#3 DONDA NDUGU - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO

  Рет қаралды 38,062

Mau Mpemba

Mau Mpemba

Күн бұрын

#MauMpemba #FumbuaMacho #VitukoZanzibar
DONDA NDUGU - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO
Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo.
Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia.
Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia.
+255 777 001500

Пікірлер: 58
@binmasoud4150
@binmasoud4150 Жыл бұрын
Watu wake kweli mnajipamba nikiwa nnatoka tuu, sio vizur mjipambe mkiwa ndani pia mnakimbiza waume mnajiharibia wenyewe. 😊😅
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Tamaa na kukimbia majukumu basi! Mana hzo ni tabia za w’ke karibu na wote kwa hio unakimbia huko unapokwenda unauhakika wakupambiwa???
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Kujipamba ni kwa m’ke na m’me ila kila mmoja na upambaji wake, je na nyie mnajipamba majumbani? Ndio unaona anaambiwa akabadili nguo😊
@binmasoud4150
@binmasoud4150 Жыл бұрын
Sio kwamba kila mmoja na upambaji wake tatizo mnajipamba mkiwa nje, swali mnampambia nani nje na mume yuko ndani? Mnatakiwa mjue nyakati sahihi.😊
@nassrasoud
@nassrasoud Жыл бұрын
​@@binmasoud4150 kujipamba majumban tunajitaahd lkn mapambo yetu ni kaz Bure kwenu, mukitoka kazn mnatukuta Kila rang usoni lkn ata umependeza hamtwambiii 🙄🙄🙄. Ndio tukaona Bora tujipambe tukitoka tutaambiwa japo Mashaa Allah 🤭😝😝😝😝 mna sisi wanawake tunapenda kusifiwa😍😏😏😏😏
@binmasoud4150
@binmasoud4150 Жыл бұрын
Lkn mda mwengine inategemea na bwana nae, but vizur kuengeza machopochopo ipo siku itakuwa poa
@zulfahussein6784
@zulfahussein6784 Жыл бұрын
Kweli wivu sunnah MashaAllaah tabaraAllaah kwa kazi zuri
@hamidyakoub6865
@hamidyakoub6865 Жыл бұрын
Saf xna❤
@saidjuma25
@saidjuma25 Жыл бұрын
Kaziiii nzuriii
@zulachama1067
@zulachama1067 Ай бұрын
😂😂😂visa na mikasa yote mitiani,bimwinyi ıtabidi huyavumilie ndoa mitiani Maisha mafunzo.# mzee mwinyi # bimwinyi,filamu mzuri nimeipenda.
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko Жыл бұрын
Pemb sanarahaa
@mwanajumakomar3831
@mwanajumakomar3831 Жыл бұрын
Hahaha 😂 c kwa hali hiyo mmmh 😅
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko Жыл бұрын
Mashaallah jazakumllah kheir amiin
@kundiidd8755
@kundiidd8755 Жыл бұрын
Kazi njema Kwa maumpemba gang😂😂😂
@BinWaalid-dk5sm
@BinWaalid-dk5sm Жыл бұрын
Fumbua macho...hakika inatufumbua macho kwa kishindo
@babdaubabdaubabdau8992
@babdaubabdaubabdau8992 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@AhmedalriyamAhmed
@AhmedalriyamAhmed Жыл бұрын
Hongereni sana munatuelimisha na kutuburudisha hayo yote yako kwenye jamii zetu munatufumbua macho vzr. Nawatakieni kazi njema.
@SalehHamzaa-zk9iq
@SalehHamzaa-zk9iq Жыл бұрын
Kazi nzuri mau ,dongo ,na makunde
@elhabsy8483
@elhabsy8483 Жыл бұрын
Saf san big up
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 Жыл бұрын
Mwinyi wajifanya msanii eti kila mkeo akienda shuhuli waumwa mwisho kachoka umechexea msukumo mmoja tu 😅😅
@shaviercharvinho18
@shaviercharvinho18 Жыл бұрын
funzo muloolewa wengine wanaenda harusini
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 Жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana mau hongera sana pamoja na timu yako kwa ujumla ila makame simuoni yuko wapi
@rashaso7564
@rashaso7564 Жыл бұрын
Tunakubali kazii
@masturamohd4920
@masturamohd4920 Жыл бұрын
wivu ni sunna ila weye ushaufanya faradhi kz nzur masha allah
@AbdulSungura
@AbdulSungura 7 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mohdsaad2736
@mohdsaad2736 Жыл бұрын
Mafunzo furaha na heshima 😊😊😊
@abeidabdullwarith8991
@abeidabdullwarith8991 Жыл бұрын
