These old photos were taken by an amateur photographer from the late 1950s to early 1910s.
Пікірлер: 74
@abdihussein22783 жыл бұрын
It is lovely Mombasa been there early 1990s as refugees from Somalia,my wife liked the city still my kids are there may God Bliss Mombasa and it's people
@magdalenemajala1806 жыл бұрын
History still tells . Thank you so much Bamariz.Mombasa Raha. I can still remember all the places Shown , home is home . Angeonyesha mpaka picha za Mzizima na Shimanzi etc. Mombasa was a paradise city and a very cool place. No stress .Kwa Raha zao. We mis a lot of Msa . Peace . Pamoja.🙏
@khalidm1025 жыл бұрын
Truly nostalgic indeed - thanks for sharing.
@mishijuma63266 жыл бұрын
Masha ALLAH mombasa ilikuwa nzuri kabla watwana hawajakuja.
@saeedaosman35106 жыл бұрын
Good old days of mombasa....wish i go back in time.
@nichtsisttieferalsunserstaat Жыл бұрын
Before I moved to the south coast for work in 1987, I lived in Ganjoni with my Indian friends. It was the best time of my life, in a (then) beautiful oriental city.
@leymansalim1626 жыл бұрын
Mombasa ilikuwa ni mombasa kweli kulikuwa kimya wala hakuna uwizi wala kuuwana bt saa hii mombasa imevamiwa na mijitu mibaya ila itabaiki kuwa stori
@alody473 жыл бұрын
Au history.
@billiangerson63922 жыл бұрын
I love Mombasa raha African way of Life soon to visit my favorite city
@ibrahimdhogor85165 жыл бұрын
nzuri mambasa na Zanzibar ilikua ngome ya masultani kabla hajafurugwa na Portugal na masheytani British ni jiji la kihistoria ndo maana mtu akitebea msa kamwe hatasahau atakumbukagatu si mchezo
@AFROBLAKSTUDIOS Жыл бұрын
Yaani inapendeza ajabu kupata fursa ya kuona picha hizi za kale. Ama kweli maisha.....Alhamdullilah
@myoutubecom-gg7sb6 жыл бұрын
Ma ashAlla great history photos
@giannademori64804 жыл бұрын
Thanks 😍
@richardgaya39659 ай бұрын
You should have them properly catalogued....and organise appropriate liaison with the National Museums and Archival Agencies for due preservation of these historically significant materials for the future generations, research and social studies and exhibitions
@kitoriaalwy42387 жыл бұрын
wow amazing photos
@shazifkhan58034 жыл бұрын
once upon a time now nightmare cant drive cant walk sad sad
@mstevens8324 жыл бұрын
New subscriber this is History face to face ata mukituita watu county 1 ni yetu . Tuigue
@sir_sal5 жыл бұрын
Old days no visa no rules just living anywhere you like that racist book called Passport that made people good or bad
@fatmaomar98176 жыл бұрын
Kweli pwani si kenya
@marymayeye79476 жыл бұрын
Sasa ulitaka Mwarabu atuuze? paka waleo amatumrudishae Makufuli tz ? Kwanza sikiliza huyo Msic kulikuwa uzuni umetanda kilakona ya Africa si Wazungu si Wapochogisi na Waharabu .kufanya Kazi na kupikwa mijeledi Watu wengi walikufa wakijenga helo Daraja la Gongoweya 😭😭😭22 .9.2028 tuwache ibaki History Emungu saidi Kenya
@jahadibrahimtv79586 жыл бұрын
Si Kenya kabisa
@MARK-nh4hx5 жыл бұрын
@@jahadibrahimtv7958 Mombasa ni Bangladesh Rawalpindi Oman na pia warabu wa kuuza waafrika sio?
@tifu6784 жыл бұрын
This is the thinking that keeps wapwani lost. Mdundo wetu ni wa mijikenda, mavazi na dini ni ya kiarabu, mapishi mengi ni ya kihindi, lugha ni ya kibantu na kwetu ni papo lakini tukiitwa waafrika ni kama tulotukanwa. Amkeni nduzangu!
