Achana na BIDEN,tazama RAISI VLADMIR PUTIN anavyosafiri KIBABE,hii ndio maana halisi ya....

  Рет қаралды 912,094

BONGO FASTA

BONGO FASTA

2 жыл бұрын

Пікірлер: 267
@user-ui1cj5re9k
@user-ui1cj5re9k 2 ай бұрын
Hongereni sana kutujuza haya
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 2 жыл бұрын
Mimi nalindwa na malaika wengi wenye magari ya Moto,wamepewa mafunzo na Mungu mwenyewe. Mimi ni wathamani sana mbele za MUNGU NINAUJASIRI
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 2 жыл бұрын
Putting analindwa na nan
@rehemafungo5042
@rehemafungo5042 2 жыл бұрын
Amina
@nenenelly1878
@nenenelly1878 2 жыл бұрын
amena
@mwanaishazain7985
@mwanaishazain7985 2 жыл бұрын
Huyo mlinzi wako ni mlinzi wa kila mtu pamoja na huyo Putin. Huyo wetu sote. Hata Muhammad S.A.W alikuwa na ulinzi na aendapo humfata, hutoa habari wanapo kwa usalama wao.
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 жыл бұрын
Una nini? Hahahaa
@mohammednassor3081
@mohammednassor3081 2 жыл бұрын
وما الحياة الدنيا الامتاع قليل
@athumanisudi891
@athumanisudi891 2 жыл бұрын
Juu ya ulnzi wote huu lkn wakati ukifika anaozea kaburin unamkwepa mwanadam lkn mungu akwepeki kwa kweli ss wanadam bado ni dhaifu juu ya yote tunayoyafanya mbele ya mungu Hanna kitu.
@juansifaelmsogoya2069
@juansifaelmsogoya2069 2 жыл бұрын
Hzoo sasa ndo akili za kibongo kufa kupo unapoishi tumia nafasi ya kuishi uache historia uitwe majina ya heshima
@iddikazimoto2247
@iddikazimoto2247 2 жыл бұрын
Daah, eti kila mtu amefka na dege lake kwa mbwembwe, 😂😂😂
@ericksagara1719
@ericksagara1719 2 жыл бұрын
Putin ni kati ya marais wachache niaowapenda. Hasa stail yake ya maisha.
@fatmahchambo3131
@fatmahchambo3131 2 жыл бұрын
Hata mie nampenda huyu baba
@fatemahjing9259
@fatemahjing9259 2 жыл бұрын
Tupo wengi 😘😘
@yussufpandu1852
@yussufpandu1852 2 жыл бұрын
Staili ya kuuwa watu na kuwakandamiza wapinzani wake kama yule jamaa navalni aliyetka kumuuwa kwa sumu akaponea kule ujarumani
@clintonbomani7026
@clintonbomani7026 2 жыл бұрын
Kama mm
@ericksagara1719
@ericksagara1719 2 жыл бұрын
@@yussufpandu1852 bro, hakuna nchi inayoua kama Marekani, wanajivalia ngozi ya kondoo huku wakitumia vyombo vyao vya habari kama siraha. Ghadafhi wa watu walimuua bila sababu na kuisambaratisha Libya. Sadam Huseein naye vile vile. Mbona hamkumbuki USSR walipotaka kuungana una Cuba kijeshi mwa 1962 USA walichokifanya? Na leo wao wanafanya vile kwa Ukraine. Wao wakae kimya?
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 2 ай бұрын
Allah awape maraisi wote utulivu wa nafsi na imani ktk kuiendeleza nchi
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m 2 ай бұрын
Yaani huyu jamaa nampenda huyu jamaa aiseee, Putin. Rafiki yangu wa kwanza. Safi sana kiongozi huyu mzalendo wa kweli wa Russia. Ahsante sana!!
