KWANINI WATU WENGI WAKIFIKA ULAYA, USA, CANADA WANABADILIKA?

  Рет қаралды 9,281

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

Күн бұрын

Jiunge na EBM SCHOLARS Community ebmscholars.lo...
DONATE TO EBM SCHOLARS
1. PayPal www.paypal.com...
2. CASH APP cash.app/$EBMS...

Пікірлер: 111
@jtheophil5499
@jtheophil5499 5 ай бұрын
Mimi naishi Marekani lakini kwa mtazamo wangu wanaume wa kiafrica hapa marekani ni shida.Wadada wako vizuri sana wako smart hata kimaendeleo wakaka hawajitambui kabisaaa na ulimbukeni pia.Kingine wanaleta mambo ya afrika hapa yaani ni tatizo kubwa janga.Alafu eti mtu ajiingize kwenye kuzaa .?,hapana aisee unazaa na mtu ambaye hanagoma kulipa kodi na hawezi kuosha hata kikombe chake alichonywea chai.Mm mpaka nasema bora kuwa single ukabeba box zako maisha yakaendelea kuliko kujiletea mastress.
@marykennedymarwa1641
@marykennedymarwa1641 7 ай бұрын
Ebm ,wape ukweli hao , ulaya ,canada ,usa , hakuna anayelipa rent , maisha ni 50/50 . Watu tunaishi as a one team . Ndio maisha yanakwenda bila hivyo talaka inakuhusu
@lucymkemwa2319
@lucymkemwa2319 7 ай бұрын
Hüyo kaka ni mkoloni sana yaani kalne hii anaona shida kuosha vyombo Tena anaishi Canada
@ms_teeonly
@ms_teeonly 7 ай бұрын
Mi mwenyewe nimeshangaa 😮
@amoskagika8884
@amoskagika8884 7 ай бұрын
Ndio maana ya mjadala ili unoge lazima wawepo wa kupinga. Kuna cha kujifunza pia kwenye wanaopinga.
@HusseinLimbe
@HusseinLimbe 7 ай бұрын
Mi sioshi hata kijiko 😎
@timothymagutu4560
@timothymagutu4560 7 ай бұрын
Mimi ikifika nioshe vyombo sioni maana yako afadhali tuachane kabisa
@lucymkemwa2319
@lucymkemwa2319 7 ай бұрын
@@timothymagutu4560 😂😂 kaka Timoth Kumbulak huku Nje halına Mai Hana wa kazi wala mama mkwe ikitokea labda mkeo kajifungua au anaumwa, achana na hayo yote kaka Amish’s ya Uhamiaji saa nyingine macunu tuu unaweza kujikuta labda mume umepoteza kazi au mke ana kazı ambayo yuko busy kuliko mwanaume anatoka mapema anariudi giza tayari mwanaume labda kazi yako inaanza saa Tatu inaisha saa kumi na moja Şidhani km itasubiri mpaka mke arudi saa moja aje apike au aoshe vyombo na vyombo vyenyewe kuweka tuu kwenye dish washer Alafu naimba tuu kuuliza hivi kabla hujaoa ulikuwa huoshi vyombo?
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 7 ай бұрын
EBM pamoja na uongeaji wake wakufoka, kwa kumsikiliza,ni mwanaume very humble na muelewa katika maswala ya wanawake na ndoa na famila kwa ujumla
@genophevagasper5006
@genophevagasper5006 5 ай бұрын
Wacha wako hivyo katika kuongea,utafikiri anagombana,ni nature
@eddasamwely820
@eddasamwely820 5 ай бұрын
@stellabugingo4071
@stellabugingo4071 7 ай бұрын
EBM yupo sawa
@amourmtungo623
@amourmtungo623 7 ай бұрын
Halafu sisi tumekulia na system ya ujamaa Wazungu wao wamekulia na mfumo wa capitalism = ubepari. Hizi nyanja mbili ni tafauti kimtazamo, kiutendaji na maisha halisi. Ubepari hauna unyenyekevu kama ujamaa na ndiomana ukifika Ulaya au Marekani automatically utabadilika tu utake usitake huu ndio ukweli. Jirani yangu anaweza kufa na usijue na hata maziko pia usipate taarifa. Hizi nchi zina faida na hasara zake ila, always look on your bright side. Angalia sehemu yenye maslahi nawe sio kila kitu poa. Asante kwa mchango wako MBM.
