Mbarikiwe sana mzidi kumtukuza MUNGU, na msonge mbelee
@BarakaMagesa-se9li6 ай бұрын
Mungua abaliki kazi ya mikono yenu mwimbieni yeye katika roho na kweli
@brightonshoo63126 ай бұрын
Best music, best Melody, best lyrics, best location ❤️❤️❤️❤️❤️
@SamwelMakoi6 ай бұрын
Kazi ni njema barikiwen na BWANAA nakuona elieskia hapokk
@PhilipoKashililika6 ай бұрын
Nimebarikiwa na Wimbo mzuri wenye ujumbe ♥️ Mungu azidi kuwatumia injili mlio ibeba iwafikie watu wote duniani
@AgnessMartine-rj7cc6 ай бұрын
Mmetubariki na wimbo mzuri.namuona kipenzi changu zabloni akinibari kwa wimbo na sautu nzuri penda sana...mtie nia katika kumtumikia Mungu amina❤❤
@christopherkayombo95546 ай бұрын
Wimbo mzuri, muendelee kutubariki
@hilusendama75336 ай бұрын
Hongereni kwa kuchangua kumpa sifa MFALME🤝
@MARIACOSMAS-ks8fx6 ай бұрын
Amina tuko salama mikononi mwa Bwana🎉🎉
@JosephatMtunge6 ай бұрын
Barikiweni Kwa kazi nzurii 👋 MWANGWI WA USHINDI🤲🎧
@marshalsanga92086 ай бұрын
Nakuona hapoo Dr elieskia ndan ya ubora wakoo umedamsh sanaaa MUNGU akutunze uishi miaka mirefu
@MATABWIRE6 ай бұрын
Namuona mdg angu zablon ubarikiwe sana kijana🙏
@Ndege_Aruya6 ай бұрын
Mbarikiwe kwa kazi nzuri🥰
@AmosJoel-m1h6 ай бұрын
Nimemuonaaa kijana Wang wa vêt apooo anaupiga mwingiiii yonaaaaa
@MrindeGilbert-tn9sr6 ай бұрын
Be blessed Familia nothing to say Appreciated🎉
@NAOMILUWANJA6 ай бұрын
Mfike mbali mnaimba vizuri ❤Mungu awatunze
@GiftCharles-di7oq6 ай бұрын
Mbarikiwe Mfike mbali Echoes of Victory , nmefurah kumuona kjana @Zablon Mtaki , Mungu akusaidie ufike mbali katika safar yako ya kiroho 💪🏿
@JustinNgamba6 ай бұрын
Amina, nimebarikiwa na wimbo huu. Asanteni sana wapendwa
@Mabao.476 ай бұрын
Echoes of victory 💪🏿💪🏿
@GeraldLucas-o4z6 ай бұрын
Hongera kaka elieskiaaa nimekuonaaa
@wamburamwai6 ай бұрын
Kaka yonazi elieskia barikiwa sanaaaa mkono wake ndio unipao nguv hakika
@MarthaMsela6 ай бұрын
Mungu azidi kuwabariki kwa kazi nzuri tumebarikiwa
@GeraldMganule6 ай бұрын
Nimebarikiwa sana na huu wimbo
@AnnaMrombo6 ай бұрын
So amaizing ❤ namuona mdogo angu kipenzi dr elieskia...endelea kumtumikia Mungu kaka angu kipenzii toka utotoni Bado unadumu uweponiii Mungu awatunze na azidi kubariki kipaji hikii
@Heritagehymnalsingerstz6 ай бұрын
Barikiwa sana Echoes Of victory kwa wimbo Mzurii.🎉
@emanuelmyeru77576 ай бұрын
So Nice Song.
@KIPYAGUKANONI6 ай бұрын
Dr Elieskia my classmate vet aiseee barikiwaaaaa
@HappynessMbise6 ай бұрын
It's amazing
@joshuahoseah20016 ай бұрын
Keep going Echoes
@tobiasthomas85836 ай бұрын
You never disappoint... Good message ❤❤❤❤Mungu azidi kuwatumia.
@Mapito_Ya_Kale6 ай бұрын
Mbarikiwe sanaa
@JescaTabaro6 ай бұрын
The song is songing🔥🔥🔥, congrats echoes❤❤🤗
@DolvinusGilbert-mp9bf6 ай бұрын
Namuona kijana wang zabron...Naendelea kubarikowa na kwaya ❤❤🎉
@NurudiniTueve6 ай бұрын
Nimefurah sanaaa apoo nimemuonaa jamaaa anguuuu Dr Elieskia from BVM Sua kijanaaaa
@vidytz4246 ай бұрын
Wimbo umetulia nabarikiwa sana
@philipojustine25416 ай бұрын
Bwana awabariki sana❤
@kambona136 ай бұрын
Namuonaa Dr Elieskia hapoo kawakaaaa sanaaaaa Barikiwen sanaaa
@johnree11596 ай бұрын
Always blessed with bass.. ( rejoice in the Lord always and again i will say rejoice) be blessed Echoes of victory❤
@furahamwendesha12226 ай бұрын
Nakubali Sana boss hiyo bass ni yangu😂😅
@YonaziElieskia6 ай бұрын
I do remember the first time to join ECHOES OF VICTORY TZ, it was full of curiousness in my cardiac feelings to sing songs of praisings by mental and spiritual health. All special appreciations to God using Mr Abas and Hosea Kivuyo who fed me some difficult codes of vocals 👏👏👏
@StivinSamwel6 ай бұрын
Huyo cha lii wa base ni 🔥
@luckysichone67056 ай бұрын
Amina❤❤❤❤❤❤
@finestford0076 ай бұрын
Great , vitu napendaga❤
@DorothyMagaso6 ай бұрын
Amen mbarikiwe sana watumishi
@mosessabena176 ай бұрын
Leo tunalala kweli 😂😂 Barikiwen sana echoes of victory
@lizbethsanse51916 ай бұрын
Hongereni sanaa kwa wimbo mtamu🤌🏻, ama kwelii mkono wa Bwana ni Salama pale tumwitapo🙏🏻. Watching from Ph, Mungu awabariki nyote muende mbali!!
@frankmapera676 ай бұрын
Dah mnajua kutunyima raha zaidi Yan sawa na njaa kali halafu mboga chache halafu ni tamu😁😁🙌🙌🙌
@tucasasua6 ай бұрын
Mfike Mbali Echoes Of Victory, Uimbaji wetu Ukawabariki wengi wamjue Mungu Tunaemuimba kwenye Nyimbo zetu (MUNGU wa Mbinguni)
@Doda-z2s6 ай бұрын
Nawapenda sana ❤
@YonaziElieskia6 ай бұрын
Barikiwen Echoes of Victory Tz familia yangu
@veronicawambwe-mz9cf6 ай бұрын
Mbarikiwe kwa ujumbe mzuri
@naomirobert82666 ай бұрын
MUNGU azidi kuwabariki wapendwa katka BWANA
@rebecajulius5956 ай бұрын
Wow wow ❤️🤗❤️
@StivinSamwel6 ай бұрын
My favourite choir 😅❤😂 big up
@ManjiMayunga6 ай бұрын
Well done keep on going
@IsayaMngongo6 ай бұрын
Aminaa
@georgematekele23116 ай бұрын
Nice song
@daudimwita-bk6mg6 ай бұрын
Bwana awatie nguvu, maana kazi yenu si bure.
@amirigogolo60045 ай бұрын
Nafurahi na kufarijika naposikiliza wimbo huuu Mungu awabariki echoes
@robertKE0015 ай бұрын
Much love from Kenya
@HoseaKivuyo-qw9zc6 ай бұрын
Tuendelee kubarikiwa wapendwa
@Ella244206 ай бұрын
Family 🔥🔥🔥😍🤭🙌🙌
@GeorgeLivens6 ай бұрын
Here we go 😁
@amonkibona65456 ай бұрын
De masala nabarikiwa sana na nyie
@furahamwendesha12226 ай бұрын
Asante sana, share sasa 😂
@BarakaMlelo6 ай бұрын
🔥🔥🔥
@SAGANDASIDA5 ай бұрын
Barikiweni sanaaah, Mungu awe nanyi 🙏
@GOODLUCKMNYONE6 ай бұрын
Amina kaka Yonazi mzidi kubarikiwa
@Aquaponicshero6 ай бұрын
Nikatamani niwe wakwanza ku view na kukoment. Hongereni echoes
@MadelineKihwele-nw3vj6 ай бұрын
Tushakutangulia kuview na kucomment 😁
@rebecamaduhu21266 ай бұрын
Amen, nabarikiwa.
@princessommyofficial.24036 ай бұрын
Mkono wa bwana😊
@JuliethMagese6 ай бұрын
So blessed may Almighty God grants you lots of blessings and success in your singing...🎉🎉🎉...To return people in father's home
@JosephatMtunge6 ай бұрын
Solo makin kabisa😁🤏👊
@bernadetakabonge67116 ай бұрын
❤❤kaz nzur mfik mbali jmn
@JustineJohn-ep8ve6 ай бұрын
amen
@frankmapera676 ай бұрын
This is echoes of victory kongore kwenu vijana u deserve
@marthasamwel-ny5ro6 ай бұрын
Nabarikiwa mnoo Mungu awabariki
@AmosMbwambo-up3ks6 ай бұрын
I saw mrinde gilbert nzota #9001❤
@MikaMavanza6 ай бұрын
ukitaka kusikiliza radha vizuri vaa earphone
@germanamboya6 ай бұрын
Mungu awabariki Sana, kazi ni nzuri mno🎉
@Silimbi5556 ай бұрын
Congratulations echoes of victory, May God bless you abundantly