Ufafanuzi wa Ufunuo sura ya 12 juu ya Pambano Kati ya Joka na kanisa la Mungu la siku za Mwisho.
Пікірлер: 129
@MwinjilistiMachota5 жыл бұрын
Ufafanuzi wa kitabu cha ufunuo sura ya 12
@oscarngowi55785 жыл бұрын
Mwinjilisti Machota . Mimi nilikuwa mkatoliki tena mwenyekiti wa jumuia . kutokana na mafundisho yenu nikabatizwa nikahamia SABATO . ubarikiwe sana mtumishi
@MwinjilistiMachota5 жыл бұрын
@@oscarngowi5578 Ubarikiwe sanaaaa Mungu aendelee kukupigania
@danielelinest12375 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mungu akulinde daima
@TheCvm2295 жыл бұрын
@@oscarngowi5578 mafundisho yako sawa kwa kiasi fulani suala la wasabato ambalo linawatenga na kweli ni Jumamosi na vyakuka kama kitimoto..
@samuelmoses92434 жыл бұрын
@@oscarngowi5578 Mungu akutie nguvu udumu ktk kweli yote
@rosemutinda30765 жыл бұрын
Mimi hufurahia Mungu kwa ajili ya kuweka watumishi wake ili wajulishe watu ukweli na kuokoka. From protestant to Catholic now am happy to be an SDA
@MwinjilistiMachota5 жыл бұрын
Barikiwa sana
@sindabahabwoyaanacret6604 жыл бұрын
Me too Rose
@saitotisapiyo59974 жыл бұрын
Hapo sawa same
@geraldyohana77183 жыл бұрын
@@MwinjilistiMachota mpo wap mtumishi au kama inawezekana nitumie namba yako
@MwinjilistiMachota3 жыл бұрын
Tafuta kanisa lolote la waadventista wasabato lililopo karibu nawe, watakusaidia
@elizabethfatuma90532 жыл бұрын
Babeli kweli Mungu atusaidie sana
@okungukevoh73242 жыл бұрын
From napenda mahubiri yako. I like how you preach prophecy with all evidence
@marzymarcy965 жыл бұрын
Asante sana mchungaji kwaukweli huu nilikua gizani lakini ninapofatilia mafundisho yako ninaiona nuru.barkiwa
@MwinjilistiMachota5 жыл бұрын
Mungu azidi kukuangazia nuru na kukuongoza
@doricemrema21773 жыл бұрын
Umeongea vema nami nakuunga mkono,🙏 mm mwenyewe NATAFUTA kanisa la sabato maana ndo naona Lina fuata sheria
@euniceeunice76805 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akubariki mtumishi
@jimidoni44672 жыл бұрын
amina
@maryamayitsa61813 жыл бұрын
Mungu tu atusaidie
@janenjenga56395 жыл бұрын
Thanks for uploading to enlightening us in one way or another 🇰🇪🇰🇪✊
@sadockruhasha65123 жыл бұрын
Nawezaje kuokoka
@titus_maridhia2 жыл бұрын
Faida mojawapo ya mitandao, darasa hili limewekwa miaka mitatu iliyopita, Mimi najifunza leo.natumai na mwingine atajifunza miaka ijayo video hii ikibaki kuwapo. Atukuzwe Mungu
@MwinjilistiMachota2 жыл бұрын
Amen
@danielelinest12375 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Bwana Yesu Kristo aliye hai
@MwinjilistiMachota5 жыл бұрын
Amen
@jelwaslinje86035 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@gracenyamisa87033 жыл бұрын
Amen Amen ukweli kabisa Dunia imeisha
@mpokimwakaje81783 жыл бұрын
Kanisa la kweli la yesu kristo ni wamini waminifu waliojazwa Roho Mtakatifu wanao tembea na ishara na majabu ya jehova Mungu analithibitisha neno kwa ishara na ajabu kanisa la kweli sio thehebu wala Dini za watu hapana Mungu anawatu wake na Dini inawatu wake
@haronotindo4 жыл бұрын
Thank you may God bless you,and your family I'm very happy
@edwinezawadi47074 жыл бұрын
Ubarikiwe sana na Bwana
@elishampoki87517 ай бұрын
Joka ni tasisi za kidini ,zimewameza watoto wa Mungu,Hawatoki humo
@upendoedward16515 жыл бұрын
Asante kwa kuliinua jina la Bwana, kwa kulitambiaha kanisa lake. Umenifundisha kitu kikubwa sana Mungu akubariki sana.
