MUNGU alinipa neema nikawepo katika hii semina, Asante YESU naweka hii comment hapa kama Ishara kila aisomae akukumbushe jinsi ulivyo niponya mm 🙏🏽✝️❤
@TheresiaAREXАй бұрын
Hongera sana mungu ni mwema
@witnessIzackАй бұрын
Hongeraaaa
@BeingnoelaАй бұрын
Bwana Yesu asifiwe sana. Nmebarikiwa sana sana na maombi ya kufunua mikono ya wanawake Leo. Roho Mtakatifu azidi kukufunulia zaidi Mwl Mwakasege. Asante sana. Mungu wa mbinguni azidi kukubariki
@EnalaMwakalingaКүн бұрын
Mungu akutunze baba angu kwa ajili ya dunia nzima
@FlorenciaKazimotoАй бұрын
Leo Nimemuona Mungu kwa namna ya tofauti sanaaa Mungu azidi kukutunza Mwalimu Na Usipungukiwee
@mercybitababaje875226 күн бұрын
Asante Mungu kwa somo hili, ninaomba neema ya kuyafanyia kazi mafundisho haya ili nguvu za mikono yangu zizidi kuimarika kila siku, Amina.
@blessedtumaini516Ай бұрын
Asante Mungu Baba kunikumbuka leo na kunisemesha nankushughulika na mikono yangu sawasawa na neno umenitakasa mimi na mikono yangu ili uitumie kwa utukufu wako katika jina la Yesu Kristo Amina. Mwalimu Christopher Mwakasege asante kwa neno na mafundisho nimejifunza na kupokea ba kupona ubarikiwe wewe familia na wote watendao kazi pamoja nawe. Amina.
@EliwanzitaАй бұрын
Hakika Roho mtakatifu ni mzuri amenena na kunuhudumia kupitia mwl Mungu akubariki baba
@MariaAmon-c2y29 күн бұрын
Amen hii siku nilipokea miujiza mingi nimebaki tuh kushudia matendo makuu ya MUNGU🙏👐😍
@AngelaPeter-g2uАй бұрын
Naomba mungu ifungue mikono yangu maana nimekua mtu wa kupoteza hera san, na matumiz yasiyo ya kawaida. Hatua zangu ziwekwe huru, nakataa roho ya uharibifu kwa jina la YESU
@ELIZAMHEMAАй бұрын
Ameni niachiliwe Kwa Damu ya Yesu mikono yangu na miguu yangu inafunguliwa Kwa Damu ya Yesu
@EuniceSimon-k2c16 күн бұрын
Nashkuru sana mungu kwa kibali hiki ilkua ni mara yangu ya kwanza kuudhuria seminar hizi,kwakweli nimemwona mungu kipekee sana pia kipekee niliioma nguvu iliyoko ndani yangu
@teddymhenga3006Ай бұрын
Amen Mwl Mtumishi wa Mungu. Bwana akubariki sana.
@jenipharmelayeki9207Ай бұрын
Ahsante sana YESU KRISTO umenipigania nakuita Jehova rafa Jehova nici
@ernestbutagalalaАй бұрын
Amina baba kwa mafundisho mazuri yamenibariki, pia Baba naomba ata mwaka 2025 mpeleke semina ya neno la mungu mkoa wa Geita na wilaya yake,
@husnabakar475Ай бұрын
Ameen moyo wangu umejawa ma shukrani 🙏🙏🙏🙏
@AngelMngeteАй бұрын
Amen asante MUNGU kwaajili ya mafunuo uliyo achilia kwa mtumishi wako uzidi kumpakamafta mampya kila itwapo leo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@DorcasJulian27 күн бұрын
Namshukuru Mungu sana🙏
@SalomeMlangiАй бұрын
👌👌nimeenjoy neno ,mungu akutunze mtumishi
@DavidMapindaАй бұрын
Nilitamani niwepo kwa mwaka huu Ila kazi imeniweka mbari Ila kwa neno Hilo sioni umbali mungu amulinde
@MariaAmon-c2y29 күн бұрын
Barikiwa watumishi wa MUNGU kwa kazi njema
@christinasanga1341Ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu, uzidi kutufundisha! 🔥🔥🔥
@GwamakaAmosiАй бұрын
Mungu kila kitu tunaweka mikononi mwako linda watumishi hawa
@user98771Ай бұрын
Mwl hili somo ni la kiufunuo sana Baba limebeba mambo ya ndani na siri ya Mungu iliyo kuu. Tunaomba utusaidie kulifunua zaidi km Kanisa tulielewe vizuri. Somo hili ni jipya na lina siri sana.
@rehemakigengeanyosisye8059Ай бұрын
Amina nimepata kitu, ubarikiwe sanaa Mtumishi wa Mungu
@EmmyPhilimonАй бұрын
Nmemuona mwalimu emiliani
@DinnaRossanaАй бұрын
Ubarikiwe na uongezewe zaidi azina ya taifa
@erickmpangile9798Ай бұрын
Mimi pia ni pia niliota mara ya kwanza mdudu mbaya amening'ata kidole changu na maumivu yake yalikuwa makari sana kama tindikali yaani kidole kilikuwa kama kimachemka hivi, alafu kabla sijapoa na kidole kingine kilishambuliwa vilevile. Ikapita kama siku kadhaa ndoto ikajirudia mara hii nikaota ni nyoka kaning'ata akiwa na hasira kali mpaka wakati namtoa akakatika kichwa. Na hizi ndoto zilikuwa zinanisumbua sana na sasa nimepata maana zake pamoja na uponyaji. Ahsante sana Mungu kwa kumtumia mtumishi wako huyu
@edithmzirayАй бұрын
Mungu na azidi kukutumia kama ishara Kwa watoto wake
@Purity-zd8ylАй бұрын
Amen amen mwalimu
@maryako2809Ай бұрын
Asante ❤ Yesu mwema
@liliankenan2011Ай бұрын
🙏🙏. B blessed my dady in Christ..
@johnlawrance-pn2gcАй бұрын
Precious john
@Janeth_SaukiwaАй бұрын
Nipo hapa😢😢
@EmmyPhilimonАй бұрын
Emeeeen
@christinasanga1341Ай бұрын
Amen! 🙏🙏🙏
@EmmyPhilimonАй бұрын
Mungu wa madhabau hii napokea ndoa yenye ekima ndani yake mwaka 2024 kuelekea 2025 emen naamini ya kua nitauona wema wa Bwana katika nchi ya walio hai
@SyellaSteveАй бұрын
Soma na warumi 4:18
@evarisaernest2146Ай бұрын
AMEN
@julieteshehiza4097Ай бұрын
Amen
@Difrnd-t2cАй бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🏿
@ElizabethMjalifuАй бұрын
❤❤
@christinangondi4212Ай бұрын
Babangu na mamangu Christooher na Diana MUNGU awape maisha marefu, somo la jana ni Real-nothing was moving in my hands, jana nimefunguliwa toka ishara mbaya za kiroho