@jupiterbibi96305 жыл бұрын
So it was Miembe tayari coz now ni mwembe tayari🤔🤔🤔🤔
@mstevens8324 жыл бұрын
😄😄😄😄😄👍+44
@kalimoney12 жыл бұрын
One very interesting story I've heard about the origin of the name, there apparently was one extra large "Mwembe" tree among other regular sized "miembe" trees that stood where shell petrol station now stands. It was a major landmark and the point at which traders and merchants venturing inland would meet up with their porters and the starting point for their caravans. The interesting bit is that what made this landmark renown was not it's mammoth size but rather the fact that it had one VERY unique trait - it bore fruit all round the year with no regard to month or season! There were ripe mangoes dangling from its branches throughout the year and hence the name "Mwembe tiyari". Can't confirm on the authenticity of this tale but I thought it was quite interesting.
@kingdomscience64806 жыл бұрын
I hope you can Copyright these photos and make some nice Enlarged sizes for sale. In the US they have them enlarged and printed on board for display in City restaurants, museums and other points of interests. Kindly take my $$$$ suggestion.
@sawdasamsan48956 жыл бұрын
Kweli Mombasa mji wazama zakale zilizopita
@nyarkristoforjesuskoga37616 жыл бұрын
Ilikua nzuri sana
@ashwaagali5556 Жыл бұрын
It seemed peaceful😢
@pushsplace2 жыл бұрын
Surely you need to acknowledge the source of these photos...? And surely not just one "amateur" photographer.... 😉 I see several postcards too !
@suheylakibohora9565 жыл бұрын
Naona tu Waswahili hizo pic walovaa makanzu n.a. buibui but Now ,,,,,,,,,,,,,!!Guess hahahahaha
@alexndambukiemmanuel38944 жыл бұрын
yaani wataka sema hayo meno ya ndovu docks yalikuwepo tangu 50s, dah,,,yastajaabisha kweli. kisha bondenin ya kitambo ilikuwa nyamavu...I highly doubt siku hizo kulikuwa na hili joto la leo
@mpwanihalisi62575 жыл бұрын
We want our country mombasa back
@michaelcody39604 жыл бұрын
You mean Oman, Pakistan, India and Yamen. If you came by DHOW you can look for it . You found AFRICAN LAND HERE.
@abbasmohamedsalim70186 жыл бұрын
Wow
@alibinali_5 жыл бұрын
inauma sana kiukweli
@fatmaomar98177 жыл бұрын
old days
@sakinat25275 жыл бұрын
Old is gold
@osmankombe79776 жыл бұрын
Wooow amazing
@fatiyafati68206 жыл бұрын
Masanamu. Ya. Mwembe.tayari. niyakitambo
@funneybozzendaddy76316 жыл бұрын
Was real kool
@princeofosun74515 жыл бұрын
its funny it still looks the same ..
@stphfk81813 жыл бұрын
True not so much development has taken place
@mstevens8324 жыл бұрын
Kweli Mungu tumetoka Bali London locked.
@jahadibrahimtv79586 жыл бұрын
😀😀😭😭😭😭😭😀😀 nalia Na furaha , sikuwa Zama hizo , nilikuwa sijazaliwa , kweli MSA ilikuwa mji mtulivu Na wenye amani , lakini sasa Zama hizi ,🤔🤔🤔 Allahu Akbar
@kalimoney12 жыл бұрын
Mji mtulivu kweli? Sio kulingana na hadithi nilizoziskia kuhusu asili ya jina Mvita - jina rasmi ya kisiwa kile zama za kabla ya ukoloni.
@memonfayaznf6 жыл бұрын
Dedicate to my Nasarpuria (Maeit) Community of Mombasa .
@kalimoney12 жыл бұрын
Interesting, who are they? Never heard of them before
@mstevens8324 жыл бұрын
Hii Maisha ya Kitambo ni tamu.