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 жыл бұрын
Ana akili nzuri sana Na anaipenda nchi yake kama JPM
@alikimera1583
@alikimera1583 2 жыл бұрын
You are right
@rehemafungo5042
@rehemafungo5042 2 жыл бұрын
Kabisa.hatatokea km jpm😭
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 2 жыл бұрын
Ah wapi
@rajabukuziganika4823
@rajabukuziganika4823 7 ай бұрын
Nakubali sana
@gabrielnduwayo8277
@gabrielnduwayo8277 2 жыл бұрын
Putine is very important in the world
@thomasyibrahim7092
@thomasyibrahim7092 2 жыл бұрын
Huyu mwamba namkubal sana Tz tumempoteza Jpm
@albadrysadiq8884
@albadrysadiq8884 2 жыл бұрын
We fala kweli kweli unamzungumzia KIMA JPM mbwa wewe
@savaynerjuma3934
@savaynerjuma3934 2 жыл бұрын
Wewe al badry sadiq nikichaa no moja mwanaharamu mkubwa unamzarau vipi kiongozi wako wanchi idiot
@albadrysadiq8884
@albadrysadiq8884 2 жыл бұрын
@@savaynerjuma3934 kiongozi wa nchi wawapi alichaguliwa na nani? Ccm haijawahi kuchaguliwa tokea vyama vingi vianze ama waiba mchakato wa uchaguzi ama kutumia dola kuharibu umbwa wewe
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 2 жыл бұрын
Kidogo vitendo vyake anafanana na JPM
@yussufpandu1852
@yussufpandu1852 2 жыл бұрын
@@albadrysadiq8884 safi sana umezungumza ukweli.. Tokea lini mtu anaepindua demokrasia akawa mzalendo?
@bayishemezealberic7182
@bayishemezealberic7182 2 жыл бұрын
Ahsante Mutangazaji kazi nzuli kabisa huwa napenda kujuwa habali kama hizi. Big up sana bwana Mtangazaji🙏🙏🙏
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Binadamu Sijui Vipi Mbona Mnachukia Sana Raisi Kulindwa Eti Atakufa2 Kwani Kasema Afi Jamani Hata Ao Walinzi Wanapata Ajila Jamani Mtu Yuko Urusi Wewe Tanzania Tena Utakuta Kiongozi Anaweza Kuita Ulaya Duniani Uku Gizani Lakini Wewe Unamchukia Mtu Wa Uko Sasa Kama Wambali Ivo Unamchukia Vipi Alie Karibu Nawe Ndio Maana Waafrika Atupendani Sana Sana
@casmirmakori1092
@casmirmakori1092 2 жыл бұрын
But the bottom line, death is inevitable
@festomilinga7054
@festomilinga7054 2 жыл бұрын
Vizuri Sana bwana Shedy
@matokeojoel4059
@matokeojoel4059 2 жыл бұрын
Hata aweje siku Allah akimuhitaji hata sekunde hatochukua
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 жыл бұрын
Nashangaa ss hy ndo maisha gn una ht uhuru
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
Kabisaa ndugu anajiona mtu mbelezamungu hanalolote huyoo atabebwatu kamahao anao wadhulum
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Iyo yenyewe kila mtu ALLaaa akitaka mda wowote baana ,kama huna swaga kaa kimya
@issaahmad1264
@issaahmad1264 2 жыл бұрын
Allaahu akbar huyo ndiye allaah!!
