Achana na kamati ya roho mbaya, oooh usiende USA eti maisha magumu. Acha kusikiliza watu wa hivi

  Рет қаралды 8,044

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

Күн бұрын

Пікірлер: 116
@ELIEZERNDARO
@ELIEZERNDARO Жыл бұрын
Respect sana kaka Ernest Makulilo naamini One day yes Nitafika USA achana na Wasio na Malengo ya kufika huko!
@emmaculatewambua-ou9nu
@emmaculatewambua-ou9nu Жыл бұрын
Achana na kamati ya roho chafu kaka nakukubali sana coz hauna roho chafu respect brother from Kenya
@hamissiali4121
@hamissiali4121 Жыл бұрын
My brother uko vizuri sana nakukubali we ni mwalimu mzuri sana
@rosiganza
@rosiganza Жыл бұрын
This is why I only listen to the positive videos, yes its hard everywhere but learning from those who have made it. Asante kwa kuongea kwa uwazi 👏👏
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim Жыл бұрын
Wallahi Mheshimiwa Ernest Makulilo habari yako kwa kweli uyo mwenye yuko anasema hajui
@mohamedithabiti4476
@mohamedithabiti4476 Жыл бұрын
Watu wanaroho mbaya sanaa bongo ...u.s.a tunapambana mpaka tuingie huku na nimeomba green lotery this year I'm just waiting majibu yatoke
@vedastusmdapo3837
@vedastusmdapo3837 Жыл бұрын
Asante kwa kutoatazamo chanya,pia pole naona usoni haupo Kama nilivokuzoea kukuona
@GodfreyMdemu-uw2lv
@GodfreyMdemu-uw2lv Жыл бұрын
Safi maerezo mazuri sana kaka Ebm
@PatriciaNabende
@PatriciaNabende Жыл бұрын
I love how EBM is passionate about America and encouraging people to pursue the American dream. Keep doing what you do because you've brought many of us to light. Because of you my American dream started this year and am very optimistic nitafika America pamoja na familia yangu
@tatually1366
@tatually1366 Жыл бұрын
Kaka pole Sana kwa shida watu sio jielewa maisha nipo pote na mamuzi mtu sikuchoahie kwa hakili pole Kama
@rahelpaul3079
@rahelpaul3079 Жыл бұрын
Waafrica wana low capacity of thinking,pia hawapendi watu wengine wafanikiwe.
@celinamachundoInspires
@celinamachundoInspires Жыл бұрын
True ❤
@MagrethCharles-ne2ts
@MagrethCharles-ne2ts Жыл бұрын
Well said, chuki mbaya mnoo wanachukianaa ughaibuni too much jelous for each other !
@brunonestory9881
@brunonestory9881 8 ай бұрын
Hongera sana mzee majibu yamekamilika ila Nina swali je nikiwango gani cha Elimu kinafaa kwa mtu kutembelea USA
@IbrahimMwadini-hz7ib
@IbrahimMwadini-hz7ib Жыл бұрын
Ni kweli kk edm hasa Tanzania wamezoweya kukatisha watu tamaaa
@KisatambweAblaham
@KisatambweAblaham Жыл бұрын
Uyo nzo professor na mukubali from burundi
@Ndikumanajafari
@Ndikumanajafari 7 ай бұрын
Awo ni watowo wa mama
@tuyisengegad4283
@tuyisengegad4283 Жыл бұрын
How are you doing brother you speak true ukweli
@WilsonJohn-or6rl
@WilsonJohn-or6rl Жыл бұрын
Baba mbona povu sana mkuu
@charlesmakelele4268
@charlesmakelele4268 29 күн бұрын
Mm natamani sn kuishi marekani.
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 Жыл бұрын
Kweli pro
@tatually1366
@tatually1366 Жыл бұрын
Nikweli 🎉
@Olethrowback
@Olethrowback Жыл бұрын
Kwl kabisa wabongo atupendani
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Shukran
@AltonFelix-vy5be
@AltonFelix-vy5be 7 ай бұрын
Brò mm sijali maisha magumu natka kuuliza vp kuja marekan mpka ujue kingereza au hyo tu
@fabricemusore670
@fabricemusore670 Жыл бұрын
Ndio kaka nikupambana maisha uyo jamaa ayiko sawa,from Burundi 🇧🇮 niko nafatilliya video zako.
