Mzee anazeeka na ukweli wake hanaga zimulizi za kinafiki, tunu ya umoja ni culture ya watanzania na raia wake walio wengi nchini hawapendagi visa vya uvunjaji amani ya umoja wao....👍👍
@LovelyBrain-wz7si4 ай бұрын
Huyu Mzee amezeeka hata Mzee mwenzake aliwahi kusema kuwa wazuri hawafi akasahau mitume wa mungu walikufa japo wazuri
@hassanthabit37264 ай бұрын
Mzee Butiku anazeeka akili zinapungua. WARIOBA NA WASIRA. BIG UP WANAZEEKA NA AKILI ZAO
@musa-v3f4 ай бұрын
Mzee Wasira anazeeka vibaya polisi hawawezi jichunguza wenyewe wkt wao ndio watuhumiwa
@titusrobert58904 ай бұрын
Kusahau koti ofisini kulirudia kunahitaji ujasili mkubwa hasa unapokuwa uko nje ya mfumo.Asanteni
@joscamwoshezi29864 ай бұрын
Mzee unabusara sana. Umetoa somo hata kwa wanasheria
@amanmalima9404 ай бұрын
YESU Ndiye njia ya kweli na Uzima ya kwenda mbinguni HEBU mwamini YESU na UOKOKE na Ulithi Uzima WA MILELE na uende mbinguni.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@khalfannahayimbekwa14404 ай бұрын
Hawa wazee wa Marra Mimi huwanawafatilia ni wazee wanaupendo sana na falisafa ya Rais wetu wa kwanza wanakatakata uvinjfu wowote wa vitu vinavyoashiria kuvunja Amani akina Mzee Msuya Malchela,wanakuwa kimya sana wazee wanchi wapo vizuri Tuwasikilize Maoni Yao,nchi itaendeshwa kwa siasa safi na uongozi Bora tuwaskilize natuendelee kiwamini
@bensonkaduvage95494 ай бұрын
This guy is"Property of that National Museum" or better still should be "Archived" in the Mara Region home of Historical records.
@filbertntibasiga80934 ай бұрын
Mzee uko sahihi kabisa
@ChristopherLazaro-yy3fb4 ай бұрын
Kale mzee hachia vp Jana wajibishane wenyew
@nanguniMtaita-hz4zt4 ай бұрын
Wasira ukweli tunakushangaa Imani yako iwapo ni kweli, wewe ni Msabato, dhehebu kubwa la Mungu, aliyehai. Wewe mwongo, umnafiki mno wewe ni lichawa la hali ya juu. Muda umefika mjomba Rudi nyumbani n'gatukaaa!
@nanguniMtaita-hz4zt4 ай бұрын
Maelezo yako niyakipuuzi Wala sura yako hatuitaki kuiona mtandaoni, inanichafua roho. Hapakuwepo na uvunjifu wa amani huo ni uwongo mweusi kabisa.
@DudddyWhyCant2 күн бұрын
@@nanguniMtaita-hz4ztkwani sura nzuri inatusaidia nini? Wewe mwenye sura nzuri labda wewe ni malaya.
@FedrickChambua4 ай бұрын
Babuuu umezeekaa
@GasparMfoi4 ай бұрын
Wewe pia nitizo mzee
@isayaWaziriisayawazir4 ай бұрын
Mzee umri wako niwakuongea ukweli kama warioba watu wasio nasilaha wanaivunja amani muogope mungu niwakat wako wakutubu
@mohamedS-yd9wh4 ай бұрын
Mzee Wasira ni mkubwa kiumri na ni mzee lakini naona kichwa kina mvi ila nashukuru uzee wake una busara na hekma nyingi. Huyo ni tunu ya taifa
@antarsangali44564 ай бұрын
Ni hakika usemayo bado mzee hekima,busara na maarifa yanamchemka. Kuna mengi ya kujifunza toka kwake hapaswi kubezwa ni hazina
@philemonsnyanda94504 ай бұрын
@@mohamedS-yd9wh Ana utunu gani huyu mzee muongo muongo
@OmmyJames-xn7ji4 ай бұрын
SACCOOS WAMECHEMSHA MAANDAMANO YAO NI KWENYE MITANDAO 😢😢😢😢😢
@ismaelgadiye44884 ай бұрын
Ili tuamini hebu tuambieni ni kiongozi yupi alishiriki hicho kikao cha chadema tofauti na habari za kusikia pembeni we mzee na je sisi nchi yetu inaaminika kwa kiasi gani kwa uchinguzi uchunguzi wa lisu unatoka lini na unahitaji miaka mingapi
@RosePokela4 ай бұрын
Mzee Kuna sehemu unafeli sana hivi Mzee unauhakika na unacho SEMA na mbeya je?
