Ameen! Ameen!. Nimebarikiwa na Bwana na somo hili! Ni pendo la namna gani hili kutoka kwa Bwana Yesu kumtuma mtumishi wake kwangu!.
@ElinipeNkini2 сағат бұрын
Kwaya hii imetulia sana na inasikika vizuri mno, ujumbe wao unasikiwa vizuri. Hongereni Sanaa mnaimba vizuri
@silaleopard72632 сағат бұрын
Ameniii mwakasege Munguu akutuzeee mnoooo mwalimu hakika hili ni somo la wakati we love you better Mungu akuwekee kwaajili yetu ya the best in jesus name Mwalimu😊
@luluvictor5769Сағат бұрын
Mungu azidi kukutunza mtumishi wa Mungu.
@Gg_2022 сағат бұрын
Glory to God, Glory to Goddd!!❤️❤️❤️❤️🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@AnnaMushi-o2w54 минут бұрын
Ameen Ameen Mungu asante kwa yote ulonitendea
@vivianmahuto68982 сағат бұрын
Mungu ninakushukuru kwa Neema uliyonipa kusikia haya....nipe nguvu ya kuomba
@joyceernest6987 минут бұрын
Hakika tuliohudhuria semina hii tumebarikiwa na mafundisho ya mwaka huu2025 uwe mwaka wa baraka kwetu sote 🙏🙏🙏🙏
@AnnaMushi-z1k32 минут бұрын
Amen
@JuliusKivuyo-b8l2 сағат бұрын
Ameni
@elinasamwel637123 минут бұрын
Hicho kitabu cha hekima nakihitaji niko Bukoba napataje