Mimi ni mzawa wa Unguja, Zanzibar. Nilibahatika kutembelea Lamu na Pate. Nilifurahi sana kuwaona ndugu zangu wa huko, japo kuna tofauti ndogo ndogo baadhi ya maneno lakini tulifahamiana uzuri na nilijihisi kama niko kwetu Unguja. Asante kwa maalumati haya muhimu, kuna haja kubwa ya kuifahamu historia yetu kupitia kwa wazawa. Kuna haja pia ya kuuhuisha umoja wa watu wa mwambao wa afrika ya mashariki. Insha allah ipo siku ile golden age itarejea tena na itadumu zaidi ya mara iliyopita.
@jambo3751 Жыл бұрын
Na Mimi pia natoka Zanzibar na niliwahi kuishi katika kisiwa cha Lamu na niliwahi pia kufika hapo PATE na kuzunguka kisiwa chote hicho cha Pate na nilifikia kwa wenyeji wangu sehemu inayoitwa CHUNDWA wakati nilipotembelea hapo Pate nawashukuru sana watu wote wa Visiwa vya Lamu na Pate Kiwayuu Ndau na kote kwa ukarimu wao Allah awalipe kila la kheri. Watu wa mwambao wa Africa mashariki sote ni ndugu .
@hashimseif1194 Жыл бұрын
Assalamu alaikum. Hakika ninafaidika sana na darsa za Sheikh Stambuli wa Sheikh Abdillahi Nassir.Wakati wa miaka ya 1987 nilipata bahati ya kusoma Kisauni nikatembelea Lamu ,Shangarubu ,Siyu, Faza,Chundwa,Pate,Shela ,na baadhi ya visiwa vyengine majina yake nimevisahau.Pia kuna wanachuoni walinisomesha ninao wakumbuka Sheikh Ali Lodi ,Sheikh Hassan Husein,S heikh Dumila wa birikau, pia nilikuwa nikisikiliza darsa za Sharifu khitami masjid Mendhir Kibokoni.Hakika mila zao na desturi zao zinafanana sana nahapa kwetu Unguja.Watu wakarimu mno na wanaupenda uislamu na elimu yake. Na huyu Sheikh Stambuli wa Sheikh Abdillahi Nassir nilikuwa niimuon mitaa ya Ingilani ,na mara moja moja nilikuwa nikimsikia akizungumza historia ya Zanzibar ,na wakati ule wanasiasa wa zamani hapa Unguja walikuwa wahai mmoja nilimuuliza kwanini huu mwambao wa Mombasa ukawa Kenya ?alinambia waingereza walitaka wende huko na kulikuwa na watu wakiongozwa na yule Sheikh aliekuwa akitoa darsa Bilali mission siku za Ashuraa na wenziwe walipinga sana lakini muengereza aliwagawa mijikenda na waswahili, na wakafanywa mijikenda ni wenyeji na waswahili ni kizazi cha waarabu. Akafaulu muengereza kuifanya ni Kenya.Nipo Unguja Zanzibar nazi fuatilia darsa zako Sheikh Istambul .Allah akutengenezee mambo yako.
@Ali-nl2du Жыл бұрын
@@hashimseif1194 Aameen
@swalehdiesel83402 жыл бұрын
Napenda kusikia historia za mahala tumetoka...mashallah baba yetu
@nawazasiwazi80612 жыл бұрын
Khalifa Bwanamaka Khalifa Very good narrator, Good job brother Allah Akuhifadhii na Akuzidishie Elimu zaidi. Amiin.
@thebanadirfactor3062 жыл бұрын
Well presented video
@khadijahali48372 жыл бұрын
Safi sana kwa historia nzuri
@faizamohamed69932 жыл бұрын
I salute you brother for the good work of educating us of our coastal history 👏👏👏
@stambuliwash.abdillahinass81232 жыл бұрын
May the Almighty guide and bless us all abundantly. Shukran.
@ummusalim19912 жыл бұрын
Ma shaa Allah TabarakaAllah, tungepata video nzury zaidi za pate tukanufaika sanaa nako,nimefahamu mingi Alhamdlh
@stambuliwash.abdillahinass81232 жыл бұрын
Ahsanta sana. Na, inshaa'Allah, Mwenyezi Mngu atatujaaliya tuweze kunufaishana zaidi kwa hiki kidogo cha fahamu alizotujaaliya.
@maryndunge782 жыл бұрын
Kazi nzuri sana angalau tupate kujua historia ya Pwani na Kenya
@mpendakiswahili30532 жыл бұрын
Kazi nzuri, lugha Safi....
@rashochano69492 жыл бұрын
Kazi nzuri bwana stambuli, tuelimishe.
@alfredolaba953224 күн бұрын
Wonderful Stambuli!
@jkizondoswahilibites4342 жыл бұрын
MashaAllah babangu Allah akuweke Allahuma Ameen yaa rabb ❤
@abulali92642 жыл бұрын
Mashaallah barakallah Allah akuhifadhi kwa ilmu nafiya
@aliyissa98572 жыл бұрын
Very informative
@maragolihistory21182 жыл бұрын
Best channel Ever.
@baqirhemraj76392 жыл бұрын
Very informative, we need more of such youtube videos.
@nancywachira2 жыл бұрын
Good history 🔥🔥 nimenifunza mengi ... Asante sana Sheik... Kuna pia wale wasichana bikra Saba walistiriwa Na Mungu fanya hiyo Na Ile YA njia za underground zinazienda Rasini
@kingoriwanjau85752 жыл бұрын
Kamum ur crazy mbna nmekuelewa na sjakuelewa
@husseinali5535 Жыл бұрын
Shukran sana brother for let us know
@MKuli-x6o Жыл бұрын
Nabhani masha alaah
@mohammedbadi67572 жыл бұрын
Baraka ALLAHU FIIK Shukraan sana.
@obbah38733 ай бұрын
Keep going with the excellent work. I'm one of the very few remaining descendants of the Portuguese merchants that once lived in Pate. Patê in Portuguese means 'head' or 'chief' or 'leader' not to be confused with the sea food (salmon patê).The leader of the islands used to reside there when my ancestors sailed to those shores.
@abdallahmasare31162 жыл бұрын
Shukran mzee wetu kwa historia hii.
@idrismohamed26912 жыл бұрын
Asc stambul mashaallah kazi kwako
@Shamso697 Жыл бұрын
MashaAllah ❤
@stambuliwash.abdillahinass8123 Жыл бұрын
Shukran.
@mohamedlalimahazi99322 жыл бұрын
Kali mzuri sana asanta
@abubakarbakedumila50062 жыл бұрын
Home sweet home Lamu pate island siyu 💪👌
@mbarakali18732 жыл бұрын
Sheikh stambuli tupee vituu , MashaAllah
@mafiaonlinetv98332 жыл бұрын
Mashaallah,asli ya wazee wangu huko ukoo wa Nabahani.
@salimbunu87174 ай бұрын
Historia Mzuri shukran,ingekuwa vizuri utaje vijiji vote vilioko kisiwa cha pate(Pate Island ) katika utangulizi ,Kwa faida ya mskilizaji,Kisha ndio ndio ufanye Tahasus ya pate Kama Kijiji kimoja Katika Pate Island .katika Pate Island,Kuna vijiji vengine Kama ,Shanga,Siyu,Rasini, Tchundwa, kizingitini, na kadhakika.
@javedabdulrahman70802 жыл бұрын
Makala mazuri,Masha Allah Stanbuli.
@areyoureal27232 жыл бұрын
Mashallah kazi nzuri sana inshallah twawaombea muzidi kuendelea inshaallah, ila kidogo kunao khitilafu katika part ya shanga ,shanga kulingana na historia zile ruins sio zao wale n watu wakuja n wasiu wakawapokea lkn kulingana na historia pale ni siu sio shanga shukraan.
@lacroquetalacroqueta68132 жыл бұрын
Allah akupe afya njema na kila mtu💚
@simoncrompton29512 жыл бұрын
Kazi nzuri
@innocentman59542 жыл бұрын
Sheikh Istambul shukran jazilan kwa jitihada zako na elim ii yenye manufaa. Nina swali.. niliwah kuskia kua kuna mskiti kibla chake kimeelekea yabtul maqdas hapa pate. Je ni kwel? Ahsantum
@idrisadalluc44989 ай бұрын
Asante mzee wangu hua napenda sana kusikiliza stor na hasili yangu pwani na mzee asili ya kizaz changu
@henryolunga548Ай бұрын
Good contents, with tangibly evidenced
@muhammadmahsen3754 Жыл бұрын
Shukran kwa maelezo muhimu ya historia ya Patte
@HansChuma7 ай бұрын
Mimi niwapwan dar es salaam huaga nasemaga sisi wote watu wapwan kaka moja mama moja baba moja shangazi mmoja Alhamdullillah mashallah
@stambuliwash.abdillahinass81237 ай бұрын
Nashukuru ndugu yangu kwa msimamo wako. Mwenyezi Mngu akujazi maishani.
@osamashakeeb71942 жыл бұрын
Shukraan ❤❤❤❤❤
@Mbarak12 жыл бұрын
Asalaam aleykum Tunaomba nasi watu wa tanga kutaka kujua historia ya mji wetu kwa tusiyoyajua
Mzee stambuli abillahi nassir twafaidikia na historia unayoitoa ya mwambo WA pwani
@salahabass76052 жыл бұрын
اللهم إحفظ أهل الساحل
@stambuliwash.abdillahinass81232 жыл бұрын
Allahumma aamiin. Ahsanta.