@MwinjilistiMachota5 жыл бұрын
Amen
@UfalmewaMungu4 жыл бұрын
Nimekubali MKUU uko vizur ubarikiwe,, saana mtumishi
@MwinjilistiMachota4 жыл бұрын
Mungu atukuzwe
@josejohn85245 жыл бұрын
Ubarikiwe kwakwer ww ni jembe la yesu
@isaiahstadius23835 жыл бұрын
Ubarikiwe Mwinjilisti, mimi nipo Morogoro Mungu amenifunulia kuondoka katika taasisi ya Lutherani kutokana na mafundisho yako,naomba nifahamu wapi lilipo kanisa la Wasabato hapa Morogoro.
@MwinjilistiMachota5 жыл бұрын
0754319664 nitafute nikuelekeze
@malaikawatatutv.ufunuo14.844 жыл бұрын
Hongera Sana maana mm pia nilkuwa EAGT Sahv n Muadventist karbu kweny ukweli
@mpokimwakaje81782 жыл бұрын
Isaya 1:13 Dini ya sabato sio Dini ya kweli hao Ni waongo kanisa la kweli Ni mwili wa yesu na watu waliookolewa na yesu kristo kanisa la kweli Ni waumini waminifu mbele za Mungu na kanisa la yesu kristo lipo ulimwenguni pote na hawana Munganiko wowote na Dini yoyote maana wanatembea rohoni na wanaoongozwa na Roho Mtakatifu
@abdonbwiro25745 жыл бұрын
Barikiwa dah Mungu akbark mtumishi
@MwinjilistiMachota5 жыл бұрын
Barikiwa pia
@elishampoki87517 ай бұрын
Muongo Mkuu Dini ya sabato sio kukimbilia huko nako kunashetani Sehemu ya kukimbilia nikumkimbilia Yesu kristo tu sio tasisi za kidini Dini yoyote ni pepo la uongo
@barikimatabishi3544 Жыл бұрын
❤
@deustutu11625 жыл бұрын
amina sana mtumishi nimebarikiwa sana
@otianasanga91063 жыл бұрын
Ninacho mshukulu MUNGU yeye anaangalia moyo siyo siku zakuabudu MUNGU anaabudiwa kila sekunde
@tonnsimbasportsclub71685 жыл бұрын
***ubarikiwe***
@octaviusakizabraiton51334 жыл бұрын
Yesu alisema katika Marko16:15.... Endeni ulimwengun mwote mkaihubili injili kwa kila kiumbe aaminie na kbatizwa ataokoka asieamin atahkumiwa na ishara hzi ztafatana nao wamwaminio kwa jana la yesu watatoa pepo watapoza magonjwa watanena kwa luga mpya nk je ishara hzo znafanywa na kanisa gan npe jb Acha ubabaishaj
@susanraphael58943 жыл бұрын
Watu wa sheria sadukayo na mafarisayo
@emmanuelmbuliimo70555 жыл бұрын
Good
@stephanelupemba47135 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mutu Mimi nimezaliwa katika dini yaki Protestant na sasa tiara tumekwisha kujuwa kama Sunday ni juma pili na tangu tumezaliwa huwa tuna Muabudu Mungu juma pili Mungu Ibrahim isaka na yakobo Mungu wa Israel tukimuabudu katika Roho na kweli na Yesu Kristo na sasa tumeona ni wapi makanisa yako yanaelekeya. Sasa tufanyaje sisi waabudu juma pili! Ila kwangu mimi siwezi nikaingiya katika dini laki Catholic apana siwezi kabisa.