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 2 жыл бұрын
Hakika unaweza kwa taarifa zako Mungu awenawe
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
Noma sana Putin 😍😍😍
@bertha6322
@bertha6322 2 жыл бұрын
Namkubali san huy mwamba putin
@user-dy5fn6qj1q
@user-dy5fn6qj1q 2 ай бұрын
Mungu awajalie hekima busara uchaji kipawa kuifanya Dunia pahala pazuri pa kuishi hayo yote tumeubwa tuishi tusameheya kama mungu anavyotusamehe na tuheshimiane mungu. Mungu hutembea na mishale mingi alioumbiwa nayo lakini hofu hamwishi aonapo simba au adui wake Duniani tunapita tuu safarini siku mola ( mungu) akisema imetosha hata ukilindwa vipi utaondoka tuuuu hayo yote ni mahangaiko tuuuu
@benleyan
@benleyan 2 жыл бұрын
Kwa ubora na mwonekano, vya Marekani vipo juu sana
@hassanomary1459
@hassanomary1459 Жыл бұрын
Exactly
@user-is9xs1kd9z
@user-is9xs1kd9z 2 ай бұрын
Ubora na mwonekano sio uwezo wa kitu
@user-tb1ko5wm1x
@user-tb1ko5wm1x 17 күн бұрын
America is n old obsolete imperialist...Russia is too high for colonial jokers
@carolmuchiri9921
@carolmuchiri9921 2 жыл бұрын
Ana Safili Kibabe na Mali ya Uwizi na Ufisadi loo🤔😱😡😡😡
@MaldineKumbi
@MaldineKumbi Ай бұрын
You can't use all those things at the same time. We are being hoodwinked
@samweleibucwa7635
@samweleibucwa7635 2 жыл бұрын
Mimi nakubali video zako sana
@AbujadiAbdalaAbujadiAbujad
@AbujadiAbdalaAbujadiAbujad 2 ай бұрын
Nakubali
@msukumamnywamaziwa2785
@msukumamnywamaziwa2785 Жыл бұрын
hongera putin
@loisekamau6285
@loisekamau6285 2 жыл бұрын
Great 👍
@yussufpandu1852
@yussufpandu1852 2 жыл бұрын
Madicteta maisha yote huwa wanapewa ulinzi mkali ..urusi ni nchi ambayo haiongozwi kidemikrasia drmokrasia yao ya kubabaisha .wapinzsni wa serikali mara kwamara wanakamatwa
@masanyiwamullagwanyawawa6244
@masanyiwamullagwanyawawa6244 2 жыл бұрын
Kama ulikuwa hujui Putin alimaliza muda wake, Ila Raia wakamtaka arudi madarakani na akarudi bila shida
@ashaali7154
@ashaali7154 2 жыл бұрын
@@masanyiwamullagwanyawawa6244 Urusi hakuna raia mwenye sauti kila kitu ni Putin sasa huyo anaesema aache uongozi au aendelee atatokea wapi. Jaribu kwenda Urusi kuishi ndio ujue ukweli acha kuongea usiyoyajua.
@yussufpandu1852
@yussufpandu1852 2 жыл бұрын
@@ashaali7154 ndio kabisa kama sisi tanzania bunge la sasa utasema la wananchi? Wanaweza wakapitisha mambo wanayotaka wenyewe halafu ukasema tumeridhia sisi wananchi... Wakati ccm walipora uchaguzi na putin hivyo hivyo amerejeshwa katika uongozi na wale wapambe wake wanapenda udicteta kwa sheria za udicteta
@JerubaalXerxes
@JerubaalXerxes 2 жыл бұрын
Sio coincidence kua umesoma elimu ya magharibi. Wao wanaamini kiongozi akikaa sana madarakani ni dicteta. Wakati wao wanaviongozi ambao serekali zao ni za familia. Ni kwamba wanajua ungozi wa kubadilibadili haunaga tija na unaruhusu manipulation kutoka kwao. Wao uongozi wowote thabiti unao wabana wasiwanyonye watauita mbaya tu. Hilo halijaanza leo na kwa mwafrika kuongea kitu kama hicho basi umeshaharibiwa akili na fikra. Angalia nchi zetu zilivyofanywa na hawa mnaowaabudu na kuona wao wametoboa wakati nchi zao wamejenga kwa vibarua wasiowalipa ndugu zetu. Wanatukopesha fedha walizotuibia. Serekali zao zina rusha ya makarne.
@user-tb1ko5wm1x
@user-tb1ko5wm1x 17 күн бұрын
Peleka akili punguani kea wakiloni...denocrasia Gani Iko America na uingereza...enda shule
@arodymfinanga8159
@arodymfinanga8159 2 жыл бұрын
Good job braza
@meekman1805
@meekman1805 2 жыл бұрын
Huyu jamaa ni noma.
@ebrahimosman5477
@ebrahimosman5477 2 жыл бұрын
👌👍
@footballnews414
@footballnews414 2 жыл бұрын
👍👍👍👌
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 Ай бұрын
I love Putin ❤❤❤
@hilalili9817
@hilalili9817 2 жыл бұрын
Dah ulinzi wote huo mauti yanakuchukua kama uko pekeako unaenda kaburini huna ata mlinzi mmoja
@anoldjoseph2947
@anoldjoseph2947 2 жыл бұрын
Namwelewa Sana prezdar huyu
@rashidkalimbo2451
@rashidkalimbo2451 Жыл бұрын
Mmh haya yote kwani hatakufa huyu Putin jameni?? Yani kulindwa kana kwamba si binadamu wa kawaida na anaenda chooni kukunya kama mimi...