@emmanuelmasele95854 ай бұрын
Mhuuu!
@MoEd-k8w4 ай бұрын
Upuuzi tu, Tanzania aman hatuna na maendeleo hayapo. Tbc wametoa hii Ili kutoa nafac ya serikali unyongenyonge maneno. But tushajua
@JohnMdindo4 ай бұрын
Hawa waandishi ni chawa wakubwa ktk hili.wana maswali ya utata.ila wameshindwa kumuingiza mzee ktk lengo lao tata.Hii Nchi ijianvalie sana na waandishi wa aina hii.
@JoswamBalongo4 ай бұрын
Mwongo we muzee
@babuyangu74774 ай бұрын
Natamani ningekuwa mwandishi wa habari, naona kuna gap sana
@alfradsemsokwe-z7o4 ай бұрын
tbc na wasira na ccm
@ZariaAbdullah-r5t4 ай бұрын
Wasira 😂😂😂sura mbaya kauli mbaya chamade kibay dini mbaya😂😂😂😂😂
@JfourHumbi4 ай бұрын
Waongo huwa 😂😂
@Elineswai1554 ай бұрын
Nachoweza ni kunyamaza tu😂
@nelsonnyamle4 ай бұрын
Duu hiyu mzee jamani
@eliashimwela58544 ай бұрын
Jamani mnapoeleza msipende kuwafurahisha wanadamu. Semeni yaliyo kweli mbele za Mungu. Shuhudieni ukweli na so uongo. Tahadharini dhambi
@HabibuSalumu-iv5wl4 ай бұрын
Hivi kufuli Lina funga mlango au linafunga kitasa kilicho wekwa kwenye mlango
@HenryKatenga4 ай бұрын
Mzee wewe isaidie nchi hii. Hilo ni darasa kamili kwa wanasheri wetu wengi.
@richardnganya23114 ай бұрын
Yupooo
@salimukimwaga-fu8cc4 ай бұрын
Chawa mnene alieshiba Toka Nyerere mpaka Leo hajatosheka
@GULIELMAS4 ай бұрын
Wazee hawa ndiyo walio tu letea katiba ya kisenge
@IsayaKamomonga4 ай бұрын
Mpuuzi.
@MadodoMartini4 ай бұрын
Mzee Wasira CHADEMA haikuwa na Maandamano,, Bali MAOMBOLEZO, Waombolezaji ndio wabaya kuliko Wauaji, Binadamu kagonga Treni kwa Mbele kosa la Binadamu 😂😂😂😂😂😂,, mm Nampa pole Binadamu aliyegonga Treni na kuhukumiwa, maana sio Binadamu wa kwanza kugonga Treni, mwaka huu wamegonga wengi tu, huyu moja ajabu iko wapi,, Ooh my God help Heal our Country Tz... 2024-2025...
@abasingawile-h3f4 ай бұрын
Uyu mzee choko tu police wanaweza kujichunguza wenyewe acha zako ww mzee lisu amepigwa lisasi lin inamaana tangia muda ule mpaka sasa awajampata musika ukweli awawezi kujichunguza wenyewe
@AnnaFelix-p1z4 ай бұрын
We mzee mbona tuliandamana tena vizuli
@ondieckotoyo11434 ай бұрын
Ni jambo gumu kueleza hoja za uhaini bila ushaidi wa kulithibisha hayo yaliyosemwa, na taifa tulitegemea hoja kupata ufumbuzi wa matukio ya utekaji na mauaji na jambo hilo halikupashwa kuingizwa katika misingi ya kisiasa na mivutano wa kivyama bila kuzingatia haki ya wasiyo na vyama
@stephenletta89854 ай бұрын
Wazee wanaozeeka vibaya.