@Ali-nl2du Жыл бұрын
Aamiin
@salimmbwana69262 жыл бұрын
Mpaka matamshi ya lugha ya kiswahili ni sawa sawa Wazanzibari na Wapate.
@mwinyiramadhani20292 жыл бұрын
Masha Allah , makala mazuri
@leekulaten36762 жыл бұрын
Mashallah
@righttoknowwiththomas91787 ай бұрын
Are you related to stambuli who used to be an adult education officer
@doza10312 жыл бұрын
Wallai history nzuri sana ila ni fupi sana
@MKuli-x6o Жыл бұрын
Masha alah
@Stanbul.Y2 жыл бұрын
Shukran
@star-husaynaveiro28522 жыл бұрын
mashaAllah, home sweet home...
@saidothman25212 жыл бұрын
Sheikh naomba kujua historia ya kabila la Albatawy lilivyoingia katika mwambao wa Afrika mashariki
@feisal65922 жыл бұрын
Yess
@mkenyamzalendo41302 жыл бұрын
Kazi nzuri mzee
@hassanalhussein39822 жыл бұрын
Ulipotea wapi ? Ulihama Huston Texas ? Hiyo kwewe yako IPO wapi ? Mimi Ni mwanachama wa MRC na kukumbusha
@mkenyamzalendo41302 жыл бұрын
@@hassanalhussein3982 safi MRC ,jaribu Ruto sahii
@mkenyamzalendo41302 жыл бұрын
@@hassanalhussein3982 niko Kwale sahii na sihami
@hassanalhussein39822 жыл бұрын
@@mkenyamzalendo4130 Wewe upo Huston Texas.
@hassanalhussein39822 жыл бұрын
@@mkenyamzalendo4130 Kwani Ruto Ni nani ? Wewe mkalenjini hutishi mtu Hapa Pwani.
@hamisikalama12862 жыл бұрын
Kumbe pwani tuna wanahistoria wazuri nahuyu anakiswahili murua matamko yake namfananisha na Sheikh Stambuli,Mimi nimpenda hadithi zidi kutujuza usisite.
@muhammadsheekh79932 жыл бұрын
Hyo ni shekh stabul hujamfananisha
@maryamhamad34852 жыл бұрын
Mashaallah, lamu ni kwetu,sante sana
@MKuli-x6o Жыл бұрын
King nabhani
@muktaermohammed2377 Жыл бұрын
We will continue fighting until Independents of oromo Land Including our port city of Lamu and the red sea Port of zalila soon back to oromo muktaer W.B.O
@Shamso697 Жыл бұрын
Fool this is not Ethiopia 😂
@abudyhahan73762 жыл бұрын
Allaah amrehemu babu yangu hii ni true story alinielezeea WALLAHI tena .alinipa hii story
@faithfultoyeshua45762 жыл бұрын
Interesting
@brayo0012 жыл бұрын
Hao watu waliokuwa wakiishi huko Pate lakini hawakustaarabika ndio wenyeji haswa...
@mpendakiswahili30532 жыл бұрын
Tungependa kuona zaidi...
@ba_yu722 жыл бұрын
Naomba ufike kisiwani Tumbatu na Paje kusoma historia ya hapo,naona hujasibu historia hiyo kwa usahihi hasa.
@abdallahselemani6423 Жыл бұрын
Hawa ndugu zetu kabisa wa pemba
@hemedsaidi93882 жыл бұрын
Anaitwa bwana maka niliwahi kusikia historia ya majina ya "Bwanamaka"😭😭😭😭😭😭
@ZuenaSharifu6 ай бұрын
Wallah nataman niende lamu nipo Zanzibar
@nassimjamal1606 Жыл бұрын
Who are the natives whom youve described running and hidding themselves??? Who are they ?
@stambuliwash.abdillahinass8123 Жыл бұрын
Pate Island is wide and its natives vary depending on where the war was taking place. There is Pate, Rasini (Faza), Siu, Shanga, Kizingitini etc.
@Wasengenyie10 ай бұрын
Meru people I believe. They actually say they came from Manda island! They followed Tana river up to Maua and adopted farming.
@HusseinMustafaParmar7 күн бұрын
Madai ya kwamba Lamu ina mashoga wengi ina ukweli gani? Yaani kukithiri kwa mashoga Lamu. Rafiki yangu Abdulrahman Boniem alitoka Mombasa lakini aliniambia alikuwa akitembelea sana Lamu kutokana na jamaa zake. Lamu inajulikana kama kisiwa cha mashoga
@Zion-h6z2 жыл бұрын
Popa star this. Is great.khaleed.
@stambuliwash.abdillahinass81232 жыл бұрын
Shukran sana Popa. Allah baarik.
@Zion-h6z2 жыл бұрын
@@stambuliwash.abdillahinass8123 Ameen
@hemedsaidi93882 жыл бұрын
Huyo kijana ana nasaba ya maka
@hemedsaidi93882 жыл бұрын
Ni mashia
@adamsalim6863 Жыл бұрын
Tupe histori ya wachangamwe
@stambuliwash.abdillahinass8123 Жыл бұрын
Inshaa'Allah, nitafanya hivyo ndugu yangu.
@masoudmasoud8138 Жыл бұрын
Watu wa pate kiswahili chao kama cha zanzibar tofauti na watu wa mombasa
@hemedsaidi93882 жыл бұрын
Huyo ni Ahl Bayt Rasulillah
@Stanbul.Y2 жыл бұрын
Somalia kisimaiyu tupe story
@stambuliwash.abdillahinass81232 жыл бұрын
Inshaa'Allah, coming soon!
@salma00002 жыл бұрын
Mkoloni kawaida yake ni kufuta historia, mila na desturi za anaowatawala kwa hiyo msichoke kufundisha watoto wenu historia yao.
@Blowcurlyhead2 жыл бұрын
Kweli Kabisa
@dhakomodherooherokoko60372 жыл бұрын
Na mkoloni alileta dini ya uislamu na ukristo. Usikasirike 😂😂
@salma00002 жыл бұрын
@@dhakomodherooherokoko6037 hao wakoloni wa kiarabu walileta dini ya haki ndio maana mpaka leo wao wanaendelea kuifuata lakini hao waliokuletea wewe dini ya mchngo wao wenyewe hawaifuati tena sasa, wanaabudu pombe na kufirana tu
@hassanalhussein39822 жыл бұрын
@@dhakomodherooherokoko6037 Wazungu waliwafunza kuvaa nguo lakini muarabu hakutufunza kuvaa nguo. Walikuta wapwani wamestaarabika. Nyinyi mulikua mukitembea uchi huko kwenu Kenya.
@mpendakiswahili30532 жыл бұрын
@@salma0000 daah, mbona ukorofi hivi
@nyanjechengokarisa15402 жыл бұрын
Ndio niwavamizi nyinyi sikwenu huku hii coast niyamijikenda siyawarabu
@lenniefei67102 жыл бұрын
Mavigo....wamajikenda kwa upuuzi huo ndio maana wabara wamewatawala na ardhi zote kuibiwa!!!!
@tahiraabdul17012 жыл бұрын
Nani mvamizi?Mijikenda si wapwani halisi walikuja kutoka Shungwaya
@lenniefei67102 жыл бұрын
@@tahiraabdul1701 Nao wafukuzwe ama maana yake nini ?!
@tahiraabdul17012 жыл бұрын
@@lenniefei6710 waateni
@stambuliwash.abdillahinass8123 Жыл бұрын
Kwani Mijikenda walikuja lini kwenye ufuo huu kutoka huko Singwaya/Shungwaya?!
@shoobare4602 жыл бұрын
lamu somaalia🇸🇴🇸🇴
@mundhirdunia2 жыл бұрын
MAMA uko is For okk0 Is one that has the.
@MKuli-x6o Жыл бұрын
Minge Somali nabhani
@JK-um6op2 жыл бұрын
Kenya ni yetu wote .. Wacha kugawanya wakenya kwa kabila.. Sasa sisi tulizaliwa mpeketoni kwetu ni wapi? Hii ni kasumba ya kugawa Kenya kikabila aki.. tafadali shek hapana gawa wa Kenya.. asante sana.
@maryndunge782 жыл бұрын
Ukweli wauma na utabaki kuwa kweli! history will be thire whether you like it or not ! Wengi wenyu hamtaki ukweli juu mtafichuliwa uozo wenyu kwa tamaduni za kipwani. mumebadilisha hadi mila zilizoko Pwani si mavazi si uchumi. .wacha Shek aweke mambo paruwanja
@stambuliwash.abdillahinass81232 жыл бұрын
Kwa hakika, kila mtu ana namna anavyoelewa jambo lolote linapoelezwa na mtu mwengine, na wewe huna makosa kuelewa hivyo ulivyoelewa. Lakini, haya tunayoeleza hapa ndiyo kweli ilivyo na inavyopaswa kuelezwa! Inshaa'Allah, ukiendelea kufuata makala haya kwa makini utaelewa kuwa lengo letu hata si hivyo unavyofikiria wewe kabisa! Mwenyezi Mngu atatuongoza sote.
@salimmachila57362 жыл бұрын
Kasumba walizifanya akina uhuru... bring your point with facts sio drama
@JK-um6op2 жыл бұрын
@@salimmachila5736 watch what you say my friend.. hii Kenya ni yetu wote..hakuna sehemu itatengwa kwa watu or kabila Fulani.. we have freedom of movement and leaving any where you wish..