Рет қаралды 18,823
Tangu dhambi ilipoingia duniani wanadamu tumekuwa tukitawaliwa na mawazo mabaya. Unatambua hili? Je umekuwa ukiomba Roho wa Bwana atawale mawazo yako? Ni mara ngapi umefanya hivyo?
Ungana nasi kwa njia ya wimbo huu, kumuomba Mungu atawale mawazo yetu
Audio Production: Bwanga
Vocals: Accendo Tz
Connect with us:
invitescon...
/ accendotz