@stephanelupemba47135 жыл бұрын
From south Africa
@MwinjilistiMachota5 жыл бұрын
Ubarikiwe mtu wa Mungu ushuhuda wako ni wa nguvu, tafuta kanisa la waadventista wasabato lililo karibu nawe
@stephanelupemba47135 жыл бұрын
@@MwinjilistiMachota okay
@josejohn52375 жыл бұрын
Mchungaji jaribu kwenda taratibu usiwe na spidi sana, binafis nakuelewa sana
@amanimwidowe6535 жыл бұрын
Ameni
@abakukikasiano57074 жыл бұрын
Nihatali
@octaviusakizabraiton51334 жыл бұрын
Ishara alizotaja yesu ndo znawakilisha kanisa la kweli la wafuasi wa yesu wala wala sio kuabudu jmamos tu na ishara hzo znafanywa sana na makanisa ya kipentekoste sio mengine usituubili siku utuubili uzima wa milele
@mpokimwakaje81783 жыл бұрын
Ukiona mtumishi anahubili na kuitetea Dini yake huyo sio mtumishi wa Mungu ni washetani maana mashetani ndio wenye mathebu ndio watawala wa Dini watumishi wa Mungu tunawajua wanahubili injili ya Toba kwa mataifa yote ili mwamini yesu waokolewe sio kujiunga na.dini.dini ni Mali za watu.na zimepoteza watu kibao wanaenda moyoni na Dini zao ikiwemo dini.ya saboto na Dini zingine Ukitaka kwenda uzima wa milele achana na Dini yako mfwate yesu kristo hakika na kwambia utaponywa wewe na familia yako ukifanya hivyo
@mpokimwakaje81783 жыл бұрын
Kanisa la kweli wewe hulijui hata kidogo Mungu anawajua watu wake na kila mtu alitajae jina lake na ahache uovu kanisa la kweli ni mwili wa kristo sio Dini ya sabato hapana hiyo ndini sio niongo kanisa la Mungu ni mtu mmoja yaliezaliwa kwa roho Hilo kanisa la kisabato ni Dini nimali ya watu Kama Dini zingine
@alisonikihedu96143 жыл бұрын
Siokwel
@florence1kemuma8403 жыл бұрын
Which church are we supposed to worship.please help!
@eliaslorry63433 жыл бұрын
Church of chirst.
@MwinjilistiMachota3 жыл бұрын
Find any seventh day Adventist church near you
@octaviusakizabraiton51334 жыл бұрын
Ww jamaa unatetea jumamos unaonekana unaabudu siku
@mpokimwakaje81783 жыл бұрын
wewe hitetei neno la Mungu unatetea Dini yako unachanganya mafundisho tetea mwili wa kristo sio tasisi ya Dini ya kisabato usiwadanganye watu wewe ni Mali yadini sio mtoto wa Mungu.watoto wa Mungu hawachangamani na Imani za mathehebu Wala Dini za watu
@oblemongi41953 жыл бұрын
Tunahitaji Neema yake Muumba haya mengine ni Yale yaliyokataliwa ya kujikweza na kujidhiri
@deustutu11625 жыл бұрын
mm ni mkatorick ila hao mapapa watapa adhabu yao kuposha watu wa Mungu
@feriksizakayo78945 жыл бұрын
Jifunze zaidi utagundua mengi
@shishshikoh49795 жыл бұрын
Toka huko uje zizini mwa Bwana
@michaelmaguru64355 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@georgegithua95894 жыл бұрын
Mathew 15:14
@sindabahabwoyaanacret6604 жыл бұрын
Nilikua mwaminifu sana katika kanisa katoriki (mfia Dini) lakin nilipogundua uongo wa kanisa hili niliondoka na sijawahi kujuta kutoka moyo wangu unafuraha sasa
@frankjohn87063 жыл бұрын
Imeandikwa utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake..... Hayo mambo ya dini lkn mliookoka mtazameni YESU aliewaokoa hayo ni ya ulimwengu ni dini ,dini ni mbwa mwitu aliejivika ngozi ya kondoo hujifanya ni mpango wa Mungu kumbe sio Bali ni uongo, wajifanya kuwa ni wayahudi kumbe sio Bali wasema uongo ni sinagogi la mashetani.
@mohamedturanardan88714 жыл бұрын
Hakika dini mbele ya Mungu ni ya Uislamu, na yeyote atakaekuja na dini isiyokuwa ya Uislamu siku ya Qiyama (malipo) hatokubaliwa mtu na dini hiyo nae atakuwa katika waliokula hasara.