@qasammawa5310
@qasammawa5310 2 жыл бұрын
Wajamaa oyeee,dunia itardi tena mikonon mwetu, tena mda cm mrefu
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Umeonaee
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 2 жыл бұрын
Yote maisha tu.
@user-gc1ez1yv4k
@user-gc1ez1yv4k 2 ай бұрын
Kujiamini siyo suluhisho,. Siku ikifika hata mafua yanakuchukua acha ushamba wa kumshobokea mwanaume mwenzio,eti magufuli.mara putin Dicteta uchwara.
@ahmadiabdul9187
@ahmadiabdul9187 Жыл бұрын
Nchi ya urusi Ni taifa pekee linamlothamini mwafrka,haijawa kuchukua hata kipande kmoja Cha ardh ya mwafrika,mikataba yake na nchi yoyote duniani Ni rafiki kwa manufaa ya nchi husika,cio wamarekan wanatulaghai alafu Kila Kona wanaposto kwa msaada wa watu wamarekani,warusi hawapo hivyo.
@pastorteddywaziri5754
@pastorteddywaziri5754 2 жыл бұрын
Ninachompendea putin ni ujasiri wake aliounyesha kwenye vita hii ya nchi yake na ukraine
@georgeopiyoochieng7523
@georgeopiyoochieng7523 2 жыл бұрын
Mungu atamchukua tu
@jamal-dintz6465
@jamal-dintz6465 2 жыл бұрын
Nimegundua kitu kwa raisi putin ni kwamba hana body gard ambae hua yupo nyuma kama maraisi wetu.
@user-ot2io4cy6w
@user-ot2io4cy6w 2 жыл бұрын
Yeye mwenyewe pale alipo ni Bodyguard 😀😀😀
@jamal-dintz6465
@jamal-dintz6465 2 жыл бұрын
Kwann ukasema hivyo
@user-ot2io4cy6w
@user-ot2io4cy6w 2 жыл бұрын
@@jamal-dintz6465 Huyo alishawahi kuwa JASUSI ndio maana hana haja na Bodyguard.
@jamal-dintz6465
@jamal-dintz6465 2 жыл бұрын
@@user-ot2io4cy6w sawa
@fatmahchambo3131
@fatmahchambo3131 2 жыл бұрын
@@user-ot2io4cy6w 🤣🤣🤣
@SEMANKA97
@SEMANKA97 2 жыл бұрын
I like him
@fatmahchambo3131
@fatmahchambo3131 2 жыл бұрын
Me too
@cleophaxgeremy2148
@cleophaxgeremy2148 5 ай бұрын
,🤣😂😅thanks for the video,but Huyu mjamaa bado ni mtoto kwa Mmarekani
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh 2 ай бұрын
Pole sn
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
Hujielewi NATO wenyewe wanamhara
@benardhargreaves9853
@benardhargreaves9853 Ай бұрын
The LIONKING
@josephmuchangi3674
@josephmuchangi3674 Ай бұрын
Akuna lingine ila kusifia adui Putin.
@elifarajasamsonsengi2195
@elifarajasamsonsengi2195 Жыл бұрын
Vichwa vya habari haviendani na ya ndani
@johnlihanda4319
@johnlihanda4319 2 жыл бұрын
Goon history
@jayblack4313
@jayblack4313 2 жыл бұрын
Kidume hicho mbona America haindi kumpiga washazoeya kutesa arabs and Africans naaendi Russia basi kudadeki
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉❤
@ezeckielsyantata1295
@ezeckielsyantata1295 2 жыл бұрын
Vladimir Putin my beloved president in the world
@TaremwaSimon-eo4un
@TaremwaSimon-eo4un Ай бұрын
Wow
@kavoomshana7289
@kavoomshana7289 2 жыл бұрын
Izo zote ni mbwembwe za kidunia tu,pepon ndo Kuna raha za kudumuuuuu
@jonlocha1957
@jonlocha1957 2 жыл бұрын
Umefika!?
