Ili uweze kutazama filamu yetu mpya bonyeza hapo chini👇👇 kzbin.info/www/bejne/a6i4haqgopaMgtk
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Asanteni nyote mnaoendelea kutazama Filamu zetu, tunakuomba Usubscribe ili usipitwe na kazi zetu mpya!!
@batildavincent85743 жыл бұрын
👌👌
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
✊✊tuko pamoja.
@paschaljuma34143 жыл бұрын
Darcity muenderezo aisee mov kalii bado ya 🔥🔥🔥 mstuchereweshee muenderezo
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Sawa, soon tunaachia muendelezo
@GK_FILM_PRO3 жыл бұрын
Post part 2
@jubilantzabron9890 Жыл бұрын
Video nzuli sana hyo teja nimempenda sana
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Sawa sawa, asante sana.
@jumakavula.8962 жыл бұрын
Nzuri sana hii, nmeipenda.
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Shukrani sana aisee🙏
@SirHabb-qt3nt7 ай бұрын
Dahhhhh.. kweli mwakatobe yupo vizuri sekta zote❤❤ big up sana 🇰🇪
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Thanks
@neemashabanu63862 жыл бұрын
Teja mzuri jaman hiyo kaka mzuri nimempenda kama nilivyompenda adamu mbna wazur sana
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Asante jmn nashukuru.
@NajraKhatibuАй бұрын
Napendaga sana movi ikiwa na mkojani na tin ❤nafurah sana napndakuangalia
@RhodaJaphet28 күн бұрын
Adam baba, nakupenda tu jaman❤❤❤
@GetrudaJames-q5n Жыл бұрын
Ila mwakatobe kutoka kua teja hadi mganga na mchawi kazi nzuri sana mwakatobe🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante sana.
@jasminekimbe833 жыл бұрын
Unajua sana, mwenyez mungu aendelee kukupa maarifa zaidi uendelee kuelimisha jamii zetu kaka
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Amen, nitAjitahidi kwa kadri nitakavyojaaliwa.
@JacobHassan-nu9pd3 ай бұрын
Hii kazi nimeikubali sana bobge la move❤
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Asante
@hamisimwagarashi95012 жыл бұрын
Kazi nzuri sana bro uenuke zaidi InshaAllah.
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Shukrani sana mkuu, asante mno.
@privadinhodomician6661 Жыл бұрын
Teja ndo muigizaji Bora kwenye hiii move mungu amubariki
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Amen, zimefika.🙏🙏
@Asia-dq3rt Жыл бұрын
Kweli kabisa mwakatobe kanibariki
@hussennemassua8181 Жыл бұрын
Naipendaa kazi nzuri hongeraa❤❤
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante sana.
@neemamzande85472 жыл бұрын
Hakuna pati too adamu wetu 🥰
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Hii aina🙏🙏
@Johnson-fc2yr Жыл бұрын
Kwakweli nimeipenda filam mko vizuri sana
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante sana aisee🙏🙏🙏
@hayati94532 жыл бұрын
Teja mbeaaa adi analiaaa🤣🤣🤣🤣bongo sihami
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Hahahha teja nomaaa🤣🤣
@SarahMwimi-i8w10 ай бұрын
😂😂😂😂nimecheka kabla cjamaliza kuangalia
@tumajunior60802 жыл бұрын
Mashaallah movie nzuri inamafunzo 👌👌👌👌🥰🥰🥰🥰
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Asante🙏🙏
@neemamzande85472 жыл бұрын
Mkojani shikamooooooo wanifuraisha ndani ya saudiaa 🤣🤣🤣🤣🤣 thanks you adamu kwa kazi nzuri naic muvi ❤️❤️❤️❤️
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Shukrani sana aisee
@Vipajivipya3 жыл бұрын
Asanteni nyote mnaoendelea kutazama kazi zangu🙏🙏Mazuri yanakuja mbeleni🙏
@saudahamad74813 жыл бұрын
Pamoja sana kaka 🙏🙏
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Boss🤙
@emmykisigelile44123 жыл бұрын
Nikiona movie kacheza adamu leo lazma nichek in shot nakukubali bro unajua xna
@Vipajivipya3 жыл бұрын
@@emmykisigelile4412 Asante sana mama, mnanipa nguvu ya kufanya zaidi, na kazi nyingi mpya na nzuri zinakuja!
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
@emmy 🙏🙏🙏Usiache ku subscribe ili usipitwe na kazi mpya.