@user-vg6hv6vd5o
@user-vg6hv6vd5o 7 ай бұрын
umekosea sisi tumekulia mfumo wa socialism/communist system (ujamaa) na wao ndio wamekulia mfumo wa capitalism au (ubepari)
@eddasamwely820
@eddasamwely820 5 ай бұрын
😅😅😅😅 I love the topic I wish to live in USA in process to learn more before I make it there ❤
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 7 ай бұрын
Apo shida ni moja kaka ebm kama umezoea kutomsaidia mke wako huku bongo bas ukifika huko utapata shida sana
@jtheophil5499
@jtheophil5499 5 ай бұрын
Yaani mmenikosha.Waafrika kwa waafrika ni noma ughaibuni.Lkn wanaume wanasumbua .Wanachoka kwa sababu wote mnakuwa busy mko kazini
@salvatorybakilana2378
@salvatorybakilana2378 7 ай бұрын
My humble opinion kaka EBM ni kuwa ni kweli hapa ughaibuni mke na mume tunashikiriana majukumu kadha kadha lakini hii isibadilishe nafasi aliyo nayo mwanamke as a home maker na mwanaume as a home provider
@Hapi-Awa
@Hapi-Awa 7 ай бұрын
Kama mwanaume as a provider basi mwanamke asiende kufanya kazi. It’s very hard mkiwa wote ni lazima kufanya kazi ili mlipe bills. Wote mnakwenda kazini, mmerudi mmechoka na hakuna mfanyakazi ndani na kama mna watoto mwanamke ndio akimbie kwa babysitter au daycare kumchukua na nyumbani utegemee awe a homemaker mwenyewe tu? Hamtaweza kuishi… si ni bora akaishi mwenyewe tu kuliko kuishi na mtu mzima asiye na msaada wowote?
@salvatorybakilana2378
@salvatorybakilana2378 7 ай бұрын
@@Hapi-Awa unachosema uko sahihi , kwa uzoefu wangu mdogo mimi na mke wangu tunafanya wote kazi , majukumu ya nyumbani yote nafanya mm yeye ana deal na mtoto , ili kubalance , kelele zinakuwepogi lakini Mungu ni mwema tunaendelea , but hii hai dissmiss the fact kuwa natakiwa nitoe fedha nying zaidi kwenye bills kama ambavyo yeye naye kuna mda anafanya yake ya nyumbani
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 7 ай бұрын
Haki gani we mwanaume, unafanya kazi na mke anafanya kazi , na 50/50 kodi mnalipa sawasawa na kila kitu.
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 7 ай бұрын
EBM hili somo lako liko vizuri
@ndikumanasimon2689
@ndikumanasimon2689 7 ай бұрын
😊 mfumo dume umetuathiri sana wanaume wa Africa,soo tukiingia nchi za watu tunaona kama tunadhalaurika sana
@BLINDREPORT2023
@BLINDREPORT2023 7 ай бұрын
IVYO NDIVYO MWANAUME ANAPASA KUWA NA SIO VINGINEVYO
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 7 ай бұрын
Bora umesema wanaume wanajiona kama miungu
@godwillsamuel7487
@godwillsamuel7487 7 ай бұрын
Asante kaka EBM kwa kutufahamisha mambo mengi.
@binabeid3980
@binabeid3980 7 ай бұрын
Habari yako kaka EBM zile Aptimenent kw ajili Green Card Winner mara hii itakuwa zipo tyr mkuu wa kazi
@vincent3280
@vincent3280 7 ай бұрын
My friend kaka mungu akubariki
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 4 ай бұрын
Hakika ebm
@fredycrobi475
@fredycrobi475 7 ай бұрын
Hi shem. A good topic for discussion. Congrats.
