No video

EXCLUSIVE: MJUE FREEMAN MBOWE MWENYEKITI na MWANASIASA wa CHADEMA/ELIMU/MKE/WATOTO na KESI ya UGAIDI

  Рет қаралды 23,541

SAN TZ MEDIA

SAN TZ MEDIA

2 ай бұрын

#freemanmbowe #chadema #ccm #free #dullysantz #santzmedia #wasafimedia #manara #cloudsmedia #simulizinasauti #history
EMBU KIFUATILIE KISA HIKI KWANZA ALAFU NJOO KWENYE COMMENT TUANDIKIE MAONI YAKO
• MAKALA ZA VIONGOZI🥂

Пікірлер: 40
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
SIMULIZI ZETU HUWA ZINATOKA KILA JUMAMOSI YA MWISHO WA WIKI " HAKIKISHA UMEBONYEZA NENO LA SUBSCRIBE KISHA UMEGUSA ALAMA YA KENGELE ILI USIPITWE NA SIMULIZI YEYOTE KWETU
@MwitaTv
@MwitaTv Ай бұрын
Wewe ni Mtangazaji mzuri sana
@Santzmedia
@Santzmedia Ай бұрын
Thenks 🤝
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Күн бұрын
Historia nzuri ila panga kwa tarehe na matukio.ili usiruke ruke. Hongera kwa kujitahidi .
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉 na msichokijuwa huyu ndo aliyenifanya niipende CHADEMA mwaka 2005 na hadi leo mm ni Kamanda halisi wa CHADEMA na siwezi badirika.
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
Good kamanda
@drjbmsige4098
@drjbmsige4098 Күн бұрын
Mbowe alikuwa na miaka 31 wakati chadema inaanzishwa
@danielbachuta157
@danielbachuta157 17 сағат бұрын
Miaka 19 ni 1980.. ungesema 29
@ashabushiri4610
@ashabushiri4610 2 ай бұрын
Ongera
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
👍
@user-oc3jf3ts5i
@user-oc3jf3ts5i 2 ай бұрын
Hujui chochote! Gavana Bank kuu baada ya Edwin Mtei ni Charles Nyirabu! hitoria ya uongo na mapungufu mengi!
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 16 күн бұрын
Wann sasa naye huyu?
@felixmsale9244
@felixmsale9244 2 ай бұрын
Bro simulizi yko haina mtiririko unaoleweka unarukaruka !!!!!
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 2 ай бұрын
NI JASIRI HUYO FREEMAN AIKAELI MBOWE
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
Ni Mfano wa Kuigwa
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro 2 ай бұрын
Bilikana Mbowe alikuwa miaka mingi sana alikuwa halipi kodi nchi usiseme kaonewa ni sheria
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
Kama utakuwa umetufuatilia Vizuri si dhanii kama kunasehemu tumefikili au kuhisi Ameonewa!!!?
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 2 ай бұрын
Kama halikuwa halipii huo ni uzembe wa wakusanya kodi
@JackKanyigo
@JackKanyigo Ай бұрын
Kwa hiyo kama alikuwa halipi jibu ni kubomoa?..tumia akiri angalau za kwendea chooni
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro Ай бұрын
@@JackKanyigo kwani nyumba ni yake
@HappyKitindi
@HappyKitindi 24 күн бұрын
​@@mfalmekaitaba2425wazembe? 😂😂😂😂
@georgefesto8455
@georgefesto8455 2 ай бұрын
Kilicho mtajirisha sana ni biashara haramu ya pembe za ndovu na madawa ya kulevya kama mirungi na bangi.
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
🤔😂😂😂
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 9 күн бұрын
Matako wewe
@deusntobi6682
@deusntobi6682 2 ай бұрын
Miaka 19 duh!!
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
🤔
@charlesluanda9161
@charlesluanda9161 Ай бұрын
Yaani mtu azaliwe mwaka 1961 halafu mwaka 1993 awe na miaka 19! Mbona Math is Mathing 😂😂😂😂
@user-tb8zb4rv6h
@user-tb8zb4rv6h Ай бұрын
Anatafuta haki tabani? anatafutia tumbo lake na watu wake
@user-tb8zb4rv6h
@user-tb8zb4rv6h Ай бұрын
Nadhani umesahau kutaja walipotuibia pesa za kigeni wakati wakiwa watumishi wa uma bank kuu ya Tanzania wakaiunguza gavana mtei nimrodi mkono mbowe
@user-rj2kt5qg5y
@user-rj2kt5qg5y 2 ай бұрын
Mboe achia ngazi sasa
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
Mmh😥😥
@stanslausshayo7104
@stanslausshayo7104 2 ай бұрын
wewe ni ccm
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
Why
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 2 ай бұрын
Ndie mfanya siasa pekeeee nchini hapa
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
Kiukweli
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 ай бұрын
Wanschama wake wamemchoka haiwezekani awe yeye kila siku na kuhusu klub ya bilcanas ilikuwa inaendeshwa na Baba yake na ilikuwa nightclub na ilikuwa mali ya Nhc yeye alikuwa mrithi tu aondoke tu wamemchoka kwanini analazimisha uongozi aondoke tu
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
@Margarethpolepole , Wewe NI Mtanzania wa kweli lakini jaribu kufuatilia ukweli wa mtu ,na usije ukalishwa sumu kuhusu mtu kwakuaminishwa kitu then ukamchukia mtu
@JackKanyigo
@JackKanyigo Ай бұрын
Umefanya research au unaharisha tu
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 13 МЛН
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 12 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 26 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 13 МЛН