Wewe ndy raia we2 Nakubaliana sana na hyo TAMADUNI bless MCHOMVU
@mcnjovu35255 жыл бұрын
Adamu mchomvu mtoto wa mbeya nimekukubari sana majibu yako yalivyosimama vile vile ommy uko poa sana mzee baba
@akilihabibu42034 жыл бұрын
Huyo ndo ADAM nakuelewaga sanaaaa brother karibu sanaaaa WCB
@rashidkabote68545 жыл бұрын
mchomvu baba la baba salute sana mvp lil ommy huo mwaliko jamaa kautendea haki kabisa.
@festohingi78795 жыл бұрын
Mchovu unatisha yaani unajielewa umemmiliki muuliza maswali kwakweli big up Adam
@stevewanga9575 жыл бұрын
Half man Half amazing.... Yaani hapa vichwa vikali zimepatana... Bonge la show,... Watching from Doha 🇶🇦 🇶🇦
@aboubakaryjuma83494 жыл бұрын
Ktk watangazaji ki bongobongo huyu Mchomvu anajua mbayaaaa
@beatuslongino56665 жыл бұрын
shout out to mchomvu anajibu vizuri sanaa aisee.
@victordenis24115 жыл бұрын
I appreciate bro Ommy, unastahili tuzo ya heshima katika tasnia ya utangazaji, unajua nini maana ya utangazaji bro#Kizazisana.
@stevoovlogs86455 жыл бұрын
My best presenter eveeeeeer since tall wa ajabu mbeya FM way back Ad+
@fideliskipangule13874 жыл бұрын
Yeah toll wa Ajabu kitambo iyo
@zumzummohamedi65135 жыл бұрын
Bwana Bwana hii ni historya ommy unahitaji tunzo kubwa a sanaaa aiseeeeee napenda Sana sanaaa
@emanuelyjohn19265 жыл бұрын
Uko so real adam mchomvu bigger mind
@frankseme12095 жыл бұрын
Liommy nakubalisana kaziyako kama unamkubali liommy fanya lik
@almasially65095 жыл бұрын
Adamu mchovu upo real sana! Big up to you🔥🔥
@gasparydinawi63665 жыл бұрын
Daah jamaa kila swali anajibu kiakili sana...tisha sana mchomvu
@Onicavee5 жыл бұрын
The best Adam mchomvu🙌
@officialmroso69255 жыл бұрын
Kabisa 👏
@samnira595 жыл бұрын
Best questions mwarimu wa kuuliza na wakujibu big up sanaaa
@lestermtweve59905 жыл бұрын
#lilOMMY umeanza kuzngua unatuwekea vpand vpand vng xana vngn had vna dk3... mnatuchanganya #timesFM wanapoxt hvyo hvy n ww hvy hvy unapoxt #mnatuchanganya rudi mwanzo niccah.. xema nn ktk interview zot z mwak huu 2019 had xax hii y #mchomvu funika
@jonathanicrisatijonathanic67083 жыл бұрын
Mucheki Giva ana ngoma kali sana
@man-chas36065 жыл бұрын
Ama nn.....Adam mchomvu saana tu man hip hop kama kizaz kipo kitaendelea kuwepo 💪
@lucasgideon55665 жыл бұрын
Mchumvuuuu utabakiii kuwaa juu kama piereee big up sna asee
@pascarmwatosya68153 жыл бұрын
Wakali wamepambana hapoa,Maswali na Majibu ngoma droooo
@ericknkonya56825 жыл бұрын
interview nzuri ommy, managing the emotions and asking critical questions.
@nasrinahembe86694 жыл бұрын
Awo watu wa arusha wanaubonafsi ata ukichunguza vyombo vya usafiri mabasi ya kwao makonda wao wanawake
@mbodzebemasika74775 жыл бұрын
Africa ni United republic. let us be proud of that....