@NeemaEdward-b2j3 ай бұрын
Nzuri San 🎉🎉🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Asante sana sana
@geofmedia18773 жыл бұрын
Adam fundi nakukubali sana 👏👏👏
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Shukrani sana kaka, tupo pamoja.🙏🙏
@JescaMlelwa-ww7mz Жыл бұрын
Hongeren sana Kaz nzur
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante
@addo20143 жыл бұрын
Adamu umeniloga kila siku lazima niangalie movie zako 🤣🤣❤🥰
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Shukrani sana🙏🙏🙏
@mercymuranga8172 жыл бұрын
Movie nzuri na ina mafundisho love you Adam Leo watching from 🇰🇪 🇸🇦
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Love u too Mercy.❤❤❤
@bekaboy35422 жыл бұрын
hongela sana kaka unajuwa ongeza bidii najuwa changamoto zakimaisha zipo muhimu kupambana naitwa abubakar khamiss zenji zanzibar kalibu kaka
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Shukrani sana.
@shadakpotos4822 жыл бұрын
Mkojani namu kubali sana ❤👊
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Yah, anawakubali pia.
@IbrahimOthman-f2vАй бұрын
Mteja nae mtu 🎉🎉🎉
@chanyhakizimana83243 жыл бұрын
Niko burundi napenda kazi zenu, ongela sana, harimwubwenge🤓🤣🤣🤣
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Asante sana🙏🙏🙏
@baimarrajahbuayan62373 жыл бұрын
Wenye waume Sijui mantafutaga nin. Kwa madanga mbona Sasa mkifumaniwa vilio, kwanin usiende kwa huyo danga 🤔🤔🤔🤔🤔wanawake turidhike na waume zetu Big up washirik wote, Kaz nzur
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Asante sana kwa kutazama, soon funaachia filamu mpya.
@neemafrenk89662 жыл бұрын
Kwer mi siwezi fanya Ivo ata siku moja
@baimarrajahbuayan62372 жыл бұрын
@@neemafrenk8966 awaridhhik
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Yaani we acha tu.
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Umeona eh.
@puritykalasinga3712 жыл бұрын
Wooow Amazing movie.Teja na shengh daaaah 😂😂😂😂😂😂😂 Nimependa part yake ni mwigizaji mzuri,Tin white,Mpiga picha Napenda sana kutazama Filamu zao❤️❤️❤️❤️ Story ya Teja Kwa kweli inauma 🥲🥲🥲🥲.Adam endelea kukuguza kipaji🔥🔥🔥🔥🔥🔥 watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Asante nitafanya hivyo wakati wote.
@stephenkalume72912 жыл бұрын
Y
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
🙏🙏
@aliabdala5765 Жыл бұрын
Good
@BarackaManyanza5 ай бұрын
Nyooo zuri
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Mnoo
@madollarmadollar70973 жыл бұрын
Wazii adam unajua mmi ni blood wako muda sasa nafurahi sana nkiangalia kazi zako
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Shukrani sana, zipo nyingine nyingi zinakuja🙏🙏
@madollarmadollar70973 жыл бұрын
@@AdamLeoStudios haujawahi niangusha..afuu nmecheka sana yani vyenye mkojani amekuchana unashida ya jogoo mtungi
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
✊
@chellynpanja39703 жыл бұрын
Hongera kwa kujaliwa akili ya kufanya movie nzuri...Ahsante
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Asante nawe kwa kutazama, hakikisha una SUBSCRIBE channel yetu ili usipitwe na kazi yetu mpya.
@chellynpanja39703 жыл бұрын
Siwezi kuacha kufanya hivo...Be blessed
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Shukrani sana.
@ahmadchitema8363 жыл бұрын
Mkojan umenifurahisha sana kweny scene ambayo unamuonya mchumba ako umeshindwa kuweka serious hadi unachekesha
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Hahaha umeona eh!!! Anaonya huku anafurahisha.😂😂
@pendojustin91103 жыл бұрын
Ongera kwa teja kwa kutetea mapenzi ya Adam na mkewe na Adam ongera kwa kazi nzuriii
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Asante sana, barikiwa na endelea kutazama filamu zangu maana nyingine nzuri zinakuja.🙏🙏
@pendojustin91103 жыл бұрын
Mi nakuelewa ile sanaaaaaa wewe ndo mkali waooo
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Shukrani🙏🙏
@MdBabu-sh4ov3 жыл бұрын
Shukraaaaan kazi nzuri japo nimekuw wamwisho kuipata
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Asante sana, na wala usiwe na hofu ukitaka kutazama kazi zetu wa kwanza hakikisha una SUBSCRIBE na kubonyeza alama ya kengele, hautopitwa na kila kazi tutakayoiweka.
@MdBabu-sh4ov3 жыл бұрын
Ahsanteee mpndwa
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
@Md babu, shukrani na karibu tena kutazama filamu zetu nyingine.
