Tarimba ana roho nzuri sanaaa tenaaa sanaaaaa mie Shahid ukienda kwake ukimuelezea shida yako we jua limeisha migogoro mingi ametatua mie naenda kumchagua kwa sababu ya kenge mmoja hivi anatumia mabavu ila tarimba hiyo sehemu anaijua kitambo tokea yupo diwani ila now ataweza kilimaliza viva tarimba
@siafuvideo25414 жыл бұрын
Tarimba Abass Tarimba Pole Baba mbele yao Nyuma yetu Utashinda Inshaallah mwenyezi Mungu akufanyie wepesi.
@salmaathuman91564 жыл бұрын
Pole sana tarimba mungu alijua kukupa mtihani na aendelee kukupa nguvu ushinde ubunge
@hamisrashidi69224 жыл бұрын
Hatutoi kura za huruma ss
@salmaathuman91564 жыл бұрын
@@hamisrashidi6922 wewe Kama nani na kikura chako cha kubabaisha ushindi upo palepale ccm
@jacoblukumay4724 жыл бұрын
Tuweke upinzani pembeni Tarimba ndiyo mbunge kura ikikosekana haizuii chochote
@tamaraeliz71144 жыл бұрын
Malinza muhula wako wapili. Tunakungojea Kenya 🇰🇪 tutakupa kura bila kupingwa. Your the best president Magufuli
@raymondomary17244 жыл бұрын
Thanx kenyan friend 2love our best president
@aronboniphac15574 жыл бұрын
Hahahaha sisi tunampango kumpa aongoze miaka yote
@fatemaligalawa41514 жыл бұрын
Hahahaahah
@WASHATube4 жыл бұрын
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020 👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/o3uYkHpml6tgq9k NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥
@zakiamsafiri123zakiamsafir74 жыл бұрын
Pole Tarimba ALLAH akujarie nguvu kila uwakumbukapo wanao
@mossymtwana64224 жыл бұрын
Saana hata mimi nimelia bila kutarajia anewakumbuka wanawe 2 kwa mpigo na ndio hao hao hana wengine tena Mungu mkali jamani Mwenyeezimungu amtie nguvu huyu Baba.
@magdalenachubwa93884 жыл бұрын
@@mossymtwana6422 Yani hata mie nimejikuta nalia jamani Mungu ampe faraja huyu kaka. Halafu huwa ni muungwana huyu kaka
@munaahmed84994 жыл бұрын
Nimejikuta nalia maan ck alivyozika mwanae ambae alikuw anasomea uruban nililia mno na baadae tena akazik mwingine nae mkubwa tu engineer walah nililia nikakumbuka ck mama yng aliponitoka na leo nimejikuta hali ile ile dah Allah akupe afya baba yangu na pia awarehem kaka zetu walitangulia mbele ya haki njia yetu ni 1 amina
@mossymtwana64224 жыл бұрын
@@munaahmed8499 pole saana mwanangu pole sana
@pascallyimo51064 жыл бұрын
Pole Sana tarimba,mungu akutie nguvu. Mapenzi yako kwa watu,Leo yameonekana mbele ya mungu.mungu akusaidiesn
@amanisima93574 жыл бұрын
Nakuombea utashinda Tarimba. Polepia kwa kufiwa na watotowako da!
@Amneamne-qi2du4 жыл бұрын
Pole sana mbunge wetu mlezi wetu wa Hananasif secondary Allah awape kauli thabit
@emanuelmmbaga58354 жыл бұрын
Pole sana Allah akufanyie wepesi
@kashindeballoter77104 жыл бұрын
Magufuri Tarimba Mohammed Ccm daimaaaa
@suzanemwangingo69324 жыл бұрын
Wamchague jamani anaroho nzuri sana
@elisiaclau61954 жыл бұрын
Pole Tarimba Mungu akutie nguvu Sanaa utashinda kwa uwezo was Mungu futa machozi baba
@WASHATube4 жыл бұрын
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020 👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/o3uYkHpml6tgq9k NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥
@manasemwakilasa59314 жыл бұрын
Poleee sana abas kwa kufiwa na watoto wako
@lightnesskashi32264 жыл бұрын
Go go go goooo Mr. Tarimba. Mi naona ushakuwa mbunge wetu tayari.
@samwelhechei85374 жыл бұрын
Pole sana Abbas, Naamini utashinda
@mossymtwana64224 жыл бұрын
Pole saana Baba yangu Mungu mkali jamani Nimelia kibinaadamu Mwenyeezimungu amjalie Faraja ipitayo ufahamu wa wanaadamu.
@tedymwandara54804 жыл бұрын
Pole sana kwa kuondokewa na wanao, Mwenyezi Mungu akupe wepesi.