@user-gc1ez1yv4k
@user-gc1ez1yv4k 2 ай бұрын
Kweli,Biden ni mstaarabu, analiwakilisua vizuri taifa.Mtu yeyote anayetumia mamlaka aliyopewa kudhulum roho ya mtu mnyonge hafai,msitutajie watu hao bora hata wengine wametangulia.
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
Joe Biden ni mstaarabu unadanganywa na nani ndiye anaye ingiza mauaji yaliyopo duniani kwa sasa ananuka damu za watu
@daudichoghoghwe4671
@daudichoghoghwe4671 2 жыл бұрын
Namkubali saaaana jembehuyu kwa putin watajua hawajui
@danieldavid4733
@danieldavid4733 2 жыл бұрын
Siku moja tutamzikaaa aiseee maisha ni kujilisha upepo
@m-tatu1050
@m-tatu1050 2 жыл бұрын
inawezekana yeye akakuzika wew kwanza, unaweza ukaanza kufa wewe kabla yake usiseme tutamzika sema atazikwa.
@kitukurukarashidngure8589
@kitukurukarashidngure8589 2 жыл бұрын
My ? Is awez kufa akiwa apo ndani bila kushambuliwa?
@xhampoza_25
@xhampoza_25 2 жыл бұрын
Mimi naitwa justin shedi sasa twende kazi
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Jembe letu baana linai nyoosha yukrein ,muraaa
@mutabebwa1713
@mutabebwa1713 2 жыл бұрын
Je,watu wake huko Urusi wana hali gani kimaisha? Ubabe wa maana unatakiwa ushuke hadi chini kwa Warusi wa kawaida.
@jumakibwana1810
@jumakibwana1810 Жыл бұрын
Warusi wanampenda rais wao
@ashaali7154
@ashaali7154 2 жыл бұрын
Hata siku ya kufa pia alindwe basi asife kama ana uwezo huo.
@farajajoseph2971
@farajajoseph2971 2 жыл бұрын
Sasa twende kazi
@margrethjonesmshana8555
@margrethjonesmshana8555 Жыл бұрын
💯💯💯💯💯
@abdallahlugendo3221
@abdallahlugendo3221 Жыл бұрын
Kweli ni ndege
@mandlasakhile9109
@mandlasakhile9109 2 жыл бұрын
Who came here after the Russia invasion of Ukraine
@teresiamaina9573
@teresiamaina9573 2 жыл бұрын
Here
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 2 жыл бұрын
Me too
@hisilahshabani-yu2di
@hisilahshabani-yu2di Жыл бұрын
Sawa
@josephmuchangi3674
@josephmuchangi3674 Жыл бұрын
Aiii mbona mnaongelelea ya Putin tu kama yeye si binadamu?
@revocatusedward5739
@revocatusedward5739 2 жыл бұрын
sasa viongozi wa tz hayo ma trilion wanayoiba huwa wanapeleka wapi
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
Wanakula na family zao 😢😢😢😢😢
@walimwengu_creation6058
@walimwengu_creation6058 2 жыл бұрын
Daaaaah kumbe nae mtam
@dannykyungay6527
@dannykyungay6527 2 жыл бұрын
Na bado atakufa tu...dah
@zarihassan4754
@zarihassan4754 2 жыл бұрын
Ana mwanamuke
@anthonymunywoki9468
@anthonymunywoki9468 2 жыл бұрын
hapana
@zarihassan4754
@zarihassan4754 2 жыл бұрын
@@anthonymunywoki9468 for real 😳😳😳
@babaluxe8626
@babaluxe8626 2 жыл бұрын
Hakuna rais asie mke dunia nzima labda rais wa, wcb ndo rais pekee ambae Hana mke.
