user-oo3xr9kw7u
@user-oo3xr9kw7u Ай бұрын
Amen mungu you pamoja nawe
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen amen
@linakene6513
@linakene6513 26 күн бұрын
May God's name be lifted high through your songs. I am blessed
@Phellister
@Phellister Ай бұрын
Nabarikiwa na hizo nyimbo
@user-zj6ki4gy4p
@user-zj6ki4gy4p Ай бұрын
Amen 🙏 naomba ulinzi kwa uzao wangu
@Harry-wa-karimi-cg3vh
@Harry-wa-karimi-cg3vh Ай бұрын
The real gospel we want , blessings
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Amen amen❤❤❤❤❤
@jacintakisaka3902
@jacintakisaka3902 Ай бұрын
Blessings brother 🙏🙏
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 Ай бұрын
Aaamen
THE BEST OF SIFAELI MWABUKA - REMIX 2023
1:01:19
SIFAELI MWABUKA OFFICIAL
Рет қаралды 119 М.
Homemade Professional Spy Trick To Unlock A Phone 🔍
00:55
Crafty Champions
Рет қаралды 57 МЛН
МАМА И STANDOFF 2 😳 !FAKE GUN! #shorts
00:34
INNA SERG
Рет қаралды 3,1 МЛН
Универ. 10 лет спустя - ВСЕ СЕРИИ ПОДРЯД
9:04:59
Комедии 2023
Рет қаралды 2,7 МЛН
Climbing to 18M Subscribers 🎉
00:32
Matt Larose
Рет қаралды 35 МЛН
NISHIKE MKONO BWANA ALBUM (NONSTOP) | BY PASTOR GILLACK (OFFICIAL AUDIO)
42:30
Pastor Gillack Music
Рет қаралды 273 М.
Nyimbo Za Tenzi Za Rohoni Songs Swahili Mix -  Nyimbo Za Injili (2 Hrs)
2:02:27
BEST OF FANUEL SEDEKIA WORSHIP SONGS VOL 2
1:00:43
DJ DR ELVIS, THE MELODIC MEDIC
Рет қаралды 339 М.
NYIMBO ZA WOKOVU COLLECTION (2023) - Papi Clever & Dorcas ft Merci Pianist (Swahili)
1:26:48
PaPi Clever & Dorcas Official
Рет қаралды 2,3 МЛН
NON STOP WORSHIP By PASTOR ANTHONY MUSEMBI. SMS SKIZA 5964451 To 811
23:03
pastor anthony musembi
Рет қаралды 2,6 МЛН
Homemade Professional Spy Trick To Unlock A Phone 🔍
00:55
Crafty Champions
Рет қаралды 57 МЛН