@salvatorybakilana2378
@salvatorybakilana2378 Жыл бұрын
Kuna rafiki yangu mmoja nilimwambia aombe dv lotery , akakataa kwasababu anasema marekan kuna homeless anaogopa kuwa homeless mean while jmaa hana issue yoyote bongo😂😂😂
@joycemhana2018
@joycemhana2018 Жыл бұрын
Pole yake
@ChoroTesla
@ChoroTesla 11 ай бұрын
kazoea kula kula nyumbani na mvivu kufanya kazi
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 Жыл бұрын
Maisha ni mtu mwenyewe, maisha yakiwa magumu Tanzania huwezi fananisha na ugumu wa maisha ugaibuni bhana. Ukienda ugaibuni utakavyojipanga kimaisha kutaamua maisha yako yataendeleaje. Ukienda bila malengo utakosa muekekeo.
@matevamusa2212
@matevamusa2212 Жыл бұрын
Kwa kumuona tu ebm face to face na kupata advice kwake ,,,, ninaamini one day in America,,,,,,
@allyshomari7417
@allyshomari7417 Жыл бұрын
Nondo!! The way you do!!....!!!
@alijumamohamed
@alijumamohamed Жыл бұрын
Maisha magumu ni mtu mwenyewe anavyoyapeleka au anavyotaka mtu mwenyewe aishi kutokana na plain yake ya maisha yake...
@ibbyikh1788
@ibbyikh1788 Жыл бұрын
Your right but ughaibuni sio ya kila mtu, kama mtu ameshinda bati nasibu na ataki kuja mwacheni musimlazimishe, opportunities zipo na challenges zipo pia kuishi nje need to have psychological stable not about education and legal papers only.
@Marwa.T.Bonaventura.
@Marwa.T.Bonaventura. Жыл бұрын
Wape vidonge vyao mkuuuu😂🤭🤣🤣😇🤣🤣
@MussaHamisi-x4t
@MussaHamisi-x4t Жыл бұрын
Mungu akulipe kwa dalasa
@thebmcblackmiccatcher3949
@thebmcblackmiccatcher3949 Жыл бұрын
BRAZA EBM HUTAKIWI KUWAJIBU WAPUUZI. MAJITU MAJINGA JINGA NI MENGI MNO, USIYAJIBU. MIMI NAKUTANA NA MABICHWA KAMA HAYO. KUWAJIBU WANAKUCHOSHA.
@hailehim1
@hailehim1 Жыл бұрын
Prof tema nondo kamati ya roho mbaya hawafai hawa
@naomicharles5444
@naomicharles5444 Жыл бұрын
Connection mwaya wewe ulikua na Connection
@godfreykipanga9468
@godfreykipanga9468 Жыл бұрын
Wavivu hao
@binabeid3980
@binabeid3980 Жыл бұрын
Kaka EBM Kwanza Hongera kwa kutupa martial mazuri na Adimu sana kama hayoo Na huyo kijana ambaye ameikataa Green Card Amepewa Supu Hatari kweli kweli Muachee Abaki Kuuza KARANGA anataka amewe nini Sasa
@DramaDiveApp
@DramaDiveApp Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 watu waoga sana wanaambukiza na wengine
@dainesdiana583
@dainesdiana583 Жыл бұрын
Mm natamani sana kuja marekan lakn sina muelekeo ila paspot ninayo sina visa wala nn naomba msahada wako
@NIMFASHADieudonne-cy1fx
@NIMFASHADieudonne-cy1fx Жыл бұрын