@anthonymunywoki9468
@anthonymunywoki9468 2 жыл бұрын
@@zarihassan4754 Laizma Kuna space ya side chick 😛
@zarihassan4754
@zarihassan4754 2 жыл бұрын
@@anthonymunywoki9468 haha 😂
@yujinxhing3766
@yujinxhing3766 2 жыл бұрын
Watu wanaishi bana
@kelvinkaganjo2222
@kelvinkaganjo2222 2 жыл бұрын
Make a story of this cannibal *Armin Meiwes*
@kasimuibrahimu2315
@kasimuibrahimu2315 2 жыл бұрын
Duuh jasus kweli
@salumsalum5712
@salumsalum5712 2 жыл бұрын
Mimi n Albert Einstein Sasa twende kazi
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@kelvinerick6726
@kelvinerick6726 2 жыл бұрын
Wa kwanza leo ku comment
@nkonoshetela2191
@nkonoshetela2191 2 жыл бұрын
Arikiba
@adornessentials52
@adornessentials52 2 жыл бұрын
Vanity
@jamesmwangi6084
@jamesmwangi6084 2 жыл бұрын
you can not ask would nothing My friend stay like Putin the Man now what's saying about the world
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 2 жыл бұрын
Nampendaga anavyotembea
@krizofrancisco1287
@krizofrancisco1287 2 жыл бұрын
Nipende na mm natembeaga hivohivo
@mbngoikram7668
@mbngoikram7668 2 жыл бұрын
🤔
@zuu__95
@zuu__95 2 жыл бұрын
And of the day vyote ataviacha.
@muichorekishagani1751
@muichorekishagani1751 2 жыл бұрын
kampuni gani iliyoetengeneza ndege ya rais wa urusi?
@elihakivianga191
@elihakivianga191 2 жыл бұрын
Yupo vizuri
@waltergodwin2529
@waltergodwin2529 2 жыл бұрын
Uyu mwamba ni mbabe sio poa.
@mayengaharun4265
@mayengaharun4265 Жыл бұрын
Yug
@rukialulosman3712
@rukialulosman3712 2 жыл бұрын
Ubabe na mwisho unarudi kwa mchanga
@micamathew2595
@micamathew2595 2 жыл бұрын
Unatakiwa ujiamini!!! Kama Hayati Magufuli. Kama Putin.
@salimsaid7200
@salimsaid7200 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@moseswilliam2063
@moseswilliam2063 2 жыл бұрын
Sa uyu Dem alopewa nchi na wauaji. Wa dingi,sioni hata % anangapi za kujilinda,ukilinganisha na dume Hilo.
@charleskamau5718
@charleskamau5718 2 жыл бұрын
You can't mention put in and magufuli in the same sentence
@edwinmandela5658
@edwinmandela5658 2 жыл бұрын
@@charleskamau5718 true said
@justaenglibert3976
@justaenglibert3976 2 жыл бұрын
@@charleskamau5718 Magufuli was also best
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 2 жыл бұрын
Mari za inchiii
@omarmhmammed216
@omarmhmammed216 2 жыл бұрын
Dah watu wanakula maisha yaan ...
@abelsabibi8836
@abelsabibi8836 2 жыл бұрын
Yote ubatili mtupu na kujilisha upepo,muda wowote unaweza kunyamaza kimya
@m-tatu1050
@m-tatu1050 2 жыл бұрын
Ila put muda mwingine anazingua
@christophertarimo5047
@christophertarimo5047 2 жыл бұрын
Putin like kagame paul
@roymwiti7520
@roymwiti7520 2 жыл бұрын
Washenzi waop
@mohammedgulamali8849
@mohammedgulamali8849 2 жыл бұрын
Russia piga hawo ukarein.
@jairusogutu1664
@jairusogutu1664 2 жыл бұрын
I don't like what he's doing to ukrain
@frankdanford8245
@frankdanford8245 2 жыл бұрын
Chopa ya rais aiwezi kuwa na bei cheap namna hiyo yaani hiyo helkopta ata diamond anaweza kuinunua kweli? 2$ million aiwezi kuwa kweli.
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 2 жыл бұрын
Hizo ni dollar na sio shiling mbona Ndugu Kma kilaza ivyo
@andrewjames6561
@andrewjames6561 2 жыл бұрын
Jamani huo u babe ni WA heli👽🔥
@Bratha_Matu
@Bratha_Matu 2 жыл бұрын
Aaaaaa
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 164 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 29 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 40 МЛН
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 9 МЛН
POV Anger is popular, but fear.. | Inside Out 2
0:36
CAT-N-TOON
Рет қаралды 14 МЛН