@sindabahabwoyaanacret6604 жыл бұрын
Hahahaaa umechelewa sana
@samuelmoses92434 жыл бұрын
Umepotea sana wewe hujui hata historia ya uislam
@malaikawatatutv.ufunuo14.844 жыл бұрын
Ona huyu mtu aliyepotea
@apolikapilugenge38465 жыл бұрын
Mtumishi,yesu alikuja kwaajir ya wenye dhambi.waache wenye dhambi waende kuona mungu anavyoabudiwa ,sio kuwakatanza wasiende kuona jinsi mungu anavyoabudiwa.Namefrah kuona jinsi kanisa katoriki linavyojitahidi kuwaita wenye dhambi kanisani.Kanisa limeletwa kwaajiri ya wenye dhambi sio wale ambao hawana dhambi.labda nyie wasabato mnawaita wasio na dhambi waingie kanisan kwenu.Yesu alikuja kwaajir ya wenye dhambi ,soma biblia uelewe,kuropoka ovyo
@MwinjilistiMachota5 жыл бұрын
Huwezi kuchanganya nuru na giza, huwezi kuligeuza kanisa la Mungu litumike kufanya matambiko ya kimizimu. Wadhambi wanaitwa waache dhambi zao, sio aendelee na dhambi zao maana Hakuna ushirika Kati ya nuru na giza
@johntemba42185 жыл бұрын
Asante Mtumishi kwa mafundisho ya kweli cz Me nipo kama watu wa Beroya kwan huwa napima unachofundisha na kile ambacho Biblia inasema.
@johntemba42185 жыл бұрын
Kwa hiyo mtaishi kwenye dhambi mpaka lin? Mathayo 25:1_...
@nurumasud19624 жыл бұрын
Mwinjilisti Machota upo vizurii sana wasikuchanganye yaaan mm nimekuelewa sana hao wanakupinga ni wapinga kristo wasikuumize kichwaaaaa sema tuu ukweli tuchomweeeeee wanyakyusa tunasema isyu lya kyala likulasa ila hapo ungeseema RC ndo kanisa la mung weng wangekukoment c huko raisiiii lakin ukisema sabato wapingaji weng sababu waikiitwa wasabato wanaona aibuuu😭😭😝😛😛 ndo uone shetan anavoifedhehesha sabato ya kweli na hapo ujiulize nyimbo za din na bongo freva zinazovuta weng ni nyimbo za bongo freva na jiulize bong frev ni nyimbo za upande ganiii???na ivoivo siku ya kwanza ya juma waendaji kanisan weng wakat sabato waendaji wachache bas hapo jibu unalo kwa mfano tu huo weng wanakimbia sabato et mashart na Kumbuka shetan anamulaum mung kuwa et hawapi uhuruuuu wanadamu ila yye ndo anawapa Uhuru bas mm hukohuko kwenye mashart ndo kwa mungu sasa maana sabato c inamashart mnasema bas ndo ya mung na huko kuliko hakuna mashart ni kwa shetan si hambanwii😋😋😋 na pia mungu anasema mkizishika sabato zang mtanipenda jee mbona hajasema mkiishika siku ya kwanza mtanipenda?? mwinjilist we tupe tu ukweli usitufiche sabato ndo mpango mzima hakuna kingne
@aminachacha35913 жыл бұрын
Mom na amini unayofundisha nikweli mungu atusaidie kuelewa@@MwinjilistiMachota
@BakariAbdallhah Жыл бұрын
Kanisa riko juu ya biblia mkasome (mathayo)28/1yesu alikufa ijumaa aka zikwa kabla yasabato akafufuka sikuya kwanza ya juma ambayo jumapili ninani katiyenu asiejua yesualifufuka jumapili (mathayo)28/1.inasema sikuyakwanza yajjuma (luka) piah hivo hivo
@jacklinengina34375 жыл бұрын
Naomba number yko nikuulize swali moja tu
@octaviusakizabraiton51334 жыл бұрын
Unipe majb naksbli je yesu aliacha kanisa linaitwa sda yaan sabato? Acha kdanganya watu ww
@frankjohn87063 жыл бұрын
Wasabato ndio walimsumbua sumbua Bwana wetu YESU hata kumsulubisha wakipanga siku isiangukie sabato nao hawakujua kama sabato ni kwaajili ya MTU au mtu ni kwaajili ya sabato wakatukuza siku ya pumziko na kumuacha mpumzishaji mwenyewe Bwana wa sabato
@TheCvm2295 жыл бұрын
Unaongeza maneno, hakuna sehemu imesema amri 10 za Mungu... Anaseme wazishikao amri za Mungu ila hajasema idadi.. Hilo andiko la Yakobo ulilotumia ni kwamba mnaambiwa ukiamua kufuata sheria shika zote. Mfano kama kitimoto ni dhambi basi shikeni torati yote..