Wambie sione sababu ya mtu kutofulahiya kuona mwenzake Anafanikisha,popote maisha nimagumu huezi kupata bila kutafuta
@BE-2-BE_officia
@BE-2-BE_officia Жыл бұрын
Fact tupu
@alijumamohamed
@alijumamohamed Жыл бұрын
Am watching nikiwa Bahrain..Watu kama hao kina Petter ndio wale wanga ambao wakisikia mtu amesafiri kwenda nje ya Tanzania kutoka ndani ya familia ya ndio wanaowaroga
@iamdonvevo
@iamdonvevo Жыл бұрын
😅😅😅😅
@alijumamohamed
@alijumamohamed Жыл бұрын
@@iamdonvevo Eeh kwasababu tayari jashajionyesha roho mbaya mapema,sasa unazani atakuwaje si ndo walewale wachawi wa kuroga wenzao kwenye mafanikio
@iamdonvevo
@iamdonvevo Жыл бұрын
@@alijumamohamed ni kwel kabisa kaka
@celinamachundoInspires
@celinamachundoInspires Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@MagrethCharles-ne2ts
@MagrethCharles-ne2ts Жыл бұрын
😂😂😂😂
@salumusobo4009
@salumusobo4009 Жыл бұрын
Uyo anayoongea ivyo ni mshamba uyo kaka uyo maisha yashampiga na ndio maana anawatia ujinga na wengine asikuongopee mtu, I tell you fact maisha ya nje sio sawa na maisha ya Tz
@ChoroTesla
@ChoroTesla 11 ай бұрын
nyie ndo wale ndio mzeee kimubwa kupambana hata bongo ukiwa msenge msenge unakua maskini kokote utaftaji unatakiwa kujarbu sio mbaya ni uthubutu shida ya serikali yetu ishawap inferiority wabongo wengi sana aya uwe boda boda ukatwe mguu
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 Жыл бұрын
Mbona unafoka😂
@abbyadams8691
@abbyadams8691 Жыл бұрын
Watanzania bila kuwafokea hawaelewi?😅😅😅
@huthhuthlih5858
@huthhuthlih5858 Жыл бұрын
Brov unawajua adi kina Angel nyigu 😝😝😝😝😝😝😝
@emmanuelayoub1319
@emmanuelayoub1319 Жыл бұрын
Wabongo Wana vituko sana kwenye kukatisha watu tamaa tu hawajambo kibaya ni kuwa mhamiaji haramu ila Kama ww ni una enda Kwa program maalum utatesekaje bana shida ya watu ni wagumu kuelewa
@Ally-n2o
@Ally-n2o Жыл бұрын
Mm sielew chochote Yan mpaka nije kuishi uko mwaka nimecheza girikad naomba Allah anisimamie nishinde awa mm hawanikatishi Tama
@MansourYusuphu
@MansourYusuphu 5 ай бұрын
Kaka unasema ukweli hadi natokwa na machozi mtu yupo huko ukimwambia jambo nakwambia ooo huku maisha magumu ukimwambia arudi anakutukana
@johnmfuko4426
@johnmfuko4426 Жыл бұрын
Kamati ya Roho mbaya inateseka sana
@FloraKida-j9f
@FloraKida-j9f 7 ай бұрын
Jamani tunatafuta hizo nafasi hatuzipati wengine wanaleta nyodo du huyo alisema hivyo hajielewi
@jackmalipo4774
@jackmalipo4774 Жыл бұрын
Kaka
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Ukweli mtupu huo EBM 😂😂😂😂 Tutafia humu humu. Hata bongo wanaingizwa chupa na mwanamke.
