8. Kuzifungua Siri za Mihuri Saba ( Mystery of the Seven Seals )

  Рет қаралды 27,779

Godfrey Machota

Godfrey Machota

Күн бұрын

Kitabu cha Ufunuo kinataja habari za Muhuri Saba, ambayo Kristo ndio mwenye mamlaka ya kuifungua, katika somo hili utajifunza ukweli huu wa kushangaza wa Ufunuo wa matukio katika kanisa la Kikristo mpaka wakati wa Mwisho, Mungu akubariki sana.

Пікірлер: 40
@samweltito7200
@samweltito7200 3 жыл бұрын
Nakuelewa Sana mungu akutangulie ktk Huduma yako mtumishi
@davidbedda5007
@davidbedda5007 5 жыл бұрын
MUNGU na akubariki sana Mwinjilisisti Machota
@dasilvajr9647
@dasilvajr9647 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mno! Mtumishi. 2nabarikiwa Sana katika BWANA 2nazidi kuzijua Siri za unabii na neno la MUNGU
@drmpemba5528
@drmpemba5528 6 жыл бұрын
12 wakisema, Amina; Baraka na utukufu na hekima na shukrani na heshima na uweza na nguvu zina Mungu wetu hata milele na milele. Amina. Ufunuo wa Yohana 7 :12
@selinasulley6164
@selinasulley6164 4 жыл бұрын
Asante mchungaji, Mungu aendelee kukupigania uendelee kutuletea injili takatifu
@rosemchomvu3711
@rosemchomvu3711 3 жыл бұрын
Mungu akujaze roho mtakatifu uzidi kutufundisha
@rafoursamiol5244
@rafoursamiol5244 5 жыл бұрын
Mtumishi Mungu akubariki najifunza mengi
@eliabamayi4344
@eliabamayi4344 5 жыл бұрын
Ukristo ni raha tupu yaani mafundisho matamu kma haya muislamu haezi elewa na ndio maana tunazidi kumuinua yesu juu Sana kwa neema yake kwetu
@amanimwidowe653
@amanimwidowe653 5 жыл бұрын
Muislam hakuhusu fata yako imani yako unaweza kuipoteza na ikawa ni bure
@deustutu1162
@deustutu1162 6 жыл бұрын
barikiwa sana mtumishi kutufafanunulia vitu ambavyo imekuwa ngumu kuvijua
@MwinjilistiMachota
@MwinjilistiMachota 6 жыл бұрын
Mungu ashukuriwe
@khairatzinzibar1434
@khairatzinzibar1434 6 жыл бұрын
+Mwinjilisti Machota Endelea kutufunulia maandiko na Mungu atakupandisha daraja la juu utafundisha mataifa yote ya dunia endelea tu bila kuchoka maana Mungu ana neno nawe huo ni wito kutoka kwa Mungu endelea jipe moyo Mungu anakuandaa kufundisha mataifa
@financialloan9818
@financialloan9818 5 жыл бұрын
Proud to be Christian yesu ndio njia ya uzima na milele kila goti litapigwaa kwakwe kila ndimi utatangaza ukuuu wake uyo ndio simba wa yuda
@MwinjilistiMachota
@MwinjilistiMachota 5 жыл бұрын
Amen
@apolikapilugenge3846
@apolikapilugenge3846 5 жыл бұрын
Hyu mtumishi ni muongo sijawah kuona dunian.Tangia aondoke yesu dunian ,haijawahi patwa Giza dunia wala mwezi kuwa mwekundu.Aache uongo kwa kutumia bibilia.Hzi ni siki za mwisho mtatwambia mengi nyie watumish wa shetani
@dennismasira8992
@dennismasira8992 19 күн бұрын
Ushindwe tafuta historia ya the dark day of history utaelewa​@@apolikapilugenge3846
@dennismasira8992
@dennismasira8992 19 күн бұрын
​@@MwinjilistiMachotamtumishi natamani siku moja nikutane pamoja na wewe katika huduma. Napenda sana namna unayofundisha. Mimi ni mwanamatengenezo msabato barikiwa sana.