@georgegithua95894 жыл бұрын
YAKOBO 2:10-11
@samuelmoses92434 жыл бұрын
Sasa Amri za Mungu ni zipi sasa?
@chrispinimpepo74475 жыл бұрын
waga sichok kuangalia maubiri kam haya
@MwinjilistiMachota5 жыл бұрын
Barikiwa na share na wengine
@titusmutuo28105 жыл бұрын
mtumishi wa Bwana,katika jimbo letu nyumbani hamna kanisa ya SDA,mwenyewe sio mwanaSDA hila nauona ukweli...nalianza na Africa Inland Church (AIC) kisha nikaenda kanisa katoliki...kisha sikupendezwa na ule uabudu wa sanamu kule...nikarudi tena AIC...sasa nimekuwa nikifuatilia kwa kina sermons zako...ningetaka kujiunga naSDA hila hilo kanisa lipo tu hapa Nairobi lakini kwetu nyumbani halipo...ni rahisi kuhudhuria nikiwa mjini hila nikienda nyumbani kutakuwa na shida nifanyeje jameni...Nairobi sina shida nitahudhria..swali la pili,je kuenda Kanisani on sunday ni dhambi? kwa sababu nimeshawahi sikilia sermon isemayo uabudu jumapili ulikuwa wa miungu ya jua...
@MwinjilistiMachota5 жыл бұрын
Upo jimbo gani mtumishi
@MwinjilistiMachota5 жыл бұрын
Kama sasa upo nairobi unaweza kesho enda kanisani ukutane na pastor ili akusaidie kukuunganisha na kanisa lililo karibu na kitui magharibi
@titusmutuo28105 жыл бұрын
@@MwinjilistiMachota ahsante mtumishi wa Bwana...Mungu awe nawe
@MwinjilistiMachota5 жыл бұрын
@@titusmutuo2810 Amina, Bwana akawe ngao katika maisha yako, akupiganie na kukuongoza
@tobesimatiku84595 жыл бұрын
@@MwinjilistiMachota barikiwa Sana
@TheCvm2295 жыл бұрын
Hivi kumwabudu Mungu jumapili au siku nyingine zaidi ya Jumamosi ni dhambi? Umeeenda kote vizuri lkn hili la jumamosi ndo tunaachna hapo..
@mtumishitv32105 жыл бұрын
Kijana,kuwa makini Sana, hakikisha Ukweli unaotoka kwenye Biblia,Kisha utambue kuwa uko wapi,,soma maandiko kwa kuomba uongozwe na Roho mtakatifu,Kisha nae atakufunulia,Kisha chukua uamzi usisite,Wala usiwaze kuwa watu wa family ya kuwa watakufikiliaje,,Mungu akufunulie Ukweli
@nurumasud19624 жыл бұрын
koo unataka lin wewee kama jumamos mungu ndo aliisimika wewe unaipingaje hulazimishwi ila mungu jumamos ndo anaitambua yeye wewe weka tu yakwako hyo sawa hulazimishwi okeyyyyy
@samuelmoses92434 жыл бұрын
Ng'ang'ania mafundisho ya wanadamu na kukataa Neno la Mungu.
@octaviusakizabraiton51334 жыл бұрын
@@nurumasud1962 yesu alisema wakati unakuja watamwabudu mungu katika roho na kwel kwahiyo kweli siokusali jmamos tu
@sadickcheyo16334 жыл бұрын
Rafki sikiliza vizuri kishamluhusu mungu akufunulie ukweri mpendwa
@innocentmatanawe62504 жыл бұрын
NI muhimu wanaadamu wakaisoma Sana biblia, nakuifata,
@susanraphael58943 жыл бұрын
Kanisa katoriki limewakaa kooni Hubirini neno la Mungu muache upotoshaji hukumu mnayo nyie mtabaki hivyohivyo kutafuta wateja Badala muhubiri neno la Mungu. Kwaiyo sabato ndo kanisa la kweli ?