Now 2024 still listening to this nice song...gonga like tukisonga if you are here with me 🙏🙏
@mindrake_15 ай бұрын
tuko pamoja
@user-lm5tf8ex9p4 ай бұрын
Still listening 2024
@ascarjeruto46374 ай бұрын
It keeps me going ❤
@user-lm5tf8ex9p4 ай бұрын
Everything in this world is vanity.
@user-xm9fx7xj5i4 ай бұрын
@@user-lm5tf8ex9p true
@user-xc4di7cp7f3 ай бұрын
2024gonga like hapa ❤
@bugumbadeus81312 ай бұрын
Wimbo Bora mda wote❤
@gloriamuia8405 Жыл бұрын
Here I am 2023 listening to this angelic voices❤❤
@sarafinakioko79072 ай бұрын
Watu wa AIC these types of songs heal our inner child❤
@nancymunalizi89036 ай бұрын
I'm here 2024 the song never gets old
@veronicajulius98784 жыл бұрын
Baba hakikisha jina langu limeandikwa kwenye kitabu cha watendao mema😭😭😭😭
@musamlembe59854 жыл бұрын
Veronica Julius sande
@santosclassic99356 ай бұрын
Kwanzia Leo sitendi zambi tena 😢😢😢😢 eeeeh YEHOVA naomba unisimamie😢😢😢
@livinusgrenus2759 Жыл бұрын
Wanaotazama huu wimbo 2023 naomba like zenu
@furahamacheku55547 ай бұрын
I wanna go wid dc song in 2024 am proud of you mom...
@emmanuelbaraka22177 ай бұрын
2024 still listening
@esternjidile653 Жыл бұрын
Tunaosikiliz hii nyimbo 2022 mwez huu wa kumi tugonge like apa🙏 mungu ndo mueza wa yote atupe mwisho mema for really jehanam panatisha😔
@Emmy-ol7ex Жыл бұрын
Na me nimo
@sophiaesmarcharo9775 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜
@roniasyeya Жыл бұрын
Yaani ninabarikiwa ninaposikiliza nyimbo hizi
@user-fh4vh3oo4d10 ай бұрын
I also like the song
@oliviarwabwisho Жыл бұрын
Hii kwaya ni🔥🔥🔥
@aughstusmasila8673 Жыл бұрын
Amen amen 🙏 🙌 👏 barikiwa sana wimbo safi sana mtumishi wa mungu amen amen 🙏 🙌 👏
@noahlaizer97624 жыл бұрын
Mungu atupe rehema na neema nyingi
@mariamkarembo4822 Жыл бұрын
Jehanamu panatisha mm na watch nikiwa 🇰🇪🇰🇪 2023
@user-rk8mk9kd4r9 ай бұрын
Now it's 2023 and am still listening to this amazing choir.. you made my childhood timé ♥️.. May God continue blessing you ♥️
@CremanceNyarukundo-qz1gj5 ай бұрын
kwelihukokutakuwa kulianakusagameno ilawatu hawaelewihayo mungu awabaliki 2024
@InnocentAutumnTrees-ux1jj6 ай бұрын
Wapendwa tujitahidi katika safari ya mbinguni ...watching from 🇰🇪
@merickshadrack45093 ай бұрын
Jamani kwaya za AIC zaman zilikuwaaaa zinaimbaaaaa Sana jamani za sasa zimekalia kukutaaa viuno tu aibu tupu imebakiiii changombe tuuu kwenye mstaliiiii
@billykipkosgei4178 Жыл бұрын
Listening this song in 2023 it reminds me too far when i was in my grandma. We accept Jesus Christ as our saviour 🙏🙏🙏
@Jamal-gy8du9 ай бұрын
Truly it makes one recall the past,,,,but God is ever faithful in our lives
@jerutojudith40910 ай бұрын
Blessing, this song never gets old. It speaks tothe soul each and everyday. God bless you Makongoro AIC
@miryammupa66603 жыл бұрын
Who is here after this Corona pandemic Mungu tuhurumia
@silaslubisu69215 ай бұрын
Time will tell this song is amazing i wil never missing to listern this choir
@user-vc1hx7mw7c11 ай бұрын
Mungu turehemu baba
@gracebuhatwa6359Ай бұрын
Kwaya anayombia dada Edith naipenda sana
@isaactipape39943 жыл бұрын
So blessing song ....🙏 keep it up Makongoro ...May God save us all from this covid 19,:
@bensoniruga89142 жыл бұрын
.
