ACT KIMENUKA CCM WAKISHINDWA KUTEKELEZA TUNAJITOA JNU RAIS SUBIR YETU INAKIKOMO TUTAJIAMULIA WENYEWE

  Рет қаралды 6,863

Tifu Tv

Tifu Tv

Ай бұрын

TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
#Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi

Пікірлер: 14
@NoufelSalim
@NoufelSalim Ай бұрын
Inaumiza wallahi,wazee wanatia huzuni
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Ай бұрын
Kasi ya ACT Wazalendo ipo vizuri sana visiwani Zanzibar.
@saidal-hind5338
@saidal-hind5338 Ай бұрын
Ccm mijiz
@Allybinamour
@Allybinamour Ай бұрын
kama ni hivo bora kujitoa kweli
@salummussa9871
@salummussa9871 Ай бұрын
Maweeee
@FatmaAbdulhalim
@FatmaAbdulhalim Ай бұрын
Musijidanganye. Ccm haiondok madarakan
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
Suluhisho visiwa wakati ni viwili tugawaneni, kama chama X kina nguvu upande fulani na Y upande fulani waongoze huko. Kama uko ndani HAIWEZEKANI nje itawezekana je.
@Hilali-ff5ul
@Hilali-ff5ul Ай бұрын
Zanzibar ni Moja Jaman,,tume fisidiwa 2 na awo machogo
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 Ай бұрын
Haji hassani una tatizo la kufikiri sawasawa .huwa huuangalii ukweli ulivyo,Zanzibar ukiwa mkweli kuondoa migogoro ni rahisi sana sharti uwe mkweli ,mfano ukimpata kiongozi kama huyu Othman akiwa yeye ndie mtoaji maamuzi juu ya mambo anaweza kusimama katika ukweli na akaondoa madhara .hata mimi leo hii niwe raisi wa Zanzibar hii mifarakano isiokwisha haitakuwepo kwenye chaguzi .1. Ni kuwa mkweli na kudhamiria kuondoa mauaji kila uchaguzi bila kujali nitashinda uchaguzi au chama cha hakitoshinda lengo kuu kuepusha mauaji nikiwa mimi kiongozi ,sitokubali watu wauliwe kwa sababu mimi niwe Raisi kisha nisimame mbele za watu nihubiri amani wakati mimi ndio chanzo cha uharibifu wa amani hiyo.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
@@Sheba4651 Watakubali kukaa Pemba kwa sababu wanajenga miji ya wengine, kila anaepata fursa anahama. Lakini kwa maoni yangu sio sahihi CCM kuwa chama tawala Pemba. Sioni uwezekano wa kupata maendeleo ni sabotage tu.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
@@Hilali-ff5ul Tutake tusitake pamoja na changamoto za Mapinduzi 1964 lakini ndio yaliyounganisha Unguja na Pemba kabla ya hapo Ukoloni na hata baada ya hapo utawala wa Karume Wapemba walikuwa Pemba na Waunguja Unguja hata vyama vya siasa viliundwa kwa msingi huo mfano Zanzibar and Pemba People Party (ZPPP) na Utawala wa Jumbe ulionesha nia kabiss kuondosha ubaguzi kwa kuanzisha dahalia Wanafunzi wa Pemba walisoma Unguja na Waunguja kusoma Pemba. Siasa imeharibu na kutugawa tena. Hivi sasa ukweli ni kwamba Waunguja na Wapemba wanacheka jino pembe! Kama hatuwezi kuishi pamoja tugawane visiwa. Ni kweli Zanzibar ni moja lakini ni moja kuliko Sudan ambayo sasa mpaka ni njia isiyozidi mita 10 imegawa Sudan Kusini na Kaskazini, hivyo hivyo Ethiopia na Eritrea hivyo tugawane kimamlaka tuendelee kuwa wamoja tukienda hivi kuna siku tutagawana na tusihusiane kama ilivyo Sudan. Hata Ujerumani walifanya hivyo Mashariki na Magharibi kwa kujenga ukuta baadae waliona umoja ni nguvu wakauvunja. Siasa ni kitu kibaya sana. Ukweli ni kwamba SMZ ni Serikali ya CCM inayoongozwa na Wapemba. Kwa nini kila wakati wanalalamika?
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Ай бұрын
Jitoeni hamna cha maana hata kimoja mnachokifanya😂
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd Ай бұрын
Matako wewe na wewe kipi cha maana mnachofanya kuma wewe?
@lusakaone7782
@lusakaone7782 Ай бұрын
hayakuhusu.
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,2 МЛН
UTENZI WA CUF ALOSOMEWA MAREHEM MAALIM SEIF YALIYOTOKEA 2001
14:29