AISHA: Mlinzi HATARI aliyekufa KISHUJAA, alizuia RISASI kwa mwili wake zisimpige MUAMMAR GADDAFI

  Рет қаралды 743,028

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 270
@fatumahamadi1379
@fatumahamadi1379 Жыл бұрын
ALLAH awrehemu wote Waliotangulia mbele y Haki Kw kumkinga kioz wao Daima tutawakumbuka Shukran kw Story nzr yenye mafunzo n kusisimua
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 Жыл бұрын
Iki Kiumbe Mwanamke Kikiamua Kujitolea Maisha Yake Kwa Ajili Yako Yni Kinajitolea Kweli Kwel Mpka Shetan Anakosa Njia Ya kuwachanisha Uyoo Ndio Mwanamke. Na Akiamua Kukuacha ili Dunia Ikufunze My Friend Dunia Itakufunza Kweli Kwel MUNGU Awalipe Wanawake Yalio Mema Kesho Mbinguni 🤲🤲
@suleimanrashid3918
@suleimanrashid3918 Жыл бұрын
Ni kweli maana Dr mwaka anakiona cha moto saiv 😂😂😂 acha Dr mwaka manara sasa amekua wazim fresh. 😂 Achana na manara harmonizer jee anatamani aimbe nyimbo za dini. 🤣 Sijui alikiba nae anamkumbukaje Aisha 😂😂😂😂 ila wanawake shikamoni mkiamua lenu ata shetani huchanganyikiwa 😂😂
@omarychipeta3148
@omarychipeta3148 Жыл бұрын
hahahaa aipingwi mm mwenyewe nimeponea milembe shikamoo maravi davi
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 Жыл бұрын
@@suleimanrashid3918 Umejua Nikuchekesha Yni Nimecheka Kma Mjinga vile 🤣🤣
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 Жыл бұрын
@@omarychipeta3148 Duuh 🙄🙄pole Mzee mwezangu
@mwajeimsangi2125
@mwajeimsangi2125 Жыл бұрын
@@suleimanrashid3918 dunia inawafunza kwa coment
@MbomaLungwa-fy3oc
@MbomaLungwa-fy3oc Жыл бұрын
Mungu amrehem sana Aisha Kwa kazi yake nzuri
@Julius-jt5sy
@Julius-jt5sy Жыл бұрын
There had hardly been and neither shall there be a Great leader like Muammar Gaddafi.Very patriotic not only to his country Libia but to the whole Great continent of Africa.He was and shall ever be the Best president.Carnal Muammar Gaddafi the Great,a true Hero Libia and Africa.
@muhammedsaid3659
@muhammedsaid3659 Жыл бұрын
Good and Hero the Great president iin Africa❤❤❤❤the peoples of Libya they lost Diamond,Gold and don't forgotten Muhammad Gaddafi the Great power in Africa😂😂😂😂We are crying Avery day 😂😂😂we lost good and nice leader ❤❤❤
@monicacyprian9137
@monicacyprian9137 Жыл бұрын
Ilivyokuja tu notification nikaplay napenda sana hizi makala jmani😍
@billian1914
@billian1914 Жыл бұрын
Asante kwa hili historia Njema na Ukweli isalia Mia moja kwangu na Wengine.
@FatnaAlly-hp7kw
@FatnaAlly-hp7kw Жыл бұрын
Allah yaaa Allah tujaalie tuwe in wenye kutenda haki na kufuata nyendo za viongozi wema yarabi
@micamathew2595
@micamathew2595 Жыл бұрын
Aisha hakika umenitoa chozi kweli!! Mungu akubariki huko ulipo!! Amen.
@micamathew2595
@micamathew2595 Жыл бұрын
@Jacline David acha tu abarikiwe hukohuko!!
@Lamar-l1f
@Lamar-l1f Жыл бұрын
A true leader after,Nelson Mandela 🇿🇦 n Raila Amollo Odinga 🇰🇪.this r the true leaders who'r fought for 1 beautiful African continent.we have just been left with 1 icon in Africa Raila Amollo Odinga 🇰🇪.let God rest the 2 fallen soldiers rest in enternal place n may the Almighty Lord protect Raila Amollo Odinga 🇰🇪 n our beautiful African continent.MAD ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ MY BEAUTIFUL AFRICAN CONTINENT
@emmanuelmichael7130
@emmanuelmichael7130 Жыл бұрын
What did Mandela do?!