@Hapi-Awa
@Hapi-Awa 7 ай бұрын
Exactly, hata sisi tulipanga hivyo hivyo. Tuliona hela yote inaenda kwa daycare na stresses za kuitwa ukachukue mtoto akiwa na high temperature kidogo tu. Kila siku una call sick inakuwa ni usumbufu. Na pamoja nilipokaa nyumbani ila bado hubby akija nyumbani anasaidia pia kazi za ndani pale akiona sijaweza kufanya. Ukitegea na kufikiria mwanamke hachoki na tunabadilika sio kweli ni kuwa mama zetu waliteseka sana. Sasa hatutaki kuteseka kama mama zetu ila sio kubadilika.
@ShaniAbdala
@ShaniAbdala 7 ай бұрын
EBM mungu awabariki sana mnatusaidia kifikra binafsi nataman sana san mwongoz juu ya safar
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 6 ай бұрын
Napenda sana hiki kipindi,Mimi nilimuamini ndugu yangu nikawa natuma hela za kujenga,kachukuwa kampa kaka awe anamaliziya nyumba ake kwanza.
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 7 ай бұрын
Kaka Bien tuambien maswali Ili tuandike tujue Kwajili yakujifunza Ili tujiandae tuje huko Ili twende marekan
@jtheophil5499
@jtheophil5499 5 ай бұрын
Wakaka wa ughaibuni acheni kuwa wakakasi ivyo.Helahela hela mbona maisha sio complicated ivyo jamani!!alafu wanakwama yaani na ubahili wote lkn unakuta hana pesa.😂😂😂😂😂
@halimakuju6076
@halimakuju6076 3 ай бұрын
Mie nataka kufaham mtu anaweza kuja huko hatakama ameishia darasa la saba kwajili ya kuomba kazi zandani au bustani au kufangia maofisini au kwenyemashamba mbogambaoga
@ms_teeonly
@ms_teeonly 7 ай бұрын
Huyo kaka has old mentality ya mfumo dume hafanani nayo kukaa huko...wanaume wa siku hizi wameelimika hawako hivyo hata huku Tanzania 50/50 .
@thebmcblackmiccatcher3949
@thebmcblackmiccatcher3949 7 ай бұрын
Nakuona wamekata mti kuelekea akili yako ilikoelekes
@froogame1922
@froogame1922 7 ай бұрын
Tunakupata vizuri kaka
@edwardlubega5428
@edwardlubega5428 7 ай бұрын
Ebm iko iv mm Niko kwenye ndoa 25yrs mke ni njinsi unavyo mshel
@annamussa185
@annamussa185 7 ай бұрын
Imeongea maneno ya Hekima sana kaka Ebm❤
@amoskagika8884
@amoskagika8884 7 ай бұрын
Ila mada ya leo tamu sanaaa😂😂
@Fetty-r4o
@Fetty-r4o 7 ай бұрын
Kweli bro, kwenye mgogoro, mara nyingi huonekana mwanamke ndie mkosa
@vincent3280
@vincent3280 7 ай бұрын
Thata true facts
@genophevagasper5006
@genophevagasper5006 5 ай бұрын
Mswahili aliyedekezwa,kwani kuoa umeleta mfanyakazi,we ukiosha unakatika mikono,ukiosha unakufa,ana mfumo dume,kuwa flexible kubadilika kutokana na mazingira
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 7 ай бұрын
Huyo jamaa ana ukoloni wa kutosha, labda aishi na yale madoli wachina wanatengeneza.
@Thyme938
@Thyme938 7 ай бұрын
Aje😮 kwamba namruhusu mume wangu aoshe vyombo wkt nipo! Yan si swala la kumruhusu, ni hivi tupo bongo na wanaosha na kufua pia! Uyo aliishi bongo ipi io!!!
