A - Z DALALI ALIYEKUTWA AMEFARIKI NDANI ya RANGE la IMAMU -HARUFU YASHTUA MAJIRANI SIKU 3 AKITAFUTWA

  Рет қаралды 40,143

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

A - Z DALALI ALIYEKUTWA AMEFARIKI NDANI ya RANGE la IMAMU -HARUFU YASHTUA MAJIRANI SIKU 3 AKITAFUTWA...
MPIGIE DR.JJ.MWAKA SASA KUPITIA 0758 100 100 na 0785 100 100 UPATE MSAADA WA KITABIBU KWA GHARAMA NAFUU.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 114
@globaltv_online
@globaltv_online 8 сағат бұрын
MPIGIE DR.JJ.MWAKA SASA KUPITIA 0758 100 100 na 0785 100 100 UPATE MSAADA WA KITABIBU KWA GHARAMA NAFUU.
@zainabramadhani9838
@zainabramadhani9838 7 сағат бұрын
Kweli tusitinge na kudharau watu maisha mafupi saana kifo ni popote na saa yoyote Mwenyezi Mungu atujalie mwisho mwema
@leokamil6284
@leokamil6284 7 сағат бұрын
Amen
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 4 сағат бұрын
Amin Yarabbi Amin
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 6 сағат бұрын
Kiumbe kilichozaliwa na mwanamke siku zake za kuishi duniani zinahesabika😢 💔🫶 so sad😢
@IdrisaTuppa
@IdrisaTuppa 7 сағат бұрын
Mwili Wa Binadamu Silolote Siku 3 Tu Mtu Anatoa Harufu Duh.😱😱😱
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 4 сағат бұрын
SubhanaAllah kwakweli Binadam sisi si lolote, Allah atujaalie kher ya mwisho mwema Amin Yarabbi Amin
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 5 сағат бұрын
Cha kumshukuru Mungu ni hii pumzi aliyotupa tu.mengine yoote hayana maana kama hii pumzi haipo.daaah!!
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 5 сағат бұрын
Bin Adamuh dhaifuu Allaah Atupee mwishoo mwemaa
@xxxl-jf2ji
@xxxl-jf2ji 2 сағат бұрын
Amin
@tabiafataki6896
@tabiafataki6896 7 сағат бұрын
Mbona maelezo ayaeleweki ,kama alitaka kupumzika asinge lala ktk Buti si angelala ktk kiti😭😭
@ThomasMcha-jk5yt
@ThomasMcha-jk5yt 7 сағат бұрын
Naelekea kufikiri kwenye Butt ni kwasababu ya Nafasi ya kutosha.... Halafu kumbuka madirisha na milango yalikuwa Locked ( marehemu alikuwa na funguo za gari)...Akakosa hewa, pengine alikuwa amepata Kinywaji.... Mawazo yangu tu....Ali Suffocate huyu bwana ( RIP)
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd 7 сағат бұрын
Mkunduni kwako kuna mdomo. Akali yk ipo huko
@leokamil6284
@leokamil6284 6 сағат бұрын
​@@ThomasMcha-jk5ytNadhani ndio ilivyo kuwa Mungu ampumzishe kwa amani
@abdulkarimnassor284
@abdulkarimnassor284 6 сағат бұрын
@@leokamil6284 siku ya kukutwa na umati unaweza kua hata umelala chumbani lakini ukajikuta unatoka unaenda kulala barazani unafia hapo,mana naona kuna watu wanaleta hoja za ajabu
@sophiamtego7887
@sophiamtego7887 6 сағат бұрын
Innalilah waina illaihin rajiuni
@umsoud3306
@umsoud3306 4 сағат бұрын
Allaah Amrehem Ampumzishe Fii'jannah, Amiin
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 4 сағат бұрын
Amin Yarabbi Amin
@arafaally2895
@arafaally2895 6 сағат бұрын
Huyo atakuwa alifunga vioo vyote kisha akapiga usingizi na kukosa hewa
@mariammariam5723
@mariammariam5723 2 сағат бұрын
Mm pia nimewaza hivyo japo
@mnamamnama2732
@mnamamnama2732 Сағат бұрын
Usingizi kwa booot
@SheikhNassorMuhammad
@SheikhNassorMuhammad 3 минут бұрын
HOYO MAREHEMU YAONYESHA KAMA ALILEWA KISHA AKAAMUA KULALA NDANI YA GARI BILA KUSHUSHA VIOO KWAIYO AMEKOSA PUMZI 😢😢😢
@spreadlove5300
@spreadlove5300 6 сағат бұрын
Atakuwa alikosa hewa pia na kama alikunywa inaweza kuwa ali suffocate 😮😮 R.I.P Seif
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 6 сағат бұрын
Binadamu ssi sikitu kabsaa tukiwa hai tunaringa na majifuno na kuzarauriana lkn ssi sote wa Allah na kwake tutalejea tuishi kwa kupendana my Allah atupe mwisho mwema
@MwajumaMsimuwilliam
@MwajumaMsimuwilliam 6 сағат бұрын
Mungu wangu 😭😭😭😭 pole sana familia Mungu Awatie nguvu
@MsevenSaudisaidi
@MsevenSaudisaidi 7 сағат бұрын
Gargo jonsoni gargo mwananchiii tumekumisi Sana huonekani jangwani pole Sana mwananchi mwenzetu gargo
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 6 сағат бұрын
Mungu ampumzishe kwa Amani,Poleni sana
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 4 сағат бұрын
Innalilah waina ilah rajiun polen sana
@MaryamRashid-zd6gl
@MaryamRashid-zd6gl 7 сағат бұрын
Labda alikosa hewa alipokuwa amelala humo ndio sbb ya kifo chake
@leokamil6284
@leokamil6284 6 сағат бұрын
Nadhani buti ilijifunga ghafla akakosa pumzi au hakujua kuwa kufunga vioo buti kunakukosa hewa .R.I.P
@monicakiwia5649
@monicakiwia5649 6 сағат бұрын
Kabisa maskini hakujua kama angekosa hewa, Mungu ampumzishe mahali pema peponi ​@@leokamil6284
@SharifaA-y4t
@SharifaA-y4t 7 сағат бұрын
😭😭inna linlahi waynna ileyhi rajeeun
@MikidadiSalim-xk9dc
@MikidadiSalim-xk9dc 5 сағат бұрын
Inalilaih wainaillaih rajiuun...
@MozesPaul-h6i
@MozesPaul-h6i 5 сағат бұрын
Inalillahi wa innalihai rajuunmwenyez MUNGU amwepushe na athabubyakaburi!
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 5 сағат бұрын
Inalilah wainailah rajiun 😢😢alikuwa kalewa Allah atupe mwisho mwema inshallah 😢
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 6 сағат бұрын
Apumzike kwa Amani 😢
@yohanakateko
@yohanakateko 7 сағат бұрын
Duh
@mauasaidi3345
@mauasaidi3345 7 сағат бұрын
Bina adamu atuna samaani atawanao linga awajui mwisho wao
@Foodarmy2012
@Foodarmy2012 6 сағат бұрын
Inawezekana labda alikosa hewa kama alijifungia milango na vioo.
@lusakaone7782
@lusakaone7782 7 сағат бұрын
Siku ilishafika, huyo nahisi kajifungia vioo
@mzaliwatena
@mzaliwatena 7 сағат бұрын
huyo imamu alikua halitumii hilo gari au mnazungusha Dishi?
@jamesmassawe4888
@jamesmassawe4888 6 сағат бұрын
Elewac abar kwanza
@Hadija-mw1wd
@Hadija-mw1wd 3 сағат бұрын
Uyo alikosa hewa akufungua madilisha. WENGI WANAKUFA KWA STYLE. iyo ..RIP
@Haji-yr9db
@Haji-yr9db 5 сағат бұрын
😢😢😢😢mungu wangu jaman dah kwel alikua ameanza kuoźa inna lillah wainna ilaih rrajiun
@MsevenSaudisaidi
@MsevenSaudisaidi 7 сағат бұрын
Polisi anzeni na hawohawo mtaupata ukweri
@Malaika2311
@Malaika2311 6 сағат бұрын
Push to start
@silasmarandu1485
@silasmarandu1485 7 сағат бұрын
Maelezo hayo! Gari lilikua on halafu funguo wamezikuta nyuma ya seat how!
@abdulkarimnassor284
@abdulkarimnassor284 6 сағат бұрын
hapo unashangaa nini
@lailafakhihaji
@lailafakhihaji 5 сағат бұрын
Innalillah wainnaillah rajiun Allaah atujaalie mwisho mwema
@lilymuro4993
@lilymuro4993 7 сағат бұрын
Tanzania 🇹🇿 kweli watu wanawaogo sasa hivi mmm🤔🤔🤔🤔
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 6 сағат бұрын
Hawezi kwenda kulala kwenye buti
@Nite-zd8il
@Nite-zd8il 7 сағат бұрын
Wameuwa
@MariamMasoud-r5y
@MariamMasoud-r5y 6 сағат бұрын
Kwanini alale kwenyebuti
@Shekhahamed-v2f
@Shekhahamed-v2f 3 сағат бұрын
Innalilah wainsilah rajuun
@Shekhahamed-v2f
@Shekhahamed-v2f 3 сағат бұрын
Sitofahamu mungu anajua
@Jamila-h1w
@Jamila-h1w 2 сағат бұрын
Inna lillah waina ilayhi rajiuun
@MWINJILISTHURU
@MWINJILISTHURU 6 сағат бұрын
Au kafunga viyoo vyote hadi kakosa pumzi, oksije
@zenaal-baalawy1953
@zenaal-baalawy1953 3 сағат бұрын
Alifunga vioo kutokana AÇ ilikua ipo on kaiwasha gari wanasema but pia naona walisema funguo ilitafutwa ikawepo chini ya kiti na battery ilikua on hapo ndio sijafaham, kwa vile ingekua funguo ipo pale haijadondoka ndio gari iwe on🤷🏽
@SOMAINNOCENT
@SOMAINNOCENT 6 сағат бұрын
Daaah Mungu tuokoe
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 7 сағат бұрын
Innan lillahi waina ilehi rajiun 🥺
@mzaliwatena
@mzaliwatena 7 сағат бұрын
Hilo gari lilikua halitumiki? yaani tangia jumapili hadi Jumatatu mwenye gari hakulitumia
@sadikidaudi460
@sadikidaudi460 6 сағат бұрын
Pale wanauza magari nahilo gari nisehemu yamagari yanayouzwa
@joycemfuru4752
@joycemfuru4752 2 сағат бұрын
Linauzwa
@subiramohamed8308
@subiramohamed8308 3 сағат бұрын
Mimi naomba kuuliza kwenye buti wamejuaje kama kuna mtu mbona kama walimfungia waoo kwasababu angekua mbele kweli utaona maaan aina tindedi apo angei ekana sema msiba wa masikini utaisha ivoivo kimyaa
@Hemedabdallah-kb4xd
@Hemedabdallah-kb4xd 7 сағат бұрын
Haya,,, sijui nani kesho atatoweka
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd 7 сағат бұрын
Baba yako.
@MosesShileka
@MosesShileka 6 сағат бұрын
L Oilo❤❤❤❤❤
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 32 минут бұрын
Anae sura kavu inaonyesha ni m2miaji wa chaves shariba mobilo pia ile kupga vi2 Moko Moko kupack ikawa ndiyo kwishiney Tena only JAAH 🙏🙏🙏
@Said13Mashakaog
@Said13Mashakaog 7 сағат бұрын
Hawa watakua wanajua mbona kigugumizi fulani hivi
@carolinep.maziku2922
@carolinep.maziku2922 4 сағат бұрын
Kbs
@lukasielibariki3181
@lukasielibariki3181 6 сағат бұрын
Tuishi Kwa upendo umefika ndani ya gari utakuta aliombwa lifti akafinga vioo
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 6 сағат бұрын
Uchunguzi wa kijaji ufanyake
@kaznakazn3495
@kaznakazn3495 2 сағат бұрын
Maelezo yenu hayaeleweki hiyo gar mumesema ilikuwa Oni na siku tatu gari lipo oni polsi chunguzeni maelezo vizuri inamana hata kama hizo gari hazitoki hapo zinapita siku zote hizo hamukangui magar kweli nyie acheni masihara
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 6 сағат бұрын
Inalillah wa inalillah Ra juun mbere yake nyuma yetu polen sana wafiwa
@SarahMsinga
@SarahMsinga 2 сағат бұрын
Hapo si waelewi kama aliwasha gari apate hair condition na kama gari lilikuwa bado on how comes eti wanatafuta funguo tena hata Ma police dah Utata huo gari ikiwa on key inakaa hapo? Something wrong with
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k 2 сағат бұрын
😭😭😭😭😭
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 7 сағат бұрын
Mmm mbona km sokuelewi
@KaizaEdwin
@KaizaEdwin 6 сағат бұрын
Ndugu yetu alikosa hewa
@aishatest4451
@aishatest4451 7 сағат бұрын
duuuu, 😢😢😢😢
@KuyaNkalango
@KuyaNkalango 5 сағат бұрын
Maelezo Yako hayajanyoka
@CosmasErnest-i3t
@CosmasErnest-i3t 5 сағат бұрын
Jmn toka J2 na hy gar hamkuifungua mpi j4
@carolinep.maziku2922
@carolinep.maziku2922 4 сағат бұрын
Ndo apo!
@MwitaSenso
@MwitaSenso 7 сағат бұрын
Nataka kujua tu vpimo vya daktal nn kilchosababisha kifo chake
@machakuroger7068
@machakuroger7068 5 сағат бұрын
Wacheki pia kama figo zipo ndani
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 4 сағат бұрын
mbona anaoneka alikuwa mgonjwa
@FreeGod368
@FreeGod368 59 минут бұрын
Alikua mtu wa ulabu nahisi
@mustaphajuma2051
@mustaphajuma2051 6 сағат бұрын
huyoo hewaa alikosaa labda
@edwinmtei9400
@edwinmtei9400 4 сағат бұрын
Yaani mtu mzima ukae mahali hakuna moshi halafu unauwezo wa kutoka we ukae tu hadi ukose hewa ufariki wkati funguo unao
@mwitaagness455
@mwitaagness455 3 сағат бұрын
​@@edwinmtei9400itakuwa alipitiliza usingizini, akakosa hewa
@annamussa185
@annamussa185 6 сағат бұрын
Huyo imamu mchawi
@zahormohammed4476
@zahormohammed4476 5 сағат бұрын
Wewe ndio kiongozi wa wachawi
@NancyPatrick-il8zj
@NancyPatrick-il8zj 4 сағат бұрын
Acha tu angekuwa mchungaji Ungesikia comments nyingi....... Karibu kwenye dini ya haki, Sasa hapa leo ukisema kitu tu utatukanwa mpaka basi
@juliethmpiluka689
@juliethmpiluka689 2 сағат бұрын
​@@NancyPatrick-il8zjhahahaha et kalibu kwenye Dini ya haki
@NancyPatrick-il8zj
@NancyPatrick-il8zj Сағат бұрын
@@juliethmpiluka689 hahahaaaaa!!!! Mimi nachekaga tu
@kennedyjohn8900
@kennedyjohn8900 4 сағат бұрын
Wanasema mwanzoni sim ilipatikana nabaadaye haikupatikana Je? Kwenye gari alikutwa nasim?
@zenaal-baalawy1953
@zenaal-baalawy1953 4 сағат бұрын
Simu itakua ndio ilikua inaita kwa vile ilikua ina charge baada ya hapo may be battery low ndio simu ilizima ilikua haipatikani alivyokua akipigiwa.
@kennedyjohn8900
@kennedyjohn8900 Сағат бұрын
@@zenaal-baalawy1953 swali langu alikuwa nayo kwenye gari?
@superhemed7590
@superhemed7590 4 сағат бұрын
Uyo Imamu mmiriki wa gari ni jin la mtu na si kiongozi wa msikiti
@marymanoni5536
@marymanoni5536 7 сағат бұрын
Mtangazaji mwenye sauti yake
@Shekhahamed-v2f
@Shekhahamed-v2f 3 сағат бұрын
Sitofahamu mungu anajua
@Ram8193K
@Ram8193K 7 сағат бұрын
Inna lillahi wa Inna Ilayhi rajioon
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 8 сағат бұрын
Duh
@mussamalekela2107
@mussamalekela2107 Сағат бұрын
اذا نزل القضاء ذهب اللب qadar ikifika maarifa yote huondoka ndio maana watu wanashangaa kwanini aliloki milango na madirisha vyote! Wakati ni mtu wa magari ,Allah amsamehe makosa yake
@AwaziRajab
@AwaziRajab 50 минут бұрын
Uchunguzi Ndo Utajua Sababu Kamili Ya Kifo Akua Na Shati Wala Viatu Alivimba Tuliona Tukio Mana Watu Walikua Wengi Sana Upiti Bila Kushangaa
@salmakirundu2076
@salmakirundu2076 44 минут бұрын
Mwenyezi mungu ampe kauli thabit
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 Сағат бұрын
Siku yake ilifika na kifo kina nguvu uwezi kukiepuka hta kdg..maan wengine mnataka sababu..
@IssaTayari
@IssaTayari Сағат бұрын
ASilage kwenye siti akalale kwenye but achen usenge
@IssaTayari
@IssaTayari Сағат бұрын
Inaonekana walikuwa wanajua ila walitafuta pakuanzia mana nimajanga tayari
@EmmanuelKipinga
@EmmanuelKipinga Сағат бұрын
Mungu ailaze roho yamalehem mahala pema peponi
@zapeed4813
@zapeed4813 Сағат бұрын
Mmmm kwakweli mimi mwenyewe kwa hili kuna kitu
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 Сағат бұрын
Nahis but lilijifunga ghafla
@salmakirundu2076
@salmakirundu2076 48 минут бұрын
Allah amssmehe makosa yake yarab
@salmakirundu2076
@salmakirundu2076 49 минут бұрын
Innah lilah wainah lilah rajiuun
@AwaziRajab
@AwaziRajab 52 минут бұрын
Pichani Mdogo Lakini Alipokufa Kavimba Uyo Binadamu Jamani Tuache Mapozi
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 16 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,2 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 65 МЛН
MZEE WASIRA AKIZUNGUMZIA MAANDAMANO YA CHADEMA
26:33
TBConline
Рет қаралды 10 М.
My First Experience of the NEW TANZANIA'S ELECTRIC TRAIN as a Kenyan
19:12