SSB FAHARI YETU BAKHRESA GROUP EPISODE 01

  Рет қаралды 18,106

Bakhresa Group

Bakhresa Group

Күн бұрын

Episode 1: Fahari Yetu - Ni kipindi maalumu kinachoangazia mambo mengi kuhusu kampuni za Bakhresa Group ndani na nje ya nchi.
Usikose kutazama #FahariYetu ndani ya #UTV chaneli namba 108 kwenye kisimbuzi cha #AzamTV #BakhresaGroup

Пікірлер: 78
@BakhresaGroup
@BakhresaGroup 4 ай бұрын
Asante kwa kuendelea kutumia bidhaa za AZAM na kuendelea kujifunza mengi kuhusu Bakhresa Group. SUBSCRIBE katika channel hii ili usipitwe na mazuri mengi yanayofuata 🙂🔥
@rajabumbendenga5480
@rajabumbendenga5480 3 ай бұрын
@@vinny.morales Siku mkiacha unafiki wenu ndipo mtajikuta nyinyi ni mazwazwa mlojilimbikiza ujinga kwenye fikra zenu kwa kukaririshana ubaguzi ubaguzi hali ya kuwa tunajua wapo wenzenu wengi wameajiriwa kwenye hiyo taasisi. Ila twajua kuwa huko kwenu makanisani mnavyohubiriana udini ni hatari tupu na hayo twayaona kwa maneno na vitendo
@mc9diabeticclinic392
@mc9diabeticclinic392 3 ай бұрын
​Hii ni kampuni ya familia sio taasisi ya serikali wala kidini huwezi pewa nafasi kubwa kama ww si familia coz unaweza rudisha malengo yao nyuma kwa kutokujali so wapo makini​@@vinny.morales
@archchina4705
@archchina4705 4 ай бұрын
As a Tanzanian, I'm so proud of the Azam brand, it's people and the leadership behind it. May God keep blessing y'll to expand and serve more people through out Africa. #AllahBarik🇹🇿
@colmanuiso545
@colmanuiso545 4 ай бұрын
I wish one day To be like Said salum Bakhresa (AZAM)❤
@user-od9ke7ud8v
@user-od9ke7ud8v 4 ай бұрын
BROTHER ABUBAKAR, HII TAYARI NI PAN-AFRICAN BRAND, ALLAH SWT AJAALIE IIFIKIE WORLDWIDE BRAND.
@travesseniorchannel
@travesseniorchannel 4 ай бұрын
Shukrani sana kwa madini haya. 🎉👏🏾🤩
@yasminsalim291
@yasminsalim291 4 ай бұрын
Huwa nawambia Watu Hivi Africa nzima Mze wangu Wajina Wangu Salim Bakheresa Allah Ampe siha Na Afya Njema Huwa nawambia Ni Tajiri wa 3 africa nzima na Sio Tz Pekee Allah Ampe umri mref
@iskiji1240
@iskiji1240 3 ай бұрын
Kabisa, kuna siku nilimsikia mwamedi anasema eti 90% ya bidhaa zinazotumiwa majumbani tz ni za METL nikaona huyu MO anapenda mno publicity ila kiuhalali kapitwa mbali na Bakhresa. Sema huyu mzee wetu hapendi mbwembwe.
@binkokisalikoi9019
@binkokisalikoi9019 3 ай бұрын
Azam kawekeza kwenye vitu ambavyo vinavyo onekana sana,,napia ,mjue tunaiangalia sana tv zake tuna ona bizaa zake kilasiku,ndomana tunaona yuko juuu,,,,,rostam tuu hamuwezi
@VincentNyingi
@VincentNyingi 20 күн бұрын
Well done SSB
@mr.petrokhuni9363
@mr.petrokhuni9363 4 ай бұрын
kazi nzuri sana hii, nimejifunza mengi sana
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 4 ай бұрын
Good investment in country
@hajirashid2049
@hajirashid2049 4 ай бұрын
Ni vizuri kuona mnatupa mwanga na uzoefu wa kuendesha biashara ili na sisi wateja wenu tuweze kujua namna ya kukuza biashara asanteni sana.
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 4 ай бұрын
MashaALLAH tabaraka LAAH
@user-in7ud5gj7c
@user-in7ud5gj7c 4 ай бұрын
Hii nilikuwa naisubi sana nipate kujifunza
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 4 ай бұрын
Masha'ALLAH, ALLAH Barik
@testmyphone1305
@testmyphone1305 4 ай бұрын
sory bro mara utakapoona biashara au gari nyumba nk unasema baraka Allah feek mean mwenyezi mungu abariki na kwa familia yako unasema MashaAllah kumbuka mashaAllah ni kwa familia yako
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 4 ай бұрын
@@testmyphone1305 Sijakuelewa Kabisa, Nimetoka Kapa... Nilichomaanisha na ulichoandika, vitu viwili tofouti...
@badmanno.1650
@badmanno.1650 4 ай бұрын
Napenda sana the fact that anaajiri waislamu.
@abdulhamidmohd515
@abdulhamidmohd515 4 ай бұрын
Mashaallah
@RonnieMchatta-pr5bd
@RonnieMchatta-pr5bd 4 ай бұрын
May God bless you hongera sana
@TwalibKwelii
@TwalibKwelii 3 ай бұрын
Said salum bakhresa kwa Tz ndio tajr no moja anaeibisha ni nani
@khaulaaliomar7765
@khaulaaliomar7765 3 ай бұрын
Ajira zipooo, maana tu maji!
@AbdulmujibuAhmedi
@AbdulmujibuAhmedi 3 ай бұрын
Nafasi zenyewe zajuu zote mnapeana warabu watupu
@kanzuland
@kanzuland 4 ай бұрын
👍🏽
@niriacatering172
@niriacatering172 4 ай бұрын
Asante
@yusufally2462
@yusufally2462 4 ай бұрын
🎉
@joramnunu1449
@joramnunu1449 4 ай бұрын
@SamsonCharles-oy2el
@SamsonCharles-oy2el 3 ай бұрын
Vijana kuna cha kujifunza hapa, tunaonaa namna inachukua muda ku grow? Miaka miwili mitatu haitoshi
@raymondsimon483
@raymondsimon483 4 ай бұрын
Kuna kaudini flan hivi kwenye hii kampuni
@user-wf3rx7ft7b
@user-wf3rx7ft7b 3 ай бұрын
Sasa wataka kuwe na ka uhuni kidogo ????
@Test_Your_Knowledge57
@Test_Your_Knowledge57 3 ай бұрын
Taasisi zote za Islamic zipo hv
@jafaryahmad4224
@jafaryahmad4224 3 ай бұрын
@@Test_Your_Knowledge57 HATA MKOMBOZI BANKT NA ZILE ST...WAPO HIVI
@jafaryahmad4224
@jafaryahmad4224 3 ай бұрын
@@user-wf3rx7ft7b
@jafaryahmad4224
@jafaryahmad4224 3 ай бұрын
kuwa mzalendo chukuo funzo hapo
@SamsonCharles-oy2el
@SamsonCharles-oy2el 3 ай бұрын
Sijaona sehm ambayo wameelezea mtaji(capital) walitoa wapi?
@NaderRonaldo
@NaderRonaldo 3 ай бұрын
What is your numbre
@anyimikemwakyanjala7158
@anyimikemwakyanjala7158 4 ай бұрын
Ni kweli hampo hata top 20 ya utajiri Africa!!?
@zagarinojo4227
@zagarinojo4227 4 ай бұрын
Don't trust everything you see on the internet
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 4 ай бұрын
Swali la kijinga Sana hilo
@user-fn9fo7zi9q
@user-fn9fo7zi9q 4 ай бұрын
Ht mm sijawahii kuamini
@star_wizard2792
@star_wizard2792 3 ай бұрын
We upo kwenye top 10?
@anyimikemwakyanjala7158
@anyimikemwakyanjala7158 3 ай бұрын
@@shwaibukhatibu2838 Mi nimeuliza Kwa mshangao maana Azam ni brand kubwa sana sana
@lilianbwahama5600
@lilianbwahama5600 4 ай бұрын
Kuna ubaguzi wa kidini kwenye ajira kwenye hii kampuni. Kwanini watendaji wote ni waislamu?
@barakamalinga
@barakamalinga 4 ай бұрын
Absolutely true
@elishadalton1866
@elishadalton1866 4 ай бұрын
Sjui kwanini bwana
@maulidmuhammad8840
@maulidmuhammad8840 4 ай бұрын
Dini haifanyi kazi kazi inafanywa na mtu.
@abuushurayha28
@abuushurayha28 4 ай бұрын
Hoja yako haina mashiko ni wazi uko na chuki na Uislamu zaidi hupendi ukuaji wa jamii ya uislamu as long as kampuni ni one of the leading in Tanzania kwa huduma bora sasa ni kosa gani waislamu kuwa sehemu ya matokeo hayo mwisho kabisa Allah akujalie uwe muislamu.
@anyimikemwakyanjala7158
@anyimikemwakyanjala7158 4 ай бұрын
Hoja dhaifu sana hii...je umeangalia vitengo vyote hakuna mkristo!!!?
SSB FAHARI YETU   BAKHRESA GROUP   EPISODE 02
25:37
Bakhresa Group
Рет қаралды 6 М.
Bagamoyo Sugar || Kiwanda cha sukari cha Said Salim Bakhresa
18:31
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 41 МЛН
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 14 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 47 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 21 МЛН
BIASHARA YA FAMILIA: MKURUGENZI KIJANA KIWANDA CHA JAMBO ASIMULIA
12:30
#TBC1: HII HAPA SIRI YA UWEKEZAJI BILIONEA WA MANYARA
31:10
TBConline
Рет қаралды 2,6 М.
TENGENEZA UTAJIRI KUPITIA HISA na Emilian Busara
57:11
Edmund Munyagi
Рет қаралды 57 М.
SSB FAHARI YETU - EPISODE 18
26:04
Bakhresa Group
Рет қаралды 881
KOMANDO MADAFU AWEKA WAZI KILA KITU BAADA YA KUTOKA IKULU
10:59
Wasafi Media
Рет қаралды 45 М.
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 41 МЛН