@fubanjenjele5215 жыл бұрын
Wababe wawili wamekutana, show Kali sn muuliza na muulizwa umeua balaa
@donaldtrump31515 жыл бұрын
Respect broo Ommy Big up kwa mchomvu
@oliverunique86455 жыл бұрын
An Adam unaongea point ad raha unajibu kiakili sana confidence iko full
@kivuyotv5 жыл бұрын
Sanaaa mchomvuu bigap broo
@hustlerhoka74445 жыл бұрын
big up lily ommy ur the true presenter
@innojoowzey69135 жыл бұрын
oya ommy umeulizaa maswali yot bro ya kitaa big up bro #MVP
@dreambeesafricalimited48315 жыл бұрын
Mchomvu uko real bro ..we appriciate it
@ibratanzania13285 жыл бұрын
Kama Unamkubali Adamu Mchovu "Baba Johnnn" Na MVP "Real Ommy" Like Hapa
@yusuphmbasha67065 жыл бұрын
Saluuu nakuonaa nakuonaaaa🤣🤣🤣🤣
@ibratanzania13285 жыл бұрын
@@yusuphmbasha6706 Ye Baba
@renatusmpete35275 жыл бұрын
tufauti na sporah cjawai ona channel ya bongo tofaut na anapofanyakazi iliompa interview big lil ommy, Appreciate that.
@Onicavee5 жыл бұрын
🙌
@marickmbisendawaa54525 жыл бұрын
Kizazi sana
@kushgangtv3915 жыл бұрын
Unaongea point broo Gaddafi ndo point muhimu kuliko zote AFRICA kuungana,tutegemee siku moja rais kutoka Tanzania atamke neno kwamba Africa tuungane.Africa itakuwa kama bustani ya Eden, umenifurahisha sana,hivo ndo vitu vya kuongea mitandaoni dunia ilewe sio upuuzi tu kila kukikucha,fursa unayo mchomvu Fanya hivo ulimwengu ukujue,hakuna mtu mwenye dunia,Bali dunia niyakila mtu hata ww niyako.ambao mmenisoma na kunielewa gongeni like haswa ww mchomvu mwenye fursa na wengineo.
@leonardkahaya90065 жыл бұрын
Adi Adam anajua ukali wa Nikki mbishi😎
@jumaakikoi23455 жыл бұрын
Mkali
@emmamikate47415 жыл бұрын
Camera man Yuko active Sana nimemkubal✅
@kapituomary23445 жыл бұрын
Lill Omy umefanya powa sana Ku hoji uyumkalis
@hamismda10585 жыл бұрын
daaa kweli kabisa lily ommy jitahid kuipaisha tabora maana ndo kihome man
@frankmanga37215 жыл бұрын
Dah uyu jamaa Adam namkubali kichizi. uyu mwana. black or white
Pale Watangazaji Bora zaidi ya Bora Wanapokutana katika kazi yao Bora. Hatari sana aaaaaaa !!!!
@hassanabdimidohilal76654 жыл бұрын
Noma
@dzekomadiba82455 жыл бұрын
Ommy uko vzr xana bro haukurupuki unaulza kitu chenye uhakika
@mohamedrajabu5245 жыл бұрын
Ommy nakukubal sana leoupo njamaaninae mkubal leoshow yakibabe
@deogratiuskombe57895 жыл бұрын
Umetishaaaa
@xaverysunday18865 жыл бұрын
TOKA TEAM MEDIA MAKAMBAKO TOWN RESPECT
@SaidSaid-cl2tf5 жыл бұрын
nimekuekewa ma boy #AdamMchovu
@omarymussa48154 жыл бұрын
Mboka manyema on air
@mathiasmtey9385 жыл бұрын
MVP uko poa sana kwa maswali
@pizothe12695 жыл бұрын
nimekubali2 kwa RAIA kama mchomvu kuwepo hapo, ka vp fanya na b'dozen atokee apo.
@ikoziboy44884 жыл бұрын
Yeah HIP HOP ndo tunaishi wahuni
@lenjeevara34075 жыл бұрын
Pwaaaaaaaa Mchomvu
@florapaul69345 жыл бұрын
Big up lil ommy kwa hii interview
@shizzohwaka88685 жыл бұрын
big up Sana baba joniiii
@teclanemes51665 жыл бұрын
Gud true broo!!!