@makibadatela7865
@makibadatela7865 7 ай бұрын
Tofauti za Kimalezi ndio zinaleta tofuti, Mwanaume ukiwa umelelewa na kutambua majukumu yako hupati shida, Mfano Nivigumu kuona mwanaume Tz akiwa amebeba mtoto mgongoni ila kwa sasa utaona watoto wamebebwa na Mabebeo ya Kisasa (Baby Carrier )
@amoskagika8884
@amoskagika8884 7 ай бұрын
Lakini mbona wenzetu Wahindi wakihamia ughaibuni tamaduni zao hawaziachi, Kama ni kuzaa wanazaa sana popote pale. Kwanini sisi Waafrika tunajibadilisha ndio maana tunadharaulika maana mtu unayesahau values zako popote pale utadharaulika. Sisapoti mfumo dume lakini we need to change Kwakweli
@lucymkemwa2319
@lucymkemwa2319 7 ай бұрын
Kuna watu hawajawahi kupigika bongo mambo yanawanyokea system ya Tanzania Kwao ina work ukiwaambia umuhimu wa vibali vya nchi nyingine ni kutafuta fursa wengine Tz tulikuwa hatuwezi ht kupata kazi lakini Canada fursa kibao yani kazi unazikataa mwenyewe alafu mtu anakwambia ulaya njaa tuu,
@adkajisi4536
@adkajisi4536 7 ай бұрын
Niunganishe ndugu.
@joejoshua7791
@joejoshua7791 7 ай бұрын
Canada imebadilika sana,kazi zimekuwa za shida kuna wimbi kubwa la immigrants nchini canada kwenda nchi nyingine kutafuta fursa
@lucymkemwa2319
@lucymkemwa2319 7 ай бұрын
@@joejoshua7791 Hapana sidhani labda use unachagua kazi wa bongo tunachagua sana kazi, Tuna taka km Tz nilikuwa boşI na huku unataka uanzie kısa bosi kuna watu wane kuka Canada km ma Doctor lakini hawezi Kusnza tuu kuwa Dr utaendesha Uber wee mpka upate leseni ya certification ya ku practice km Dr na mitihani yenyewe ni very expensive
@aurelialema3945
@aurelialema3945 7 ай бұрын
Huyo mwanamke aliyeolewa na eli anakazi sana. Bora tuu abadilike😂
@hadijajaicy2507
@hadijajaicy2507 7 ай бұрын
Kwanza watanzania tubadilishe perception ya kusema kazamia kazami it doesn't sound good for the hustling.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 7 ай бұрын
Huyu home boy wangu ninamheshimu sana🎉🎉❤
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 7 ай бұрын
Mbona wanaosha vyombo wanaume huku acheni, mfumo dume, kufua kusafisha nyumba nk
@hubman6780
@hubman6780 7 ай бұрын
Wadau shida sio ujamaa au ubepari bali ni zile agenda za kibepari kuharibu familia na tamaduni kwa kuwa wanaamini ktk material resources na mashine. Hawa walikoexterminate blacks mfano Australia,Latin America wanaamini wao kuendelea kubaki superior lazima kuwe na women empowerment hujawahi boy child empowerment. Hii style inafanya mwanamke asizae mapema akiamini atazaa wakati atakao. Wazungu wengi huja Afrika kupata mapenzi loyal.Mfano wanoenda Gambia,TZ etc
@officialgakankara
@officialgakankara 7 ай бұрын
Nkifika nitabadilika ndiyo ila stowavimbia wanangu washikaji zangu wa damu
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 7 ай бұрын
Tamadumu zote zina badirika utake usitake. Mataifa yote wanapika.
@Mamatonny2065
@Mamatonny2065 6 ай бұрын
Huwezi kuishi Ulaya na ukafuata sheria za Africa.(Bongo).
@kalamamuller-qe1yd
@kalamamuller-qe1yd 6 ай бұрын
Sasa ww unataka wasibadlike unataka umcontrol mtu muda wote come no man
@user-zi4tm2oi2b
@user-zi4tm2oi2b 7 ай бұрын
wanawake wanao ishi kwandoa africa wanathaminika sana kuliko uraya
@timothymagutu4560
@timothymagutu4560 7 ай бұрын
Kwa Ivo uraya ni vizuri mwanaume aishi peke yake mambo ya mwanamke asahau kabisa kwa sababu hauna maana
@lucymkemwa2319
@lucymkemwa2319 7 ай бұрын
Maisha ya nje ni kitu cha kawaida sana kusaidiana kazı sababu wote mnafanya kazı tema wakati mwingine mke anafanya kazi masaa 12 7am-7pm mume masaa 8 alafu nirudi nyumbani nimpepee mume kweli?