@claudeniyondiko5460
@claudeniyondiko5460 Жыл бұрын
EBM shukurani ila kamati za roho mbaya zisimame kwani siote tunakua tunaitaji kusonga mbere kbsa sizani kuna mtu apendi kusongambere
@OmariDunia-kk9sh
@OmariDunia-kk9sh Жыл бұрын
Naitaji mtoto wako
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim Жыл бұрын
Kwaiyi Dunia panawatu hawataki wengine wasonge mbele
@devidjav3583
@devidjav3583 Жыл бұрын
Ata Mario alisema dar kugumu kweli lakini Kila siku watu wanakuja tu😂😂😂 pambana popote utafanikiwa tu
@NassoroHamadi-q6h
@NassoroHamadi-q6h 8 ай бұрын
faza waambie ukweli mana wamezoea kutukatisha tamaa Hao wenye roho zakorosho
@mkingageorge2641
@mkingageorge2641 Жыл бұрын
Mkuu hzo ni kamat za kishikirika maana ushirikina xio kuwanga usiku tuu
@joycemhana2018
@joycemhana2018 Жыл бұрын
Hata yawe magumuje lazima niende Marekani
@RehemaMichael-fz8qs
@RehemaMichael-fz8qs Жыл бұрын
Unatufanya tuwe nanguvu ubarikiwe sana makulilo
@masaifinancialagent5089
@masaifinancialagent5089 Жыл бұрын
Unachosema ni fact sana kaka
@binabeid3980
@binabeid3980 Жыл бұрын
All most 50 milion anazipoteza hivi hivi Kukataa Green Card Daa huyo kijana Ajiaangaliye Tena na Tena Sasa
@johnmfuko4426
@johnmfuko4426 Жыл бұрын
Never backdown mpaka kieleweke
@AlexisCongera-so4mi
@AlexisCongera-so4mi Жыл бұрын
Wambie hao ambao hawaelewi muache akae hukohuko
@VicentJohn-tg9yp
@VicentJohn-tg9yp Жыл бұрын
Huna baya EBM
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free Жыл бұрын
Mfano tu Dar,ukitoka mkoani na kuja Dar bila think what you will do to survive,you failed
@godwinjosephat5044
@godwinjosephat5044 12 күн бұрын
KWA MTU AMBAE AMESHAINVEST TANZANIA ANA BIASHARA ZAKE ZINAENDA VIZURI MAISHA YA TANZANIA NI MAZURI KULIKO HUKO MNAPOPAITA GREEN PASTURES MAREKANI, MAREKANI NI PAZURI SANA KWA MTU ANAEJITAFUTA, FURSA NI NYINGI HASA KWA MTU ANAYEJITUMA. TANZANIA NI PAGUMU SANA KWA MTU ANAYEJITAFUTA.
@frankkigodi8549
@frankkigodi8549 Жыл бұрын
Brother na Mimi nimeomba green card mwaka huu nikipata naomba msaada wako katika kutafuta host
@kwisa4899
@kwisa4899 Жыл бұрын
sio rahisi hivyo
@esterpeter8295
@esterpeter8295 Жыл бұрын
​@@kwisa4899kwa nin sio rahisi?
@frankkigodi8549
@frankkigodi8549 Жыл бұрын
Everything is possible if you determine.
@upendomahenge3802
@upendomahenge3802 11 ай бұрын
hao wanaosema maisha ya ugaibuni ni magumu ni wale wasiopenda kujituma ambao hata ukiwakuta dar hawana issue za maana. kila sehemu maisha ni magumu ni mtu mwenyewe jinsi gani unaweza kupambananayo
@ntendindaaasab7405
@ntendindaaasab7405 Жыл бұрын
Usiwaamshe waache walale
@jackmalipo4774
@jackmalipo4774 Жыл бұрын
Uyo ni chizi
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim Жыл бұрын
Wew unasemaga ukweli
@benjaminfaustin4234
@benjaminfaustin4234 Жыл бұрын
Kamaha hawataki si waache tuu ss tunapambana tukifanakia hamuna kuchelea ata kidogo
@aminakunja277
@aminakunja277 Жыл бұрын
Mimi nimechelewa kujua wallah
@ibbyikh1788
@ibbyikh1788 Жыл бұрын
Maisha popote kila mtu ana mbinu zake za utafutaji, kinachotakiwa kupambana popote pale, iwe Bongo au viwanja vingine
@Msafirimakini
@Msafirimakini Жыл бұрын
Alafu Hakuna mkenya kwenye ubarozi wa marekani nchi Tanzania anaetoa visa bali watu wanamfananisha Yule mdada anaefanya finger kuwa ndie anawanyima visa mabarozi wote ni wazungu na wako wawili wakike na wa kiume
@aminakunja277
@aminakunja277 Жыл бұрын
Naomba ufungue na office dubai watu wanatapeliwa sana apa