@epifaniamponda29025 жыл бұрын
Mi na appreciate sana mchomvu japo kunawana hawatakuelewa brother lakin nawambia wakuskilize vizuri watakuelewa....... Amaniniiiiiiiii!!!!!!!!????? Kizazi Sanaaaa😍😍😍😍😍😍🙌🙌🙌🙏🙏
@gasparydinawi63665 жыл бұрын
Mchomvu jamaa kichwa sana aisee
@asiliyakechuma73355 жыл бұрын
Kwahyo wengine wanavibuyu hawana vichwa
@lodirickshoo64045 жыл бұрын
Adamu wasikuchanganye we a taun utaendelea kuwa a taun
kitu chochote ambacho kinaonekana kutokumpendeza Mungu Mara nyingi huwa kinamafanikio. But,anything ambacho sio kizuri kwa jamii au kwa Mungu ndio kinawatoa Wengi zaidi kuliko wale wanao Fanya jambo,mambo mazuri ni wachache wanao fanikiwa. under Red-carpet.
@rangy165 жыл бұрын
Africa 1 Channel
@jumamofu95734 жыл бұрын
#KizaziSana
@thehuntervevothehuntervevo77035 жыл бұрын
Utaratibu ni upi kwani ngoma zetu tunakaa nazo mpka zinakuw kama tumecopy wakati tunauwezo wakufanya sisi kama sisi tupeni nafas tujue pia jins gani yakulta ngoma hta kma tuko mbali na dar ili tujihis wamojo
@arushamix60365 жыл бұрын
Mbona jamaa kawa mnyonge, kama vile anahojiwa na ticha Mkuu.
@calebkoyotv3 жыл бұрын
Mchomvu Mchomvu
@mama_africabags53435 жыл бұрын
Show sipo poa ommy ila weka show yote ili mtu acheki mwanzo mwisho plz weka kama ulivyokuwa unafanya mwanzo
@sadikialiamini3775 жыл бұрын
Truely
@lubavaclassic70485 жыл бұрын
Yuko kimaslayi Mzee.. So Lazima aweke nusunusu..!
@salumjumah56485 жыл бұрын
Baba John umeongea kikubwa sana
@hadijaabdallah54775 жыл бұрын
Vichwa vimekutana hatari tupuu
@nelsonkaaya41725 жыл бұрын
👍👍👍👍👍👍
@directorkabalo32064 жыл бұрын
kaharibu mic uyo
@kisumbeshedrack60475 жыл бұрын
Kaongea vzr sana
@jafarimzalamo19224 жыл бұрын
Mvomvu muongo usikwepe hayo maelezo unayoambiwa unabaguwa wewe muongo sana unadidimiza hip hop ya dsm
@joramkitime11014 жыл бұрын
Pumbavu ilo kupga mitama tu wezie
@indianproduction16375 жыл бұрын
Adam kingereza gan hicho .mtu anakwambia vingine unajib amaizing Mhhhhh ndo unajifunza
@horsemanisamonster3445 жыл бұрын
Mbna unazirudia
@maticsleokas17855 жыл бұрын
Hawa jamaa wanajua kinouma..........
@nickherman45 жыл бұрын
Kwahiyo kwa maelezo yako mchonvu unathibitisha kuwa mnawabeba weusi.
@emaneez5 жыл бұрын
Arusha ..anawakilisha
@fabianmoses31055 жыл бұрын
Fany b dozen naye atokee hapoo kzaz
@bishop_jilangila5 жыл бұрын
kizazi
@Johnjoo1965 жыл бұрын
Hahahaha story za kufikirika hizo bro
@katolankingbinnah86325 жыл бұрын
Mchomvu ni jamaa anaejua anachokifanya na namerenga nini
@Man_Full5 жыл бұрын
Makn sana
@kisye5 жыл бұрын
r.I.p geez mabovu.. mtazame mrithi wa mabovu hapa kzbin.info/www/bejne/j33NhIirgdish6c
@mwikamwika48515 жыл бұрын
Huna lolote mchomvu,usifikiri clouds ndiyo maisha ya kila msanii. Maisha yako pia nje ya hapo. Wana wa prove wrong ninyi kwa roho mbaya zenu. Lily Ommy uko poa sana
@halfanhaji70735 жыл бұрын
duuh mtu akichupuka kidole anatembelea magongo
@zahrachangalia42185 жыл бұрын
😂😂😂
@Cambarada4 жыл бұрын
😂😂😂kumbe umeliona hilo aisee
@princenyakurungwi69254 жыл бұрын
Mlevi tu huyooo
@seifmohamedseif93845 жыл бұрын
kuhusu kuokota diamond hilo kakosea wanakota mbona afike shinyanga sehem za machimbo atasikia toka kwa wahusika wapo walio okota diamond