@samsonogunde45084 ай бұрын
Mungechunguza matukio ya Mwanzo mngeaminika, Lakini Kama mlishindwa sasa Leo tutaweza
@sethmdj4 ай бұрын
Watangazaji wenyewe hawajui jinsi ya kuuliza maswali sawasawa. Ni kama walimwita wasikilize tu hadithi yake Ooh, kumbe ni TBC, nilikuwa sijaangalia vizuri
@SaidSaid-l8x4d4 ай бұрын
Waandishi wa habari mumeshindwa kuuliza maswali ya msingi
@muhammednassor35694 ай бұрын
Mzee Big Up
@MrigoJohn-ps8dk4 ай бұрын
Mzee Wasira amewazidi hoja na technic waandishi wetu
@deomusyebi99304 ай бұрын
Mzee Wasira njoo Bunda tuendelee na kazi zingine wongwa mura
@Dr.ForexTz4 ай бұрын
Hatuwez kuamini hiyo habari ya kusema maandamano hayana amani sababu ya intelegensia wakati walisema intelegensia imeona mkutano wa zoom lkn wameshindwa kuthibitisha lkn pia miaka mingi wasiojulikana wako mpaka leo hiyo intelensia inatuletea maswali yasiyonamajib
@pelegrinmwamba15944 ай бұрын
Mzee piga kwenye mshono
@abuumuhammad71334 ай бұрын
Mh. Rais wetu Mama Samia anaakili nyingi sana Masha'Allah anawazuia kuandamana pbila kuvuja damu kwa Mtanzania yoyote kisha hawashtaki ilimradi katika Uongozi wake asiwe na Kashfa ya kumwga damu wala kumshtaki yoyote kisa anataka kuandamana yeye anawazuia tu.
@AkwilaJoseph4 ай бұрын
Wape daresay hawa chadema niwavunjivu wa amani chadema hawa
@SamwelSadock4 ай бұрын
Huwezi kuchunguswa na chombo cha polisi ikiwa wanatuhumiwa kwa kuvunja sheria
@BarnetLaston4 ай бұрын
Maandamano yaliyofanyika ni ya polisi ha ha ha ya chadema hayakuwepo.
@MkingaJulius4 ай бұрын
Huyu ni mzee haelewi chochote kwanza hata hapa nyumbani bunda tulisha sema kwamba Alisha kufa nashasngaa hata kumuona leo
@babuyangu74774 ай бұрын
Wasiwasi wangu ni kwanini police wanaolinda amani hawakuwakamata wapangaji wa mbinu chafu na intelijensia kali ya nchi ilikuwemo kwenye hicho kikao.
@brendangabriel16434 ай бұрын
Mh. SSH kuwa makini na informants wako, wanakudanganya kwa kutunga UONGO ili kuhalalisha uovu kwa CDM. Nia yao si njema abadani, wanakuharibia.
@duniakidogo85164 ай бұрын
Intelligensia hiyo hiyo ilitakiwa kuwakamata waliokuwa na agenda zao kushitakiwa. Polisi wanahusika na jinai na wala si siasa. Watafute jinai, washughulikiwe nayo. Intelligensia isiyokuwa na ushahidi ni siasa hiyo.
@brushisageni794 ай бұрын
Hizo taarifa mbona kwenye mambo siasa tu ila ya watu waliofanya mtandao wa wapiga risasi haziwafikii viongozi.
@PeterRas-o7d4 ай бұрын
Big Up Mzee Wasira Nilijuwa Unafurunga kumbe Mzee Uko Vzr Sana
@charlesbarongo27784 ай бұрын
Hapa ni siasa tu,ukweli unawekwa pembeni.
@joscamwoshezi29864 ай бұрын
Waandishi mnachekesha.mnataka mtu ajibu jibu mnalotaka nyinyi
@Hovyoo4 ай бұрын
Mzee kawa Wa Hovyo Tu Huyu
@DudddyWhyCant2 күн бұрын
Uhovyo wake ni upi? Hata wewe mzazi wako ni hovyo
@eliezergama70734 ай бұрын
mzee safi sana.
@malkavoice25704 ай бұрын
Hawa wazee ndio waasisi wa uvunjifu wa amani ya hii nchi mnapokuwa mnawahoji jaribuni kuwaelewa na muwaulize maswali magumu ili kesho akiitwa aje ahutubie taifa na sio kutetea chama chake ambacho mpaka kesho kinampa kula
@KissingerSoud-dd2gt4 ай бұрын
Mzee wasira ni kada, je polisi ni watuhumiwa wanaweza kujichunguza?
@ShesheKaoneka4 ай бұрын
Mzee wape somo hata hao waandishi.
@musa-v3f4 ай бұрын
hakuna somo la maana zaidi ya uchawa ungetegemea awe stateman kwa umri wake lkn bado ni chawa polisi wanatuhumiwa kwa utekaji na mauaji halafu wao wajichunguze? ni upuuzi
@salimukimwaga-fu8cc4 ай бұрын
Simwelewi wasira ni msemaji mkuu wa taifa au nani
@joscamwoshezi29864 ай бұрын
Yaani wengine wanaona kuruhusiwa kwa maandamano ndio kufuata sheria. Ni ajabu.