@barakasanga4010
@barakasanga4010 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@emmanuelmataba5997
@emmanuelmataba5997 5 жыл бұрын
Be blessed man of God.
@sansanddougntersofkings4727
@sansanddougntersofkings4727 3 жыл бұрын
waw👏
@jaredmisiani7801
@jaredmisiani7801 6 жыл бұрын
Highly praised
@chainambwilo3925
@chainambwilo3925 5 жыл бұрын
Jared Misiani umêbarikiwa na Bwana
@timothgashagaza5900
@timothgashagaza5900 6 жыл бұрын
Nimeelewa God bless you!!
@mikaelpeter9343
@mikaelpeter9343 6 жыл бұрын
piga kelele usiache wahubili watu Dhabi zao namungu akubaliki sana
@isemavyobibliaonlinetv8327
@isemavyobibliaonlinetv8327 6 жыл бұрын
Heri wayasikiao na wao wayasomao maneno ya kitabu hiki
@ezrommussamusssa2540
@ezrommussamusssa2540 8 ай бұрын
Nami ni mshindi wa bwana
@davidgundula8786
@davidgundula8786 6 жыл бұрын
Ameen
@eliazaripro5532
@eliazaripro5532 6 жыл бұрын
Lahh sasa tuko wakati upi sasa?
@eliazaripro5532
@eliazaripro5532 6 жыл бұрын
Amenn
@jonasjoe3623
@jonasjoe3623 4 жыл бұрын
Fafanua mihuri, lini mihuri itatumika?
@dasilvajr9647
@dasilvajr9647 3 жыл бұрын
Mihuri hiyo ilishaanza kitambo.tu sisi 2ko muhuri wa sita Sasa 2nangoja muhuri wa mwisho ambao Kristo atakapurudi tena
@joshuajohn8533
@joshuajohn8533 7 ай бұрын
Hawezi hubiri muhiri wa Saba maana hii Ni replenishment theology
@joshuajohn8533
@joshuajohn8533 7 ай бұрын
Wakati wa muhuri wa 6 Mungu atawatia mhuru waisrela 144,000 baada ya hapo muhuri wa 7 Ni mapigo ya dhiki kuu na hapo kabisa halipo duniani
@mikekariu1824
@mikekariu1824 Жыл бұрын
This not true revelations of mihuri saba
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 6 жыл бұрын
It is terrible.
@jacksonfelix7949
@jacksonfelix7949 3 жыл бұрын
Tuambie hiyo mihuri sio tena kuelezea utakatifu
@MarthaEnos-kq7rg
@MarthaEnos-kq7rg 11 ай бұрын
Kabisa
@edwinezawadi4707
@edwinezawadi4707 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
9. Moto wa Kigeni ( Strange Fire)
57:59
Godfrey Machota
Рет қаралды 10 М.
13 Vita Kuu Ya Mwisho Ya Dunia (Har-magedon)
1:08:20
Godfrey Machota
Рет қаралды 47 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
How To Handle The Death Of a Loved One - Wednesday Service
37:47
Creflo Dollar Ministries
Рет қаралды 174 М.
Mihuri Saba
49:58
Hope Channel Kenya
Рет қаралды 873
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Israel Mbonyi
Рет қаралды 72 МЛН
Revelation 6:1 to 17 THE FOUR HORSEMAN OF THE APOCALYPSE
1:09:23
Robert Breaker
Рет қаралды 260 М.
Jinsi ya Kulitambua Kanisa la Mungu Duniani
46:42
Godfrey Machota
Рет қаралды 44 М.
The Story Book:Ukweli Wote Kuhusu PEPONI.
48:39
Wasafi Media
Рет қаралды 712 М.
5. Sifa na Tabia za Manabii wa Uongo
51:09
Godfrey Machota
Рет қаралды 22 М.
1. Nani Atakayeitawala Dunia? (Who is the world's next Superpower?)
39:18
4. VITA KUU YA MWISHO WA DUNIA
1:53:45
Godfrey Machota
Рет қаралды 5 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН