ACT-WAZALENDO WAPINGA UTEUZI WA MKURUGENZI UCHAGUZI ZEC, RAIS MWINYI AWAAPISHA

  Рет қаралды 4,449

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 25
@mwigaadam1179
@mwigaadam1179 Жыл бұрын
Faina hawatakufaa kitu hao vibaraka wezako siku 1 tu mungu atakapo kukutanisha na yy.kuna maisha baada ya kufa.
@seifmohamed8725
@seifmohamed8725 Жыл бұрын
hujui ulichofanya 2020 ! watu wanajua ulichofanya ( nguruwe wee
@faridaali6850
@faridaali6850 Жыл бұрын
We jidanganye ALLAH hasahau Wala hasinzii malipo ni duniani
@sahimm4767
@sahimm4767 Жыл бұрын
Dah inasikitisha sana...kijana mdogo unakuwa na roho mbaya juu ya jamii inayokuzunguka sababu tu ya nafasi uliyowekwa🤨.. wapo wengi ila umeonekana ww sababu ya uzaifu wako juu ya madaraka bro.. haya maisha yana leo na kesho
@AaAa-vm8bb
@AaAa-vm8bb Жыл бұрын
Tusicheze na hukmu ya Allah kwa kupenda dunia hapa ni mapito tu ya muda mfupi tusihadalike na raha ya siku chache maisha ya akherah ndio maisha yakuyatafuta kwa kumuogopa Allah Mola wetu tuepushe na dhulma ya Rab.
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm Жыл бұрын
Mwinyi hapo ulikuwa umteuwe na Jecha tu awe naibu mkurugenzi. Ungemaliza kazi. Eti una nia ya dhati ya kuleta umoja wa Wazanzibari, hata huoni aibu wewe!
@zinjibaryetu8451
@zinjibaryetu8451 Жыл бұрын
CCM ni watu wabaya sana na hata waseme nini hawana uaminifu na milele hawawezi kusafisha nyoyo zao. Nchi yetu wameifisidi na kuivuruga juu chini na bado hawajatosheka.. Subhanallah
@AhmedMohammed-vm2sf
@AhmedMohammed-vm2sf Жыл бұрын
Huna ukweli na wala hujatenda haki
@salyali7807
@salyali7807 Жыл бұрын
Tuwasaidie kuwamaliza wazanzibari ndio alivyokusudia... shenz type
@salyali7807
@salyali7807 Жыл бұрын
Laanatullah... Hasbiyallah waneemal wakeel
@salumsalim7564
@salumsalim7564 Жыл бұрын
Marahii nchi zimepata viongozi cjawahipo kuona 🥺
@zinjibaryetu8451
@zinjibaryetu8451 Жыл бұрын
CCM katu hawatoiweka salama Zanzibar na hawana nia hio. Kutwa kucha wanabwabwaja amani na utulivu lakini kwenye nyoyo zao kuna kitu tofauti kabisa. Mungu yupo na iko siku atawaingiza mikononi kwani nothing lasts forever
@abduliauni8048
@abduliauni8048 Жыл бұрын
Muwongo mnafiki huyo
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 Жыл бұрын
inashangaza sana ACT WAZ kuwaamini CCM hawana rekodi yeyote ya kuwa waaminifu halafu wakiwageuka wanalalamika !!? umekubali kulala na nyoka akikugonga unashangaa? inabidi tuishange Act waz kushangaa kugongwa na nyoka aliyekubali kushare nae kitanda
@omarhusna1766
@omarhusna1766 Жыл бұрын
Nenda uko mjinga mmoja
@gangmore9091
@gangmore9091 Жыл бұрын
Kila mtu atahukumiwa alichokichuma insha Allah cheka ukiwa n pumzi utalia ukiwa Huna pumzi mwezako makamo wapi alikua mku w mkoa watu waliuliwa mkoa wake akasema hakuna mtu alouliwa so Ccm nyote munaficha ukweli ila kwa Allah hakufichwi ukweli
@lilianmakwati5228
@lilianmakwati5228 Жыл бұрын
Mwinyi wewe ni mnafiki tu huna ukweli huyu mshenzi ulie mchagua ndi alie haribu ucchaguzi
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
@lilianmakwati5228.Mwinyi bila shaka amemchagua aliyefanikisha Mauwaji ya Waislam wa Zanzibar na kuwa Kiongozi wa Mawakala wa Ukoloni wa Tanganyika.
@lilianmakwati5228
@lilianmakwati5228 Жыл бұрын
@@khatibal-zinjibari6956 2025 anataka tena kunywa damu za wazanzibar wasio kuwa na hatia
@khairatkhamis5845
@khairatkhamis5845 Жыл бұрын
Sikwakuwa unashika msahafu halafu unaweka chini unachukulia poa
@alinassor391
@alinassor391 Жыл бұрын
Sio uchaguzi bora tunataka uchaguzi wa huru na haki mjinga mkubwa wewe eee
@AhmedMohammed-vm2sf
@AhmedMohammed-vm2sf Жыл бұрын
Hamna kitu kuku kuku jogo jina
@mohdmwarab7707
@mohdmwarab7707 Жыл бұрын
Mshenzi ww ushasahau uloyafanya Kuma ww
@salyali7807
@salyali7807 Жыл бұрын
Kuwadi, jambazi mkubwa
@AbdillahSOthman
@AbdillahSOthman Жыл бұрын
Wewe Faina cheka na endelea kucheka utakuja kuona ukifika mauti yako yale uliyoyatenda kwa watu na kubatilisha haki walioichagua ukakubali kutumika ili watu wauliwe. Pesa ni ya kupita lakin kuna haki za watu zilipotea kwa sabb yako kwenye uchaguzi ulopita. Lau mungetangaza alie shinda nchi ingebaki na amani na mapenzi kwa watu wote lkn mifarakano ilirudi sabab alikuwa nani kama sio wewe na wenzako. Hatuna imani na ww.
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 105 М.
ALLY KAMWE "MITEGO YAO TUMETEGUA SAA 9 USIKU | ILIKUWA ISIWE HIVI"
11:30
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 23 МЛН
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 128 МЛН
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 2,7 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
DKT. MWINYI AFANYA UAMUZI MZITO KWA CHAMA CHA ACT WAZALENDO
7:01
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 23 МЛН