@ManaseNassary4 ай бұрын
Wanaosinzia bungeni wanasemaje?
@RBMBAKARI-bv6wn4 ай бұрын
Tunavyowaambia ccm ni chama madhubuti watu hawaelewi msikilizeni huyu Mzee Hawa ndio wanaijua nchi vilivyo lazima tuwasikilize nchi hii Ina misingi bwana .kweli baba wataifa alikua SI mtu wa mchezo ameacha misingi imara sana
@PererLukumay4 ай бұрын
Tio.walioifanya.tanzania.ibaki.masikini.hadi.leo
@Bmsecret4 ай бұрын
Mzuri mama ako acha uninga ww
@mussalema834 ай бұрын
Ushaidi uwo kua chama furani kimepanga kufanya uvunjifu wa amani kwa ushaidi walio nawo kwanini wasiwachukulie hatua na kuweka wazi icho chama usanii tuu!
@hassanthabit37264 ай бұрын
UKIOKOTA UTARATBU WA MAREKANI MGOMBEA URAISI APIGWE RISASI. HUO SIO WA TZ
@EstaMtam-x1o4 ай бұрын
Ccm wote makuma tu
@gidongailo71744 ай бұрын
Watu wanaongea mambo ya uongo uongo japo ni viongozi wakubwa! Mtu kutamka kuwa anapanga mkakati wa kumwondoa Rais kwa njia ya fujo ni uhaini. Kama serikali imekuwa ikibambikiza kesi za uongo na kisha kukosa ushahidi na hatimaye kesi kuondolewa mahakamani, watu wanawezaje kuachwa kwa kutamka maneno ya hatari namna hii na wakaachwa bila kupeleka mahakamani badala yake wakauawa. Nchi hii hovyo sana😂😂😂😂
@hassanthabit37264 ай бұрын
MZEE WEWE NA WALIOBA MNAZEEKA NA AKILI ZENU. BUTIKU ANAZEEKA AKILI ZINAPUNGUA. LEMA ANAJIFANYA KUTIA HURUMA ALIYOSEMA KWENYE KIKAO AR MAMA ANAYAJUA.
@philemonsnyanda94504 ай бұрын
Chama fulani kimepanga uvunjifu wa Amani!
@musa-v3f4 ай бұрын
hakuna ushahidi wowote wa uvunjifu wa amani ni vtu vya kutunga tu kuzuia maandamano
@HajiKlein-so1rk4 ай бұрын
Safi sana Mzee wetu 🫡🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏🫡
@SimonSoja-r3l4 ай бұрын
Sasa mbona hukujitokeza kuandamana,
@MathiasMgimba-b6g4 ай бұрын
Huyu nae ni chawa tu
@brendangabriel16434 ай бұрын
Mpango huo wa siri wa kuhamasisha vijana ni haramu na uhaini, kwa nn mpaka leo hawajatiwa mbaroni kwa uhaini? Hili halitekelezeki kwa vile ni la kubumba na uongo wa kumdanganya Rais. Naye amelibeba bila kukumbuka alivyoingizwa chaka kwa case ya ugaidi ya Mbowe.
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm4 ай бұрын
Umechelewa nenda kalale wewe mzee
@WilbertManjonda4 ай бұрын
Kuwaheshimu watu waliotuangusha kama hawa ni ujinga na ujuha
@makobamasawemangu41224 ай бұрын
Lizee la hovyo kwel hili Yani lenyewe linaangalia ugali wake tu
@evansinyami94854 ай бұрын
Hakuna Amani tz ila kuna utulivu na uoga
@AkwilaJoseph4 ай бұрын
Ninyi ndio hamna jipya siyo huyo mzee
@MjuniLaulian4 ай бұрын
Uzee wa kipambe uishie kwenye famila tunaitaji wazee sio upambe na kujipendejeza kiboko yake ni esta bulaya
@gasperpanga44222 күн бұрын
Kuchunguza kwa muda Gani?
@brendangabriel16434 ай бұрын
Hicho chama fulani ni kipi bila kubuni? Haya ni yale yale ya case ya kubumba ya Mbowe. Lema alikanusha kwa kusema ni uongo, ana miezi 6 hajaenda wala hajafungua ofisi ya Ngulero kwani inakarabatiwa.