@riphatmuhene96154 жыл бұрын
Nimesoma comment sijaona mambo ya katoa kafara. Watz wamebadilika sana mungu awabariki
@fatmamshangama98244 жыл бұрын
Umeonaee pole kaka tarimba
@gwajetheentertainer3634 жыл бұрын
Nimejikuta nalia na Mimi daaah huwa nahuzunika nikikuona mwanaume mwenzangu anamwaga chozk aiseee😭
@abuyunusmohamed69614 жыл бұрын
mheshimiwa Rais tunataka katiba mpya.Wabunge nao kuwe na ukomo na miaka kumi inatosha na wengine wapate riziki.Mfano zungu wa ilala ni bilionea na tumemchoka sisi wana ilala bora angepitishwa sophia mjema
@ilovejesus93034 жыл бұрын
Wajumbe sio watu wazuri
@hilmialjahdhami97874 жыл бұрын
Zungu humtaki wewe sisi watu wa ilala bado tunamuhitaji zungu alafu acha chuki ubilionea kajaaliwa na MWENYEZI MUNGU
@farhatfarhat38164 жыл бұрын
Tatizo wajumbe sio RAIS
@rassimbaengswahili61914 жыл бұрын
Ahsante Rais wng
@bernardoleonard73314 жыл бұрын
Inasikitisha sana machoz yangu yapo karibu Mungu akutie nguvu
@Tariqxxtenations4 жыл бұрын
Pole Tarimba. Kufiwa si mchezo
@epifaniamilinga28484 жыл бұрын
Mungu,akufariji talimba
@suzanemwangingo69324 жыл бұрын
Huyu talimba nimstalabu sana
@salmaathuman91564 жыл бұрын
Kabisa 💪💪💪💪💪hapa kazi tu
@TheTemba14 жыл бұрын
Dah aisee inauma Sana Pole Sana Kaka Tarimba, Yanga Damuuuuuui
@WASHATube4 жыл бұрын
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020 👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/o3uYkHpml6tgq9k NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥
@jacoblukumay4724 жыл бұрын
Kweli mpeni Tarimba Ubunge! Sema tu mm sikujiandikishia Kinondoni ningempa kabisa kura yangu iongeze idadi ya ushindi
@jacoblukumay4724 жыл бұрын
Ila Abas Tariba nakumbuka ni alikuwa mdau mkubwa sana Wa michezo
@najmaabby50344 жыл бұрын
Tarimbaaaa oyeeeeeeeee
@josseybourneventure42324 жыл бұрын
Daaah so sad aisee daaah
@ramadhanikibenga63174 жыл бұрын
Pole sana Abbas Tarimba
@itshaluastyle4 жыл бұрын
Mishonoya vitenge MAHARUSI nk bonyeza link pia usisahau kusubscribe kzbin.info/www/bejne/pYSmpKF4fKeCn8U
@halimamayunga19114 жыл бұрын
pole sana Tarimba uutashinda
@solemba5954 жыл бұрын
Dah asinge mkumbusha msiba wa watoto wake, inauma Sana kupoteza damu yako
@magejosia90264 жыл бұрын
Aisee so sad pole sana tarimba
@aishajuma74024 жыл бұрын
Inshaallaah utashinda kwa kishindo
@ALiBAba-zz2td4 жыл бұрын
Maskini bado anumia akiwakumbuka wanawe
@mamausilamy13604 жыл бұрын
Daah inauma Sana Nakumbuka yule aliefia South Africa niilimuuguza mm kabda ajasafilishwa South Africa
@ramsikhamis70834 жыл бұрын
Yaaaniiii daaaa weee acha tuuu... 😭😭😭
@ramsikhamis70834 жыл бұрын
@@mamausilamy1360 Jazaqalau kheer mpendwaa Mungu azid kukupa upendo zaid na zaidii kwani hii n safar ya kwetu sotee... 🌺🙏
@ALiBAba-zz2td4 жыл бұрын
Mm wamwisho nilisoma nae toka primary. Alikua hodari sana
@alexmussa25984 жыл бұрын
BAWASILI/HEMORHOID. hii ni hali inayotokea baada ya kuvimba kwa mishipa midogo (vena) inayozunguka sehemu au tishu za tundu la haja kubwa. Bawasili zipo za aina mbili kulingana na sehemu inapotokea... Inaweza kuwa ndani au kwa nje. SABABU -👉mtu akiwa anahara sana 👉kuwa na kinyes kigumu mara kwa mara 👉ujauzito 👉kuwa na uzito kupita kiasi 👉kufanya ngono kinyume na maumbile 👉kula sana vyakula vya kukoboa 👉kuchuchumaa mda mrefu wakat wa haja 👉mtu mwenye tatizo la ini huweza kupata pia DALILI 👉damu kinyesini 👉maumivu wakat wa haja kubwa 👉kuwashwa kwa tundu la haja 👉kujitokeza kinyama kwenye tundu la haja kubwa Nb Ni watu wengi wanao ugonjwa huu ila huona aibu kujionesha na hatimaye huenda kupasuliwa.... Usiogope endapo unalo tatizo au unamjua alienalo mfahamishe kuna bidhaa ataweza kuzitumia na hatoweza kupasuliwa coz zinaondoa kabisa na huo uvimbe hautarudia tena kama ambavyo angeenda kupasuliwa Contact us ☎ Whtsp/call 0744481111
@piussimtala51114 жыл бұрын
Hata mimi nimelia
@ibel4lf4 жыл бұрын
Pole sana Baba
@tidashaempire77684 жыл бұрын
JIONEE VIDEO KALI KALI LINK 👇👇👇 kzbin.info/door/qAvuEYdFzSIvPdcwgc6sHw
@khadeejaabdullah70834 жыл бұрын
Pole sana
@barakahance9674 жыл бұрын
Pole Sana baba
@roviykamage54234 жыл бұрын
Talimba anatosha
@Zainab-sq1tc4 жыл бұрын
Mbunge wangu wa mbagala cmuon kabsaa cha urembo
@nass.pofficial40864 жыл бұрын
Karibu kutazama video ya wimbo wako pendwa natumai utaupenda Welcom kzbin.info/www/bejne/pqbKqqlmja-Nn6M kzbin.info/www/bejne/pqbKqqlmja-Nn6M kzbin.info/www/bejne/pqbKqqlmja-Nn6M
@kalumbugideon41594 жыл бұрын
God protect Tarimba
@khadijachembela59464 жыл бұрын
Pole sana kk
@omarymbalala62244 жыл бұрын
Nileteeni tarimba nileteen tarimba wakuletee wapi mwenyewe uendi mwisho wako 28 mwezi huu ✌️
@KhadijaKhadija-cv9db4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌daah
@amriamraan26124 жыл бұрын
Wewe unadhani tutaongozwa na mkuu wa mapunga tobo lissu?
@mossymtwana64224 жыл бұрын
@Omary Mbalala utashangazwa na matokeo naona wiki nzima hutotoka ndani.
@raymondomary17244 жыл бұрын
Omary kweli wewe bogaz
@ibel4lf4 жыл бұрын
Utasubiri sana Magu ni raisi wetu sasa na ni raisi wetu ajae mitano teeena
Naomba kuuliza, ipo sababu na umuhimu wa kuyakumbusha majonzi kwa style hii? Mbona Kama tumemuumiza moyo?
@highlightboyofficially24824 жыл бұрын
Highlight boy
@suzanemwangingo69324 жыл бұрын
Wampe ubunge talimba
@olivadickson14664 жыл бұрын
Jmn leo magu amepaka nn kichwan
@fredrickleoni2834 жыл бұрын
Mnafki mkubwa ngojea apate afu uone atafanya nn
@badenbensoni75164 жыл бұрын
Atapita
@munajafu30804 жыл бұрын
Very sad u will win my dea
@frankkimaro13544 жыл бұрын
Talimba.Mwanaume aliagi
@mossymtwana64224 жыл бұрын
Weee usifanye mchezo kufiwa na watoto wawili mabarubaru wake wawili na hana tena watoto wengi usipime uchungu wake.
@frankkimaro13544 жыл бұрын
@@mossymtwana6422 kwailo Kaka inaumisa sana
@babashuayb49264 жыл бұрын
Aise lazima ulie watoto sio mchezo
@8pistons1944 жыл бұрын
Kila mtu alete sad story yake hapa ili kushinda ubunge nonsense
@tdkindolle93244 жыл бұрын
na yule wa sad story kupata urais je?
@modernfarming59384 жыл бұрын
kagongwe huko huna akili unavhukua poont za kipambavu una coment utopolo
@florabaruti80324 жыл бұрын
@@modernfarming5938 kwakweli akagongwe
@hassanchauluwa73084 жыл бұрын
Kuna usanii furani hivi
@sinhomakore22814 жыл бұрын
Duuuuuuh imeniuma sna duuuh pole sna baba tarimba MUNGU Yuko na wewe pole sna imeniuma sna tena sna Jamaan uchungu wa mtoto acha n mkubwa sna tena watoto wamesoma pia wawili duuuh pole sna tarimba
@aishajuma74024 жыл бұрын
Pole sana tarimba mwenyezi Mungu akutie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu Mungu yupo nawe