@martinnguka6592 жыл бұрын
Thanks for this, quite an eye opener...I really want to seek Salvation.
@mutukuann28976 жыл бұрын
Congrats dear brothers and siters................ For sure jehanamu panatisha............. your voices are the best ever!!!!
@Cheroo_Winnie Жыл бұрын
2022 lets gather here.. One of my favorite choir❤
@samweldaniel5554 Жыл бұрын
q
@johnmararo10063 жыл бұрын
What a blessing hit! God bless the choir.
@user-bp2tn3io9k2 ай бұрын
Since 2015 now 2024 may God continue being the king in my life ❤
@maldinahnyakundi6376 Жыл бұрын
I really missed these songs until nikakimbia KZbin...real blessing ❤
@rosewoiemitau83762 жыл бұрын
Nice song sichoki kuusikiliza huu wimbo kila siku mungu awabariki sana kwa ujumbe huu wa Jehova amen
@shabankapsaly19458 ай бұрын
still listening to it.. no giving up in gospel
@alandadominic87707 жыл бұрын
I thank the almighty God that he has given me another chance to watch it from a different perspective. Amen.
@fabricekhalif32563 жыл бұрын
God is omnipotent
@junechepkoech48617 жыл бұрын
GOD BLESS YOU SO MUCH, FOR REAL JEHANAMU PANATISHA
@IphineKaarie Жыл бұрын
Love this song and May God bless all of you guys
@user-ju5vh2kf6j9 ай бұрын
Wimbo mzuri sana mungu awabariki waimbaji
@user-gr5du8mg9s7 күн бұрын
2024 nyimbo zimenilea hizi ndo nlikua nakua kua
@furahamacheku5554 Жыл бұрын
It's 2023 and am here watching this song and I fell proud of ue mom
@jamesotuke7392 Жыл бұрын
You people bless me alot with your songs. It's ever new to the listeners.
@abednegokiamuko24794 жыл бұрын
Hongereni mungu ata wabiriki kwa kazi njema mnafanya
@micamathew25952 жыл бұрын
Wimbo mzuri kabisa Luka ule mlango wa 16. Utaona huu ujumbe. Huu wimbo ulitoka miaka ya 2005, nikiwa darasa la 4.
@gracemitu7349 Жыл бұрын
Ndio Yako yesu itaniwezesha
@reginaalex2478 жыл бұрын
Ahimidiwe mungu anae watumia nyie waimbaji wainjili kwakweli tunapata neema
@basaka6806 Жыл бұрын
Wimbo mzuri kweli....Jehanamu kweli panatisha....nice one
@jojoynyamweno-zv4kd11 ай бұрын
First heard this song when I was 10 years old... Again listening to the same song when am 20.. This far is God❤
@marymumbua618310 ай бұрын
Indeed 🙏
@Jamal-gy8du9 ай бұрын
It's God upto this far
@Stones..9 ай бұрын
SAME
@hannahhinga762128 күн бұрын
I like the songs , I will never stop listening 🎶 sweet songs
@tumainingadi70722 жыл бұрын
Very nice song, Mungu wabariki mara nyingi sana
@user-de9dz7dd3s10 ай бұрын
Old is gold for real.
@maryachebi82464 жыл бұрын
Asante waimbaji nimebarikiwa na nyimbo tamu za kumtukuzs mola
@NicholasMbai-uw4bx3 ай бұрын
Kweli wimbo ulikuwa wimbo...hongera
@carohkavuu80444 ай бұрын
I want to join a good choir like this pls ...God called me to sing for him please guys like my comment as you encourage me what to do and at the same time checking wether you are my type cos am looking for a God fearing man 😅😅😅
@hamspiece6296Ай бұрын
I might be the one for you
@BashirubuteVedaste-dh2gm9 ай бұрын
Nyimbo muzuri kabisa
@user-vj5dt3sr4w11 ай бұрын
Hee mungu wangu inipe mwisho mwema
@vincentkombo12554 жыл бұрын
Kweli hakikisha jina lako liko kitabu cha uzima wa milele
@andrewmwendwa16413 жыл бұрын
2020… still enjoying to watch this great song
@mwananyamalaz44272 жыл бұрын
2021 still listening 🎧 this song thank you God is awesome always god 🙏🙏 from Australia 2021
@joshuamibhala10255 жыл бұрын
Jehanamu panatisha kweli msitanie.
@costardavid33895 жыл бұрын
Nawaombea mungu aendelee kuwap uwezo wa kufikish ujumbe kwetu watu wa mungu
@user-yx6xu7kc5r2 ай бұрын
A very nice song 👌 love it🥰
@Kegusu4 жыл бұрын
2020 January nice song
@jeanyolemulondani70578 күн бұрын
❤ tupo
@paulinenjuki720 Жыл бұрын
I just my mother for introducing me to this kind of songs❤❤
@mwalirojoseph5076 жыл бұрын
i will live to pray almighty God to bless you more and more as you continue blessing us....,ma best song
@voiteckmongela88366 жыл бұрын
Hii nyimbo inanikumbusha mbali sana 2010 msoma hadi leo tarehe 31.8 .2018
@aishalukas96895 жыл бұрын
Tuko pamoja mm pia inanikumbisha mbal 2010 nilikua nafanya kaz za ndan Singida mjin duuh
@mazezelenyasaniАй бұрын
Hizi ndo nyimbo zilzoninya nimtafute Bwana mwak 2010
@hopedolson7498 Жыл бұрын
Let's pray for forgiveness of sins and take Jesus Christ as the savour
@kipchumbagilbert24324 жыл бұрын
Love the song god bless A.I.C makongoro vijana
@AgnessNjeri3 ай бұрын
I am listening 2024
@mablealeyo967910 ай бұрын
I love the song be blessed
@filbertkakinda25007 жыл бұрын
Jamani kweli jehanam hapafai
@SimonWatabora4 ай бұрын
Amen Amen Amen
@user-yz1xq8xo8s9 ай бұрын
Thanks for this voice and l will be changing my life❤❤❤it my heart
@ernestlumbagala94738 жыл бұрын
naburudika sana na nyimbo za injili
@josefinahjossie2493 Жыл бұрын
Jehanamu panatisha*4 Jehanamu kuna mateso si kidogo tena usiombe Jehanamu kuna huzuni ya kutisha haina mfano Jehanamu kuna upweke wa ajabu tena ni balaa Jehanamu kuna kilio cha milele Jehanamu panatisha*4 Baba hakikisha jina lako limeandikwa kitabuni Mama hakikisha jina lako limeandikwa kitabuni*2 Kitabu kile cha ushindi Kitabu kile cha mbinguni Kitabu kile cha uzima wa milele Baba hakikisha jina lako limeandikwa kitabuni Palikuwa na tajiri aliyekula na kunywa siku zote kwa anasa Mwenyewe alijiona hapo alipo ameshafika ni hakuna tena*2 Hakumjali mungu hakumjua mungu hakumwogopa mungu hakumweshimu mungu Alipokufa alipokelewa na dhiki huko kuzimuni Tena alikuwepo maskini aliyeketi mlangoni pa tajiri Chakula chake makombo na mwili wake vidonda tupu mbwa walilamba *2 Alimjali mungu alimjua mungu alimwogopa mungu alimweshimu mungu Alipokufa alipokelewa kifuani pa ibrahimu Baba hakikisha jina lako limeandikwa kitabuni Katika kuhangaika tajiri alimwona lazaro akiwa kwenye kifua cha ibrahimu akila mema Lazaro ametaka vidonda havipo tena Lazaro amenawiri si lazaro wa zamani lazaro amenenepa lazaro anapendeza Tajiri akiwa kwenye kiu ya kufa alinyenyekea kwa ibrahimu Baba naomba umtume lazaro anidoneshe tone la maji Nimrudie baba nahangaika mimi Nimrudie baba ninateseka sana Ibrahimu kamjibu tajiri hakika hio itakua ngumu kwasababu katikati yetu sote tumetenganishwa na jimbo kubwa yavumilie yote umeyataka wewe ulichopanda wewe ndicho unacho vuna Sikiliza tajiri alibadilisha maombi yake kwa ibrahimu lazaro awaambie ndugu zangu duniani wasinifuate mimi sio pazuri humu kizazaazaa humu sio salamaa humu laana tupu humu ibrahimu alimjibu tajiri hio nayo haiwezekani kama mioyo yao ni miigumu ata aende nani hawatasikia ooooohhh
@barrackondari51366 ай бұрын
Ni kweli. Tuebuke jahanamu
@musibikhasusan42875 жыл бұрын
Please The Almighty God write my name on the Book of Life. THANK YOU LORD
@dennismwendwa1144 жыл бұрын
The only way of being written in the book is through salvation
@alexandrentiringaniza60553 жыл бұрын
Mungu awajazie mema sana
@billiahkerubo951611 ай бұрын
This song never gets old.
@richiusfrancisco9244 Жыл бұрын
I wonder where are these artists now, most of songs nowdays are nonsense. Such beautiful songs which teach us are gone. How sad, Mungu atusaidie sana
@shabankapsaly19452 жыл бұрын
I love it and the message is real
@phellowmmbunitv60772 жыл бұрын
Oh jameni Mungu awabariki sana kwa kazi njema
@kevinnzioki5294 жыл бұрын
Very uplifting great message
@daxmnyamwezi23946 жыл бұрын
mungu awabarki kwakaz nzur watumish
@paulcherogony10332 жыл бұрын
I love the song very it reminds me when a gospel was a Gospel.
@carolsyombua1324 Жыл бұрын
Baba naomba jina langu liadikwe kwenye kitabu cha uzima wa milele
@nathanieltoo19095 жыл бұрын
Jehanam ku noma 4xua..thnx tu diz choir
@nancykerubo79522 жыл бұрын
Nice song be blessed
@freemanjrmsuya92779 жыл бұрын
Wow.! Nzuri sana
@VictorMatheka-vt5gxАй бұрын
Mm na watch nikiwa 🇰🇪
@piusletting2657 жыл бұрын
my favorite song and really motivational,makongoro big ups
@sharonchemtai16483 жыл бұрын
My favourite too
@aggie41894 жыл бұрын
2019 I really love this song
@hirwavalens56084 жыл бұрын
Nyimbo
@tajiriwao76043 жыл бұрын
Thanks
@franciskarisa22132 жыл бұрын
Nyimbo za kubariki xana. God bless you...
@user-hq9td9ce1cАй бұрын
Wonderful song so touching
@simonibehoibehosimon83587 жыл бұрын
nabarikiwa Sana nkiskilza nyimbo za injili kutoka kwa watumishi (waimbaji) wa bwana
@aziondeshirazybwoy64954 жыл бұрын
jehenam panatisha sana
@maasai123 Жыл бұрын
Baba naomba uniakikishie nami kina limeandikwa kitabuni yako barikiwa kwaya a c c
@lucyngowi1299 Жыл бұрын
Nice song oouh! God is great
@elphasmosigisi573 жыл бұрын
this song s so touching can make one repent for good