@albertsumaili11722 жыл бұрын
Aksanti kwa video ni filamu inaleta fundisho , Adam aksanti kwa kazi unayo uwendelee zaidi.
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Asante sana, kazi itaendelea bila shaka.
@mariambiso-kx9uw4 ай бұрын
Movie Nzuri sana ila punguzeni mwendo mnapoteza muda
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Sawa mkuu
@KhadijaKhadija-ee5kr3 жыл бұрын
Napendaga sana kaz zako we kaka uko vizur hongera sana
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Asante sana dada, usiache ku Subscribe ili usipitwebna kazi zangu mpya.
@hassankunjayo6262 жыл бұрын
Jamaa upo juu sana ✅✅✅✅
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Shukrani sana🙏🙏
@aliabdallah89083 жыл бұрын
Dah uyu tena yuko vzr sna
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Asanteee
@alka-bksg8981 Жыл бұрын
Kali sana ma bros
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani!
@المستشار-ر2ت3 жыл бұрын
Mkojani kumbe bado kijana Ivo? nampenda mkojani ananifurai shaga
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Yah bado kijana😂😂
@halima72553 жыл бұрын
Duuuuh atari san ongereni sana wapenz kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤️ yani mtiani uyu teja kanitowa machozi 😭 kumbe mzuri 😂
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Shukrani sana Halima, tupo pamoja soon tunaachia mzigo mpya.
@fadhilazu3250 Жыл бұрын
So nice nimependa bule tu❤❤❤
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante mno
@yasminruben84022 жыл бұрын
Vizuri kaka kazi jema
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Asante sana aisee🙏🙏
@nargissalim83213 жыл бұрын
Napenda Sana kaz zako kaka Adam...Mungu akuongoze katika kazi zako🙏
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Amen🙏🙏💖
@nativeinfotv96203 жыл бұрын
Kazi nzuri.ila wanawake wengine sijui wakoje jamani
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Kuna wanawake chamgamoto, hata uwape nini bado wataku cheat tu! Tumuombe sana Mungu pale tunapohitaji wenza.
kazi nzuri sana, mkononi kumbe ni handsome.boy😂😂😂😂
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
😂😂😂asante, ni pombe tu na madawa vilimuharibu.
@bbrsssaad12823 жыл бұрын
Ni nzuri sana hongereni
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Asante sana, nzuri zaidi zinakuja.
@jacklinepeter4158 Жыл бұрын
😂😂😂 huyu teja si ni yule mwakatobe😅😅
@YohanaWilliam-ip5lh2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@maryamamon55972 жыл бұрын
Hongera kaka movie zako nzur sana
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Asante sana.
@marypaul38883 жыл бұрын
Hongeren kaz nzur
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Shukrani sana!!
@1czay Жыл бұрын
Jamani huyu teja si mwakatobe kweli😂😂😂mtu hutoka mbali ak
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Yah ndo yeye.
@Elijahfondo.2 жыл бұрын
Tin white na mkojani good job
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Asante, usiache ku subscribe mkuu.
@brunoinnocent8474 Жыл бұрын
Nimekubali🎉🎉
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana mzee.
@jeanettegloria62443 жыл бұрын
Duuh usaliti nishida, jamanie mutulie na mume moja na mke moja Adam kaamua kuuwa 😃😃😃 Part 2 tafadhali
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
😂😂😂 kutulia na m1 vijana wanashindwa sijui kwanini😁
@jeanettegloria62443 жыл бұрын
Naona kuua tu kutawatuliza 🤣🤣🤣
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Maana walizidi mbwembwe😂😂😂
@margaretnamubi45652 жыл бұрын
Kuua ni rahisi sana haswa kuhusu mapenzi
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Kabisa mapenzi yanauma mno.
@lengachapati37283 жыл бұрын
Eti chakuokota sio chakuiba mwenye mari kashiba wauni ndio tunaenda kushiba dah siopoa 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
😂😂😂😂 mateja siyo poa!
@joshuamwamuye66 Жыл бұрын
Best movie nmependa tena sana
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana
@safarimashingasafarimashinga2 жыл бұрын
Move kali sana pande za kigoma kibondo uku muha wa ukwel
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Shukrani waha wetu tunawakubali.
@RahmaIdris-wq3eo9 ай бұрын
Mwakatobe kanifurahisha sana na huo uteja
@AdamLeoStudios9 ай бұрын
Endelea ku enjoy!
@collinsmwanuli5173 Жыл бұрын
Mbona ijaisha bd naipenda
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Imeendelea
@mariambiso-kx9uw4 ай бұрын
Mkojani respect kwako
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
🤝🤝
@StevenMwazo6 ай бұрын
Iko poa sana
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Shukrani sana
@salimoissa2 жыл бұрын
vizur sana👍🇲🇿🥰💐
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Asante sana.