@ed_2016 жыл бұрын
there's nothing cool or great about these photo's all you see is colonialism from portuguese to arab to finally british the real shame is how the real local culture of Kenyans was wiped out with no regard for anything
@nsaid94196 жыл бұрын
no one can take your culture and tradition from you. You chose to leave it for Western cultures yourselves. Wahenga walinena "akatae asili ni mtumwa"
@abdullahsaid54346 жыл бұрын
Maneno yako yamejaa chuki na watu woote. Hao waarabu unao wasema ndio mwanzo kuishi pwani yote. Peke yao. Ethnic africans wakati huo sio mijikenda bali ni watu waitwa Bushman wanao hama hama wala si kwao. Mijikenda walikuja baadae sana. Wazungu walifika pole pole kama biashara halafu wakatawal. Pwani ki history ni ya waarabu. Sasa twaikubali new kenya ni ya woote. Usibague mtu.
@majidsaid086 жыл бұрын
Sasa imekuwa ya waafrika.... waarabu waonekana maadui..... but we will be on track one day history repeats its self as said
@mohamedali-qp2uf6 жыл бұрын
Musidanganye na historia za kirongo mombasa ni miongoni mwa himaya/sehemu ya mijikenda wengine wote walifanya kukaribishwa na sasa kwa sababu za kibinafsi na kibaguzi ndio mana wanadai kuwa wenyeji asili Lakini kuna ushahidi wakutosha unao wanyamazisha.mwanzo ni jina lenyewe MOMBASA ' ningeoba wale walio tugeukia na kutusaliti baada ya kuwakaribisha watuambie maana yake ni nini.pili kama waarabu ndio wenyeji asili wa mombasa na wenyeji wa bara arabu ni wakinanani.kama wareno, wachina, wazungu wote walikuja kabla yenu na walikubali kurudi kwao hilo ni hakikisho kuwa wana zipenda nchi zao.Sisi wenyeji tuna elewa kwanini hamtaki kurudi kwenu ndio tukaamua kuwa hifathi.
@mpwanihalisi62575 жыл бұрын
Kenya ilikuwa haijulakani wakati hizo.
@brian-fg5no Жыл бұрын
Was there for uhuru
@shifaaal-baity45036 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👋👋👋
@fatiyafati68206 жыл бұрын
Nikitambo. Mimi. Nilikuwa. Sijazaliwa
@michaelcody39604 жыл бұрын
Sikiza wewe rudi Omani , Yameni Paskitani ama India hapo ni BLACK EMPIRE KWA WA AFRIKA nywele ngumu .
@alibinali_5 жыл бұрын
mombasa sio kenya
@MARK-nh4hx5 жыл бұрын
Kweli sio Kenya Mombasa labda ni Bangladesh ama Jaipur ama Rawalpindi
@lindanchi56466 жыл бұрын
Friends, we need to realize that Mau Mau only fought for the liberation of Bantu(Kamba, Kikuyu) land. Everyone else around us hasn't fought for anything. The only real successful black state that is self-sufficient is central Kenya, that's it.
@deepsea21415 жыл бұрын
wakikuyu wa central walikuwa wakipigania mashamba yao bali sio uhuru wa nchi. Walikuwa hawajui kama kuna nchi yaitwa kenya, walikuwa wakipigania mashamba na hata wale waliopigania haki zao; pia wao waliiba na kunyakua ardhi
@Leo-bi4he4 жыл бұрын
That doesn’t really matter now
@mbajuni2 жыл бұрын
So who fought against Portuguese invasion on the Coast in the 1700s? Who fought against the Oman? Kikuyus also? If the people of the coast didn’t fight against Portugal, you wouldn’t even be speaking English right now!
@estonngari49652 жыл бұрын
On the contrary many letters written by the resistance exist that ask for the freedom of Kenya as a whole.
@estonngari49652 жыл бұрын
@@mbajuni agreed. The Swahili were long a strong sea defense of the Coast. Either through war or assimilation have managed to persevere to date.