Naomba kibendera❤
@teedullah5708
@teedullah5708 5 ай бұрын
Mzee mwinyi bwana😂😂😂 hataki mke aondoke
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Haaaaaaa mgonywa anatonge kama dongo lakukandikiya nyumba mume kama huyu nikisha mjuiliya kukiwa na harusi namfungiya mlango
@selemohd9060
@selemohd9060 Жыл бұрын
Hahaha kwani harusi lazima uende jamaniii
@abeidramadhan2413
@abeidramadhan2413 Жыл бұрын
Kimoja tunachojivunia wapemba ni wanawake wazuri na wenye heshima
@mwanawetumwatumwa3000
@mwanawetumwatumwa3000 10 ай бұрын
Nice 👍
@user-yv2cb8no9g
@user-yv2cb8no9g Жыл бұрын
Kazi mzuri
@user-wi5xr5bc2y
@user-wi5xr5bc2y 11 ай бұрын
Hongeren
@amourjuma4386
@amourjuma4386 Жыл бұрын
Hongereni sana.
@shaviercharvinho18
@shaviercharvinho18 Жыл бұрын
safi sana mwinyi
@omarbosiomar8608
@omarbosiomar8608 Жыл бұрын
Much love always 🎉🎉🎉
@abdullaabdullahmpakanjia2336
@abdullaabdullahmpakanjia2336 Жыл бұрын
Fundi huwezeki tena weye yakhe
@user-hy9pp5rp9i
@user-hy9pp5rp9i 10 ай бұрын
😂😂😂😂 huyu ni mm kabisa
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio 2 күн бұрын
Hiyo mitonge ya mgonjwa!😂😂😂😂😂😂😂
@peteswalehe236
@peteswalehe236 4 ай бұрын
Wivu kanaufanya faradhi😅
@muxfilmproduct
@muxfilmproduct Жыл бұрын
unajuw sijaelew kidog vipande vengine huyu ni mke wa mau mpemba lakin humu ni mke wa mwinyi nambie
@kylesmeight4837
@kylesmeight4837 Жыл бұрын
Kla kpande knajtegemea
@afyakwanza
@afyakwanza Жыл бұрын
Mwinyi mpeku hayo mambo yapo mengi majumban hongera sn kwa mafunzo yako na mm nitakuwa hvyo hivyo ahsanten
@abdallahselemani6423
@abdallahselemani6423 Жыл бұрын
Fumbua akili na wewe hao ni wasanii lengo ni kufikisha ujumbe
@Omar-ie5ph
@Omar-ie5ph 11 ай бұрын
😂😂😂 ahaa mwinyi unajuwa sana
@zakomone7672
@zakomone7672 Жыл бұрын
MashaLLAH ❤
@kombokichwa815
@kombokichwa815 Жыл бұрын
Wivu unamsumbua mzee mwinyi 😀😀
@zakomone7672
@zakomone7672 Жыл бұрын
Mwinyi mpeku 🤴🏻🤝🤴🏻
@jumamaisara8261
@jumamaisara8261 11 ай бұрын
Nice ❤❤❤
@mariambintsaid3814
@mariambintsaid3814 Жыл бұрын
Wimbo huu WA mwanzoni waitwaje ama na n kaimba VP?
@suweidkhamis722
@suweidkhamis722 10 ай бұрын
Nyimbo haram
@Aviero_07
@Aviero_07 Жыл бұрын
😂😂😂❤
@bintykikungu6900
@bintykikungu6900 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 daya yetu hiyo wanawaje
@Nahdiya-nr3de
@Nahdiya-nr3de Жыл бұрын
Yani ingekua mm ngekupa dawa kisha niendezangu harusini 😅😅😅
@killingofficial5005
@killingofficial5005 Жыл бұрын
MashaAllah 🤣🤣
@OmanOman-ky2oo
@OmanOman-ky2oo Жыл бұрын
😂😂😂
@dullamuwise4802
@dullamuwise4802 Жыл бұрын
😂😂😂
#4 FEDHEHA - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO
14:36
Mau Mpemba
Рет қаралды 41 М.
#-9-MVIYA- MAU MPEMBA- FUMBUA MACHO
13:07
Mau Mpemba
Рет қаралды 22 М.
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 26 МЛН
KIFO CHA DALALI _01 new movie 🎬
16:42
ZALEJI Creative
Рет қаралды 1,2 М.
#21- MZIGO - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO
13:45
Mau Mpemba
Рет қаралды 58 М.
FUNGATE EPISODE NO 05 |  MWINYI MPEKU, KITATANGE, AMINA, BI SINA JAMBO
24:39
#1 AKILI ZA KUCHANGIWA - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO
14:29
Mau Mpemba
Рет қаралды 60 М.
#41- WAGENI - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO
11:32
Mau Mpemba
Рет қаралды 23 М.
Mwanafunzi Mcharuko Full movie Kitatange kake Simba Chima Luna
52:54
kitatange filams
Рет қаралды 44 М.
#5 FITINA - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO
14:45
Mau Mpemba
Рет қаралды 33 М.
#49- WANAWAKE - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO
17:57
Mau Mpemba
Рет қаралды 33 М.
#11-SURIA - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO
13:52
Mau Mpemba
Рет қаралды 48 М.