@godwinnkya20234 ай бұрын
Hicho kikao ni uongo,hakijawahi kufanyika kabisa mzee Wasira
@mutabebwa-bm6pm4 ай бұрын
Je kuna ushahidi wa kikao hicho au ni uzushi wa kujiami na kupotosha uma? Kama kikao kilifanyika waliokifanya walichukuliwa hatua gani?
@sskondopoleani96164 ай бұрын
Na wewe nenda TBC ukaeleze Uongo wake kisha wewe useme kweli nawe tukuone na kukusikia.
@HENRYMUNDI4 ай бұрын
Wangewakamata wsongo hao hata POLIS walisema kabla
@philemonsnyanda94504 ай бұрын
@@godwinnkya2023 nikutunga tanga uongo ,eti Chama fulani kwanini asikitaje?
@clauschaula20504 ай бұрын
Haki kwanza.
@geoffreynghumba10294 ай бұрын
Mzee Wasira na wote mnaowataka subira zaidi CHADEMA hata kama kupotea, kuumizwa na kuuawa kwao kuna historia ndefu ya miaka 8 na matokeo ya uchunguzi haijawahi kutokea hata mara moja! Mnataka wasilie hata wanapopotezwa, kuumizwa na kuuawa? You are not serious.
@bakariisack55374 ай бұрын
Sasa kama kuna kikao cha uvunjifu wa aman kilifanyika Arusha na mno uthibitisho kwa nini msiwapeleke mahakamani ??
@hamzakimaro37644 ай бұрын
mzee wazira bado ni hazina ya taifa letu,si sawa na wale wanaozeeka vibaya,kama warioba na butiku!!
@glorymiko68304 ай бұрын
Wapi. Mzee huyu alikuwa anapiga dozi kuanzia kipindi cha bunge kinapoanza mpaka mwisho. Mzee wa ccm huyo.
@yassinnabwera42734 ай бұрын
Hivi nyie Waandishi wa Habari wa nchi huwa hamna watu wa kuwahoji?Huyu Bwana Wasira ana busara na hekima?
@kingmichael12344 ай бұрын
Mzee Wasira umeongea speculations tupu hakuna ushahidi. Vijana wachome moto una ushahidi gani? Yaani hii nchi imekosa wazee wenye busara na hekima wa kuliongoza Taifa hili. Tunatetea vyama vyetu kwenye mambo serious kabisa yanayoliumiza taifa. It's a shame.. hopeless kabisa 😏😏😏
@ashtube13334 ай бұрын
😂😂
@HarunJonass4 ай бұрын
Ahaa duu
@Jeremiatitomawala4 ай бұрын
Mzee wasira asante baba unajua kujib hahahaha
@MashalaYatanduka4 ай бұрын
Siku akitekwa mwanao ndo utaelewa
@JaphetMulungu2 күн бұрын
Wasra ugepumzika,hiyo kazi wafanye watoto wako au wajuku.huko nikuwazibia riziki wengine je mkingangania madaraka hawa vijana wanasoma ili waje kuwatazama nyinyi?
@danielmwandenga53694 ай бұрын
Tatizo lako mzee huwa usemi ni kifungu gani cha sheria lakni rais mwabukusi alinoti kifungu napia maelezo yake ni kuwa sheria kuhusu mandamano msajili anamamlaka ya kukiwajibisha chama chochote ivo tuzidi kuombea amani yetu na mh rais naomba tu azidi kuwa na huruma na watanzania nae aje kuandika kitabu kizuri ,ajifunze kutoka kwa my life my purpose
@DavidSemu-gu6wp4 ай бұрын
Huyu Bwana mkubwa ana silka ya tamaa ya madaraka kwa mlango wa siasa akiamini kuwa anacho kiamini ndio sahihi na anajitahidi asi sahaulike kweli hakosei anapotoa mawazo ila anakose kutaka watu wakubali na lake lisipo kubalika ana kuwa na jazba, huyu mzee ndiye aliyepigwa chini jimboni kwake na Esther Bulaya baada ya kuchokwa lakini hakukubali kirahisi angepumzika tu sasa na mradi wake wa pale msasani.
@SeifAlly-g9i4 ай бұрын
Hapo sawa mzee wasira endelea kuwapa somo
@musa-v3f4 ай бұрын
TBC mnafanya makosa makubwa kwa kuleta mawazo ya mtu mmoja bila kupata mawazo ya upinzani hasa ukizingatia mnatumia kodi za wananchi
@johnmichaellukindo214 ай бұрын
Uchawa umekuzidi 👎 maandamano yalikuwa yawe ya amani!