@RukiaHassan-w4u
@RukiaHassan-w4u 7 ай бұрын
Which raila is a true leader. A chaos leader
@jeffojambo160
@jeffojambo160 Жыл бұрын
Libya 🇱🇾. And Africa at large will never forget the great leader 👑
@rodriguesvictorvalerio6886
@rodriguesvictorvalerio6886 Жыл бұрын
Nimeipenda sana simulizi. Hongera msimulizi.
@bienvenunono2364
@bienvenunono2364 Жыл бұрын
Kazi nzuri saana Brother Fred Kundala a.k.a Sky. Nimependa vile ulivyo isimuliya na sauti yako nzuri, Mungu akupe kila hitaji la moyo wako na akutanguliye katika harakati zako zote
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Жыл бұрын
Ni Fred Bundala dear not Kundala
@Trys6254
@Trys6254 Жыл бұрын
hakika bro sky ni next level trust me its just a matter of time
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 Жыл бұрын
@@vanessalaizer4363 😂😂
@abdurahkhomeyn6999
@abdurahkhomeyn6999 Жыл бұрын
Amin amin huyu ni mwamba wa hal ya juu namuita ghost voyce kuanzia leo
@stonetown578
@stonetown578 Жыл бұрын
I ❤ Gaddafi, Allah amrahamu huko alipo.
@sandrauwase9521
@sandrauwase9521 Жыл бұрын
Maskini mungu amrehemuuu yupo sehemu nzuri Aisha R.i.p. 😢😢😢😢
@SafariGurty
@SafariGurty 7 ай бұрын
Apumzike kwa amani
@ahmedhamisi-jc2hs
@ahmedhamisi-jc2hs Жыл бұрын
Sasa watu wa Libya wanajuta kwani walikua na maisha mazuri sana
@rahmahersi6584
@rahmahersi6584 Жыл бұрын
Hongera!!!! Matangazo Yako very clear...
@yarmfayce167
@yarmfayce167 3 ай бұрын
MAKALA "360" Kazi nzuri sana kwenu sns. Lakini ongezeni bidii katika kujikita kwenye uchambuzi wa kina na utafiti wa kina na kuchimba kiundani taarifa mbali mbali kabla mziandae katika makala zenu.
@omanmct135
@omanmct135 Жыл бұрын
Aaalllah anrehemu kaghafi yende peponi amin
@ahmedabdallah3297
@ahmedabdallah3297 Жыл бұрын
He was a great leader colonel muamar Gaddafi. ALLAHUMA FIRLAHU WARHAMHU WASKINOO FIL JANAAT. AMEEN YARABAL ALAMEEN.
@SharifuKhamis-r5v
@SharifuKhamis-r5v 5 ай бұрын
Allah litie nuru kaburi la muammar gaddafi na yaumul kiyama umwinguze peponi amini i
@rwenenahomechannel1634
@rwenenahomechannel1634 Жыл бұрын
Wanadamu hawakosi la kusema ujinga unapowazidi... Pumzika kwa Amani mwamba Gadafi.
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 Жыл бұрын
Stori nzuri mpaka unatamani isiishe. Asante Mr Bundala binafsi sikuwa najua habari ya bi Aisha.kumbe ndio maana Mama yangu Jasiri watu wenye majina ya Aisha wana msimamo mgumu na hawana uoga kabisa.
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Жыл бұрын
Mmh
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 Жыл бұрын
@@vanessalaizer4363 jamani VL umeguna tu bila kusema kitu 😂
@mohamedimachuru9465
@mohamedimachuru9465 7 ай бұрын
Kweli dada yangu
@yarmfayce167
@yarmfayce167 3 ай бұрын
Msipendelee sana kubezi/kutegemea sana kuzinukuu taarifa kutoka katika mashirika au vyombo maarufu vya habari vya nchi za magharibi. Si taarifa zote huwa ni sahihi kutoka kwao. Kuweni independent kiuchunguzi wa kina wa taarifa zozote, makala au habari. Tunahitaji kuiamini zaidi sns.