@EssauMussa5 ай бұрын
Noma sana 😢😢
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Hatari
@chunaamina87193 жыл бұрын
Kumbe mkojani n kijana, pia Leo mara ya kwanza kumuona kuigiza yupo serious😁
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
😂😂😂, ni kijana bhana. Na huwa anaigiza serious.
@ElizabethWanjala-v1q4 ай бұрын
Memori
@maryamevarista94733 жыл бұрын
Jamani mimi nimwamke lkn kutendwa na mwanaume ndoinifanye niwe mlevi auniwe kahaba na kujizuru mwili wangu hii hapana tukumbuke mungu wetu bado yupo nasi sikuzote poleni sana wote mlio pitiya hayo
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Amen, ujumbe umefika🙏
@kadaawizaa55883 жыл бұрын
Mengine yanauma Xanaa true Story... More Big up...
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Shukrani sana kaka, usiache ku Subscribe for more contents..
@kadaawizaa55883 жыл бұрын
@@AdamLeoStudios ushasema one love
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Bless✊
@jamespeter42262 жыл бұрын
Zinema poa sana James's from UK
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Asante sana kaka James.
@OmegaNelson-ho1no Жыл бұрын
movie bomba sana inayogusa hisia za ndaniiiiiii,great job adam
@khadijak-f7n Жыл бұрын
Adam mungu akulinde umeridhi kwa mzee majuto❤😂
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Amen
@uredipetro97992 жыл бұрын
Asante bro Adam leo
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Asante sana Uredi.
@emmanuelkhisa84532 жыл бұрын
Pitia frm 254🔥🔥
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Asante sana.
@ahmadgoha39043 жыл бұрын
teja wa kwanza mweny akil
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Umeonaaeehh+
@mohamedimniuya Жыл бұрын
namkubali sana uyu jamaa
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana
@Hamida-bu1he2 жыл бұрын
Jmn Kwan Teja ameoa mm nmempenda ana mwanya 😍
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Hajaoaa jamanii🤣
@Hamida-bu1he2 жыл бұрын
@@AdamLeoStudios Fanya kitu bas nmpate ataacha kula unga
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Sawa basi haina neno
@elnaorenge71803 жыл бұрын
Movie nzuri kabisa plz part 2
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Sawa soon tunaiachia usiache kuSubscribe tu.
@leviskahindi Жыл бұрын
This videos are good🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante
@IiberathaChilizaha9 ай бұрын
Mmmh yupo vizur
@AdamLeoStudios9 ай бұрын
Shukrani
@agnesagnes52882 жыл бұрын
Movie nzuri xn nazipenda xn walai pamoja 🥰🥰🥰
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Shukrani sana
@mariusiantoni66642 жыл бұрын
Nimeipenda
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Asante sana.
@tafutapesatv63893 жыл бұрын
Hiii move mmeludia sema watu tofauti
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Yah, kuna changamoto za kiufundi zilitokea sema tumeshaziweka sawa, filamu yetu mpya inakuja inaitwa KIHORO, hope mtaifurahia🙏🙏
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
Sawa tutakutafuta.
@AlfaniMirajikange7 ай бұрын
Safi
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante
@SaidHishami-le4cc10 ай бұрын
Safi kabisa
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
Shukrani
@OmegaNelson-ho1no Жыл бұрын
kiukweli usimdharau usiemjua,pia don judge a book by its cover
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Umeoona eh!
@MasikaPacheli Жыл бұрын
Oh my goodness mkojan kumbe bado kijana sielewi kabisaaaaa
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Yah
@evalyinesalama25352 жыл бұрын
Habari yako adam
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Salama kabisa
@NeyCharles-qf2gp8 ай бұрын
big up
@AdamLeoStudios8 ай бұрын
Thanks
@rizikihamisi55142 жыл бұрын
Mashallah umeweza Kwa kweli
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Asante
@aminamwanzala21833 жыл бұрын
Movie tamu kweli na yenye funzo 🥰
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
ShukrAni sanA🙏🙏 endelea kufuAtilia kAzi zangu, mazuri mengi yAnakuja.
@mwanamisirama18362 жыл бұрын
Waah!! Adam Kila siku anaiba wake za Watu lakin Leo kaibiwa daah!! Muosha huoshwa🤔🤔
@AdamLeoStudios2 жыл бұрын
Umeona eh
@ummymwalimu39653 жыл бұрын
Hao wanaosema pasud mm Sina pasud ilivyoo ibiwaaa alifurahii Sana
@AdamLeoStudios3 жыл бұрын
😂😂😂yaani anafikia kutoa laini kufuta picha na kuanza kuitumia.