Пікірлер
@DiannaMboka
@DiannaMboka Сағат бұрын
Kuna kitabu cha toba ya kujinasua na madhara ya utoaji sadaka kwa miungu mingine,,,,,nakipataje watumishi??
@dragon_tz
@dragon_tz 2 сағат бұрын
Chakula changu cha kiroho..ahsante YESU kupitia mwl.MWAKASEGE kwaajiri ya NENO LAKO. AHSANTE YESU MAANA NIMETAMBUA YESU ANANIPIGANI SAWA SAWA NA MAPENZI YA AGANO LAKE KWANGU.KWA NYAKATI NA MAJIRA.
@samirakashililika4223
@samirakashililika4223 4 сағат бұрын
Mungu baba naomba unifungulie njia mpya
@samirakashililika4223
@samirakashililika4223 4 сағат бұрын
Mwenyezi mungu na omba mwaka uusiishe mwanangu na mume wangu uwaokoe mwanangu umfungulie Malathi yote kaka masomo yake
@hosianamunuo15
@hosianamunuo15 15 сағат бұрын
Halleluya haleluyaaaaa 🙏🙏
@MarcoPeter-y5n
@MarcoPeter-y5n 18 сағат бұрын
Glory to JESUS Amen
@samirakashililika4223
@samirakashililika4223 20 сағат бұрын
Asante mungu mwaka huu unifungulie Milango yote na unipe mtu muhimu katika maisha yangu umtoe mwangu uchawi ktk mwili wake na dadaangu Salome umponye na baba angu nae umponye na mume wangu umponye marathi yote awe na roho ya huruma
@samirakashililika4223
@samirakashililika4223 20 сағат бұрын
Ee mwenyezi mungu naomba mwaka huu mwanangu Raza Ahmed Raza mwaka huu ajue kuongea masomo umfungue akili yake na mume wangu anisamee yote niliyo mtendea awalipie Ada watoto
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 22 сағат бұрын
Ameen
@samirakashililika4223
@samirakashililika4223 Күн бұрын
Baba mungu wangu maombi haya yawe yakunibadilishia mume wangu awe na Imani kwangu anisamee makosa yangu unipe kibali upya na mambo yangu yaende vizuri
@LyimoMhagama
@LyimoMhagama Күн бұрын
Ameen
@Musamahizo84
@Musamahizo84 Күн бұрын
Mungu akubaliki
@FransiscoFransisco-f2j
@FransiscoFransisco-f2j Күн бұрын
🙏🙏🙏🙏
@jacklinekilimba
@jacklinekilimba Күн бұрын
Amen
@HellenMaloko-s5t
@HellenMaloko-s5t Күн бұрын
Tumuombee sana huyu mtumishi wa Mungu
@MonicaKaovera
@MonicaKaovera Күн бұрын
Nakupenda sana mwalimu
@maurarespich9245
@maurarespich9245 Күн бұрын
Mungu ni mwema nilitapika wakati anaombea matumbo ya uzazi.
@maurarespich9245
@maurarespich9245 Күн бұрын
Baba yangu alipigika kiuchumi akiwa na miaka 36, kaka yangu nae amepigika kiuchumi akiwa kati ya miaka hiyo
@Ev_mwl_daniel_mollel
@Ev_mwl_daniel_mollel 2 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@lisabelamwigani4797
@lisabelamwigani4797 2 күн бұрын
Nmeweka Nadhiri yang kwa Mungu leo Mwaka huu na yote ijayo
@EmmyPhilimon
@EmmyPhilimon 2 күн бұрын
Mungu yupo na anatenda
@OBEDINGOTEE-vq7bc
@OBEDINGOTEE-vq7bc 2 күн бұрын
Glory to God
@ElishaLukumay-l8c
@ElishaLukumay-l8c 2 күн бұрын
Hiii neno lina nibariki na kunipa ujasiri ya kukanyaga ike na nyoka
@PriscusRobart
@PriscusRobart 2 күн бұрын
🙏🙏🙏
@SALOMENkya-p4y
@SALOMENkya-p4y 3 күн бұрын
Hakika mtumishi
@EliasLukumay-x3n
@EliasLukumay-x3n 3 күн бұрын
Nice❤
@GloriaMasanja
@GloriaMasanja 3 күн бұрын
Namuomba Mungu anisadie anipe mume ambaye ni sahihi nmechoka kuhangaika😢
@EmmyPhilimon
@EmmyPhilimon 3 күн бұрын
Asante Baba kwa neno lako
@magdalineachieng4633
@magdalineachieng4633 3 күн бұрын
Ameen
@lizzybenny9368
@lizzybenny9368 3 күн бұрын
Kwanini huwa nikisikiliza neno la Mungu kwa umakini sana mwili wangu huwa unasisimuka sana,,,,na hii sio mala moja iwe Live kanisani au ata kwenye Tv na mtandaon kama hivi kwaaaaaannnnnnniiiiii😢?????? 2:27
@zaishanga1622
@zaishanga1622 3 күн бұрын
Mungu mwaka huu nijenge nyumba nzuri sna ninunue gari yangu nimiriki bushara kubwa na ifanye vizuri na niwe mfano wa kuigwa mungu niongozeAmin
@SinimesiJackson
@SinimesiJackson 4 күн бұрын
Heri yake aliyeokoka na kuyetenda mapenz ya Mungu ndiye atakayenyakuliwa Ila pole kwa wale walioshikilia dini zao bila kumshika Yesu
@christophersanga
@christophersanga 4 күн бұрын
❤❤😂
@DeboraMbembela-f5h
@DeboraMbembela-f5h 4 күн бұрын
Amen mbarikiwe jamani Mungu wa mbinguni aendelee kuwatia nguvu zaidi na zaidi.
@YulithaLimbu
@YulithaLimbu 4 күн бұрын
Mungu mtunze mtumishi wako
@YulithaLimbu
@YulithaLimbu 4 күн бұрын
Mungu akutunze baba yetu akupe maisha marefuuu
@EliasMollel-f6y
@EliasMollel-f6y 4 күн бұрын
Ameen.
@JacquelineRaphael-y2q
@JacquelineRaphael-y2q 4 күн бұрын
30/01/26 Hallelujah 😊
@JanetRuta
@JanetRuta 5 күн бұрын
Mungu usinipite
@paulherman6818
@paulherman6818 5 күн бұрын
Glory to God!...
@EliasMollel-f6y
@EliasMollel-f6y 5 күн бұрын
Ameen❤.
@AgathaMothe-o4u
@AgathaMothe-o4u 5 күн бұрын
Ameeeen
@revocatuslubalema9442
@revocatuslubalema9442 5 күн бұрын
Huyu Mzee ni Nguli wa Injili -Tanzania Barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
@kakajoss2464
@kakajoss2464 5 күн бұрын
Hii neno inanihusu kweli. Ni Mimi kabisa. Mbingu zimeninyamazia upande fulani.
@JosephElisha-s5t
@JosephElisha-s5t 5 күн бұрын
Amina
@MariamSenga-xn2dc
@MariamSenga-xn2dc 5 күн бұрын
Amen 🙏
@julianapaul5072
@julianapaul5072 5 күн бұрын
Amen
@esterjob2587
@esterjob2587 5 күн бұрын
Asante Mungu
@NaomiIbrahim-i7z
@NaomiIbrahim-i7z 6 күн бұрын
Neema ya.mungu pamaja nami neno lako.limeniganga moyo.na kunipa.tumaini mungu pamoja Nami
@NaomiIbrahim-i7z
@NaomiIbrahim-i7z 6 күн бұрын
Asante.mwalimu mwakasenge kwa.neno la mungu