@dieudonneniyotwizeye5955
@dieudonneniyotwizeye5955 Жыл бұрын
Tunakukubali sana Ndugu Sky...ujengewe sanamu 🙏
@jumasaid106
@jumasaid106 8 ай бұрын
Mungu awarehem wote aisha na kadafi shujaa wa Africa😢😢😢
@danielsanga8730
@danielsanga8730 Жыл бұрын
Duuuuu mm unanivitia Sana kwenye merodi yako brother nakupa ,,✊✊
@hamisimkulupalile9461
@hamisimkulupalile9461 Жыл бұрын
Ni kauli ya wapuuzi pekee,huwezi kumbaka (kumtendea ubaya) mtu ambae ndio mlinzi wa usalama wako,haiingii akilini,na mkumbuke ghadafi ni kanali wa jeshi,so anajua ishu zote za kiusalama so asingeweza kufanya huo upuuzi
@juliusmaluki7558
@juliusmaluki7558 Жыл бұрын
Sky you're True Definition of Top News Comendetor!🔥🔥💪💪
@alouisejohn7752
@alouisejohn7752 Жыл бұрын
Big up Africans power ex president we will miss you
@worldwidenewssportspolitic890
@worldwidenewssportspolitic890 Жыл бұрын
Wow… what a beautiful narrative! You’re a GOAT SNS 😍😍😍😍🔥🙌🏼
@salafimiraji7029
@salafimiraji7029 Жыл бұрын
Ò00p0
@zesootv6726
@zesootv6726 Жыл бұрын
Shujaa wetu kalala hila bado inaishi milele gaddafi the great
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 Жыл бұрын
Asante sana kaka
@FatnaAlly-hp7kw
@FatnaAlly-hp7kw Жыл бұрын
Allah Allahu Akbar subhanaallah ama kweli mwenyezimungu ni mjuzi wa ya kini
@armandoleonardo6966
@armandoleonardo6966 Жыл бұрын
Paz a sua alma Muamad Gadafi
@peacemuzaliwa2563
@peacemuzaliwa2563 Жыл бұрын
Bravo✌️ Mwamba Sky, unatupea nondo za maana sana we really appreciate
@J4UPro
@J4UPro Жыл бұрын
R.I.P Aisha.
@silverman6930
@silverman6930 Жыл бұрын
Sky the master your a great translator you don’t miss even a sing word … 🇬🇧🇬🇧🇬🇧💯💯💯💯🙏
@YakubAli-h9v
@YakubAli-h9v 2 ай бұрын
Allah awarehemu
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Жыл бұрын
Libia walipewa maisha mazuli ikafikia wakakufuru sasa imekula kwao wamuombe M/MUNGU awafutie dhambi ya uchonganishi
@libetztanzania-kiswahilina2845
@libetztanzania-kiswahilina2845 Жыл бұрын
HAPATAWALIKI SASA LIBYA UGAID KILA KONA
@mackysuphian
@mackysuphian Жыл бұрын
Napenda san hiki kipindi 🔥🔥🔥
@vinenswilliam3534
@vinenswilliam3534 Жыл бұрын
Imeanza vizuri... imeishia vibaya
@jumaamsuya5
@jumaamsuya5 Жыл бұрын
Nimeipenda sanaa hii sttor
@omarkalita5340
@omarkalita5340 Жыл бұрын
Mungu amurehemu
@harrisonkanyua7115
@harrisonkanyua7115 11 ай бұрын
Nice baritone voice from the narrator . Asante
@khadijambuya794
@khadijambuya794 Жыл бұрын
Mungu amrehemu in shaallah
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Жыл бұрын
Alijua jinsi wanawake walivo hatari ndomana akaweka hao.
@huseinomary808
@huseinomary808 3 ай бұрын
Allah awarehemu marehemu wetu Aamina
@KINGOFDESERT-x5w
@KINGOFDESERT-x5w 10 күн бұрын
Unleased president from Africa..was a great leader.
@sadickcheyo2324
@sadickcheyo2324 9 ай бұрын
Mungu mwema kweli alifanya mema kweli
@AliySalum-k4n
@AliySalum-k4n 2 ай бұрын
Nakubali kaka uko vizr san
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
RIP Aisha❤
@lavatz
@lavatz Жыл бұрын
Allah amsameh makosa yak ijalie mt wa pepon
@kabwikaibrahim-up3vg
@kabwikaibrahim-up3vg Жыл бұрын
Let her rest in peace!!
@silimasilima65
@silimasilima65 Жыл бұрын
piga kaz kaka mungu akupe upeo zaid kufika mbali
@amanifilsdemfumukimbangu6807
@amanifilsdemfumukimbangu6807 Жыл бұрын
Namu kubali gadhafi rest in peace Muzalendo
@Majdescobar
@Majdescobar Жыл бұрын
Good job brother mnajuaa keep going
@MorickyoneFeneboy
@MorickyoneFeneboy 9 ай бұрын
Respect aisha❤
@husseinkachoro4248
@husseinkachoro4248 14 күн бұрын
My Allah grant him jannatul firdous
@nasirkhator6796
@nasirkhator6796 Жыл бұрын
May Allah rest your beloved iul in eternal peace legend
@juvenaryburchard719
@juvenaryburchard719 Жыл бұрын
Alikuwa kiongozi mzuri nchini kwake, walio muua walimwonea na labda waliogopa falsafa zake za kuiunganisha Usa ya Africa na one currency
@Khyr2020
@Khyr2020 Жыл бұрын
Hakikaa
@mullahmasudy2622
@mullahmasudy2622 Жыл бұрын
Sky Ni Mmoja tu🙌🙌
@abdallakhamis8708
@abdallakhamis8708 Жыл бұрын
Ebuniambiwewe wakatiwa uhaiwaGaddaafi kunayeyote alienitokeza nakudai katendewa visivyo na Gaddaafiff Gaddaafiaafii auhizi nakutaka kuhhalalishha kilewalichomtenndeatuu kuhhalalishha dhulmaaookama Gaddaafi alikuwa mm'bamm'bayaAllaahndieajuwaaye nakama alikuwa mwema pia Allaah ndieajuwayepia
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Umeandika nn
@HabibuHoseni-sv8hd
@HabibuHoseni-sv8hd 13 күн бұрын
😅😅😅umeandk kity gn​@@christinewomanoffaith5479
@JohnNyabuto-nh2ys
@JohnNyabuto-nh2ys 6 ай бұрын
Africal will never forget muammar gadafi
@tatukigua5456
@tatukigua5456 Жыл бұрын
Mungu awapunguzie adabu ya kabr
@munam7104
@munam7104 Жыл бұрын
Ameen 🙏 yarabby
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Hakika ulinzi ni wa Mungu mkui Jehova sio mwanadamu Wanadamu wana ukomo
@ngagishow2614
@ngagishow2614 Жыл бұрын
Aisha kbsa anafahamu kazi yake kbsa
@festogeorgekwakala4146
@festogeorgekwakala4146 Жыл бұрын
Daah mungu amurehemu
@hassanlikusi-mw7vy
@hassanlikusi-mw7vy Жыл бұрын
It is an educative one
@sabihaassed3902
@sabihaassed3902 8 ай бұрын
Great gaddaf
@BoraPoyo
@BoraPoyo Жыл бұрын
Amin
@user-yz8hg6qh5c
@user-yz8hg6qh5c Жыл бұрын
Haendi str8 to the point!
@hajimgwami5224
@hajimgwami5224 Жыл бұрын
STORY NI NZURI SANA SEMA MPANGILIO WA PICHA UNASINZISHA WAFATILIAJI... YAAN HAZIZUNGUMZI STORY INAVYO SEMA, ZINAKAA MUDA MREFU NA HAZIMUONYESHI MUHISIKA KWA WAKATI...
@ahmedhamisi-jc2hs
@ahmedhamisi-jc2hs Жыл бұрын
Mwenyezi mungu amrehemu
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Жыл бұрын
Daaa Ghadafi kitu kingine nimegundua alikuwa anava vizuri sana mwamba huyu Alafu Nguo Za kiafrika zaidi kuliko kanzu na suti.
@claudia1500
@claudia1500 Жыл бұрын
Rest in peace Aisha,
@marthageorge5043
@marthageorge5043 Жыл бұрын
🔥🔥🔥❤❤
@ahmedamar1329
@ahmedamar1329 Жыл бұрын
I like soldier❤
@mwanashoogobo1785
@mwanashoogobo1785 Жыл бұрын
Second one sns ❤️🇰🇪
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Well done mr sky👏👏👏
@benmapunda
@benmapunda 9 ай бұрын
allah awarehem wote
@tatujuma8781
@tatujuma8781 Жыл бұрын
😭😭😭 innalillah.....
@ericmariemushisi
@ericmariemushisi Жыл бұрын
God bless
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 2 ай бұрын
🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️
@stevenmunguti2954
@stevenmunguti2954 Жыл бұрын
Interesting
@davidsika5292
@davidsika5292 Жыл бұрын
Nchi za kiislamu zinapenda kupigana wao kwao sijui kwa nini😢😢😢
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 Жыл бұрын
Kwasababu ya wamashoga wakristo kuwagombanisha, ukreni na Russia wao tena niwaislam utajua badae kwamba shetani mkubwa niwakristo,kamba unabisha ushoga uko upande upi?
@davidsika5292
@davidsika5292 Жыл бұрын
@@amosiabdulallh7965 ukikuta mtu anapenda kuzungumzia ushoga 1. Hana point ila amejaa chuki za kidini 2. Hudhani ya kwamba ushoga ndo dhambi mbaya peke yake inayostaili kifo, huku akisahau kuna Unzinzi, uasherati, ulevi, ufisadi, kubaka watoto wadogo, kuoa wake wengi +michepuko, 3. Unaupinga huo ushoga alafu anawaingilia wanawake kinyume na maumbile sasa Unaupinga ushoga akiwa shoga tayari
@MaryamIssa-y7v
@MaryamIssa-y7v 9 ай бұрын
Ni Hila za mayahudi ndugu yangu km walivyomuua nabii Zacharia na kutaka kumuua Issa bin Mariam(yesu)na mitume wengine na maswahaba hawawaachi kuwafanyia Hila zao waislam kuwafarakanisha wao kwa wao kwa sababu ya akili Yao kubwa ila iliyo mkataba Mungu na kuyabadisha maandiko ya taurati kwa matakwa Yao.
@MaryamIssa-y7v
@MaryamIssa-y7v 9 ай бұрын
Hutaweza kuyafaham haya km utauweka udini mbele na kusoma elimu za vitabu
@artemisneoy9596
@artemisneoy9596 Жыл бұрын
Mwanamke ni kiumbe hatari sana akiamua kulinda, pia ni kiumbe chema sana akiamua kupenda
@Juma_sky
@Juma_sky Жыл бұрын
Nomaaa samaaa
@RashidMrisho-u7d
@RashidMrisho-u7d Жыл бұрын
COLONEL MU'AMMAR GHADAFI, Laiti angelikuwa mpaka mda huu wa brand za ushoga nahisi mwamba angewanyonga mashoga wote wa africaaaa!!
@gefreyazeki5158
@gefreyazeki5158 Жыл бұрын
Malekani sjawai kuipenda
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 11 күн бұрын
Hata yeye hakupendi
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 11 күн бұрын
America haina haja na mbwa koko
@subirajohn728
@subirajohn728 Жыл бұрын
R.i.p Aisha
@totoaisha-wk8tv
@totoaisha-wk8tv Жыл бұрын
Aisha I miss you
@InnocentSeaSnake-lt4zp
@InnocentSeaSnake-lt4zp 10 ай бұрын
Afrika stop politiking lets come together and build our continent, peace
@assanicikurukeke5236
@assanicikurukeke5236 Жыл бұрын
Kweliile kabisa
@johanjoha5262
@johanjoha5262 Жыл бұрын
Bundala nakupenda
@abelbest4984
@abelbest4984 Жыл бұрын
Kampende babako
@naihelizabeth5466
@naihelizabeth5466 Жыл бұрын
sitori nzuri sana
@yarmfayce167
@yarmfayce167 3 ай бұрын
(1977) Wanaokumbuka Vita ya Kagera Tz na hitoria iliyojazwa chumvi dhidi ya Iddy Amini wa Uganda, bila shaka na juu ya Muammari Gaddafi wa Libya, Sasa mtakuwa mmeelewa vyema.
@SusaneBakari-vw9bu
@SusaneBakari-vw9bu 2 ай бұрын
Hapo kwenye kunyanyasa wanawake si kweli wameamua kumchafuababa wa watu, mengine muwe mnayachunguza kabla ya kutuletea huku
@ayoub1906
@ayoub1906 Жыл бұрын
Mi wakwanz nipen like zang
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 Жыл бұрын
Wanajaribu kumchafua kama walivyofanya Gaddafi alikuwa ni kiongozi na nusu saivi wanauwana tu let them reap what they sowed
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
😳🙄bikra, hujoalewa , mzuri??!!! Mmmh something is not okay hear !!????? Kwann bikra,wasiolewe? Viongozi wengi wana mambo ya giza ,wanaingia maagano ili kukaa kwenye nafasi zao
MFAHAMU Rais GADDAFI_Ananias Edgar &  Denis Mpagaze
27:25
Maisha Na Jamii Tv
Рет қаралды 242 М.