@kwisa4899
@kwisa4899 7 ай бұрын
mimi mbona sijawahi kuishi ulaya nipo Tanzania lakini sijawahi kuishi kwa kutumia mfumo dume
@annamussa185
@annamussa185 7 ай бұрын
Wanaume wa kibongo wakioa anamanisha kaleta mfanyakazi tena mfanyakazi mpaka wa familia yake me huo ujinga nilisha ukataa Yani haitakaa itokee😢
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 7 ай бұрын
Waafrica sasa hivi ni wachawi mnoo wanafikili iliwafikilii kama unaweza fanikiwa bila kufanya uchawi waafrica nomaa sanaa tena tunatakiwa kuwa makini mnoo
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 7 ай бұрын
Moja ya vitu napenda ninamna unawachanaga watu ukweli
@marykennedymarwa1641
@marykennedymarwa1641 7 ай бұрын
Watu wengi wanao abuse sheria za ulaya ni wanawake au wanaume wageni ulaya
@Mamatonny2065
@Mamatonny2065 6 ай бұрын
Wanawake tunaoishi huku ulaya tuna uhuru.Mambo ya mwaka 47 huku hakuna.😊😁
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 6 ай бұрын
Unafoka jamani
@user-bx3em9tm1b
@user-bx3em9tm1b 7 ай бұрын
Kaka mshauli uyo elly aache kuwafanyia watanzania wenzake uyo jamaa kaisha watapeli watu wengi sana na mimi pia nimiongoni mwalio tapeliwa mshauli
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 7 ай бұрын
Usiwaambie watu kuwa umepata viza ya kwenda nje😢
@alijumamohamed
@alijumamohamed 7 ай бұрын
Tena kitu ambacho sikifanyi hata siku moja nihicho ,kutuma hela eti nijengewe
@vom84
@vom84 7 ай бұрын
EBM mkiwa waafrica mnatakiwa muishi kiafrika popote pale bila kuiga umagharibi, Mila na desturi zetu zifuatwe popote, hakuna haki sawa hata biblia haijasema Hilo, tuache kufuata na kumezwa na taratibu za kizungu, desturi za kizungu zinaharibu familia,.
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 7 ай бұрын
Mpumbavu wewe,
@amoskagika8884
@amoskagika8884 7 ай бұрын
@@sleeprelaxation8431 unaweza kuchangia bila kutukana na ukaeleweka. Acha kutukana watu.
@timothymagutu4560
@timothymagutu4560 7 ай бұрын
Ukweli kabisa desturi za ulaya si Ya mwanaume kuwa na Bibi nikila mtu aishi kivi yake
@eddasamwely820
@eddasamwely820 5 ай бұрын
Kama BM Naomba kujua utararibu nahitaji kuja kufundisha Kiswahili
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 7 ай бұрын
Mpatie mtu ndoano na siyo samaki😮
@bakermusa9033
@bakermusa9033 7 ай бұрын
EBM uko poa.naweza pata contact bro nina Jambo langu
@alijumamohamed
@alijumamohamed 7 ай бұрын
Yaani huyu ndio Ely wa us?
@AfricabeyondtheLimits
@AfricabeyondtheLimits 7 ай бұрын
dude you need to regulate food intake otherwise you don’t eat health
@makibadatela7865
@makibadatela7865 7 ай бұрын
Hakisawa kwa Wanawake hasa wa Kiafrica haipo kwenye fedha!
@gunguliluzuba1316
@gunguliluzuba1316 7 ай бұрын
mr Ebm habari, nitawezaje kuagiza ile electric shavers , mana kila nikiweka order Amazon inanikatalia
@amoskagika8884
@amoskagika8884 7 ай бұрын
Nitafute China zinapatikana, andika namba yako ya WhatsApp tuwasiliane
@lucymkemwa2319
@lucymkemwa2319 7 ай бұрын
KWa Elly mke ni mtumishi wake sio rafiki very bad mentality
@thebmcblackmiccatcher3949
@thebmcblackmiccatcher3949 7 ай бұрын
Acha ujinga bata wew, toa maoni yako wewe kama wewe, hayo ni maoni yake elly. Toa yako. Ongea akili yako.
@alijumamohamed
@alijumamohamed 7 ай бұрын
Kwanza mimi nitauliza kuwa huyo mwanamke anabadilika kivipi kimapenzi au kimajukumu ya nyumba?
@hubman6780
@hubman6780 7 ай бұрын
Kuchoka ndani ya ndoa hakupo
@dianamemba6773
@dianamemba6773 7 ай бұрын
hahaha ati picha kwenye passort si yeye heeee
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 7 ай бұрын
EBM anasema ukweli mtupu
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 4 ай бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊.
@kaupigwe
@kaupigwe 7 ай бұрын
Huyu jamaa anauliza kuosha vyombo yupo nchi gani?
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 7 ай бұрын
Canada
@leonavivian6036
@leonavivian6036 7 ай бұрын
Somo tosha ukweli mtupu watu wa jifunze
@Fetty-r4o
@Fetty-r4o 7 ай бұрын
Kwa nini usioshe vyombo wewe mwanamme? basi japo kwa huruma na mapenzi tu, hasa mkiwa na watoto tena wadogo
@user-nevistours
@user-nevistours 7 ай бұрын
Kipindi kizuri
@thebmcblackmiccatcher3949
@thebmcblackmiccatcher3949 7 ай бұрын
EBM kupiga box ni kufanyaje?
@ibrahimmohamed1994
@ibrahimmohamed1994 7 ай бұрын
Hizi negative mindset tuziache
@johnmfuko4426
@johnmfuko4426 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@rahimsaid-sj2bl
@rahimsaid-sj2bl 7 ай бұрын
😂😂
@joackimmutulu
@joackimmutulu 7 ай бұрын
EBM Wacha kudanganya wanawake, a woman must submit to her husband. Dini zote zinasema hivyo
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 7 ай бұрын
Huku kila mtu anafanya na kila mtu amechoka, wote tufanye kazi.
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 7 ай бұрын
kuwa submissive haina maana kwamba mwanaume husaidii chochote kile. Mfano mtu una mashine ya kufua nguo, kwahiyo to utrn it on tu huwezi kisa ni kazi ya mwanamke? Kuna dish water kuweka vyombo kwenye mashine huku mke wako anamsaidia mtoto ni kosa?
@joackimmutulu
@joackimmutulu 7 ай бұрын
@@EBMSWAHILI kweli kabisa
@alijumamohamed
@alijumamohamed 7 ай бұрын
Aise hii mada ilikuwa mzuri sana tena ilikua very hot
@albywamandalinho
@albywamandalinho 7 ай бұрын
😂😂😂😂
@user-rf7wx7og6t
@user-rf7wx7og6t 7 ай бұрын
😂😂😂😂
Kazi za Usiku wa Manane Marekani, Canada na Ulaya
9:59
EBM SWAHILI
Рет қаралды 3,1 М.
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН
Fursa ya kupata Summer Camp Jobs - Marekani
21:44
EBM SWAHILI
Рет қаралды 6 М.
Unawezaje kuwa Full-Time Content Creator na kupata kipato
8:27
EBM SWAHILI
Рет қаралды 2,8 М.
Njia za kwenda ughaibuni 2024. Mahojiano na @SimuliziNaSauti
33:20
Mahojiano na Mshindi wa Green Card Lottery Mtanzania
20:56
EBM SWAHILI
Рет қаралды 2,9 М.
Meet the INFLUENZAS🤣
6:36
Awinja Nyamwalo - Jacky Vike
Рет қаралды 170 М.
How he left Nigeria poor and Built Wealth in Switzerland🇨🇭
29:41