@SeifMjawir
@SeifMjawir 2 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅
@PROPHETLWITIKO-rr4gc
@PROPHETLWITIKO-rr4gc Жыл бұрын
Maisha nivile MUNGU alivyo panga mtu afanikiwe mtu anaweza KUFANIKIWA mahali popote ambapo MUNGU amepanga afanikiwe kikubwa juhudi na bidii
@aoloathumani10
@aoloathumani10 Жыл бұрын
Bro hao watu mi nishawawekaga pembeni unakuta jitu liko Germany, Denmark, Netherlands, Canada, UK, USA etc halafu linakwambia eti usiende uko maisha ni magumu wakat huo yeye Wala hataki kurudi, sas jitu kama Hilo unaliweka kwenye kundi gan.? Yaan Kuna mijituu Ina roho mbaya Hadi inakera
@peteremmanuel1188
@peteremmanuel1188 Жыл бұрын
Kuna jamaa niliwaji mshirikisha ntaka niombee dv lottery, akanbi crush mbaya, Sahiv anafanya harakati za kwenda Korea
@ChoroTesla
@ChoroTesla 11 ай бұрын
wengi tuna tabia mtu atoboe aje kutambie wenzie bongo ni upumbavu sana sie watu weusi wq east africa
@AthumanMwangi
@AthumanMwangi 5 ай бұрын
naweza kuapply green card Niko musoma mara
@PaulMatz-fi1zl
@PaulMatz-fi1zl Жыл бұрын
Mimi nisaidie kuhusu issue ya racism huko hiyo inanitia hofu
@YahyaSaid-nv1ri
@YahyaSaid-nv1ri Жыл бұрын
Hao watu wenye roho mbaya ndio wako hivyo hlf hawana akili
@vivamtahoya9609
@vivamtahoya9609 Жыл бұрын
Nna umri wa MIAKA 63 isyo na maradhi ninaruhusiwa kuja us?
@SeifMjawir
@SeifMjawir 2 ай бұрын
😅😅 nenda mzee ukatembee hakuna umri maalum kule
@mwl.michaelsainethmlowe2641
@mwl.michaelsainethmlowe2641 Жыл бұрын
Common sense!
@AlexMesha
@AlexMesha Жыл бұрын
Kaka Ebm wambie ukweli ata Tanzania kuna maisha magum ninacho kiamini ata kazi ya kupiga box inalipa inategemeana unapran gani
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim Жыл бұрын
Tutakuja tu MUNGU yupo
@GabrielAmlima-le8wj
@GabrielAmlima-le8wj Жыл бұрын
Huyo jamaa ni mpumavu tena masikini wa akili na maisha mwache afie bongo na biashara yake ya mkaa bwege huyo
@Suleshi-r4n
@Suleshi-r4n Жыл бұрын
Maisha popote
@Oqata_wellness_solutions_tz
@Oqata_wellness_solutions_tz 9 ай бұрын
Muha kachafukwa, anatema nondo tu
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@YasminaMkali
@YasminaMkali Жыл бұрын
Afadhali umewaambia ukweli Kaka. Kuna jitu limoja lilirudi Tanzania. Lika anza kuwaambia watu kuwa Maisha ya Marekani ni magumu. 😅😅😅.....nimelishangaa limerudi Marekani kwenye maisha magumu 😂😂😂
@KaribuKwetu-ex2kd
@KaribuKwetu-ex2kd Жыл бұрын
Kaka unaongea kama unamfokea mtu.. kumbe unamhamasishaaa.. au ndio kuongea kimarekan hvyo
@ChoroTesla
@ChoroTesla 11 ай бұрын
uyo si muha
@Tatoo-b1c
@Tatoo-b1c Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 athanasius na watu wajinga
@OmaryKaniki-hs5mz
@OmaryKaniki-hs5mz Жыл бұрын
Waambie hao wapumbavu
@netflixfreepremiumaccount534
@netflixfreepremiumaccount534 Жыл бұрын
😅😅😅😅wapi petter wa mateso
Maswali na Majibu kuhusu Uhamiaji na Maisha ya Marekani - LIVE TIKTOK
1:27:16
Ushamba wangu mwanzoni Marekani - Maisha Ughaibuni
53:50
EBM SWAHILI
Рет қаралды 6 М.
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
Kwanini sina watoto? Kwanini vijana msiwe na watoto kama….
40:42
Mshana The Blacksmith
Рет қаралды 3,2 М.
Hatua na mafunzo ya kuwaTRUCK DRIVER Marekani
1:17:10
EBM SWAHILI
Рет қаралды 8 М.
GAMBO amjibu MAKONDA bila uoga adai hana ELIMU anatakiwa kuelimishwa
9:18
KWANINI WATU WENGI WAKIFIKA ULAYA, USA, CANADA WANABADILIKA?
1:47:11
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН